uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
#TANZIA Mwanafamilia kutoka kwenye kundi la @chino_kidd7 anayefahamika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa ni dereva wa gari il
#TANZIA Mwanafamilia kutoka kwenye kundi la @chino_kidd7 anayefahamika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa ni dereva wa gari iliyopata ajali siku ya jana lililowabeba kina Chino Kidd amefariki siku ya leo. Nabeel amefariki dunia alfajiri ya leo kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo siku ya jana. Mazishi yake yanatarajia kufanyia saa 7 mchana makaburi ya Upanga Dar es Salaam. Majeruhi wa ajali hiyo wamehamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kupatiwa matibabu.

Eng . HERS AMEKOSEA SANA. Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja
Eng . HERS AMEKOSEA SANA. Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na raisi wa CAF. Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga simba goli 5. Raisi wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempia salute. Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema simba alifungwa 5 mbele ya Raisi wa FIFA?. Mbona hajawataja KMC? Ameidhalilisha simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa simba kama ikitokea fursa kutoka juu Video clip kwa comment 👇👇👇👇🙄🙄 https://instagram.com/e_plus_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg==

😏😏
😏😏

Mh🙄
Mh🙄

Vp na wewe leo ulishiriki😀
Vp na wewe leo ulishiriki😀

Ameandika Moo Dowji ...Kukaa Kimya Nalo Ni Jibu... Kauli hii Tata imeleta Maswali Wengi Kwa Wanasiimba Pamoja Na Wanaofatilia
Ameandika Moo Dowji ...Kukaa Kimya Nalo Ni Jibu... Kauli hii Tata imeleta Maswali Wengi Kwa Wanasiimba Pamoja Na Wanaofatilia Tajiri Huyo Na Rais wa heshima Wa simba Sc

#HABARI Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Joseph Hezron (54), mkazi wa Bukara wilayani Sengerema kwa kuchoma moto
#HABARI Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Joseph Hezron (54), mkazi wa Bukara wilayani Sengerema kwa kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake aitwaye Lucy James, kisha kujaribu kujiua kwa kujichoma kisu shingoni huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea Novemba 9, 2023 katika mtaa wa Bukara baada ya Joseph kumtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine aitwaye Jelemia Kamambi, ndipo alichoma nyumba hiyo na kupelekea hasara. Uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kuwa mwanaume ambaye Joseph alikuwa anamtuhumu hakuwa mpenzi wa mwanamke huyo (Lucy Hezron) bali alikuwa kaka yake, hivyo kuwataka wanaume kuacha wivu wa mapenzi uliopitiliza.

"Mimi siyo mtu wa kumuomba hela mpenzi wangu, tunaweza tukadeti hata mwaka nisikuombe pesa, lakini siku ambayo nahitaji natak
"Mimi siyo mtu wa kumuomba hela mpenzi wangu, tunaweza tukadeti hata mwaka nisikuombe pesa, lakini siku ambayo nahitaji nataka unipe pesa hiyohiyo ambayo nimekuomba, nikisema nataka milioni mbili basi nipe hiyohiyo, nikihitaji milioni nne nataka hiyohiyo milioni nne"- Dinny Nasoro

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

photo content

Mbinguni tutafika ila tutafika tukiwa tumechoka kwelikweli 😂 NB: Pichani ni Aunty Ezekiel kwenye sherehe ya Shemsa Ford.
Mbinguni tutafika ila tutafika tukiwa tumechoka kwelikweli 😂 NB: Pichani ni Aunty Ezekiel kwenye sherehe ya Shemsa Ford.

"Mpwa wangu hana uwezo wa kuona vizuri na inabidi avae miwani ili kucheza soka. Niliamua kuweka miwani nilipofunga. Natumai h
"Mpwa wangu hana uwezo wa kuona vizuri na inabidi avae miwani ili kucheza soka. Niliamua kuweka miwani nilipofunga. Natumai hiyo inawatia moyo watoto wengi.” - John McGinn akijibu swali aliloulizwa kuhusu na ushangiliaji wake. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

Baada ya kukosa mwanaume wa kumuoa, Isha Mashauzi ajitosa kwenye muonekano huo wa kigaidi.
Baada ya kukosa mwanaume wa kumuoa, Isha Mashauzi ajitosa kwenye muonekano huo wa kigaidi.

