ar
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

photo content

Hii ni hapa hapa bongo
Hii ni hapa hapa bongo

HUKO KWENU UMEME UMEREJESHWA AU HALI IKOJE? Shirika la Umeme nchini TANESCO, limethibitisha wataalamu wake wamefanikiwa kurej
HUKO KWENU UMEME UMEREJESHWA AU HALI IKOJE? Shirika la Umeme nchini TANESCO, limethibitisha wataalamu wake wamefanikiwa kurejesha umeme kwenye gridi ya Taifa ambapo mpaka sasa maneo mengi yameanza kurejeshewa huduma ya umeme kupitia vituo vya kupozea umeme.

Msanii wa mziki kutoka Nchini Nigeria 🇳🇬 na England (Uingereza), Yemi Alade ameweka bayana kuhusu kutopata Tuzo nyingi kati
Msanii wa mziki kutoka Nchini Nigeria 🇳🇬 na England (Uingereza), Yemi Alade ameweka bayana kuhusu kutopata Tuzo nyingi katika safari yake ya muziki barani Afrika na Dunia kwa ujumla kwa kusema kuwa yeye hapewi nafasi kubwa ya kushinda Tuzo hizo kwa sababu ya kukataa rushwa ya ngono. Toa

Pichani ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Walter Chilambo akiwa na mke wake anayedaiwa kuwa ni mkubwa kiumri kumliko.
Pichani ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Walter Chilambo akiwa na mke wake anayedaiwa kuwa ni mkubwa kiumri kumliko.

Licha Ya #Diddy Kutafutwa Na Polisi Lakini Rapa Huyo Ameonekana Akila Bata Na Watoto Wake Wawili Ambao Ni Mapacha (Jessie & D
+1
Licha Ya #Diddy Kutafutwa Na Polisi Lakini Rapa Huyo Ameonekana Akila Bata Na Watoto Wake Wawili Ambao Ni Mapacha (Jessie & D’Lila) Huko Mjini Miami Walipoenda Kucheza Golf !!! (Mitaa Ile Ile Ambayo Polisi Walivamia Nyumba Yake) Hata Hivyo Bado Upelelezi Unaendelea Na Unasubiriwa Muda Wa Diddy Kuitwa Mahakamani Kwenda Kujibu Mashtaka Dhidi Ya Kesi Za Unyanyasaji Wa Kingono Je, Unadhani Anafurahia Uhuru Wake Akiwa Uraiani Kabla Hajaenda Jela Au Anajiamini Kwamba Hana Hatia ? 😀

Nachukia ugali, parachichi na supu ya utumbo sivipendi vina ladha mbaya Amefunguka Msanii Abby chams
Nachukia ugali, parachichi na supu ya utumbo sivipendi vina ladha mbaya Amefunguka Msanii Abby chams

Gigy money na mtoto wake..
Gigy money na mtoto wake..

AMEANDIKA MDAU KUTOKA TWITTER Udini kila mahali Mtangazaji Baraka__Mpenja mechi inaanza anasema Asalam Alykum ni mwezi mtukuf
AMEANDIKA MDAU KUTOKA TWITTER Udini kila mahali Mtangazaji Baraka__Mpenja mechi inaanza anasema Asalam Alykum ni mwezi mtukufu wa Ramadhan mkapa ni full house so ameona mwezi mtukufu wa Ramadhan peke yake kwaresma hajaiona? Si bado wakiristo nao wapo kwenye mfungo wa kwaresma hii nchi ni uisilamu kila pahala" Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

"Kiukweli napenda sana Quran, I wish wanangu waijue Quran kama mimi mama yao nimeshindwa🙏"- Jackline Wolper Follow ukurasa w
"Kiukweli napenda sana Quran, I wish wanangu waijue Quran kama mimi mama yao nimeshindwa🙏"- Jackline Wolper Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

"Hakuna kitu kibaya kama mtu atangulie mbele za haki alafu hukuwa nae kwenye maelewano mazuri"- Msanii wa Maigizo Irene Uwoya
"Hakuna kitu kibaya kama mtu atangulie mbele za haki alafu hukuwa nae kwenye maelewano mazuri"- Msanii wa Maigizo Irene Uwoya Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2