uz
Feedback

Firibgarlarga uchmang! Telemetrio bunday kanallarni topadi va belgilaydi 👉 Belgini ko‘rmoqchi bo‘lsangiz, obuna bo‘ling

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Kanalga Telegram’da o‘tish

Get the latest news,videos,and more everyday.

Ko'proq ko'rsatish
1 307
Obunachilar
+124 soatlar
-27 kun
-1330 kun
Postlar arxiv
IMENIGUSA KWA KWELI😢😢 Polisi Kata wa Kata ya Usangule Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Michael
IMENIGUSA KWA KWELI😢😢 Polisi Kata wa Kata ya Usangule Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Michael Rasha akiongea na kumfariji mtoto Erick Hongera (6 ) ambaye amekuwa akikaa kwa upweke katika maeneo ya Shule. Mtoto Erick amekuwa na mazoea ya kwenda shule ya Msingi Manda Juu na kukaa nje ya jengo la shule hiyo kwa upweke na mfadhaiko kutokana na wazazi wake kutokumpeleka shule. Mkaguzi Rasha ameongea nae na kumfariji ili kuona ni jinsi gani anaweza kumsaidia aweze kujiunga na watoto wenzake ili kupata haki yake ya msingi ya kusoma. Katika harakati za kumsaidia mtoto huyo, Mkaguzi Rasha amechukua hatua ya kwenda kuongea na wazazi wake ili kujua changamoto na kuitafutia ufumbuzi ili mtoto huyo aweze kwenda shule kama wanafunzi wenzake. C&P

"Kila mwanaume huwa anatamani kuoa mwanamke wa haiba yake, mwanamke ambaye anafanana nae, lakini huwa haiwi hivyo kwa sababu
"Kila mwanaume huwa anatamani kuoa mwanamke wa haiba yake, mwanamke ambaye anafanana nae, lakini huwa haiwi hivyo kwa sababu matamanio mara nyingi huwa yanazidi fikra. Mimi namshukuru sana Mungu kunipa huyu mke wangu, si kwa ujanja wala uhodari wangu kumpata huyu mwanamke, ni Mungu tu na namshukuru sana kwa hii zawadi" "Kama ningewahi kumpata sasa hivi ningekuwa mbali sana, ningekuwa niko mbali kwasababu ni mwanamke ambaye ananipa furaha sana, amenifanya niwe nafuraha muda wote. Mimi nafanya mazoezi sana lakini sipungui kutokana na raha anazonipa huyu mwanamke. Wanawake wana kasoro lakini kasoro ya mke wangu haipo kwenye ndoa yangu"- Gabo Zigamba

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+6
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Huyo mume wake na Zuchu sijuwi, mimi kwanza sijawahi kutoka nae na izo tetesi alizileta Mange Kimambi ambapo ni kitu cha uon
"Huyo mume wake na Zuchu sijuwi, mimi kwanza sijawahi kutoka nae na izo tetesi alizileta Mange Kimambi ambapo ni kitu cha uongo." "Kwanza ukilala na Diamond lazima achukue nyota yako kama huamini angalia wanawake aliolala nao, hata kwenye Trending uwaoni." "Mi Diamond namchukulia kama rafiki yangu, acha nibaki na nyota yangu maana ikiondoka kuirudisha tena itakuwa shida." - Gigy Money, Msanii wa muziki Tanzania. Toa maoni yako

Hawa hapa Vanessa na mpenzi wake Rotimi wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wao.
Hawa hapa Vanessa na mpenzi wake Rotimi wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wao.

Alivyo sasa Diana Chepkemoi, binti mdogo Raia wa Kenya ambaye alipitia mateso ya kutisha kiasi cha kuhatarisha maisha yake al
Alivyo sasa Diana Chepkemoi, binti mdogo Raia wa Kenya ambaye alipitia mateso ya kutisha kiasi cha kuhatarisha maisha yake alipokuwa akifanya kazi za ndani huko Saudi Arabia. Diana alikonda kwa nyimbwa chakula, matibabu na boss wake huko Saudia na hakuna aliyeamini kama angeweza kupona na kurejea katika hali yake ya kawaida. Mungu alivyo Mkuu, Diana amerejea katika muonekano wake wa awali na sasa ana afya tele.

⚠️ "Mtu mzima unalalamika eti umetoka familia maskini, haya malalamiko mwisho ni miaka 18, baada ya hapo wewe ndio Maskini, k
⚠️ "Mtu mzima unalalamika eti umetoka familia maskini, haya malalamiko mwisho ni miaka 18, baada ya hapo wewe ndio Maskini, kuna umri ukifika hatutakiwi kulaumu familia zetu, wala Wazazi wetu, baada ya miaka 18 tunatakiwa tupambane ili tusilaumiwe na vizazi vyetu kumbuka hawatalaumiwa wazazi wako, utalaumiwa wewe. Punguza lawama na malalamiko, Wake Up" - amesema Modest Bafite

⚠️😳 Jamaa huyo kwa jina la Reno ameibuka kuwaambia wanaume kwamba unawaona wanawake wa nje ni warembo kuliko mkeo kwasababu
⚠️😳 Jamaa huyo kwa jina la Reno ameibuka kuwaambia wanaume kwamba unawaona wanawake wa nje ni warembo kuliko mkeo kwasababu kwa asilimia kubwa humhudumii mkeo inavyopaswa au huna pesa ila hata mkeo ni mrembo sana tu ukiamua awe mrembo Anasema wekeza kwa mkeo kuanzia mavazi, vipodozi na mengineyo avutie zaidi kuliko wengine uache kutamani wanawake wa nje

⚠️ By Salma Jabu Nisha - "Baada ya miaka 19 nimebarikiwa kuitwa mama tena, sina cha kukulipa Mungu wangu, hata maneno ya kuan
⚠️ By Salma Jabu Nisha - "Baada ya miaka 19 nimebarikiwa kuitwa mama tena, sina cha kukulipa Mungu wangu, hata maneno ya kuandika Leo sina Ahsante sana 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭 Ahsante" Ndoa ya mwigizaji huyo maarufu pia mfanyabiashara ina mwaka na miezi mitatu

IJUE BIASHARA YA PAKA Ukiwa na paka 100 na ukawauza kwa wachawi kila paka mmoja shilingi 30,000/= × 100 =3,000,000/= milioni
IJUE BIASHARA YA PAKA Ukiwa na paka 100 na ukawauza kwa wachawi kila paka mmoja shilingi 30,000/= × 100 =3,000,000/= milioni 3 na kila mwaka hukosi paka wanaozaliwa. Ushauri wangu kwenu nikwamba mufuge paka wana hela... #VIJIMAMBO......

***Yanaitwaje? Taja sifa zake***
***Yanaitwaje? Taja sifa zake***

**Taja Sifa za Police wa Zambia Unazozijua?** #RoadLife....
**Taja Sifa za Police wa Zambia Unazozijua?** #RoadLife....

AMBER RUTTY ACHORA TATOOO YA NABII MKUU Msanii wa Bongofleva, Amber Rutty amejichora tattoo ya Nabii Mkuu kutokea Arusha mgon
AMBER RUTTY ACHORA TATOOO YA NABII MKUU Msanii wa Bongofleva, Amber Rutty amejichora tattoo ya Nabii Mkuu kutokea Arusha mgongoni kwake.

AZaidi ya watu 50 wamefariki dunia kwenye majimbo ya Tigray na Amhara nchini Ethiopia kutokana na ukame wa muda mrefu na kusitishwa kwa misaada ya kibinadamu. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, Ethiopia inapitia wakati mgumu wa ukosefu wa misimu ya mvua tangu mwaka 2019. Viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo yaliyopata madhara ya vifo wameliambia shirika la utangazaji la BBC kuwa watu 46 wamefariki dunia kwenye mji wa Yechila uliopo Tigray na watu wengine sita wamefariki kwenye mkoa wa Wag Hemra uliopo Amhara. Vifo vyote vimetajwa kusababishwa na ukosefu wa chakula. Umoja wa Mataifa na Marekani zilisitisha misaada ya kibinadamu nchini Ethiopia mwanzoni mwa mwaka huu kwa tuhuma za kuwepo kwa wizi na kuchochea hali mbaya ya maisha kwa wakazi wa maeneo yenye ukame mkali. Kwa miaka miwili mfululizo jimbo la Tigray lilikuwa katika mgogoro uliosababisha mapigano na majeshi ya serikali kuu chini ya Abiy Ahmed huku jimbo la Amhara nalo likiingia kwenye mgogoro wa kisiasa. Zaidi ya mifugo 4,000 ikiwemo ng’ombe, mbuzi na kondoo wamekufa nchini Ethiopia kutokana na ukame mkali. CHANZO: BBC

photo content

0Hii ni Kali ya mwaka!😀 Mtoto mmoja alionekana akiwa akiandika daftari (akifanya Homework) uwanjani muda ambao mechi ya kufu
0Hii ni Kali ya mwaka!😀 Mtoto mmoja alionekana akiwa akiandika daftari (akifanya Homework) uwanjani muda ambao mechi ya kufuzu kombe la Dunia 2026 kati ya China na South Korea ikiendelea. Inavyoonekana ni kama mtoto huyo alilazimishwa tu kwenda kutazama mpira huo na hana mapenzi yoyote na mchezo huo, hivyo njia pekee kwake akaona ni 'kubukua' kazi za shule wakati wengine walipokuwa bize wakifuatilia mchezo huo. Katika mchezo huo South Korea walishinda 3-0. M-tag 'John Kisomo' wa shuleni kwenu ambaye kipindi mpo shule alikuwa akiwaza masomo tu! 😀

#HABARI Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed, amesema kwamba ufaulu wa jumla wa watah
#HABARI Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed, amesema kwamba ufaulu wa jumla wa watahiniwa wa darasa la 7 kwa mwaka 2023 umepanda kwa asilimia 0.96 na kufikia asilimia 80.6 ambapo watahiniwa milioni 1 ya watahiniwa wote wamefaulu kwa kupata madaraja ya A, B na C

Jina namba 18 kwenye kitabu cha orodha ya wahitimu katika Mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) ni la Mtanzania Clemence Mtenga ambaye ameuawa nchini Israel kufuatia mzozo unaoendelea baina ya nchi hiyo na Palestina. Mahafali hayo yanafanyika hii Alhamisi, Novemba 23,2023 mkoani Morogoro ambao Mtenga angetunukiwa Shahada ya Sayansi ya Kilimo cha Bustani (Bachelor of Science ina Hortculture). Mwili wake umeagwa usiku Novemba 22, 2023 nchini Israel tayari kurejeshwa Tanzania kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika mkoani Kilimanjaro. #mwananchiupdates #tunaliwezeshataifa

photo content