1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
"Nimeshindwa kumbadilisha Abdul, nimechoka sasa hivi bora kila mtu aendelee na maisha yake😭 yeye kama kaamua kuoa mke mwingine sawa ni maamuzi yake lakini mimi na yeye basi hata nikisikia leo amelazwa hospitali siwezi kwenda kumuona kwasababu nilishamuuguza mara nyingi na bado ameniolea mke mwingine"
"Mimi sasa hivi nataka mwanaume anayejielewa ambaye anajua majukumu yake, na hata leo ni siku ya Valentine yupo kwao amelala anaumwa na sina muda nae, niko bize kutafuta milioni 10 ili nilipe kodi hapa ninapoishi. Mama yake mwenyewe hanipendi niliwahi kwenda akanipulizia dawa ya Mbu nikakimbia"- Diva Thebowse, Mtangazaji wa Wasafi FM.
Katika hatua nyingine, Diva ametangaza kufunga Ndoa ya kikristo siku kadhaa zijazo na Mwanaume kutoka Nchini Ujerumani 🇩🇪 ambaye anadai ni Mtu sahihi kwake na amekuwa karibu nae kwa miaka mitano (5).
Toa maoni yako
1 307
"Sio Chanuo tu hata mimi ndoa ilinishinda, nina mwaka na miezi saba sasa tangu nipewe talaka tatu na aliyekuwa mume wangu, matatizo yangu ni kama ya Chanuo tu. Kabla hajanioa mume wangu aliniambia ataniruhusu kuendelea na kazi ya Uigizaji lakini baada ya kuolewa mambo yalibadilika akawa ananizuia kabisa kuigiza"
"Mimi wazazi wangu mpaka sasa hivi wanaishi kwenye nyumba za kupanga wamezeekea huko, sasa mwanaume aliyenioa alitaka niwe mama wa nyumbani tu nilifungua Saloon yangu nikaifunga kwasababu ya wivu wake, kila mwanaume aliyekuwa ananisemesha basi ni mwanaume wangu, ukiangalia mimi nataka niwajengee wazazi wangu nyumba sasa nikiwa mama wa nyumbani nitatafuta pesa saa ngapi"
"Kuliko kufia kwenye ndoa niliamua kuondoka nikamuachia na nyumba tuliyojenga tukiwa wote hata godoro sikuchukua na tulikuwa tumezaa watoto wawili, nilipewa talaka zangu tatu sasa hivi niko huru watoto wangu niliwapeleka nyumbani kwetu"- Hidaya Boli, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
"Ni kweli Madebe anapenda sana ngono hilo liko wazi wala Chanuo hakudanganya, anapenda ngono kila mtu anamjua na hata mimi alitaka kunishawishi nimpe penzi langu ili niendelee kufanya nae kazi. Lakini alinikuta niko ngangali na misimamo yangu, kabla sijaanza kufanya nae kazi niliambiwa tabia zake na kweli baada ya muda mfupi alinitaka kimapenzi lakini nilimnyima na nikamwambia kama hawezi kufanya kazi na mimi basi aniache"
"Mimi naamini katika kipaji changu, sina hofu na sikuwa na presha ya kuwa maarufu, kichwani kwangu nilikuwa na wazo la kufanya kazi na kulipwa pesa basi mambo ya umaarufu kwangu sikuwahi kuwaza na hiyo ndio ilinisaidia la sivyo ningeshaliwa na kuwa miongoni mwa mnyororo mrefu wa wanawake wengi waliokuja pupa wakiutaka umaarufu bila kuwa na kipaji matokeo yake waliliwa na kazi hawakupata"
"Najua kuitafuta pesa tangu nikiwa mdogo sitishiki na pesa ya mwanaume, hata hivyo baada ya kumkataa Madebe alinitoa kwenye kikundi chake lakini baadae alikosa kipaji cha zaidi yangu akanitafuta kwa kutuma watu, kwahiyo ni kweli ana hiyo tabia ya ili akupe kazi lazima kwanza akulale lakini mimi nilisimama kwenye misimamo yangu mpaka leo nina miaka 31 ananiheshimu na tunaheshimiana"- Hidaya Boli, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
