uz
Feedback

Firibgarlarga uchmang! Telemetrio bunday kanallarni topadi va belgilaydi 👉 Belgini ko‘rmoqchi bo‘lsangiz, obuna bo‘ling 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Kanalga Telegram’da o‘tish

Get the latest news,videos,and more everyday.

Ko'proq ko'rsatish
1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

"Ajitokeze hata wa ndoa ya mkeka jamani" amekaririwa akisema Mwigizaji wa filamu Tanzania, Blandina Chagula maarufu Johari. T
"Ajitokeze hata wa ndoa ya mkeka jamani" amekaririwa akisema Mwigizaji wa filamu Tanzania, Blandina Chagula maarufu Johari. Toa maoni yako

Lazy Lagoon Island Bagamoyo Tanzania ❤️
Lazy Lagoon Island Bagamoyo Tanzania ❤️

Baada ya urithi alierithi juu amefanya ukarabati upande wake tu bila kumshirikisha mwenziwe, ndugu wa chini anasema yeye anat
Baada ya urithi alierithi juu amefanya ukarabati upande wake tu bila kumshirikisha mwenziwe, ndugu wa chini anasema yeye anataka kuvunja ya kwake ili ajenge upya😂 😃😃 . . From 👉 Mwijaku 😅😅😅😅😅😅😅

⚠️🥰 Superstar Celine Dion(55) ashitukiza katika tuzo za Grammy 2024 na kuibua furaha kwa mashabiki katikati ya taarifa zilio
+1
⚠️🥰 Superstar Celine Dion(55) ashitukiza katika tuzo za Grammy 2024 na kuibua furaha kwa mashabiki katikati ya taarifa zilioenea kwa miezi kadhaa kuwa afya yake sio nzuri sababu ya kuugua stiff-persons syndrome ugonjwa ambao bado hauna tiba Celine aliyetamba na nyimbo mbalimbali, kwa msaada wa mwanae wa kwanza wa kiume mwenye miaka 23, alipanda jukwaani kukabidhi tuzo ya albamu bora ya mwaka ambayo mshindi ni Taylor Swift(34) kupitia albamu ya Midnight, ushindi ambao umemfanya aweke rekodi ya kipekee kwa kushinda kipengele cha albamu bora ya mwaka kwa mara ya nne Celine alishinda tuzo hizo katika kipengele hicho miaka 27 iliyopita, na wakati jana alipopanda jukwaani kumkabidhi Taylor Swift tuzo yake alitumia muda huo pia kuwashukuru mashabiki kwa kuwaambia anawapenda pia Picha zaidi kwenye comments section

⚠️🥰 Barnaba akiwa na Raya mke wake wa sasa pamoja na Mama Steve ambaye ni mzazi mwenzie baada ya kwenda kumtembelea mtoto wa
⚠️🥰 Barnaba akiwa na Raya mke wake wa sasa pamoja na Mama Steve ambaye ni mzazi mwenzie baada ya kwenda kumtembelea mtoto wao shuleni Mama Steve ana maisha yake mengine baada ya kuolewa na mwanaume mwingine

⚠️😳 Mama Dangote na Esma kwenye muonekano mpya wa kibabe
⚠️😳 Mama Dangote na Esma kwenye muonekano mpya wa kibabe

⚠️😳🥰 Rayvanny akiwa na Bose Ogulu ambaye ni mama mzazi wa Burna Boy katika tuzo za Grammy 2024 zilizofanyika Los Angels Mar
⚠️😳🥰 Rayvanny akiwa na Bose Ogulu ambaye ni mama mzazi wa Burna Boy katika tuzo za Grammy 2024 zilizofanyika Los Angels Marekani usiku wa kuamkia leo "Mama ni mama, sikujua kama una upendo huo kwa muziki wa Tanzania" - ameandika Rayvanny katika picha husika Katika kazi zake za muziki, Burna Boy anasimamiwa na mama yake mzazi huyo ambaye ni msomi aliyekuwa akifundisha chuo kikuu kisha kuachana na ufundishaji ili kujikita katika biashara pamoja na kuwa meneja wa vipaji ikiwemo kumsimammia mwanae ambaye tayari ana mafanikio makubwa

SITAKI KUOA MWANAMKE ALINIDHALILISHA "ALIKAMWE" " Baada ya kumaliza chuo, nilipata mwanamke ambaye alikuwa anajiweza kiuchumi
SITAKI KUOA MWANAMKE ALINIDHALILISHA "ALIKAMWE" " Baada ya kumaliza chuo, nilipata mwanamke ambaye alikuwa anajiweza kiuchumi. Alinipenda nami nikampenda tukawa tunaishi wote kama mme na mke. Nikamtambulisha nyumbani, nikajitambulisha kwao pia. Baada ya mda, alinifukuza ndani kama mwizi, sikuwa na sehemu ya kukaa, mizigo yangu yote alitupa nje. Nilimpigia rafiki yangu akanipatia hifadhi nikawa nalala kwake. Mungu mkubwa, nikapata kibarua Azam nikawa najitolea hatimaye nikapata sehemu ya kuishi. Kama wanaume wote wataoa basi nitakuwa wa mwisho kuoa. Siyo kesho wala kesho kutwa swala la kuoa msahau kabisa. Kijana hakikisha unajitafuta kabla ya kuwa na mwanamke. Utanishukuru" Alkamwe #halisimedia

"Unaweza ukawa mzuri sana lakini ukanyimwa roho nzuri, unaweza ukawa na nyota ya kuwaka sana lakini ukakosa Bahati. Unaweza k
"Unaweza ukawa mzuri sana lakini ukanyimwa roho nzuri, unaweza ukawa na nyota ya kuwaka sana lakini ukakosa Bahati. Unaweza kupata mali lakini ukakosa Utu, unaweza ukapata umaarufu lakini ukanyimwa Maarifa, unaweza ukapata Uongozi nafsi yako ikalewa sifa"- Rammy Galis

Ya Patrick Kanumba na mpenziwe ambaye ameamua kumficha ili wanyakuzi wasimnyakuwe.
Ya Patrick Kanumba na mpenziwe ambaye ameamua kumficha ili wanyakuzi wasimnyakuwe.

