uz
Feedback

Firibgarlarga uchmang! Telemetrio bunday kanallarni topadi va belgilaydi 👉 Belgini ko‘rmoqchi bo‘lsangiz, obuna bo‘ling 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Kanalga Telegram’da o‘tish

Get the latest news,videos,and more everyday.

Ko'proq ko'rsatish
1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
Mange Kimambi amesema chanzo cha ugomvi kati yake na Zari kilikuwa ni Wema Sepetu. Kwasababu Zari alikuwa rafiki wa Wema kipi
Mange Kimambi amesema chanzo cha ugomvi kati yake na Zari kilikuwa ni Wema Sepetu. Kwasababu Zari alikuwa rafiki wa Wema kipindi Wema yupo kwenye mahusiano na Diamond Platnumz lakini alishangaa kuona baada ya Wema kuachana na Diamond Haraka_haraka Zari alimchukua Diamond Platnumz wakaingia kwenye mahusiano. Mange Kimambi amesema kilichomuumiza zaidi ni kitendo cha Zari kuanza kumdharau Wema kuwa sio hadhi yake, hajui kuvaa anafeki maisha kuanza gari yake, nyumba yake aliyokuwa anaishi vyote vilikuwa feki. Kwasababu Wema sio muongeaji sana Mange aliamua kuuva ugomvi ule akiamini anamtetea mdogo wake. Ndio maana mpaka leo hawezi kumsamehe Zari hata dunia ipinduke mara elfu moja.

“Kwasasa mimi sina mwanaume, na sijawahi kuwa na mwanaume” "Wenzetu wanaolewa lakini sisi wengine tupo tu, muanze kuniombea na mimi niolewe. Niko real lakini mapenzi yana vitu vingi sana na kuna muda yanazidi vitu vingi, mniombee niolewe" "Wasanii wote wa Hip Hop niliofanya nao kazi wanafanya vizuri, sio kweli kuwa Hip haiuzi. Wote niliofanya nao kazi wanapiga hela, nadhani wote wanafanya vizuri. Muziki wa Hip Hop unalipa" "Ninaupenda sana muziki wa Hip Hop, nimewahi kutamani kuwa Rapa japo sijaingia studio kurekodi ngoma yangu. Nimewahi kuchana kwenye wimbo wa Darassa (Shika), nilitisha" "Wasanii wengi wa nje hawana noma ukiwafuata kufanya nao kazi, wanachojali ni ufuate tu taratibu zao za kazi mfano mimi nikitaka kufanya kazi na Beyonce lazima kuna vitu vya kuzingatia unless aamue kunibariki tu, kwa Timbaland haikuwa na ugumu kufanya nae kazi" “Mimi siziwezi kiki, siwezi kufanya kiki, nitaonekana najilazimisha kwasababu mimi sio mtu wa hivyo hicho cha kwanza, pili mimi naishi kwenye uhalisia wa masiha yangu siku zote" "Mimi namkubali tu Alikiba, nampendaa na kila siku nasema. Namkubali kwasababu ni handsome anavutia, ana rangi nzuri lakini namheshimu, napenda muziki wake" - Maua Sama, Msanii wa muziki wa Bongo Tanzania via Planet Bongo. Toa maoni yako

photo content

⚠️😳 "Mwamposa aliniambia Mungu ana kibali na wewe kuna watu wanashindana na wewe ila wewe hushindani nao" - amesema Dr.Kumbu
⚠️😳 "Mwamposa aliniambia Mungu ana kibali na wewe kuna watu wanashindana na wewe ila wewe hushindani nao" - amesema Dr.Kumbuka akihojiwa na Lilian Mwasha Dr.Kumbuka ameongeza kuwa alipotoka tu kanisani kwa Mwamposa alipata kazi aliyokuwa akiifukuzia muda mrefu

⚠️😳🥰 Amuoa mwalimu wake aliyemfundisha secondary Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake
⚠️😳🥰 Amuoa mwalimu wake aliyemfundisha secondary Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake wa sekondari na kusema alishindwa kumsikiliza alipokuwa akifundisha darasani Remy amesema alimchumbia Maombi Jeannette aliyemzidi miaka 12 baada ya kumaliza shule na baadaye kumuoa, licha ya uhusiano wao kupigwa vita na watu wengi Remy amesema anafurahia ndoa yake na mkewe, Maombi na sasa wamebarikiwa kupata watoto wawili. Akifanya mahojiano na chaneli ya Afrimax English, baba huyo wa watoto wawili amesema alishindwa kuzingatia masomo wakati Maombi alipokuwa akifundisha "Nilikuwa najiuliza kama yeye na mimi tunaweza kuwa pamoja. Nilijua ningekabiliana na upinzani mkubwa, ikiwemo umri wake mkubwa kwangu," amesema Remy Credit: Mwananchi