Jamani huyu mmbea khaa ndio anipigie simu mda huu🤭🤭🤭🤭🤭Mji wa moto huu kama huko Barabarani simama kwanza usije ukangoga bureee km upo kwenye Daladala Mwambie suka apunguze sauti Daladala usikie umbea vizuri🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Sasa iko hivi chanzo cha ugomvi wa jana wa Harmonize na Posh Queen ni hawa mabishoo kwa sauti ya harmo😂😂😂 Rich mitindo na Chid Mapenzi mume wa zamani wa shamsa ford ni kwamba baada ya posh kufumfuata Rich kumslimia pale wavuvi kama mmakonde akamind kile kitendo kumsalimia
Rich alichukia sanaaaa kabla hapo harmo Rich na chid walisalimia kawaida baadae ile Bond ya posh na Rich mitindo ilizidi sanaaa bwana bwana aacha mmakonde aanze kumporomoshea matusi Rich mitindo Inaonekana hili bifu la Rich mitindo la kipindi kile kumchukua wolper alikuwa bado analo moyoni mmakonde sasa jana akaingia kwenye 18 za mmakonde Rich alipigwa mkwara mzito sanaa mpaka akanywea akajua baada ya Baba levo anafuata yeye akatoka nduki akaruka kama meza 10 😂😂kutoka kwenye table yake akajua hapa ntachezea baadae Baunsa wa harmo akamwambia Boss tuondoke wakatoka nje ile wanatoka tu nje huko nje wakati wanaelekea gari posh akaenda kuchezea kichapo cha mbwa😭😭😭😭😭😭😭ebu tulieni nakuja kuendelea💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Carry Mastory ✍️
1 307
Vanessa Mdee amepost picha ya mtoto wake wa pili ambaye ni mrembo haswa. Uzuri wa mtoto huyu umezua gumzo mtandaoni baadhi ya watu wakahoji kuwa sura kafanana na mama au baba?.
Lakini pia inawezekanaje mtoto wa mwaka mmoja akawa mkubwa hivi maana muonekano wake ni kama ana miaka miwili na nusu.
Nywele zake waaooh jamani . Mwanangu akikua nitamwambia umuoe huyu kama bado nitakuwa hai. Mahari yoyote nitamlipia. Vanessa please nishawahi mapema tutakuwa wakwe
1 307
HII NDIO NCHI NDOGO ZAIDI DUNIANI
Sealand ndilo Nchi Ndogo zaidi duniani, Ina wakazi 27 pekee.
Nchi Hii Inaongozwa Kwa Mfumo wa kifalme (Monarchy) familia yake ya kifalme, ikiwa ni pamoja na Prince Roy, Princess Joan, na watoto wao wawili, Michael na Penny Wenye Mamlaka Katika Nchi Hii.
Sealand ni mojawapo ya nchi 200 duniani, yenye eneo la mita za mraba 550. Ina jeshi lake, bendera yake, sarafu yake, Timu ya Mpira na mambo mengine ya nchi huru.
Kama Unahitaji Kuingia Katika Nchi Hii Itakulazimu Kuomba VISA 😄
Imeandikwa na Mahmudu suleimani
#Sealand #visa #population
1 307
Mwaka 1977 Vincent Simmons alihukumiwa kifungo cha miaka 100 jela nchini Marekani baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la kuwabaka watoto pacha, Karen na Sharon waliokuwa na miaka 14, wakati huo yeye akiwa na miaka 25.
Simmons alisisitiza kuwa hana hatia. Kufikia mwaka 2022, jaji alibaini kuwa hakuwa na hatia na kuachiwa huru baada ya kutumikia adhabu hiyo kwa miaka 44.
1 307
KURUHUSU KUSOMA KWA MBWEMBWE NI KAMA KUMPIGA CHURA TEKE..
Leo Kupitia Kipindi Cha #GoodMorning Cha @wasafifm Kwenye KurasaZaMagazeti Wazee Wa Minyama Wameanza Kwa Mbwembwe Kuzisoma Habari Kubwa Zilipo Kwenye Magazeti Huku Chumvi @maulidkitenge Akipanda Juu Ya Meza..
1 307
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
1 307
Muigizaji maarufu wa Ghana Van Vikker katika picha ya pamoja na mke wake ambaye wamedumu kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 20 sasa
Unaambiwa jamaa pamoja na ustaa ila hajawahi kuachana na mke wake au kufanya skendo za kipuuzi mitandaoni.
1 307
"Najiuliza tu huku Hospitali nilipo, kama Nelly ameolewa na tapeli, Tima nae ameolewa na Baba tajiri, Kibibi yuko uswazi na Chidy, mama nae katapeliwa mpaka masofa, mimi ntaanzia wapi?"- Devi
