E-PLUS MEDIA
Kanalga Telegram’da o‘tish
Get the latest news,videos,and more everyday.
Ko'proq ko'rsatish1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
1 307
⚠️😳🥰 Paula akiificha inayotajwa kuwa mimba ya Marioo katika tukio la sherehe ya Manara na Zaiylisa
1 307
⚠️😳 Mwenye nyumba huyo katika mahojiano mapya alipoulizwa ni kwanini baadhi ya wenye nyumba hukataa kupangisha wanawake walio single, amejibu kwa kusema sio Uafrika
Anasema sio sahihi mwanamke kutafuta nyumba alipe kodi aishi mwenyewe, badala yake atafute mwanaume aolewe aishi chini ya mwanaume
Mtangazaji Olive Emodi, alipomuuliza mwenye nyumba huyo, Je wanawake walio katika ndoa zilizojaa ukatili na unyanyasaji wafanyeje? amejibu kwa kusema "wavumilie" na kuendelea kuwa na mume mnyanyasaji ili mwanamke awe na sehemu ya kuishi chini ya mwanaume
Hata hivyo, majibu ya mwenye nyumba huyo yameibua minong'ono miongoni mwa watu kila mtu anasema lake
1 307
⚠️😳 Tukio la Manara & Zaiylisa: Muonekano wa kiyabisi wa Aunty Ezekiel na muonekano remburembu kutoka kwa Irene Uwoya waibua minong'ono
1 307
***Muuza Vitabu mwenye Umri wa miaka 72 mzee Mohamed Aziz wa Rabat, Morocco, utumia masaa 6 hadi 8 kila siku kusoma vitabu anavyouza na hadi sasa ameshasoma maelfu ya vitabu vilivyoandikwa kwa kifaransa, kiarabu na kiingereza* Yeye ndie muuza vitabu pekee mkongwe jijini rabat na ametumia eneo moja kwa miaka 43 kuuza vitabu bila kuhama.***
***Wakati mwingine amekuwa akiacha vitabu vinalala nje bila uangalizi wowote na alipoulizwa kama haogopi wezi wa vitabu pale anapoviacha bila uangalizi alijibu hivi, " wale wasiojua kusoma vitabu na wale wasiopenda vitabu hawawezi kuiba na wale wasomaji wa vitabu sio wezi kabisa"***
***Je Nini kimekuijia akilini mwako?***
#ElimuKitabu....
1 307
**Mpare hapa ananiuliza; "Ukipewa Tshs Milllion 10 ukae mwaka mzima bila Mwili wako kugusa maji yaani kuoga au kunawa na Usibadilishe Nguo mwaka mzima utakubali?"**
***Kama ni wewe utamjibu nini huyu mpare?**
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
"Nilianza kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 15 na nilifanya na Madebe Lidai baada ya kunitongoza ili niweze kucheza nae movie, ilikuwa mwaka 2009 lakini hata hivyo hatukufanikiwa kutoka kisanaa tulipotezana hadi tulipokuja kukutana tena miaka kadhaa baadae. Tulipokutana tuliendeleza mahusiano yetu nikafanya nae Filamu kadhaa na alinipa kipaumbele kwasababu nilikuwa mtu wake"
"Mimi na Madebe tulifunga ndoa mwaka 2019, mwanzoni ndoa ilikuwa tamu lakini baadae mambo yalianza kubadilika, akawa hanipi kazi tena kwenye kuigiza, akaingiza wivu hata kambini mazoezini nikawa siendi, watu wakinifata kufanya kazi na mimi anawadanganya anawaambia mke wangu hawezi kufanya kazi chini ya milioni tano, anawaambia hivyo kwasababu anajua watashindwa kufika dau kwahiyo nikawa sipati kazi zake wala za wasanii wengine baadae nikajikuta tu nimekuwa mama wa nyumbani"
"Ana wanawake wengi huko kazini ndio maana amenipiga marufuku kwenda mazoezini, huko kuna chumba maalumu cha kupumnzika yeye na mwanamke wake maana hata mimi wakati nipo nae alitenga chumba chetu maalumu, hana utu, ni tofauti na watu wanavyomchukulia huko nje. hana huruma, hadi sasa ameoa wanawake watano na hao wengine wote ameachana nao na nasikia hivi juzi kaniolea mke mwingine"
"Madebe ni mume wangu lakini ananitesa, nimeishi kwenye mateso kwa muda mrefu, nakosa pesa ya kula, sikumbuki ni lini aliacha pesa ya matumizi na huku anajua kabisa nina watoto wake, ananipiga, amenipa talaka mara kadhaa lakini baadae ananiomba msamaha anavunja talaka. Mimi nimechoka lakini naogopa kuondoka nitaaibika. Kuna nyumba yetu ipo Chanika tumejenga wote lakini baada ya nyumba kukamilika akataka amuweke huyo mwanamke wake mpya aliyemuoa"
"Mimi naiomba Serikali kama inanisikia, nipate haki yangu, aniachie nyumba tu yeye aendelee na wanawake zake maana sio mmoja wapo wengi, nimechoka siwezi kwenda kushtaki popote kwasababu watu wanaona kama mimi ndio mgomvi, wanasema hawezi kuwa hivyo kwasababu anawafunda watu kwenye Filamu na hata yeye anajisifia kuwa siwezi kumshtaki popote kwasababu anajulikana na watu wanamuamini"- Chanuo, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni
1 307
RASMI: Nyota wa timu ya Taifa ya Senegal, Cheikhou Kouyaté ameondolewa katika kambi ya timu ya taifa ya Senegal kufuatia kifo cha babake!.
1 307
Nawaambieni ukweli mtupu. Ulaji wa Kitu hiki, soda na kuku wa kisasa unachangia pakubwa kwenye mambo yafuatayo
1. Kuotesha matiti wanaume... utamkuta mwanaume na heshima zake ila ana matiti yananing'inia kama mwanamke.
2. Nyume za wanaume zinakua ndigo kama nukta yaani vinakua vibamia
3. Matatizo ya mvurujiko mkubwa wa vichocheo kwa wanawake
4. Wanawake kua na uke mkavu na kutokwa uchafu ukeni
5. Upungufu wa nguvu za kiume na kike
5. Kiribatumbo, kisukari, presha na matatizo ya moyo
6. Matatizo ya tumbo kujaa gesi mara kwa mara
7. Watoto kubalehe kabla ya muda ,mfano nilishawahi kuona mtoto wa kike mwenye miaka 5 ashaanza kuota matiti,kutoa harufu za kwapani na uke unaanza kutoa utelezi
Yapo makundi ya wanaume wanaoteseka na mambo tajwa hapo juu wanahangaika sana lakini hawaponi. Mchawi mwingine ni kitu hiki
Halafu nashangaa sana hivi inakuaje mwanaume unakula chipsi??
Ndugu zanguni pamoja na matibabu mengine ni lazima UPIGE CHINI CHIPS,SODA NA KUKU WA KISASA
-Doctor Mathew
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
⚠️😳 Diamond Platnumz aghairi kuwa single, na kudokeza ameamua kuendelea na Zuchu kimahaba, hii imekuja baada ya taharuki kuibuka huku wengi wakimnanga Zuchu kila upande juu, chini, kushoto, kulia
1 307
"Zaa watoto ukiwa tayari kuwalea na kuona wakikua, sio kuwa na watoto wakati bado unauza ****mitaani ili kuwalisha, watoto wako wanahitaji asilimia 100% ya malezi yako mpaka watakapoweza kujilinda wenyewe. Unaweza kupata mtoto hata ukiwa na miaka 50, pesa tu kila kitu kinawezekana"- Huddah
1 307
⚠️😳 "Wanaaume wengi weusi hupata bahati ya kupendwa na wanawake wengi weupe, weusi na hata wale rangi ya kati, Ila wanaume wengi weupe, mara nyingi sana hupendekezwa na wanawake weusi tu peke yao, Je ni kweli ? Wewe unapenda mwanaume wa rangi gani 😂 ?" - Rammy Galis amewauliza kinadada
