ar
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

photo content
+1

Mtoto Asimwe Novart (2) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyeuawa kwa kukatwakatwa viungo vyake wilayani Muleba Mkoani Kagera na mwi
+9
Mtoto Asimwe Novart (2) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyeuawa kwa kukatwakatwa viungo vyake wilayani Muleba Mkoani Kagera na mwili wake kutelekezwa ukiwa umefungwa kwenye kalavati, amezikwa leo nyumbani kwao Kijiji cha Bulamula Kata ya Kamachumu Wilayani humo. Jeshi la Polisi mkoani humo limesema watu wanne wanashikiliwa kwa uchunguzi zaidi akiwemo baba mzazi wa marehemu.

Hivi mbwa wanakulaga miwa au ndo ugumu wa maisha..😃
Hivi mbwa wanakulaga miwa au ndo ugumu wa maisha..😃

"si mmeona Kevin De Bruyne ameshindwa na kazi, Wacha tutapanga na Guardiola vile Aldrine Kibet atahamia man city "
"si mmeona Kevin De Bruyne ameshindwa na kazi, Wacha tutapanga na Guardiola vile Aldrine Kibet atahamia man city "

Ndo tumefikia huku..😁
Ndo tumefikia huku..😁

⚠️😳 Nchi 15 za kiafrika zinazoongoza kwa kula mayai zatajwa, 1. 🇱🇾 Libya ~ 180 (71 kidunia) 2. 🇲🇦 Morocco ~ 175 3. 🇸🇨
⚠️😳 Nchi 15 za kiafrika zinazoongoza kwa kula mayai zatajwa, 1. 🇱🇾 Libya ~ 180 (71 kidunia) 2. 🇲🇦 Morocco ~ 175 3. 🇸🇨 Seychelles ~ 167 4. 🇿🇦 South Africa ~ 150 5. 🇹🇳 Tunisia ~ 150 6. 🇲🇺 Mauritius ~ 129 7. 🇩🇿 Algeria ~ 127 8. 🇪🇬 Egypt ~ 63 9. 🇿🇲 Zambia ~ 61 10. 🇳🇬 Nigeria ~ 56 11. 🇸🇳 Senegal ~ 46 12. 🇲🇷 Mauritania ~ 45 13. 🇨🇮 Côte d'Ivore ~ 43 14. 🇬🇳 Guinea ~ 40 15. 🇰🇪 Kenya ~ 37

Aliyekuwa binti wa mfalme wa Nchi ya Persia (Kwa Sasa Iran) Princess Qajar,ambaye alizaliwa mwaka 1883 na kufariki 1986 aliku
Aliyekuwa binti wa mfalme wa Nchi ya Persia (Kwa Sasa Iran) Princess Qajar,ambaye alizaliwa mwaka 1883 na kufariki 1986 alikuwa nembo ya urembo kwa kipindi hicho kwani alisumbua sana wanaume. Inaaminika kwamba zaidi ya wanaume 13 walijiua kutokana na kukataliwa kimapenzi na binti huyo.

TIFFAH DANGOTE AMESHAKUA MDADA SASA... Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/
TIFFAH DANGOTE AMESHAKUA MDADA SASA... Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Tusamehe sana Asimwe tumeshindwa kukulinda Na hao waliokufanyia hivyo Mungu awasamehe hawajuhi walitendalo 😭 Ni roho mbaya,
+1
Tusamehe sana Asimwe tumeshindwa kukulinda Na hao waliokufanyia hivyo Mungu awasamehe hawajuhi walitendalo 😭 Ni roho mbaya, Uchu na tamaa za Mali Kama na wewe umeguswa na mauaji ya huyu mtoto Asimwe sema chochote kwenye comment Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula
+2
Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia tukio hilo Katibu Tawala Wilaya ya Muleba Benjamin Mwikasyege amesema kuwa mwili huo umekutwa umetelekezwa kwenye karavati yenye maji ya barabara ya Makongora, Kijiji cha Malele. Aidha ameongeza kuwa mwili wa marehemu umechukuliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi na kuwaomba wananchi kutoa ushirikiano ili kubaini walio tekeleza tukio hilo. Asimwe Novath aliibwa nyumbani kwao Mei 30 mwaka huu, baada ya mama yake kukabwa na watu wasio julikana usiku wa saa 2:30 kisha mtoto huyo kuchukuliwa ambapo amekuwa akitafutwa hadi mwili wake ulipopatikana Juni 17, 2024, katika Kijiji cha Malele kata Ruhanga wilaya ya Muleba mkoani Kagera Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Shirika la Umeme la Zambia (ZESCO) limeunda idara maalum ili kuharakisha ujenzi wa njia mpya ambayo itaingiza takribani megaw
Shirika la Umeme la Zambia (ZESCO) limeunda idara maalum ili kuharakisha ujenzi wa njia mpya ambayo itaingiza takribani megawati 300 za umeme toka Tanzania. Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika miezi tisa ijayo, hatua ambayo Zambia imeeleza kuwa itapunguza mgao wa umeme kwa kiasi kikubwa.

