cookie

Ми використовуємо файли cookie для покращення вашого досвіду перегляду. Натиснувши «Прийняти все», ви погоджуєтеся на використання файлів cookie.

avatar

Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Більше
Рекламні дописи
538
Підписники
Немає даних24 години
+77 днів
+3030 днів

Триває завантаження даних...

Приріст підписників

Триває завантаження даних...

" بعض الناس والعياذ بالله إذا اشتهى شيئا يكف الناس عنه قال: قال العالم فلان هذا حرام هو يكذب لكن يعرف أن الناس إذا نسب العلم إلى فلان قبلوه فيكذب وهذا أشد من الكذب على عامة الناس .. "Baadhi ya watu -Allah atukinge- pindi anapotamani kitu kuwazuilia watu kutokana na hicho anasema " Amesema mwanachuoni fulani hili ni haramu" na hali ya kuwa anaongopa lakini anajua ya kuwa watu wanaponasibishiwa -wanapoegemezewa - elimu kwa -shekh- fulani wanaikubali, Basi anaongopa na hilo ni hatari zaidi kuliko kuwaongopea watu wa kawaida...." " فالحاصل أن من كذب على الرسول صلى الله عليه وسلم متعمدا فليتبوأ مقعده من النار ومن نقل عمدا حديثا كذبا يعلم أنه كذب فهو أحد الكذابين يعني فليتبوأ مقعده من النار .. "Yote kwa yote hakika atakayeongopa juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake hali ya kuwa amekusudia basi aandae makalio yake -makazi yake- katika moto na atakayenukuu huku amekusudia kuzungumza uongo anajua kuwa huo ni uongo basi huo ni mmoja miongoni mwa waongo yani ajiandalie makazi yake katika moto...." " وما أكثر من ينشر من النشرات التي بها الترغيب أو الترهيب وهي مكذوبة على الرسول صلى الله عليه وسلم لكن بعض المجتهدين الجهال ينشرون هذه النشرات ويوزعونها بكمية كبيرة يقولون: نعظ الناس بهذا كيف تعظونهم بشيء كذب ولهذا يجب الحذر من هذه المنشورات التي تنشر في المساجد أو تعلق على الأبواب أبواب المساجد أو غير ذلك يجب الحذر منها وربما يكون فيها أشياء مكذوبة فيكون الذي ينشرها قد تبوأ مقعده من النار إذا علم أنها كذب .. "Na wingi ulioje wa wale ambao wanatawanya vipeperushi vile ambayo ndani yake kuna kupendezesha na kuogopesha na hali ya huwa ni uongo juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake. Lakini baadhi ya wenye kujitahidi ambao ni wajinga -wanapupa yakutawanye kheri lakini hawana elimu- wanatawanya hivyo vipeperushi na wanaziuza kwa thamani kubwa na wanasema "Tunawapa watu mawaidha kupitia hizi"! Vipi mnawapa mawaidha kwa kitu cha uongo?! na kwa ajili hiyo inapasa kutahadhari kutokana na hivi vinavyotawanywa ambavyo vinatawanywa misikitini, au vinatundikwa milangoni, milango ya misikiti au pasipokuwa hapo. Inapasa kutahadhari kutokana na hivyo na huenda kunakuwa ndani yake na mambo ya uongo basi anakuwa yule ambaye ametawanya naye ameandaa makalio yake katika moto pindi anapojua kuwa huo ni uongo."... " وقال في حديث عبد الله بن عمرو: حدثوا عن بني إسرائيل ولا حرج بنو إسرائيل اليهود والنصارى إذا قالوا قولا فحدث عنهم ولا حرج عليك بشرط أن لا تعلم أنه مخالف للشريعة لأن بني إسرائيل عندهم كذب يحرفون الكلم عن مواضعه ويكذبون فإذا أخبروك بخير فلا بأس أن تحدث به بشرط أن لا يكون مخالفا لما جاء في شريعة الرسول صلى الله عليه وسلم فإن كان مخالفا له فإنه لا يجوز أن يحدث إلا إذا حدث به ليبين أنه باطل فلا حرج والله أعلم .. "Na akasema -Mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake- katika hadithi ya Abdillah bin Amri; "Hadithianeni kutoka kwa Banii Israaiil na wala hakuna tatizo". Banii Israaiil ni Mayahudi na Manaswara pindi watakaposema neno basi simulianeni kutoka kwao na wala hakuna tatizo juu yako kwa sharti usijue kuwa hilo tamko linaenda kinyume na sheria. Kwa sababu Banuu Israail wao wana uongo wanageuza neno kutoka katika mahala pake, na wanaongopa basi pindi watakapokupa habari yoyote hakuna shida kuihadithia habari hiyo kwa sharti isiwe habari hiyo inaenda kinyume na yale ambayo yamekuja katika sheria ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake. Na ikiwa linaenda kinyume kwa hakika haitojuzu kusimuliana isipokuwa itakaposimuliwa kwa ajili yakubainishwa kuwa hiyo ni batili basi hapo hakutakuwa na tatizo na Allah ndio mjuzi zaidi". " منتقى من شرح رياض الصالحين للعلامة العثيمين ص (٤٣١ ج ٥) Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan. Ijumaa 23 Dhul-Qaadah 1445H, 31-05-2024M. Masjid Nnuur, DSM, Tanzania.
Показати все...
