1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+2
🚨AJALI IMETOKEA ASUBUHI HII KIGAMBONI.
Vijana wa FOUNTAIN GATE ACADEMY wamepata ajali maeneo ya Kibada darajani karibu na nyumbani kwa nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samata wakiwa wanaelekea Uwanja wa TFF Kigamboni kwajili ya mechi za U17. Majeruhi watatu (3) wamewahishwa hospital wamegongwa na gari kubwa ya mchanga.
- Jemedari said - Via instagram
𝗗𝘂𝗸𝗲𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀
1 307
Lionel Messi alivyokutana na Kobbie Mainoo mwaka 2012 huko Uingereza kwa ushirikiano mkubwa na foundation ya UNICEF ya kutembelea watoto
Huyu jamaa alibariki kila mtoto aliyekutana nae
1 307
AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA
"Anaitwa EMMANUEL JOHN OMAHE
amemaliza degree ya kwanza ya ujenzi (Civil Engineering ) mwaka jana (2023) katika chuo kikuu cha Mbeya (MUST).
Alikuwa akifanya kazi ya kusimamia ujenzi wa majengo kwa mkandarasi Mkoani Mtwara.
Hapatikani kwenye simu zake zote tangu tarehe 24/05/2024 hadi leo hii.
Ndugu wameripoti Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma na Kupewa RB namba DOM/9302/2024.
Bado ndugu wameendelea kumtafuta,wametoka Dodoma na wiki hii yote wapo Mtwara kufuatilia taarifa za Kijana wao,lakini hakuna dalili ya kumpata.
Wanaomba Kwa yeyote atakae muona au kuwa na taarifa zake atoe taarifa haraka kupitia no:-0753542728 au 0756016629 au 0717254010..."
N.B
Tusipochukua hatua za haraka,hali itazidi kuwa mbaya sana huko tunakoelekea.
1 307
USIMKATIE MTU TAMAA•
Hakika historia imeandikwa baada ya Mbwana Samata sasa ni zamu ya @aishamagoal_10 kupeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿 katika Viunga vya Uingereza ndani ya Kikosi cha Brighton and Hove Albion
Soka la Tanzania 🇹🇿 linazidi kukua, naami baada ya miaka mitano tutakuwa na wachezaji wengi wa kike na kiume Ulaya ni suala la muda tu.
1 307
Anaitwa fatuma yusuph rashidi emepotea huko tarime ana umri wa miaka 11 Kwa atakae mwona atoe taarifa kituo chochote Cha polisi au anitafute Kwa namba 0756501509 inasemekana alielekea uelelekeo wa bunda kwenda mwanza
1 307
Wapendwa Nina Mwenzangu anaishi Nyumba mia tatu Dodoma anafanya kazi Udom Amefiwa na Mtoto wake Jana tar 17/7/2024 mtoto alipotea Jana jioni saa 12 akapatikana muda wa saa 4 usiku akiwa amefariki amekatwa mkono na sehemu za Siri.
Hii trend ya watoto kupotea Tz imekuwa kubwa. Nafkir jamani kuna namna inabidi tuanze kuwa wakali kama raia tuwajibishe mamlaka hasa waziri na police. Leo kuna binti amepostiwa kapptea huko dodoma tena. Wa miaka kama 7/8 hivi. Unafkir wanapotea bahati mbaya??
1 307
+6
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
"Mimi sasa hivi ukitaka kuongea na mimi usiniite kwenye vibao kata huko mtaani sijui kwenye visherehe vya hovyo, niite Ngorongoro au Mikumi huko kwenye sehemu za maana tukazungumze. Nimejitambua mimi ndiye Angelina Jolie wa Bongo "- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
