ar
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
Masoud alikua na maana gani hapa
Masoud alikua na maana gani hapa

Umegundua kitu gani cha tafauti hapa..
Umegundua kitu gani cha tafauti hapa..

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

⚠️ Eric Omondi mchekeshaji maarufu pia mwanaharakati wa Kenya amekamatwa baada ya kujiunga katika maandamano nje ya majengo ya bunge kupinga mswada wa fedha 2024 ulioelezwa kuwa na mapendekezo ya kodi kandamizi Wanaandamanaji nchini Kenya wanasema wataendelea tena na maandamano hayo licha ya vyombo vya dola kujaribu kutaka kuyadhibiti 🎥: 2mbili

Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazom
Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.

Pichani ni Chief Inspector David Karuri Maina, askari aliyepoteza viganja vyake vyote vya mikono baada ya kulipukiwa na bomu
Pichani ni Chief Inspector David Karuri Maina, askari aliyepoteza viganja vyake vyote vya mikono baada ya kulipukiwa na bomu la machozi alilokuwa akitaka kuwarushia waandamanaji nchini Kenya. "I don't know what to tell my children" Amenukuliwa akisema. KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

🤔🤔 KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
🤔🤔 KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Siku hizi hawakuchomi moto..😀😀😆
Siku hizi hawakuchomi moto..😀😀😆

PAMBA JIJI YAWAOMBA MASHABIKI ZAKE MKAE KWA KUTULIA...😀 UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA
PAMBA JIJI YAWAOMBA MASHABIKI ZAKE MKAE KWA KUTULIA...😀 UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA  KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk

"Kwa majina naitwa Judith Richard ni mama wa Marehemu Asimwe, siku ya tukio nilitoka nyumbani saa kumi nilikuwa naenda kuheme
"Kwa majina naitwa Judith Richard ni mama wa Marehemu Asimwe, siku ya tukio nilitoka nyumbani saa kumi nilikuwa naenda kuhemea nilikuwa nimeongozana na mke wa shemeji yangu. Wakati wa kurudi nilipitia kwa shemeji yangu nikakaa kidogo baadae usiku ulipoanza kuingia nikarudi nyumbani, nikiwa nyumbani na mtoto wangu mama yangu alinipigia simu kuuliza hali ya mume wangu maana alikuwa anaumwa hiyo siku" "Wakati naongea na mama mtoto wangu alikuwa pembeni yangu akaniambia "mama nataka kuongea na bibi" basi nikampa simu akaongea na bibi yake akamwambia "bibi napiga mswaki mimi" alipomaliza kuongea na bibi yake tukakaa kidogo nikasikia mtu anapiga hodi, nikamuuliza we ni nani? akasema mimi ni Kevin. Nikamuuliza unataka nini? akasema nyoka imening'ata hapo juu naomba chumvi nipate huduma ya kwanza" "Sasa mimi nikawaza kwamba ngoja nimsaidie kwasababu siweji jua na mimi naweza nikapata tatizo nikasaidiwa na mtu nisiemjua, nikachukua chumvi kwenda kumpelekea nje alikuwa anachechemea. Kumbe wakati natoka kuna mtu mwingine alikuwa amejibanza kwenye kona, nilipotoka tu akanikaba akanisukumia kwenye mavyombo na yule aliyekuwa anachechemea akaja akambeba mwanangu wakakimbia nae" "Haikuwa rahisi kupiga kelele watu wakaja kwasababu nyumba zipo mbalimbali alafu siku hiyo kulikuwa na miziki jirani. Baadae shemeji yangu alikuja tukaanza kusaidiana kutafuta hatukuona mtu. Mwanangu alikuwa na miaka miwili na nusu, nilimzaa na ulemavu wa ngozi ambao ni Albino na ndio mtoto wangu wa kwanza"- Kwa masikitiko makubwa ameeleza Bi Judith Richard, mama wa mtoto Marehemu Asimwe. Mtoto huyo alipotea tangu May 30 na juhudi za kumtafuta ziliendelea bila mafanikio yoyote hadi hapo siku ya leo alipokutwa amefariki na kuviringishwa kwenye mfuko kisha kutupwa chini ya daraja karibu na kichaka huku mwili wake ukiwa umenyofolewa baadhi ya viungo.Tayari mwili wa Asimwe umezikwa jkijiji kwao huko Kamachumu Wilaya ya Muleba Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Kwenye bajeti ya Singapore 🇸🇬 2024/25 kuna haya 👇🏾👇🏾👇🏾 1. Kila raia wa Singapore amepewa vocha ya dola $500 kwa ajili
Kwenye bajeti ya Singapore 🇸🇬 2024/25 kuna haya 👇🏾👇🏾👇🏾 1. Kila raia wa Singapore amepewa vocha ya dola $500 kwa ajili ya kujiongezea ujuzi… 2. Kila raia mwenye miaka 40 kuendelea, ameongezewa vocha ya dola $4,000 juu ya zile $500 ili kuwasaidia ku-upskill and ku-reskill… 3. Kila raia mwenye miaka 40 Singapore na aliyejiandikisha full time kwenye kozi maalumu za kuongeza uwezo, atalipwa nusu ya mshahara wake na serikali pamoja na kuongezewa fedha $3,000 kila mwezi kwa miezi 24… 4. Ikitokea umefukuzwa kazi Singapore, kuna fedha maalum serikali itakuwa inakulipa kipindi huna kazi na kugharamia mafunzo ya kukuongezea ujuzi ili upate kazi bora zaidi… 5. Kila kibarua anayelipwa ujira mdogo Singapore, mwisho wa mwaka serikali itampa $3,000 ku-supplement kipato chake… 6. Mshahara wa chini kabisa ni dola $1,600 na wale wale wanaolipwa kwa masaa ni $1.5 per hr… 7. Muajiri binafsi yeyote Singapore atakayeongeza mshahara wa watumishi wake wanaolipwa mshahara mdogo, serikali itajazia nusu ya hiyo nyongeza… 8. Kila kijana chini ya miaka 30 Singapore atakayemaliza elimu ya ITE (sawa na VETA Tanzania) na kujiandikisha Chuo ngazi ya Diploma, atapewa dola $5,000… 9. Kijana huyu atakapomaliza chuo atapewa dola $10,000 za kuanzia maisha… 10. Kila raia wa Singapore mwenye umri wa miaka 21-50 atapewa dola $300 kwa ajili ya kumsaidia matibabu… 👉🏾 Singapore 🇸🇬 ilipata uhuru Agosti 9, 1965… Miaka minne baada ya uhuru wa Tanganyika na miaka mitano baada ya uhuru wa nchi nyingi Afrika … 👉🏾 Singapore maisha yao leo ni kama Ulaya na wanazidi vi nchi vingi vya Ulaya hasa huko Ulaya mashariki: Romania 🇷🇴, Bulgaria 🇧🇬, Uturuki 🇹🇷, etc… 👉🏾 Singapore 🇸🇬 huwezi kuwasikia hata siku moja wakilalamika eti wanaporwa rasilimali zao na nchi za Magharibi 👉🏾 Singapore 🇸🇬 baada ya kupata uhuru, wakaanza kuchapa kazi!…na hayo ndio matokeo Written by Babu Mzanzibari

“Mimi Nina heshimika si Tanzania tu bali dunian kote wenda kuzidi wenzangu walionitangulia, Ila wabunge baadhi Kama Mpina wan
“Mimi Nina heshimika si Tanzania tu bali dunian kote wenda kuzidi wenzangu walionitangulia, Ila wabunge baadhi Kama Mpina wananiletea dharau, hii sitaikubali ni lazima ahojiwe na kamati ya Maadili” Spika Tulia

Unajifunza nini hapa..🤔
Unajifunza nini hapa..🤔

Wangapi mnaikumbuka hii..😀
Wangapi mnaikumbuka hii..😀

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+6
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2