E-PLUS MEDIA
Kanalga Telegram’da o‘tish
Get the latest news,videos,and more everyday.
Ko'proq ko'rsatish1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

“Kaka angu Stamina baadhi ya raia wanamkaanga sana wakimsema Uandishi wake (Word Play) kuwa ni wa kitoto. Binafsi napenda anachokifanya coz mbona tuna Rappers wengi tu wana Uandishi wao sio tu ni wa kitoto”
“But haueleweki yani hata ukimuuliza hapo ulitaka ku-Address nini hawezi kuwa na jibu coz haandiki uhalisia wowote yeye anachozingatia ni neno hili lina “Kina” fulani anatafuta lingine anasindikiza na neno linaloendana na kina hiko, hata kama sentesi haitaleta maana” - ameandika Roma Mkatoliki akiwajibu wanaomponda Swahiba wake Stamina kwa uandishi wake wa nyimbo zake.
Toa maoni yako
1 307
Orodha ya Nchi zinazozunguza zaidi lugha ya kiswahili barani Afrika na Dunia kwa ujumla.
1. Tanzania 🇹🇿
2. Kenya 🇰🇪
3. DR. Congo 🇨🇩
4. Uganda 🇺🇬
5. Burundi 🇧🇮
6. Malawi 🇲🇼
7. Zambia 🇿🇲
8. Comoros 🇰🇲
9. Mozambique 🇲🇿
10. Rwanda 🇷🇼
11. Somalia 🇸🇴
12. Sudan Kusini 🇸🇸
📷Tanzanie 🇹🇿
1 307
"Nipo kwenye umri ambao sasa naelewa kwanini watu huwa wanapiga magoti na kuomba huku wakilia kanisani "- Aunty Ezekiel, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni
1 307
"Kama ambavyo tayari mimi nimeshaolewa na nina mtoto na huyu mume wangu wa sasa, natamani marafiki zangu Irene Uwoya na Wema Sepetu nao waolewe wapate kusitirika, umri unaenda na hawajaionja raha ya ndoa" - Shamsa Ford, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mke wa Mwigizaji wa filamu, Mlilo.
Toa maoni yako
1 307
Msanii nyota wa muziki wa Singeli Nchini Tanzania, Dulla Makabila amekiri kuwa tangu atamke hadharani kuwa hajafunga Mwezi Mtukufu wa Ramadan na kwamba akiwekewa milioni mia moja (100) na Quran atachagua milioni mia moja (100) hana jeuri ya kuacha pesa kisa Mwezi Mtukufu, Makabila amesema tangu atamke maneno hayo mambo yake yamekuwa yakienda vibaya tofauti na alivyotarajia yake, mikosi ya rejareja ambayo inamfanya baadhi ya kazi zake za kimziki alizotakiwa kufanya kwenye kipindi hiki cha mfungo kukwama.
ikiwa ni muendelezo wa mikosi kwenye maisha yake, kupitia ukurasa wake wa Instagram Dulla ameelezea jinsi alivyopata ajali mbili siku ya jana na leo.
"Jana tulikuwa na show Tanga wakati tunaenda njiani tulipata ajali na alphard ikaharibika tukaiacha Tanga, leo tena wakati tunarudi tumechukua gari nyingine kwa ajili ya kuwahi ndege ya mchana maana kesho tuna show ya mkesha wa mwenge Moshi, tumefika Bunju tumepata ajali tena"- ameandika Dulla Makabila kupitia ukurasa wake
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK