uz
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Kanalga Telegram’da o‘tish

Get the latest news,videos,and more everyday.

Ko'proq ko'rsatish
1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
Hapa upewe nini mdau..😀
Hapa upewe nini mdau..😀

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

"Moyo wangu umekuwa mzito zaidi na April unakuwa mwezi wa majonzi zaidi kwangu toka 2024 ianze, tumemaliza mazishi ya my brot
+2
"Moyo wangu umekuwa mzito zaidi na April unakuwa mwezi wa majonzi zaidi kwangu toka 2024 ianze, tumemaliza mazishi ya my brother G Habash juzi kule Rombo, leo napokea taarifa za habari kukatisha uhai wako ghafla ndugu yangu Noel Mwingira (Zuch Zuchero) Tangulia tu ndugu yetu lakini kifo chako kimetuachia majonzi makubwa mnoo, Ayo TV ilituunganisha tukawa familia na hadi unaondoka Ayo TV na kuingia moja kwa moja kwenye ujasiriamali ulibaki kuwa mtu bora sana kwetu familia ya Ayo TV na mara kadhaa kwa mapenzi yako haukusita kuacha shughuli zako na kuchukua matukio unayokutana nayo na kuyawasilisha ofisini Tutakukumbuka sana kwa upendo wako, ucheshi wako kwa wote wanaokuzunguka na kiu yako ya kuutengeneza umoja baina yetu siku zote. Tangulia ndugu yetu Zuch Zuchero tutaonana baadae"- Millard Ayo FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KIFO CHA ZUCHY DIRECTOR HANSCANA ATOA OMBI KWA MKUU WA MKOA WA DAR Director wa Video za Muziki Hanscana amemuomba Mkuu wa Mko
KIFO CHA ZUCHY DIRECTOR HANSCANA ATOA OMBI KWA MKUU WA MKOA WA DAR Director wa Video za Muziki Hanscana amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kulishughulikia suala la Uzembe uliofanywa na Jeshi la Polisi Mbezi, akisisitiza kuwa ni ‘Mbaya Sana’ “Polisi kama ni kweli mlipigiwa simu na mkasema hamna mafuta kwenda eneo la tukio, mbona ikifika saa sita hamchelewagi kufunga bar, hii inasikitisha sana, ni wajibu wenu kulinda RAIA na MALI ZAO. Kama ni kweli inafaa muwawajibishe wahusika hii ni mbaya sana, Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam hii ipo ndani ya uwezo wako hii tunaomba msaada” - Director Hanscana via Instagram #RIPZuchy Zuch Zuchero Ambae alikuwa ni Mpiga Picha wa MILLARDAYO amefariki usiku wa kuamkia leo kwenye ajali iliyohusisha Bodaboda aliyokua amepanda kugongwa na gari huku mvua kubwa ikiwa inanyesha wakati wa ajali hiyo maeneo ya mataa ya Masana, Mbezi, Dar es Salaam. follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaidi 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

POLISI WALAUMIWA KIFO CHA MPIGA PICHA WA MILLARDAYO Kutoka Kwa Mtangazaji wa Ayo TV @vidovidox amepost Nukuu kutoka Kwa Baadh
+2
POLISI WALAUMIWA KIFO CHA MPIGA PICHA WA MILLARDAYO Kutoka Kwa Mtangazaji wa Ayo TV @vidovidox amepost Nukuu kutoka Kwa Baadhi ya Mashuhuda ambao walikuwepo Katika Ajali Iliyotokea Usiku wa Jana na Kuelekea Kifo Cha Mpiga picha wa MILLARDAYO Ambae Anaitwa Zuchy Fungua Picha then soma Ujumbe FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

MWANANGU NIMEMPITA KABISA BARABARANI MBEZI "WOZZU" Msanii wa Bongofleva Whozu Ameandika Katika Ukurasa wake wa Instagram kuwa
MWANANGU NIMEMPITA KABISA BARABARANI MBEZI "WOZZU" Msanii wa Bongofleva Whozu Ameandika Katika Ukurasa wake wa Instagram kuwa ni miongoni mwa watu ambao walipita Katika Barabara Ambayo Ajali ya mpiga picha wa MILLARDAYO ilitokea, ila hakushuka kwenye Gari Kwa sababu hakujua kama aliepata ajali ni Zuchy, Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Ameandika "KIFO 🙌🏼 Dah Kweli usilolijua ni kama usikuwa Giza.,Mwanangu Nimempita kabisa barabarani mbezi makonde saa tisa usiku kalala kifudifudi mvua kali inamnyeshea kmmaammake ila ndo ivyo tena kutokujua..Kumbe pale ndo kashavuta!!?? Hata sielewiiii🥺🥺Af Tulishaanza kuelekezwa kupita upande mmoja kupisha ajali ili kutokuwakanyaga Na haikuwa rahisi na sikujua kwamba ni wewe Zuchy, nakuja kuskia kuwa ni wewe kaka nimeshafika nyumbani, Daaaah roho inaniuma sana 💔💔😔😔😔 Pumzika kwa Amani Mwanangu 🙏🏼 @thegoldenface1 Rest Easy bro!🕊️ FULL VIDEO FOLLOW ISTAGRAMA HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

