1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
HUKO KWENU UMEME UMEREJESHWA AU HALI IKOJE?
Shirika la Umeme nchini TANESCO, limethibitisha wataalamu wake wamefanikiwa kurejesha umeme kwenye gridi ya Taifa ambapo mpaka sasa maneo mengi yameanza kurejeshewa huduma ya umeme kupitia vituo vya kupozea umeme.
1 307
Msanii wa mziki kutoka Nchini Nigeria 🇳🇬 na England (Uingereza), Yemi Alade ameweka bayana kuhusu kutopata Tuzo nyingi katika safari yake ya muziki barani Afrika na Dunia kwa ujumla kwa kusema kuwa yeye hapewi nafasi kubwa ya kushinda Tuzo hizo kwa sababu ya kukataa rushwa ya ngono.
Toa
1 307
Pichani ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Walter Chilambo akiwa na mke wake anayedaiwa kuwa ni mkubwa kiumri kumliko.
1 307
Licha Ya #Diddy Kutafutwa Na Polisi Lakini Rapa Huyo Ameonekana Akila Bata Na Watoto Wake Wawili Ambao Ni Mapacha (Jessie & D’Lila) Huko Mjini Miami Walipoenda Kucheza Golf !!! (Mitaa Ile Ile Ambayo Polisi Walivamia Nyumba Yake)
Hata Hivyo Bado Upelelezi Unaendelea Na Unasubiriwa Muda Wa Diddy Kuitwa Mahakamani Kwenda Kujibu Mashtaka Dhidi Ya Kesi Za Unyanyasaji Wa Kingono
Je, Unadhani Anafurahia Uhuru Wake Akiwa Uraiani Kabla Hajaenda Jela Au Anajiamini Kwamba Hana Hatia ? 😀
1 307
Nachukia ugali, parachichi na supu ya utumbo sivipendi vina ladha mbaya
Amefunguka Msanii Abby chams
1 307
AMEANDIKA MDAU KUTOKA TWITTER
Udini kila mahali Mtangazaji Baraka__Mpenja mechi inaanza anasema Asalam Alykum ni mwezi mtukufu wa Ramadhan mkapa ni full house so ameona mwezi mtukufu wa Ramadhan peke yake kwaresma hajaiona? Si bado wakiristo nao wapo kwenye mfungo wa kwaresma hii nchi ni uisilamu kila pahala"
Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
"Kiukweli napenda sana Quran, I wish wanangu waijue Quran kama mimi mama yao nimeshindwa🙏"- Jackline Wolper
Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
"Hakuna kitu kibaya kama mtu atangulie mbele za haki alafu hukuwa nae kwenye maelewano mazuri"- Msanii wa Maigizo Irene Uwoya
Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
