1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ridhiwani Kikwete kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Kabla ya uteuzi huo, Ridhiwani alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
1 307
Rais Samia Suluhu amemteua Balozi Mahmoud Kombo kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Wizara ambayo awali iliongozwa na January Makamba (Mb.)
Kabla ya uteuzi Balozi Kombo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia.
1 307
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa mawaziri wawili, Nape Nnauye (Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) na January Makamba wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Mbali na hao, Rais Samia ametengua uteuzi wa Stephen Byabato aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Utenguzi huo umefanyika usiku huu wa leo Jumapili, Julai 21,2024 kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais lkulu.
#kasibantefmupdates
1 307
+7
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+3

Jamaa Hana faili la mwaka huu, faini alilo nalo Ni la
mwaka 2021, atajuaje wananchi wangapi
wameomba kuunganishiwa maji?, atajuaje mahali
ambako Kuna tatizo la maji?. Analipwa mshahara na
Kodi za wananchi, yupo ofisini!. Aisee!!
Kumbusho Dawson Ka... • Follow o. X
3 Jul
Huu Ni Mwezi wa Saba, mwaka 2024.
1 307
+4
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK