قناة أبي زيد جمعة بن عبدالله_حفظه الله ورعاه
Jipatie Duruus, Khutwab, Mihaadhwara, Ruduud na Fawaaid nyinginezo kutoka kwa Ustaadh Abuu Zayd Jumu'ah bin 'Abdillaah حفظه الله ورعاه
Ko'proq ko'rsatish2 224
Obunachilar
+524 soatlar
+217 kunlar
+10630 kunlar
- Kanalning o'sishi
- Post qamrovi
- ER - jalb qilish nisbati
Ma'lumot yuklanmoqda...
Obunachilar o'sish tezligi
Ma'lumot yuklanmoqda...
📖بسم الله الرحمن الحيم.
🌹MAPENZI KATIKA NDOA YANAHITAJI MAMBO 19.🌹
الحمد لله رب العالمين والصلاة والسلام على رسول الله صلى الله عليه وسلم أما بعد:
Mapenzi katika ndoa yanahitaji mambo kumi na tisa nayo nihaya yafuatayo:
💐1=NIA NZURI:
Mwenye Nia nzuri thawabu zake huwa nyingi na maisha yake huwa mazuri na mapenzi yake huwe thabiti.
💐2=DHANA NZURI;
Mwenye kuwadhania watu vizuri mapenzi ya watu hukusanyika kwake.
💐3=TABIA NJEMA:
Kuwa na tabia njema huridha mapenzi na hutia nguvu mapenzi.
💐4=KUISHI NA WATU VIZURI•
Kuishi na watu vizuri huzidisha mapenzi katika nyoyo za watu.
Na mwenye kuishi na watu vizuri atakuwa na marafiki wengi.
💐5=UTAKASIFU WA MAPENZI:
Mwenye kumpenda mtu kwa utakaso wa moyo wake hupatikana furaha katika ndoa yake.
💐6=UKUNJUFU WA SURA (TABASAMU);
Tabasamu kwa umpendae ni kamba ya mapenzi, na tabasamu ni sababu yakuzidi upendo.
💐7=ADABU KWA WANA NDOA;
Usiondoe heshima na adabu katiyako na mpenzi wako, ibakishe, kwani kuondoka kwa heshima ni sababu ya kuondoka hayaa na kubaki kwa heshima ni sababu yakubaki mapenzi.
💐8=KUJIPENDEKEZA:
Jambo la kujipendekeza hutia nguvu ya mapenzi hivyo jipendekeze kwa mpenzi wako nae atakupenda.
💐9=UNYENYEKEVU;
Unyenyekevu huzidisha mahaba baina ya wanandoa hivyo jitahidi kua myenyekevu ili uvune mazao ya upendo.
💐10=UTEKELEZAJI WA MAMBO:
Kutekeleza wajibu wakindoa ni sababu ya kuzoeana watu wanao pendana•
💐11=UADILIFU BAINA YA WANA NDOA•
Uadilifu huondoa tofauti na hupasisha mapenzi, hivyo lazimiyana na uadilifu ili uchochee Moto wa mahaba katika ndoa yako.
💐12=UKWELI WA MANENO NA MATENDO•
Mkweli anachuma kutokana na ukweli wake Mambo matatu: kua mwadilifu, kupendwa, kupewa vipawa (vitu vizuri na vitamu).
Ukweli Ni utulivu na uongo ni mashaka kwa wapendanao.
💐13=UPOLE:
Mtu mwenye upole na tabia laini huwajibika kwake mapenzi.
💐14=HESHIMA:
Mtu mwenye heshima uheshimiwa hivyo jipambe naheshima uzidi kupendwa.
💐15=UKIMYA:
Miongoni mwa alama za utambuzi ni upole, elimu, na ukimya, hakika mwenye ukimya huchuma mapenzi hakika ukimya ni dalili ya kila kheri.
💐16=UKARIMU:
Mtu mwenye ukarimu huchuma mapenzi na huipamba tabia na hupandikiza mapenzi.
💐17=KUCHUKIA SHARI:
Mtu mwenye kuchukia shari huilinda ndoa yake enyi wanandoa zibeni mifereji yakila ya Shari ili kuidumisha ndoa yenu.
💐18=KUACHA HUSUDA:
Hasadi ni Jambo lenye shari na kuchukiwa na Allah hivyo iacheni hasadi badala yake muoneyane wivu na Mwenye kuacha hasadi udhihirisha mapenzi ya kweli.
💐19=KUSAHAU MAKOSA:
Kusahau makosa ya Mwenzako Jambo hilo hudumisha mapenzi baina ya wanandoa.
Allah ndio mjuzi zaidi.
✍ABUU ZAYD JUMU'AH ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE YEYE PAMOJA NA WAZAZI WAKE.
https://t.me/duruusabiyZaydTz

Boshqa reja tanlang
Joriy rejangiz faqat 5 ta kanal uchun analitika imkoniyatini beradi. Ko'proq olish uchun, iltimos, boshqa reja tanlang.