E-PLUS MEDIA
Kanalga Telegramβda oβtish
Get the latest news,videos,and more everyday.
Ko'proq ko'rsatish1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
1 307
Msemaji wa YANGA SC, #AliKamwe, amewaomba mashabiki wa Yanga kuwa, Siku ya Jpili Asubuhi kila mmoja abebe chapati zake, Maandazi yake, pamoja na vitumbua vyake aje navyo pale jangwani Kwani #Supu wanatoa free
"Jpili kila Mwana Yanga aje na vitumbua vyake, maandazi pamoja na chapati yake, supu tunatoa free.. na Siku hiyo asubuhi wakati supu inapikwa kutakuwa na matembezi kidogo ya hisani, tutaanza pale jangwani na Tutatembea mpaka Msimbazi mataa then tutarudi .. na tukiwa njiani tutakuwa tunawasalimia kila tutakaye kutana naye njiani.. na tukirudi jangwani tutakula supu mana tumechinja Ng'ombe 10 na ng'ombe mmoja tunawalisha watu zaidi ya 600.. na tukiamua tupeleke mkwakwani Kote wangekunywa Supu na Jpili nyie njoeni na Vitafunywa mabakuli yote yapo". .. amesema ali kamwe
Vipi Jpili utabeba Chapati Ngapi.. ? Dondosha Comment
1 307
CR BELOUIZDADπ©πΏ Vs YANGA SC πΉπΏ
Baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union,Wananchi hawatacheza tena mchezo mwingine wowote mpaka Novemba 24 dhidi ya CR BELOUIZDAD ya nchini Algeria π©πΏ
Mchezo huo utakuwa wa kwanza kwa Yanga wa makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Yanga wataanzia ugenini huko nchini Algeria π©πΏ...
we are the champion
1 307
#SUPATECH: Bilionea namba moja ulimwenguni Elon Musk, kupitia kampuni yake ya ''Neuralink'' wanatafuta watu ambao watakuwa tayari kujitolea ili kufanyiwa upasuaji wa kichwa kwa ajili ya kupandikizwa ''chip'' kwenye ubongo.
Mfumo huu wa ''Neuralink'' unahusisha kuondoa kipande kidogo cha fuvu kwenye kichwa cha mgonjwa aliyekumbwa na maradhi ya kiharusi, na kupachika mfumo huu kupitia kifaa maalumu ili kusudi kimsaidie kurejesha hali ya uwezo wa kufikiri kama kompyuta.
Ijapokuwa kwa wagonjwa wa kiharusi kwa sasa wanatumia mfumo wa ''brainβcomputer interface (BCI)'' ambao unaunganishwa na fuvu la kichwa kwa msaada wa Akili mnemba (A.I) ambao unamuwezesha mgonjwa kuwasilisha mawazo yake kwa mfumo wa sauti.
Na mfumo huu kwa sasa unamuwezesha mgonjwa kuzungumza maneno 78 kwa muda wa dakika moja, lakini wanapanga kufanyia maboresho kumuwezesha mgonjwa kuzungumza maeneno 150 kwa lisaa.
Bado haijafahamika kama mfumo wa ''Neuralink'' utaweza kumsaidia mgonjwa zaidi ya mfumo huu wa Akili mnemba kupitia (BCI) pengine tusubiri matokeo ya majaribio yatasema nini kuhusu mfumo huu.
Kwa mujibu wa wavuti wa Fox unaeleza watu wanaohitajika kwa ajili ya kujaribiwa kwenye mfumo huu wa ''Neuralink'' wanatakiwa
* Awe chini ya umri wa miaka 40.
* Mwenye kusumbuliwa na kiharusi.
*Utayari wa mtu mwenyewe.
Picha: viniloblog.com
#SupaTech #EastAfricaTv #EastfricaRadio
1 307
Mchezaji wa klabu ya Adelaide United ya Nchini Australia, Nestory Irankunda, anatarajiwa kusajiliwa na Bayern MΓΌnchen mwaka 2024 kwa thamani ya Pauni Milioni tatu (3).
Ikumbukwe kwamba Irankunda ni kijana aliyezaliwa Mkoani Kigoma (Kambini) Februari 9,2006 ila ni Raia wa Australia kwa sasa.
Toa maoni yako
1 307
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imesema imebaini kuwa hapa nchini Watu wasio waaminifu huchanganga bangi aina ya skanka kwenye vyakula kama biskuti, jam, juisi, tomato sauce pia kwenye sigara na shisha ili kurahisisha uuzwaji wa dawa hizo kwa kificho na kuongeza idadi ya Watumiaji wa dawa za kulevya hivyo imewaonya Watanzania hususani Wanafunzi kuwa makini na vyakula hususani bisktuti maarufa kama cookies.