⛪Hakuna tena kuhubiria watu masaa mengi kwa sasa ni dakika 8 tuu Haya ni maneno ya papa Francisco ambapo aliwataka mapadri wo
⛪Hakuna tena kuhubiria watu masaa mengi kwa sasa ni dakika 8 tuu Haya ni maneno ya papa Francisco ambapo aliwataka mapadri wote duniani wasiwe waongeaji sana watumie dakika 8 ili waumini wasihisi usingizi kanisani " Unapohubiri mda mrefu kanisani wakristo wengi hupatwa na usingizi ghafla na ni kweli hata mimi siwezi kuvumilia hilo ni vyema tubadili hivi sasa tumieni dakika 8 inatosha 🎅🏻huyu ndio Papa Francisco, ambapo aliyasema hayo katikati ya ibada kuu Vatican katika eneo tukufu la petro Vp mdau unasemaaaje kuhusu hili?

Wafanyabiashara na mawakala wa usafirishaji nchini Kenya wamesema watatumia Bandari ya Dar es Salaam, ambayo wanaiona kuwa ma
Wafanyabiashara na mawakala wa usafirishaji nchini Kenya wamesema watatumia Bandari ya Dar es Salaam, ambayo wanaiona kuwa mazingira rafiki zaidi ya kibiashara, kupitisha mizigo yao endapo Kenya itaanza kutoza kodi ya magari ya asilimia 2.5 ya thamani ya gari.

Mtafiti wa Sokwe Mtu (Sokwe) kutoka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Simula P. Maijo amesema Sokwe ndiye mnyama pekee aliye na ufanano mkubwa wa vinasaba na Binadamu ambapo kwa mujibu wa taarifa za kisayansi zinaonesha kuwa Sokwe anashahabiana kivinasaba na Binadamu kwa zaidi ya asilimia 98. Akiongea na @AyoTV_, Mtafiti Maijo amesema Sokwe ni wa kipekee sana na wana umuhumu mkubwa katika mifumo Ikolojia wanayopatikana, hivyo kuna uhitaji wa dhati kuhakikisha wanahifadhiwa ili kudumisha uwiano wa ikolojia wanayopatikana na kuishi ukizingatia kuwa mnyama huyu yupo katika hatari ya kutoweka kutokana na uharibifu wa makazi yao unaosababishwa na shughuli mbalimbali za kibinadamu kama vile kilimo, ufugaji, na uanzishwaji wa makazi holela ya Binadamu katika maeneo yao ya asili. Katika uhifadhi, Mtafiti Maijo amesema Sokwe wanasaidia sana katika kusambaza mbegu mbalimbali kutokana na vyakula wanavyokula ambapo kwa asilimia kubwa (kati ya 60%-80%), chakula kikuu cha Sokwe ni matunda na utafiti unaonesha mbegu iliyopita katika mfumo wa umeng’enyaji wa chakula cha Sokwe ina asilimia kubwa ya kuota ikilingwanishwa na mbegu ambazo hazikupitia mfumo huo, hivyo Sokwe wanasaidia kuboresha mazingira kupitia usambazi wa mbegu za mimea. Sokwe ni mnyama adhimu Tanzania ambaye kwa asili anapatikana katika Mikoa ya Kigoma (Gombe na Mahale), Mkoa wa Katavi ( Misitu ya Tongwe) na baadhi ya maeneo ya Rukwa (Kalambo) , pia Tanzania ina Sokwe katika hifadhi ya taifa ya kisiwa cha Rubondo ambao siyo wa asili katika maeneo hayo “Kwa Tanzania Sokwe wanakadiriwa kuwa chini ya 2500 kwa idadi na kati ya idadi hiyo, zaidi ya 75% wanapatika na kuishi katika maeneo ambayo yanapatikana nje ya hifadhi za Taifa za Gombe na Mahale” Kwa upande wa uchumi Mtafiti Maijo amesema Sokwe wanachangia pato la Taifa kupitia utalii wa picha, mfano katika hifadhi za Taifa za Gombe na Mahale, Sokwe ndio zao kuu la utalii, kupitia utalii, kuna ajira nyingi za zinatengenezwa kuanzia kwa waongoza watalii, mameneja, wapishi, n.k., pia Wageni wanaokuja kuwaangalia Sokwe hulipia na hivyo kuiingizia nchi fedha za kigeni. Millardayoreporter

photo content