TAFSIRI MAELEZO NA FAIDA KATIKA HADITHI YA MTUME SALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE:- وعن عبدِاللَّه بن عمرو بن العاص، رضي اللَّه عنْهُما، أنَّ النَّبيَّ ﷺ قَالَ :- Kutoka kwa Abdillah bin Amri bin Al-Aasw Allah awaridhie hakika mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake amesema:- " بلِّغُوا عَنِّي ولَوْ آيَةً، وحَدِّثُوا عنْ بَنِي إسْرَائيل وَلا حَرجَ، ومنْ كَذَب علَيَّ مُتَعمِّدًا فَلْيتبَوَّأْ مَقْعَدهُ مِنَ النَّار .. "Fikisheni kutoka kwangu mimi walau aya moja, na simulianeni kutoka kwa Banii Israaiil wala hakuna tatizo, na yeyote atakayeniongopea juu yangu hali ya kuwa amekusudia basi aandae sehemu yakukalia katika moto- wa Jahannam". " صحيح البخاري (١٢٧٥/٣) Ameipokea Imaam Bukhaariy. قال الشيخ العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- Amesema Shekh Muhammad bin Swaaleh Al-uthaymiin - Allah amrehemu:- " بلغوا عني ، يعني بلغوا الناس بما أقول وبما أفعل وبجميع سنته عليه الصلاة والسلام بلغوا عني ولو آية من كتاب الله ولو هنا للتقليل يعني لا يقول الإنسان أنا لا أبلغ إلا إذا كنت عالما كبيرا لا إنما يبلغ الإنسان ولو آية بشرط أن يكون قد علمها وأنها من كلام الرسول صلى الله عليه وسلم.. "Fikisheni kutoka kwang" yani wafikishieni watu katika yale nnayoyasema na katika yale nnayoyafanya na katika jumla ya sunna zake -myenendo yake- sala na salamu za Allag ziwe juu yake. Fikisheni kutoka kwangu -kwa ajili yangu- walau aya moja kutoka katika kitabu cha Allah na tamko 'lau' hapa ni kwa kudogosha -kwa uchache, yani mtu asiseme mimi sifikishi isipokuwa ntakapokuwa mwanachuoni mkubwa! hapana, kwa hakika atafikisha mwanaadamu walau aya moja kwa sharti ya kuwa ameijua -ana elimu nayo- na kuwa hiyo ni katika maneno ya mtume sala n salamu na Allah ziwe juu yake..... "  ولهذا قال في آخر الحديث:  ومن كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار .. "Na kwa ajili hiyo ndio akasema mwisho wa hadithi; "Na yeyote atakayeniongopea hali ya kuwa amekusudia basi na aandae makalio yake katika moto". " من كذب على الرسول ﷺ متعمدا يعلم أنه كاذب فليتبوأ مقعده من النار هنا اللام للأمر لكن المراد بالأمر هنا الخبر يعني فقد تبوأ مقعده من النار والعياذ بالله أي فقد استحق أن يكون من ساكني النار لأن الكذب على الرسول ﷺ ليس كالكذب على واحد من الناس الكذب على الرسول ﷺ كذب على الله عز وجل ثم هو كذب على الشريعة لأن ما يخبر به الرسول صلى الله عليه وسلم من الوحي هو من شريعة الله.. "Atakayeongopa juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake na akajua kuwa huo ni uongo basi aandae makalio yake katika moto. 'Laam' hapa ni kwa kwa amri -kuamrisha- lakini makusudio yake hapa katika amri ni habari -kutoa habari, yani atakuwa ameandaa makalio yake katika moto na Allah atukinge. Yani kwa hakika atakuwa amestahiki kuwa katika watakaokaa katika moto kwa sababu kuongopa juu ya mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake sio kama uongo wa kumuongopea mwingine yeyote katika watu. Kumuongopea mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake ni kumuongopea Allah mwenye nguvu na utukufu, kisha huo ni uongo wa kuiongopea sheria -ya uisilamu- kwa sababu yale anayoyatolea habari mtume sala na salamu za Alla ziwe juu yake ni katika wahyi -ufunuo- nao ni katika sheria ya Allah.... " وكذلك يقال: الكذب على العالم ليس كالكذب على عامة الناس يعني مثلا تقول : قال فلان كذا وكذا ، قال هذا حرام هذا حلال هذا واجب هذا سنة وأنت تكذب هذا أيضا أشد من الكذب على عامة الناس لأن العلماء ورثة الأنبياء يبلغون شريعة الله إرثا لرسول الله صلى الله عليه وسلم فإذا كذبت عليهم وقلت قال العالم فلان كذا وكذا وأنت تكذب فهذا إثمه عظيم نسأل الله العافية .. "Na hivyo hivyo panasemwa; kumuongopea mwanachuoni sio kama kumuongopea mtu wa kawaida. Yani mfano unasema "Amesema -Shekh- fulani hivi na hivi amesema hili ni halali hili ni haramu hili ni wajibu, hili ni sunna," na hali ya kuwa unaongopa hilo vilevile ni hatari zaidi kuliko kuongopa juu ya mtu wakawaida, Kwa sababu wanachuoni ni warithi wamanabii, wanafikisha sheria ya Allah hali ya kurithi kutoka kwa mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake basi pindi utakapoongopa juu yao na ukasema amesema mwanachuoni fulani hivi na hivi na hali ya kuwa wewe unaongopa jambo hilo dhambi yake ni kubwa zaidi. Tunamuomba Allah afya..."
Показати все...
🎞️NIKIWAZA UMAUTI AMANI INATOWEKA.🎞️ (Maandishi ya shairi kwa njia ya video) https://t.me/duruuszakiswahiliTZ ⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
Показати все...
قناة الدروس العلمية السواحيلية