Akiongea leo November 08,2023 Jijini Dar es salaam, Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas James Lyimo amesema
Hapa nchini Watu wasio waaminifu huchanganga skanka kwenye vyakula kama biskuti, jam, juisi, tomato sauce pia kwenye sigara na shisha ili kurahisisha uuzwaji wa dawa hizo kwa kificho na kuongeza idadi ya Watumiaji wa dawa za kulevya hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya vyakula hivyo hupendwa zaidi na Watotoβ
βNitoe wito kwa Wanafunzi wote wa Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo kuwa makini na vyakula wanavyovitumia hususani biskuti maarufu kama cookies na kuacha kufuata mikumbo isiyofaa ikiwemo kutumia vilevi na vitu wasivyovijua hali ambayo inaweza kuwafanya waingie kwenye matumizi ya dawa za kulevyaβ
βNiwahakikishie Wananchi kwamba Mamlaka inaendelea na oparesheni dhidi ya Wafanyabiashara na Wazalishaji wa dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali ili kuhakilisha dawa za kulevya haziendelei kuwepo nchini, wanaoendelea kujihusisha na dawa za kulevya hatua kali zitachukuliwa dhidi yaoβ
#MillardAyoUPDATES
1 307
WATAACHANA TU MI NIPO HAPA JAMANIπ
Hatimaye Beka Flavour amefanikiwa kurudiana na mama mtoto wake Happy,
Inapendeza sana aisee Mungu awalinde wasiachane tenaπ
1 307
Je wajua ππ΅
πHuyu pichani ni daktari alie kuwa anasambaza mikate kwa watoto walio athirika na vita nchini syria alijikuta akilia baada ya mtoto huyo pichani kumuuliza π
"you can give me a medicine so that i won't feel hungry again?"
"unaweza kunipa dawa nisijisikie njaa tena?"
#followme
#SHAREIT
1 307
SINA MAISHA YA SKENDO - ALIKIBA
ALIKIBA amefunguka Sababu Za Kwanini Yeye Imekua Ngumu Sana Kusikika Kwenye Mambo Ya Skendo, Ambapo #KING Ameeleza Kuwa Malezi Pia Yamechangia Kwa Yeye Kuwa Jinsi Ambavyo Alivyo.
-
-
#KING Amesema.........βNadhani malezi yamechangia kuniepusha mimi na skendo, lakini pia skendo zinategemea umewaaminisha nini watu, kwangu ni ngumu mimi kufanya skendo kwasababu skendo sio maisha yangu, watu wamejaribu kunitengenezea lakini mimi na skendo ni tuko mbalimbaliβ
1 307
π πππππ π¨ π π§π¨ π π₯πππ¨ πππππ π‘ππππ‘π π§πππππΉπ©
Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 na yeye ndiye mtu mrefu kuliko wote nchini Tchad πΉπ© ana urefu Wa mita 2.45
1 307
Mfahamu kijana aliyebeti na kupoteza milioni 233
Video imesambaa mitandaoni ikimuonesha Jonathan Kusi wa nchini Ghana, aliyewahi kuhudumu kama mweka hazina wa kanisa akieleza namna alivyopoteza dola za Kimarekani 100,000, sawa na zaidi ya milioni 233 za Kitanzania kupitia michezo ya kubashiri yaani kubeti.
Jonathan ameyaeleza hayo kupitia mahojiano kwenye kituo kimoja cha runinga na kusema hawezi kusahau namna alivyopoteza kiasi hicho cha pesa ndani ya miezi mitatu, fedha ambazo zingine zilikuwa ni za kukopa.
Jonathan alisema masaibu yake yalianza pale alipopoteza zaidi ya shilingi milioni 233 za Kitanzania katika muda wa miezi 3 na kuamua kuwa atafanya lolote lile ili kurejesha pesa hizo.
Jonathan alipoulizwa kama alishawahi kushinda kupitia kubeti alisema kwamba aliwahi na kuongeza kwamba katika kazi ya kubeti watu wengi hupoteza zaidi fedha kuliko jinsi wanavyoshinda fedha
Akizungumzia namna ambavyo amejidhatiti kulipa madeni ya watu amesema, alijaribu kuuza baadhi ya mali zake ikiwemo gari na nyumba ili aweze kulipa madeni.
Aidha Jonathan pia aliwahi kuwa Meneja Mkuu wa moja ya kampuni nchini kwake.
Follow page yangu kwa habari nyingi zaidi π
https://instagram.com/e_plus_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg==
1 307
Wakati mastaa wengi wakisuasua kutaja umri wao, Nandy yeye ameweka wazi umri wake ametimiza miaka 31.
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
Ameandika Simon Patrick (Mwanasheria wa klabu ya Yanga SC).
"Maoni yangu kuhusu Tetesi za Rushwa!
Kwa mujibu wa kifungu na. 15 cha sheria na. 329, kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022, kinasema kutoa na kupokea rushwa ni kosa la jinai na adhabu yake ni faini pamoja na kifungo kuanzia miaka 3 mpaka 5.
Kama mnahisi kuna wachezaji au viongozi walipokea rusha, ni vyema kufuata ushauri wa Mh. Simbachawene leo Bungeni kwenda ofisi za TAKUKURU - Temeke kufungua kesi, kisha kuiandikia TFF na FIFA ili hatua kali zichukuliwe kwa maendeleo ya mpira wetu.
Lakini kumbukeni, kumtuhumu mtu kwa kosa kubwa kama hilo bila ushahidi adhabu yake unaweza kuishia kulipa mabilioni ya fedha kwa reputation damage.
Ushauri wa bure, nendeni mkafungue kesi kama mna ushahidi, kinyume na hapo jipangeni upya mpira ni mchezo wa wazi, nyie sio timu ya kwanza kupigwa 5G msimu huu.
Haiwezekani wachezaji wa kuteka Airport waje wapambane na wachezaji waliofanyiwa scouting.
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox π₯
Toa maoni yako
