uz
Feedback
Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir

Kanalga Telegram’da oβ€˜tish

Born again Christians | Singers | Members of Africa Inland Church Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(AICT) | Chang'ombe - Dar es salaam

Ko'proq ko'rsatish
Mamlakat belgilanmaganDin & MaΚΌnaviyat130 806
641
Obunachilar
Ma'lumot yo'q24 soatlar
Ma'lumot yo'q7 kunlar
Ma'lumot yo'q30 kunlar

Ma'lumot yuklanmoqda...

O'xshash kanallar
Ma'lumot yo'q
Muammo bormi? Iltimos, sahifani yangilang yoki bizning qo'llab-quvvatlash boshqaruvchimizga murojaat qiling>.
Taglar buluti
Ma'lumot yo'q
Muammo bormi? Iltimos, sahifani yangilang yoki bizning qo'llab-quvvatlash boshqaruvchimizga murojaat qiling>.
Kirish va chiqish esdaliklari
---
---
---
---
---
---
Obunachilarni jalb qilish
Aprel '24
Aprel '24
+1
0 kanalda
Mart '24
+13
0 kanalda
Get PRO
Fevral '24
+16
0 kanalda
Get PRO
Yanvar '24
+649
0 kanalda
Sana
Obunachilarni jalb qilish
Esdaliklar
Kanallar
05 Aprel0
04 Aprel0
03 Aprel0
02 Aprel+1
01 Aprel0
Kanal postlari
"Tunatabiri" Subscribe sasa na Bonyeza Kengele πŸ”” ili uwe wa kwanza kubarikiwa na wimbo huu!! https://youtu.be/-TA1VFMYclE?si=8IVjefMrt6AJ5P6m