DURUUS KHUTBAH KALIMAAT MIHAADHARA. MASWALI & MAJIBU.

SHAIRI:- 💥MAISHA NI MAPAMBANO. MSOMAJI:- 🎙ABUU MUFTIZUBEIR' SOUTH AFRICA. MUANDISHI:- ✍ABUU MAYSARAH' SAALIM BIN RAMADHAAN - DSM, TANZANIA.
Показати все...
💥KATIKA MFANO WA MUME KUONDOSHA UOVU NDANI YA NYUMBA YAKE. 🌿KUACHA KITU KWA AJILI YA ALLAH NI SABABU YA KUPATA BADALA ILIYOKUWA BORA ZAIDI. 🎙️Ustaadh Abuu Usaamah' Khamiys bin Ame- Allah amhifadhi. https://t.me/duruusabiyUsaamahAmeTZ ⬇️⬇️⬇️ 03:58⬇️⬇️⬇️
Показати все...
📮" وعن عبدِاللَّه بن عمرو بن العاص، رضي اللَّه عنْهُما، أنَّ النَّبيَّ ﷺ قَالَ :- 👈 " بلِّغُوا عَنِّي ولَوْ آيَةً، وحَدِّثُوا عنْ بَنِي إسْرَائيل وَلا حَرجَ، ومنْ كَذَب علَيَّ مُتَعمِّدًا فَلْيتبَوَّأْ مَقْعَدهُ مِنَ النَّار .. 📚 " صحيح البخاري (١٢٧٥/٣) 📮" قال الشيخ العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى :- 👈 " بلغوا عني ، يعني بلغوا الناس بما أقول وبما أفعل وبجميع سنته عليه الصلاة والسلام بلغوا عني ولو آية من كتاب الله ولو هنا للتقليل يعني لا يقول الإنسان أنا لا أبلغ إلا إذا كنت عالما كبيرا لا إنما يبلغ الإنسان ولو آية بشرط أن يكون قد علمها وأنها من كلام الرسول صلى الله عليه وسلم.. ⬅️ "  ولهذا قال في آخر الحديث:  ومن كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار .. ↩️ " من كذب على الرسول ﷺ متعمدا يعلم أنه كاذب فليتبوأ مقعده من النار هنا اللام للأمر لكن المراد بالأمر هنا الخبر يعني فقد تبوأ مقعده من النار والعياذ بالله أي فقد استحق أن يكون من ساكني النار لأن الكذب على الرسول ﷺ ليس كالكذب على واحد من الناس الكذب على الرسول ﷺ كذب على الله عز وجل ثم هو كذب على الشريعة لأن ما يخبر به الرسول صلى الله عليه وسلم من الوحي هو من شريعة الله.. ↩️ " وكذلك يقال: الكذب على العالم ليس كالكذب على عامة الناس يعني مثلا تقول : قال فلان كذا وكذا ، قال هذا حرام هذا حلال هذا واجب هذا سنة وأنت تكذب هذا أيضا أشد من الكذب على عامة الناس لأن العلماء ورثة الأنبياء يبلغون شريعة الله إرثا لرسول الله صلى الله عليه وسلم فإذا كذبت عليهم وقلت قال العالم فلان كذا وكذا وأنت تكذب فهذا إثمه عظيم نسأل الله العافية .. ↩️ " بعض الناس والعياذ بالله إذا اشتهى شيئا يكف الناس عنه قال: قال العالم فلان هذا حرام هو يكذب لكن يعرف أن الناس إذا نسب العلم إلى فلان قبلوه فيكذب وهذا أشد من الكذب على عامة الناس .. 