uz
Feedback

Firibgarlarga uchmang! Telemetrio bunday kanallarni topadi va belgilaydi 👉 Belgini ko‘rmoqchi bo‘lsangiz, obuna bo‘ling 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Kanalga Telegram’da o‘tish

Get the latest news,videos,and more everyday.

Ko'proq ko'rsatish
1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
Kitu gani kinakujia akilini..😀😀
Kitu gani kinakujia akilini..😀😀

Watoto 12 wa Mzee Mwinyi (6 wa kiume,6 wa kike) watajwa kwenye Wasifu wake, na Mambo Mengine Video ipo kwenye link..follow in
Watoto 12 wa Mzee Mwinyi (6 wa kiume,6 wa kike) watajwa kwenye Wasifu wake, na Mambo Mengine Video ipo kwenye link..follow instagram akaunti...>>https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

LALA salama
+3
LALA salama

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+2
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

Ungekua wewe ungeokota
Ungekua wewe ungeokota

photo content
+4

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia Februry 29,2024 saa 11:30 Jioni katika Hospital
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia Februry 29,2024 saa 11:30 Jioni katika Hospitali Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu kwa ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza msiba huo ambapo amesema Mzee Mwinyi alikuwa akipatiwa matibabu tangu November 2023 London Uingereza na baadaye kurejea Nchini na kuendelea na matibabu Mzena Hospital. Rais Sami ametangaza siku saba za maombolezo kuanzia leo kufuatia kifo hicho. ...

photo content
+3

RAIS Mstaafu na aliyekuwa mpenzi wa michezo, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam akiwa ana umri wa miaka 98 baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda. Mwinyi aliyezaliwa Mei 8, mwaka 1925 eneo la Kivure, mkoani Pwani alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka Novemba 5 mwaka 1985 akichukua nafasi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi Novemba 23 mwaka 1995 alipomuachia madaraka, Benjamín William Mkapa, wote marehemu. Awali alikuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzíbar kuanzia Januari 30 mwaka 1984 akichukua nafasi ya Aboud Jumbe Mwinyi hadi Oktoba 24 mwaka 1985 alipomuachia Idris Abdul Wakil, wote marehemu pia. Enzi za uhai wake, Mwinyi alikuwa mpenzi wa michezo aliyehudhuria matukio mengi ya michezo ukiwemo mchezo wa marudiano wa Fainali Kombe la CAF baina ya Simba SC na Stella Adjamé ya Ivory Coast Novemba 27 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Simba ilifungwa 2-0 ikitoka kutoa sare ya bila mabao Novemba 14 Jijini Abidjan. Baada ya mchezo huo, Alhaj Mwinyi alikasirishwa na matokeo hayo na kusema; Tanzania ni kichwa cha Mwendawazimu’ kwenye michezo ambacho kila mmoja anajifunzia kunyoa. Alhaj Mwinyi alihudhuria mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na Coffee ya Ethiopia Mei 9 mwaka 1998 Uwanja huo huo wa Taifa kabla ya kubadilishwa jina na kuwa Uhuru. Yanga ilishinda 6-1 na kufuzu Robó Fainali iliyochezwa kwa mfumo wa makundi kwa ushindi wa jumla wa 8-3, kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza Aprili 26 Jijini Addis Ababa. Baada ya mchezo huo, Alhaj Mwinyi kwa furaha akasema añafuta kauli yake ya Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo. Kwenye Sanaa, utamaduni na burudani Alhaj Mwinyi aliunga mkono pia na inakumbukwa mwaka 1992 alimpokea Mfalme wa muziki wa PoP, Michael Jackson, naye marehemu pia katika ziara yake nchini na wakafanya mazungumzo. Pumzika kwa amañi Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amín. Inna lilah wainna ilayh rajiuun.

Mama Regina Lowassa ambaye ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi
Mama Regina Lowassa ambaye ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi Mikocheni mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha kiongozi huyo aliyekuwa Rais wa Pili wa Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akiwa nyumbani kwa Baba yake Rais mstaafu wa Tanzan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akiwa nyumbani kwa Baba yake Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi Mikocheni, Dar es Salaam, ambaye alifariki dunia Februari 29, 2024 katika hospitali Mzena, Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Dkt. Mwinyi anaongoza wanafamilia na waombolezaji wengine katika shughuli za kumuaga kiongozi huyo ambaye leo ataagwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Rais Mwingi amkipokea pole ya Rais Mstaafu Kikwete Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali
Rais Mwingi amkipokea pole ya Rais Mstaafu Kikwete Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana tarehe: 29 Februari 2024.

Nimepata taarifa kwa uzuni mkubwa kuhusu kifo cha mmoja wa viongozi wakuu wa taifa letu, H.E. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili
Nimepata taarifa kwa uzuni mkubwa kuhusu kifo cha mmoja wa viongozi wakuu wa taifa letu, H.E. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. H.E. Ali Hassan Mwinyi hata kumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania, siasa na diplomasia ya kikanda. Natoa pole kwa familia na Watanzania katika kipindi hiki kigumu. Inna Lillahi wa inna ilayhi raaji’un 🤲🏽

Tutazienzi nasaha zako Mzee Mwinyi Viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Waziri wa Ardhi, Nyumba na
+2
Tutazienzi nasaha zako Mzee Mwinyi Viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa, Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima wakiwa nyumbani kwa Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi Mikocheni mkoani Dar es Salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha kiongozi huyo. ✍️ @dixonmushi 📸 @said_pichadunia

"Sina siku nyingi ya kuiacha dunia, sitaki ninakoenda niache aibu nyuma yangu. Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwen
"Sina siku nyingi ya kuiacha dunia, sitaki ninakoenda niache aibu nyuma yangu. Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni, basi eeh ndugu yangu uwe hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa, hilo ndilo ninaloliomba." - Rest in Peace, Ali Hassan Mwinyi (1925-2024)

MZEE MWINYI NA KANISA, MZEE MWINYI NA DR MOSES KULOLA. TUMEPOKEA TAARIFA ZA KULALA KWA MZEE WETU, RAIS MSTAAFU DR ALI HASSAN
MZEE MWINYI NA KANISA, MZEE MWINYI NA DR MOSES KULOLA. TUMEPOKEA TAARIFA ZA KULALA KWA MZEE WETU, RAIS MSTAAFU DR ALI HASSAN MWINYI. Tunatoa Pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Watanzania wote, Mzee wetu Dr Mwinyi atakumbukwa na Kanisa, pamoja na Wanafamilia ambapo alikubali kutumiwa na Kristo kama sehemu ya Usuluhishi wakati wa kipindi kigumu cha Migongano ya Kanisa letu (E.A.G.T na T.A.G) wakati wa Mzee Kulola, lakini pia Alihusika Katika Uharakishwaji wa Usajili wa Kanisa la E.A.G.T ili kumaliza Mgogoro. Anakumbukwa kama Rafiki wa Kanisa letu na Rafiki wa Karibu wa Mzee Moses

Mhitimu aumbuka baada ya makopo ya shepu bandia kusololoka akiwa bize kutafta pozi la picha ili kuwarusha roho wanamitandao.
Mhitimu aumbuka baada ya makopo ya shepu bandia kusololoka akiwa bize kutafta pozi la picha ili kuwarusha roho wanamitandao.