"Nimekuona umelala mwanangu, nakubeba huongei tena😭😭💔 nimewaomba wakuangalie upya labda bado uko hai wanasema umeenda😭😭�
+1
"Nimekuona umelala mwanangu, nakubeba huongei tena😭😭💔 nimewaomba wakuangalie upya labda bado uko hai wanasema umeenda😭😭😭 umelala chini masaa manne mwili wako unanyeshewa tunahangaika, askari wanaitwa wanasema gari haina mafuta, daaah daaah rest Zuchy"- Vidox akimuomboleza mfanyakazi mwenzangu wa Ayo Tv Zuchero ambaye amepata ajali usiku wa kuamkia leo. Maelezo kwa ufupi ni kwamba mpiga picha huyo wa Ayo TV alikuwa amepanda kwenye Bodaboda akielekea kwenye majukumu yake ya kikazi, isivyo bahati yeye na dereva wake wakagongana uso kwa uso na gari ambapo baada ya kugongwa walidondoka chini wakiwa na ahuweni kidogo. Kwa bahati mbaya Zuchy akiwa barabarani akijaribu kujikokota gari lingine likaja kumgonga na kusababisha umauti wake. Dereva Bodaboda aliyekuwa anamuendesha yeye amekimbizwa hospitalini huku mwili wa Zuchy umehifadhiwa mochwari ya mwananyamala. FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Juzi tumetoka kumzika Gardener na Leo tena tumempoteza mpendwa wetu "Zuchy" mpiga picha wa Millard Ayo Pole sana " millard ay
Juzi tumetoka kumzika Gardener na Leo tena tumempoteza mpendwa wetu "Zuchy" mpiga picha wa Millard Ayo Pole sana " millard ayo " na familia nzima ya Ayo tv kumpoteza mpendwa wetu "Zuchy" huu ni wakati mgumu sana kwako Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

Hali Ya Mvua Katika Jiji la Dar es salaam Leo 📸 follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaidi https://www.instagram.com
+3
Hali Ya Mvua Katika Jiji la Dar es salaam Leo 📸 follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaidi https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

"Nisingependa mwanangu, Tiffah awe mwanamuziki, nataka awe msimamizi wa biashara zangu." "Sitaki apitie mateso ninayoyapitia
"Nisingependa mwanangu, Tiffah awe mwanamuziki, nataka awe msimamizi wa biashara zangu." "Sitaki apitie mateso ninayoyapitia mimi, najaribu kumuepusha na mateso haya,"Diamondplatnumz 🗣️ Unadhani Kipi kinamtesa Simba kwenye Muziki? follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KIM JONG UN AZINDUA MAKAZI ELFU 10 YA KIFAHARI WATU WATAISHI BURE Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un Amezindua Mji mpya amba
+2
KIM JONG UN AZINDUA MAKAZI ELFU 10 YA KIFAHARI WATU WATAISHI BURE Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un Amezindua Mji mpya ambao una nyumba zaidi ya 10000 za ghorofa,Barabara, viwanja vya Michezo, parking n.k Nyumba Hizo mpya Ambazo zipo Rimshung Wananchi wataishi Bure Bila malipo ya Kodi Yeyote, na Tayari wakaazi wamehamia kwa furaha katika nyumba Hizo mpya Baada ya uzinduzi. Hii inaakisi dhamira ya Rais huyo katika kuimarisha ubora wa maisha wa Wananchi wa Korea Kaskazini. follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaidi 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Mdau anauliza Kwanini kwenye Hizi Taasisi Mashirika ya Ndege, Mashirika ya Reli, Mabasi, wahudumu Huwa hawaajiri Wanawake Wan
Mdau anauliza Kwanini kwenye Hizi Taasisi Mashirika ya Ndege, Mashirika ya Reli, Mabasi, wahudumu Huwa hawaajiri Wanawake Wanene?? follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaidi 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

HAJI MANARA AWAJIBU WALIODHIHAKI PICHA YAKE I'm Bugatti, mimi ndie nimeheshimisha watu wenye albinism Tanzania na Africa Mash
HAJI MANARA AWAJIBU WALIODHIHAKI PICHA YAKE I'm Bugatti, mimi ndie nimeheshimisha watu wenye albinism Tanzania na Africa Mashariki, zamani mtoto aliezaliwa albinism alionekana kwa namna tofauti na Baadhi ya tamaduni ziliwachukulia kama nuksi Saizi hali ya kunyanyapaliwa kwa watu wenye Ualbino haipo tena kabsa, mtoto akizaliwa anachukuliwa kama watoto wengine katika nyanja zote za kijamii Kuna watu walituchukulia poa sisi, lakini hao ngedere hvi leo huo waliojifanya wamekamilika nawazidi mazuri na ninamiliki mke mzuri pia" Ameandika Bugatti