👈 " فالحاصل أن من كذب على الرسول صلى الله عليه وسلم متعمدا فليتبوأ مقعده من النار ومن نقل عمدا حديثا كذبا يعلم أنه كذب فهو أحد الكذابين يعني فليتبوأ مقعده من النار .. ↩️ " وما أكثر من ينشر من النشرات التي بها الترغيب أو الترهيب وهي مكذوبة على الرسول صلى الله عليه وسلم لكن بعض المجتهدين الجهال ينشرون هذه النشرات ويوزعونها بكمية كبيرة يقولون: نعظ الناس بهذا كيف تعظونهم بشيء كذب ولهذا يجب الحذر من هذه المنشورات التي تنشر في المساجد أو تعلق على الأبواب أبواب المساجد أو غير ذلك يجب الحذر منها وربما يكون فيها أشياء مكذوبة فيكون الذي ينشرها قد تبوأ مقعده من النار إذا علم أنها كذب .. ↩️ " وقال في حديث عبد الله بن عمرو: حدثوا عن بني إسرائيل ولا حرج بنو إسرائيل اليهود والنصارى إذا قالوا قولا فحدث عنهم ولا حرج عليك بشرط أن لا تعلم أنه مخالف للشريعة لأن بني إسرائيل عندهم كذب يحرفون الكلم عن مواضعه ويكذبون فإذا أخبروك بخير فلا بأس أن تحدث به بشرط أن لا يكون مخالفا لما جاء في شريعة الرسول صلى الله عليه وسلم فإن كان مخالفا له فإنه لا يجوز أن يحدث إلا إذا حدث به ليبين أنه باطل فلا حرج والله أعلم .. 📚 " منتقى من شرح رياض الصالحين للعلامة العثيمين ص (٤٣١ ج ٥) ___________ ____
Показати все...
*⚠️WANAWAKE WAZINGATIE KATIKA MAISHA YA NDOA WANAYOISHI NA WAUME ZAO.* *🎙️Ustaadh Abuu Usaamah' Khamiys bin Ame- Allah amhifadhi*
Показати все...
#مسائل_مختصرة_في_أحكام_الأضحية ▪مسألة(١٢) : شراء الأضحية ديناً. FAIDA:- INAJUZU KUKOPA MNYAMA KWA AJILI YA KUCHINJA KATIKA EID YA KUCHINJA NA KWENYE MADENI ATATANGULIZA KULIPA DENI KABLA YA KUNUNUA / KUKOPA KICHINJWA HIKO ▪يجوز شراء الأضحية ديناً لمن كان قادراً على السداد ، واستحب هذا بعض أهل العلم . ▪️Inajuzu kununua kichinjwa -cha Idi-  kwa deni kwa yule ambaye anaweza kulipa deni hilo, na wamelipendezesha hilo baadhi ya wanachuoni. - قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٠٥/٢٦) : ( إن كان له وفاء فاستدان ما يضحي به فحسن ، ولا يجب عليه أن يفعل ذلك )اهـ Amesema Shekh Islaam Ibn Taymiyyah- Allah amrehemu. (Majmuul Fataawa Juzuu ya 26 Uk, 305) "Ikiwa anaweza kulipa deni basi kukopa kile ambacho atakichinja ni jambo lenye kupendeza." - وسئل العلّامة ابن باز رحمه الله عن حكم الاستدانة لشراء الأضحية فأجاب كما في برنامج نور على الدرب : ( نعم يستحب له ، يستقرض ويستدين ويضحي ، إذا كان خلفه ما يوفي منه.. الأضحية سنة ولو بالاستدانة ، إذا كان عنده ما يقضي ويوفي منه)اهـ - Na aliulizwa Mwanachuoni Ibn Baaz- Allah amrehemu kuhusu hukmu ya kukopa deni kwa ajili ya kununua kichinjwa akajibu:- "Naam, inapendeza kwake yeye akakopa na akachinja ikiwa nyuma yake atakuwa nacho kile ambacho atalipa deni hilo -atakuwa na uwezo wakulilipa- kuchinja ni sunna walau kwa kukopa, ikiwa atakuwa nacho kile ambacho kitatosha na atatekeleza deni hilo -ikiwa atakuwa na uwezo wakulilipa". وقال رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٧/١) : (ولا