Imamu afukuzwa Ufaransa alikoishi kwa miaka 40 kwa kutajwa kuiita bendera ya nchini hiyo ni ya kishetani isiyomthamini Allah(Mungu), Arudishwa kwao Tunisia Mahjoubi Mahjoubi(52) siku kadhaa zilizopita alisambaa mitandaoni kwa hotuba yake ya kidini iliyodaiwa kujaa uchochezi, itikadi kali za kidini(Jihadi) na chuki dhidi ya jamii ya watu wengine ikiwemo Wayahudi kwa kuwaita maadui, pia hotuba yake ilidaiwa kujaa ubaguzi dhidi ya wanawake kinyume cha taratibu na sheria za Ufaransa, huku Imamu huyo pia akidaiwa kuchochea uasi dhidi ya jamii za kimagharibi Alirudishwa Tunisia tarehe 22 mwezi huu baada ya kibali chake cha kuishi kutenguliwa ikiwa ni saa 12 zimepita baada ya kutiwa nguvuni. Mamlaka za Ufaransa zimesema matamshi yake hayavumiliki na ni rahisi kuja kuchochea vurugu zisizotarajiwa katika taifa hilo ambalo hivi karibuni liliongeza sheria za kuwabana wahamiaji Imamu huyo amekuwa akiishi Ufaransa tangu miaka 1980s, ana watoto 5 ambao ni raia wa Ufaransa ila yeye bado hana uraia wa Ufaransa. Pia ana kampuni inayojishughulisha na mambo ya ujenzi nchini Ufaransa Kwa mujibu wa taarifa, Imamu huyo akiongea amedai kuwa ulimi ulimteleza ila amekana kuitusi bendera ya Ufaransa na jamii ya Wayahudi Imamu ameongeza kuwa atapambana arudi kuishi nchini Ufaransa alikoishi kwa miaka 40 sasa kwani ana familia inayomtegemea na kati ya watoto wake watano wa mwisho yupo kwenye matibabu ya kansa Amesema kupitia mwanasheria wake asipofanikiwa kupata haki katika mahakama nchini Ufaransa, atakata rufaa kwenda kufungua kesi katika mahakama ya haki za binadamu ya muunganiko wa nchi za Ulaya apate haki yake Ufaransa ni moja ya nchi chache za Ulaya zenye wahamiaji wengi wa Kiislamu

photo content

⚠️😭 Mwanafunzi huyo wa Uingereza kwa jina la Dinal(16) ajiua baada ya tapeli wa Nigeria kumtumia picha zake za utupu mtandaoni kisha kumlazimisha kwa maneno makali atoe pesa shilingi 323,000(£100) ili asizisambaze Kijana huyo ambaye pia alikuwa mchezaji mpira wa miguu na rugby katika timu ya shule, baadaye alijirekodi ujumbe kwa ajili ya wazazi wake na wadogo zake wawili kuwaambia anawapenda sana kisha akajiua Kutoa pesa halikuwa tatizo kwake kwasababu alikuwa anasoma moja ya shule za gharama nchini Uingereza na alikuwa moja ya wanafunzi bora katika mitihani ya mwisho kwa kushika nafasi ya kwanza katika somo la Kiingereza na uchumi, ila aliogopa fedheha ya picha zake za utupu kusambazwa bila ridhaa yake kisha watu kuanza kumsema vibaya ndio akajiua Wazazi wake wamesema awali walifurahi sana walipojua kijana wao amekuwa mwanafunzi bora katika somo la Kiingereza na hata somo la uchumi sababu wao wanatokea nchini Sri-Lanka hivyo kifo chake cha ghafla kimewaachia majonzi Baba yake mzazi amesema inawezekana picha zilipigwa na mmoja wa wasichana aliokuwa nao kimahusiano kijana wake kisha zikafika kwenye mikono ya mtu mwingine isiyo salama maana kijana wake alikuwa hamfichi akiwa kimahusiano na msichana flani ila hawawezi kujua ni msichana yupi mmoja wapo alipiga picha Kwa upande mwingine baba yake amesema anaelewa pia kuwa matapeli mitandaoni wana kawaida ya kujifanya wasichana warembo kisha kumtumia mtu picha chafu na kuomba na yeye amtumie na baada ya hapo kumgeuka kumtishia kumtaka atoe pesa pengine hicho ndicho kimempata mwanae ila ni bora angewaambia mapema wao wazazi wajue anachopitia kuliko kujiua Polisi wameshindwa kumpata tapeli husika huku akidhaniwa ameyafanya hayo akiwa Nigeria

photo content

⚠️😳 Zari athibitisha ndoa yake na Shakibu imemomonyokeana Zari akiongea na Millardayo amesema tofauti yake na mume wake huyo
⚠️😳 Zari athibitisha ndoa yake na Shakibu imemomonyokeana Zari akiongea na Millardayo amesema tofauti yake na mume wake huyo zilianza miezi kadhaa iliyopita hadi yeye Zari kufuta picha za Shikib mwezi November mwaka jana na si kama watu wanavyodhani kuwa video ya juzi Zari akiwa ameshikana mikono na Diamond Platnumz ndio chanzo cha yote Zari amesema wameamua kupeana nafasi, huku akisema siku chache zilizopita Shakibu aliweza kupaniki kirahisi kwa kuiona video yake na Diamond maana Zari hakumueleza kabla kuwa ipo kikazi Pia Zari ameweka wazi kuwa mwanamke aliyeonekana na Shakibu katika clip iliyosambaa baadaye ni DJ wa Uganda ambaye alikuwa kwenye mahusiano na Shakibu mwaka 2019, Shakibu aliiachia video kwa blohhers akiwa na ex wake baada ya kuona video ya Diamond na Zari ikisambaa

Jamaa mida hii yuko studio! 🧐🧐 R.I.P Rais Mwinyi
Jamaa mida hii yuko studio! 🧐🧐 R.I.P Rais Mwinyi

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia Februry 29,2024 saa 11:30 Jioni katika Hospital
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia Februry 29,2024 saa 11:30 Jioni katika Hospitali Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu kwa ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza msiba huo ambapo amesema Mzee Mwinyi alikuwa akipatiwa matibabu tangu November 2023 London Uingereza na baadaye kurejea Nchini na kuendelea na matibabu Mzena Hospital. Rais Sami ametangaza siku saba za maombolezo kuanzia leo kufuatia kifo hicho. ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari kuhu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya Saratani ya Mapafu tarehe 29 Februari 2024.

photo content

TANZIA Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia....
TANZIA Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia....

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+6
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Neno moja kwao
Neno moja kwao