"Nimezaliwa katika familia ya Kiislamu, niliokoka mwaka 2008, nilifanya Album mwaka 2021, tangu nimeanza kuimba huu ni mwaka
"Nimezaliwa katika familia ya Kiislamu, niliokoka mwaka 2008, nilifanya Album mwaka 2021, tangu nimeanza kuimba huu ni mwaka wa tatu sikuwahi kufanya tour ila mwaka huu nitafanya tour Arusha na Dodoma"- Mwimbaji wa nyimbo za Injili Rehema Simfukwe ameiambia Ayo TV ya Millard Ayo.

Mai Zumo ni miongoni mwa wasanii vinara walioshinda tizo za WISAC AWARDS ambazo ziliandaliwa na Monalissa. Pichani ni Mai Zum
Mai Zumo ni miongoni mwa wasanii vinara walioshinda tizo za WISAC AWARDS ambazo ziliandaliwa na Monalissa. Pichani ni Mai Zumo akiwa na mama yake Habiba Zumo mbapo wote wamejipachika kwenye sekta ya Sanaa ya uchekeshaji na kwa hakika wanafanya vizuri.

"Magufuli nakuahidi kama unaweza kusikia, Dkt. Samia amenipa nafasi, nitakuwa msema ukweli, nitakuwa Mwaminifu kwa Taifa lang
"Magufuli nakuahidi kama unaweza kusikia, Dkt. Samia amenipa nafasi, nitakuwa msema ukweli, nitakuwa Mwaminifu kwa Taifa langu na Chama changu, na wewe huko uliko uendelee kuniombea ya kwamba ile kazi njema uliyotamani ifanyike katika taifa hili chini ya Jemedari na Kiongozi uliyemuachia nitakuwa sehemu ya kumsaidia na kumtia moyo Rais wangu Samia" "Na kupitia yeye naamini Taifa litanufaika zaidi, Asante kwasababu ulilipenda Taifa hili, nasi tunakuahidi upendo huo ulishatuambukiza kwetu, tutaendelea kuwa wazelendo na tutalilinda Taifa hili na siku moja tukitwaliwa na sisi tukaache alama kama Magufuli ulivyoacha katika Taifa hili la Tanzania"- Paul Makonda, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa alipotembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt.Jonh Pombe Magufuli mapema Novemba 10, 2023 nyumbani kwake Chato.

"Nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano ambayo kiukweli nilikuwa sina wivu na huyo mtu ni kwasababu nilikuwa simpendi, niliona ana
"Nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano ambayo kiukweli nilikuwa sina wivu na huyo mtu ni kwasababu nilikuwa simpendi, niliona ananipenda sana na kwakuwa nilikuwa sijawa kwenye mahusiano kwa muda mrefu niliamua kumkubali tu lakini nilikuwa simuonei wivu hata kidogo"- Wema Sepetu

⚠️ Wowowo la Aunty Ezekiel laibua minong'ono katikati ya fununu kwamba alienda nje ya nchi kufanyiwa sajari ya kujikarabati a
⚠️ Wowowo la Aunty Ezekiel laibua minong'ono katikati ya fununu kwamba alienda nje ya nchi kufanyiwa sajari ya kujikarabati ambayo haikuwa na ufanisi kwa asilimia 100%

⚠️🥰 Mwalimu huyo kwa jina la Derick(39) toka nchini Cameroon ambaye ambaye alishaweka wazi kwamba kwa miaka mingi alikuwa ak
+1
⚠️🥰 Mwalimu huyo kwa jina la Derick(39) toka nchini Cameroon ambaye ambaye alishaweka wazi kwamba kwa miaka mingi alikuwa akikataliwa na wanawake aliokuwa akiwatongoza sababu ya kuwa mfupi, yeye na mke wake huyo wamejitosa tarehe 10 November hii kusherehekea kupata mtoto wao wa kwanza pamoja ambaye ni wa kike Derick baada ya kukataliwa na wanawake aliokuwa akiwatongoza sababu ya kimo chake, hatimaye akakubaliwa na Patience pichani ambapo April 2023 walifunga ndoa ya kimila, kiserikali pamoja na ndoa ya kanisani. Derick amesema mkewe huyo amempenda jinsi alivyo na yeye pia anampenda sana mke wake Kwenye comments section kuona zaidi picha za wanandoa hao na wazazi wapya wanaopendana kwa dhati