حرج أن يستدين المسلم ليضحي إذا كان عنده القدرة على الوفاء)اهـ Na akasema Allah amrehemu; "Na wala hakuna tatizo kwa muisilamu kukopa deni ili achinje ikiwa atakuwa na uwezo wakulilipa deni hilo." - وأما إن تزاحم عليه الدين مع شراء الأضحية ؛ فإنه يقدم سداد دينه ؛ لأنه أبرأ لذمته ، ولأن الأضحية سنة وليست واجبة على الراجح والله أعلم . -Na ama ikiwa juu yake yatakuwa yamefuatana madeni -ana madeni anadaiwa- pamoja na kutaka kununua kichinjwa cha Eid yakuchinja, kwa hali hiyo atatanguliza kulipa deni lake kwa sababu huko nikujiweka mbali -kujitakasa- na dhimma yake -madeni aliyokuwa nayo. Na kwa sababu kuchinja ni sunna na wala sio wajibu kwa kauli sahihi yenye nguvu. - Na kulipa deni ni wajibu lazima wala sio hiari." أم حفص بنت الحمزي Imeandikwa na Ummu Hafsw' Yemen. Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan- DSM, Tanzania.
Показати все...
#مسائل_مختصرة_في_أحكام_الأضحية ▪مسألة(١٢) : شراء الأضحية ديناً. FAIDA:- INAJUZU KUKOPA MNYAMA KWA AJILI YA KUCHINJA KATIKA EID YA KUCHINJA NA KWENYE MADENI ATATANGULIZA KULIPA DENI KABLA YA KUNUNUA / KUKOPA KICHINJWA HIKO ▪يجوز شراء الأضحية ديناً لمن كان قادراً على السداد ، واستحب هذا بعض أهل العلم . ▪️Inajuzu kununua kichinjwa -cha Idi- kwa deni kwa yule ambaye anaweza kulipa deni hilo, na wamelipendezesha hilo baadhi ya wanachuoni. - قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٠٥/٢٦) : ( إن كان له وفاء فاستدان ما يضحي به فحسن ، ولا يجب عليه أن يفعل ذلك )اهـ Amesema Shekh Islaam Ibn Taymiyyah- Allah amrehemu. (Majmuul Fataawa Juzuu ya 26 Uk, 305) "Ikiwa anaweza kulipa deni basi kukopa kile ambacho atakichinja ni jambo lenye kupendeza." - وسئل العلّامة ابن باز رحمه الله عن حكم الاستدانة لشراء الأضحية فأجاب كما في برنامج نور على الدرب : ( نعم يستحب له ، يستقرض ويستدين ويضحي ، إذا كان خلفه ما يوفي منه.. الأضحية سنة ولو بالاستدانة ، إذا كان عنده ما يقضي ويوفي منه)اهـ - Na aliulizwa Mwanachuoni Ibn Baaz- Allah amrehemu kuhusu hukmu ya kukopa deni kwa ajili ya وقال رحمه الله كما في مجموع الفتاوى(٣٧/١) : (ولا حرج أن يستدين المسلم ليضحي إذا كان عنده القدرة على الوفاء)اهـ - وأما إن تزاحم عليه الدين مع شراء الأضحية ؛ فإنه يقدم سداد دينه ؛ لأنه أبرأ لذمته ، ولأن الأضحية سنة وليست واجبة على الراجح والله أعلم . أم حفص بنت الحمزي
Показати все...
قناة أم حفص بنت الحمزي

قناة تعنى بنشر بعض دروس أم حفص بنت الحمزي وفقها الله ، وبعض الفوائد والعبر ، مستمدة من الكتاب والسنة على نهج السلف الصالح ، نسأل الله أن ينفع بها.