2
Matn yo'q...
347
3
https://www.youtube.com/watch?v=qzarxPfLFT8 Ushuhuda wa kweli kutoka kwa Mwandishi wa wimbo TUNATABIRI, Minister John Kavishe. Maono / Unabii aliooneshwa na Mungu kutabiri juu ya maisha yake. Ikiwa YESU anaweza kuleta uzima tena kwa mifupa ile iliyokufa, vivyo hivyo anaweza kufufua chochote kilichokufa, kipate uhai tena kwa yeyote ambaye anamwamini. "Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU, wajua wewe. Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.'" Ezekieli 37:1-10 #Tunatabiri #NeemaGospelChoir
325
4
Akaniambia, 'Ewe Mwana wa Adamu, je! Mifupa hii yaweza kuwa hai?' Nikasema, 'Bwana Mwenyezi, wewe pekee ndiwe ujuaye.' Kisha
Akaniambia, 'Ewe Mwana wa Adamu, je! Mifupa hii yaweza kuwa hai?' Nikasema, 'Bwana Mwenyezi, wewe pekee ndiwe ujuaye.' Kisha akanambia, 'Toa unabii kwa mifupa hii, ukaiambie, 'Mifupa miovu, sikieni neno la Bwana! Bwana Mwenyezi asema hivi kuhusu mifupa hii: Nitaijaza roho, nanyi mtakuwa hai.'" Ezekieli 37:1-10 TUNATABIRI - Neema Gospel Choir x John KavisheπŸ”₯ Video ya wimbo huu itapatikana Youtube na Digital Platforms zoteπŸ™ŒπŸ½ 06 MARCH - 2024 Saa 7 Mchana πŸ”₯πŸ”₯ #Tunatabiri #NeemaGospelChoir #VictoriousJourney
291
5
πŸŽ‰ Asanteni kila mmoja kwa kutusaidia kufikia hatua kubwa sana: wafuasi 100,000 kwenye YouTube! πŸ™Œ Msaada wenu unamaanisha me
πŸŽ‰ Asanteni kila mmoja kwa kutusaidia kufikia hatua kubwa sana: wafuasi 100,000 kwenye YouTube! πŸ™Œ Msaada wenu unamaanisha mengi kwetu na unachochea shauku yetu ya kusambaza furaha ya muziki wa Injili. Hapa ni kwa safari nzuri mbele pamoja! 🎢✨ Tunaendelea Kunyenyekea Zaidi magotini pa Mungu 😭😭😭😭😭 Kama Bado hujatufuatilia unaweza kutufuatilia sasa: https://www.youtube.com/@NeemaGospelChoir ---- πŸŽ‰ Thank you to each and every one of you for helping us reach an incredible milestone: 100k subscribers on YouTube! πŸ™Œ Your support means the world to us and fuels our passion for spreading the joy of gospel music. Here's to the amazing journey ahead together! 🎢✨ NeemaGospelChoir #100kSubscribers #ThankYou
409
6
Matn yo'q...
345
7
https://youtu.be/AwXP9okjjbE?si=nwgOMfjuV9xu6imf Ameahidi, _*"MEMA YATAKUJIA - ISHI NDANI YAKE - UTAREJESHEWA VYOTE"*_ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️
332
8
https://youtu.be/AwXP9okjjbE?si=4_shC-7Ty-UiH0I9
334
9
https://youtu.be/AwXP9okjjbE?si=qRz5uX1nyf-RkNVC
303
10
https://youtu.be/AwXP9okjjbE?si=KUkFrXv5vx4t1zT_ KESHO - Jumatano 14 Feb 2024 Saa Saba Kamili Mchana (13:00) Wimbo huu utakuwa Released katika Digital Platforms zote. Subscribe Youtube sasa! Ubarikiwe sana! #nikurejeshee #neema #neemagospelchoir #gospel #gospelmusic #music #video #youtube
371
11
NIKUREJESHEE - OFFICIAL LIVE VIDEO RELEASE! Kaa tayari kupokea Baraka hizi! Jumatano 14 Feb 2024 Saa Saba Kamili Mchana (13:0
NIKUREJESHEE - OFFICIAL LIVE VIDEO RELEASE! Kaa tayari kupokea Baraka hizi! Jumatano 14 Feb 2024 Saa Saba Kamili Mchana (13:00) Wimbo huu utakuwa Released katika Digital Platforms zote. Subscribe sasa!! https://youtube.com/@NeemaGospelChoir?si=TEqRoW4r52ZgC2rk Ubarikiwe sana! #nikurejeshee #neema #neemagospelchoir #gospel #gospelmusic #music #video #youtube
367
12
NIKUREJESHEE - OFFICIAL LIVE VIDEO RELEASE! Kaa tayari kupokea Baraka hizi! Jumatano 14 Feb 2024 Wimbo huu utakuwa Released k
NIKUREJESHEE - OFFICIAL LIVE VIDEO RELEASE! Kaa tayari kupokea Baraka hizi! Jumatano 14 Feb 2024 Wimbo huu utakuwa Released katika Digital Platforms zote. Subscribe sasa!! https://youtube.com/@NeemaGospelChoir?si=TEqRoW4r52ZgC2rk Ubarikiwe sana! #nikurejeshee #neema #neemagospelchoir #gospel #gospelmusic #music #video #youtube
350
13
https://youtu.be/P8koCqEcu-M 🎡 π—‘π—Άπ—Έπ˜‚π—Ώπ—²π—·π—²π—²π˜€π—΅π—²π—² 🎢 ✨ Ninakualika ujiunge na channel yetu ya YouTube ambapo tutashiriki nanyi wimbo mzuri *"Nikurejeshee"* Hakika wimbo huu utagusa moyo wako na utabarikiwa.
337
14
πŸ“½οΈπŸ“½οΈπŸ“½οΈ πŸ—“οΈπŸ—“οΈπŸ—“οΈ 14 February 2024 Siku ya pekee sana kupokea Baraka za Upendo wa Kristo kupitia wimbo huu Yaani ni ile Her
πŸ“½οΈπŸ“½οΈπŸ“½οΈ πŸ—“οΈπŸ—“οΈπŸ—“οΈ 14 February 2024 Siku ya pekee sana kupokea Baraka za Upendo wa Kristo kupitia wimbo huu Yaani ni ile Heri iliyoovutwa muda mrefu na subira Kaa tayari _Save the Date_ Subscribe Sasa: https://www.youtube.com/@NeemaGospelChoir #neemagospelchoir #neemagospel #gospelmusic #youtube #music #gospel
427
15
https://youtu.be/fhzmbXrveWI?si=vpP5wY52edd5KGU0
459
16
Tuanze na Wimbo Upi? (3)
244
17
Tuanze na Wimbo Upi? (2)
239
18
Tuanze na Wimbo Upi?
232
19
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Kaa tayari kupokea Nyimbo 28 ambazo tulifanikiwa kumtukuza Mungu kwazo Usiku ule wa Ushindi #π•πˆπ‚π“πŽπ‘πˆπŽπ”π’ π‰πŽπ”π‘ππ„π˜ Kwa Neema ya Mungu PUNDE zitaanza kupatikana YOUTUBE! ❓❓❓ Je, uko tayari kupokea Baraka ya nyimbo hizi? ❓❓❓ Unadhani tuanze kurelease wimbo upi kati ya hizi? *πŸ”—SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU SASA.* https://youtube.com/@NeemaGospelChoir
222
20
+1
Matn yo'q...
224