Mwijaku ashindwa kuzuia hisia zake jinsi anavyousubiri udaku wa Hamissa Mobetto na Mange Kimambi.
Mwijaku ashindwa kuzuia hisia zake jinsi anavyousubiri udaku wa Hamissa Mobetto na Mange Kimambi.

"Ukipewa nafasi ya kumtangaza mpenzi wako hakikisha huyo mpenzi una uhakika nae kwamba mtakufa na kuzikana, hizi kauli za kuf
"Ukipewa nafasi ya kumtangaza mpenzi wako hakikisha huyo mpenzi una uhakika nae kwamba mtakufa na kuzikana, hizi kauli za kufa na kuzikana mimi nilishaambiwa sana lakini leo nakufa peke yangu wenyewe wanazikana huko😭😭😭💔. Ogopa sana wanawake wa Dar es salaam wanaobandika kucha juu ya kucha, kope juu ya kope, mwanamke anayebandika nywele juu ya nywele huyo haogopi kubandika mwanaume juu ya mwanaume mwingine" "Mimi sikuwa king'asti kwa Dida kwasababu najua kujitaftia, tatizo la hii nchi ukishakuwa mwanaume mzuri, mtanashati, unapendeza, unanukia, mweupe basi jiandae kuitwa chok* au king'asti, wanaume wakiona unanukia umewazidi kupendeza wanashikwa na wivu lazima tu watakuita hayo majina"- Amejitetea Mr Nana baada ya kutoswa na Dida Shaibu

Unadhani Mange Kimambi amemlipa Hamissa Mobetto kiasi gani cha pesa mpaka amekubali kufunguka? Pichani ni Hamissa Mobetto na
Unadhani Mange Kimambi amemlipa Hamissa Mobetto kiasi gani cha pesa mpaka amekubali kufunguka? Pichani ni Hamissa Mobetto na Mange Kimambi wakiwa kwenye mahojiano mazito ambapo kwa mujibu wa Mange ni kwamba Hamissa amefunguka kila kitu kuanzia matatizo yake na Diamond Platnumz, baba halali wa mtoto wale Dylan, kwanini wamefutiana picha na Kevin Sowax. Ikumbukwe Hamissa Mobetto ni miongoni mwa mastaa wakubwa na wachache Tanzania ambao huwa hawapendi kuanika mambo yao, ni mara nyingi Hamissa amekumbana na changamoto lakini kamwe huwa sio mwepesi wa kuzianika kwenye vyombo vya habari, kwahiyo kama ataamua kufunguka basi atakuwa amewapa faida watu wengi ambao walishakata tamaa kuyajua mambo nyeti ya Hamissa Mobetto.

Tabu Mtingita amelivalia njuga suala la Chanuo ambapo ameahidi kumsaidia kwa kumpa michongo ya hapa na pale ili aweze kuinuka
Tabu Mtingita amelivalia njuga suala la Chanuo ambapo ameahidi kumsaidia kwa kumpa michongo ya hapa na pale ili aweze kuinuka kiuchumi.

"Kuwa na rasta sio shida ukiwa na Mungu, kama Mungu angeona kuwa na nywele ni Dhambi basi wote tungekuwa vipara tu"- Guardian
"Kuwa na rasta sio shida ukiwa na Mungu, kama Mungu angeona kuwa na nywele ni Dhambi basi wote tungekuwa vipara tu"- Guardian, Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya ameyasema hayo akiwa kanisani kwa Prophet Malisa jijini Dar es salaam

photo content

PENZI LA HAMISSA MOBETTO NA KEVIN SOWAX LAMOMONYOKA Kwa hasira Kevin Sowax anayefahamika kama mpenzi wa Hamissa Mobetto amefuta picha zote alizowahi kuposti akiwa pamoja na Hamissa, vivyo hivyo kwa upande wa Hamissa Mobetto pia amefuta picha zote walizowahi kupiga na jamaa huyo ambaye baada ya kutambulishwa na Mobetto, alijizolea umaarufu mkubwa na utitiri wa followers.

Leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Jaji Mkuu wa Shindano la kutafuta Vipaji Tanzania la Bongo Star Search (BSS), Madam Rita. Mi
Leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Jaji Mkuu wa Shindano la kutafuta Vipaji Tanzania la Bongo Star Search (BSS), Madam Rita. Miongoni mwa Wasanii wa Bongo Flava waliopitia kwenye Shindano hili ni pamoja na Peter Msechu, Phina, Kala Jeremia, Kayumba, Harmonize ambaye alitolewa mapema (hatua za kwanza) na mengineyo. Kheri ya kuzaliwa kwake na hongera kwa kuongeza mwaka mwingine au kutimiza miaka kadhaa.