uk
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

SPIKA TULIA USO KWA USO NA RAIS PUTIN 🇷🇺🇹🇿 Julai 12, 2024 Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la
+2
SPIKA TULIA USO KWA USO NA RAIS PUTIN 🇷🇺🇹🇿 Julai 12, 2024 Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Vladimir Putin kwenye Jiji la St. Petersburg nchini Urusi.

JOE BIDEN: AWEKA WAZI KWAMBA WALIUNDA MUUNGANO WA NCHI WASHIRIKA ZAIDI YA NCHI 50 ZINAZOPAMBANA NA URUSI HUKO UKRAINE. Sasa n
JOE BIDEN: AWEKA WAZI KWAMBA WALIUNDA MUUNGANO WA NCHI WASHIRIKA ZAIDI YA NCHI 50 ZINAZOPAMBANA NA URUSI HUKO UKRAINE. Sasa ni rasmi wanatoka hadharani na kusema kwamba wao wapo zaidi ya nchi 50 wakipambana na Urusi moja lakini bado wanaswagwa kama ng'ombe. Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia wale wafuasi wa Marekani na NATO kwamba Urusi ni jabali na jiwe kuu ambalo uwezo wake ni wa kutisha mno. Na ukitaka kujua mwangilie Vladmir Putin anapotoa hotuba ama onyo kali ni mtu aliye mtulivu mno na hazungumzi kwa kujitutumua kama zile hotuba za Joe Biden tulizoona juzi na jana. Mwamba anaongea kwa utaratibu na upole kabisa lakini mwenyewe anajua balaa analomaanisha. Mara kadhaa nimewaambia kwamba ile vita ni kati ya Urusi dhidi ya Muungano wa NATO ambazo ni 29 ukizitoa Uturuki na Hungary ambazo zimegoma kuungana katika kupambana na Urus. Ujumlishe tena zaidi ya nchi 30 za Ulaya. Kimsingi Urusi inazihenyesha nchi zaidi ya nchi 60 huko Ukraine na hata sasa inaendelea kuteka eneo moja baada ya jingine. Aibu nyingine kubwa ni kwamba hizi zaidi ya 60 kwa pamoja zinadiwa uwezo wa kuzalisha silaha mara tatu ama zaidi kutegemeana na aina ya silaha. Kuna silaha leo Urusi ina uwezo wa kuzalisha silaha nyingi mpaka mara 20 kuliko uwezo wote wa huu muungano wa nchi 60. Ajabu zaidi ni kwamba teknolojia ya Urusi imezima kabisa uwezo wa silaha za magharibi na silaha zingine nyingi zinaondolewa katika uwanja wa mapambano kwa kukosa uwezo dhidi ya silaha za Urusi. Mnapoona Ukraine inapelekwa na kuswagwa kama mbuzi mjue ni hizi silaha za muuungano wa NATO na Ulaya yote. Sasa ni wakati watu wasioelewa kuhusu nguvu ya Urusi waanze kuelewa kile huwa nawaambia. Haya maneno ya Joe Biden amepost mweyewe na kuweka wazi kwamba muungano wao una zaidi ya nchi 50 unaopambana na Urusi huko Ukraine. Ajabu ni kwamba mpaka sasa Urusi ndio inayoshinda na wao nsio wanaoshindwa. Mshinga JN

Huyu ndie tajiri namba 1 huko India....!! Huyu anaitwa Mukesh Ambani. Kwao walizaliwa wawili, yeye pamoja na mdogo wake Anil
Huyu ndie tajiri namba 1 huko India....!! Huyu anaitwa Mukesh Ambani. Kwao walizaliwa wawili, yeye pamoja na mdogo wake Anil Ambani. Baba yao alikuwa tajiri, alikuwa na maviwanda huko India. Baba yao akafariki. Watoto wakagawana utajiri wa baba yao. Kama ilivyo tabia ya last born wengi, Anil akatafuna mali zake, akahonga, akaenda kila mahali kulipokuwa na starehe. Kufumba na kufumbua, Anil hakuwa na kitu. Last born Anil alikuwa amefalisika. Kwa upande wake Mukesh, ukiweka bidii, ujanja ujanja na bahati mambo yake yakanyooka. Mali zake zikazaana na kuongezeka. Akafanya karibu kila biashara. Kwa sasa kiwanda kikubwa kabisa cha kuchakata mafuta ya petrolium hapa duniani ni mali ya Mukesh Ambani. Mukesh amewekeza kwenye mafuta ya petroli, amewekeza kwenye viwanda vya nguo. Yeye ndie ana kampuni kubwa la mawasiliano ya simu huko India. Mukesh anashindana na kina Amazon. Ana vituo vya televisheni, kikiwemo kituo cha Hotstar kilichokuwa kinarusha tamthilia maarufu ya Kulfi. Mukesh ni tajiri, utajiri wake ni matrilioni mengi sana. Ni tajiri namba 1, ni tajiri namba 1 bara la Asia na ni tajiri namba 10 duniani. Ukianza kulipwa bilioni 1 kila mwaka unahitaji kufanya kazi zaidi ya miaka 5000 ili kufikia utajiri wa Mukesh.... Kwenye picha, katika ndie Mukesh Amban akiwa na mke wake pamoja na mwanae Anant...!!

Unadhani nini kinapikwa hapa
Unadhani nini kinapikwa hapa

⚠️ "Mimi nina mtoto mmoja, mimi ni baba bora, wengi wanadhani mimi ni mtoto wakati ni mtu mzima nina miaka 27, mimi ni engine
⚠️ "Mimi nina mtoto mmoja, mimi ni baba bora, wengi wanadhani mimi ni mtoto wakati ni mtu mzima nina miaka 27, mimi ni engineer wa umeme" - Son Msouth akihojiwa Wasafi FM

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+5
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

We umeelewa nini hapa..😀
We umeelewa nini hapa..😀

😀🤪
😀🤪

Mbona hamkusema kama hivi ni dili..😀
Mbona hamkusema kama hivi ni dili..😀

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+6
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

SIKU 280 TANGU APOTEE ADINANI HUSSEIN MBEZI MIKONONI MWA POLISI Maarufu kama (ADAM),umri wa miaka 32,mkazi wa Kinyerezi,mtaa wa Faru,Jimbo la Segerea,Baba wa watoto wanne. 1.Adinan Hussein Mbezi alipotea tarehe 12 September 2023 alipokuwa safarini Mwanza 2.Adinani Hussein Mbezi alizaliwa mwaka 1992 ni mfanyabiashara anaye miliki vituo 11 vya kuoshea magari Dar es saalam vya "ONE TOUCH" Pia ni mwanasiasa ambaye alishawahi kuwa CCM baadae akagombea udiwani kupitia ACT WAZALENDO uchaguzi wa 2020 kata ya Yombo Vituka. 3.Tarehe 12 September 2013 ADINANI alipiga simu kwa mke wake ROSEMERRY MASSAWE kumtaarifu kuwa amekamatwa na Polisi,kwamba wapo njiani kurudi Dar es saalam atamjulisha kituo watakacho mpeleka baada ya kufika Dar es saalam. 4.Tarehe 19 September 2023 ADINANI alipiga simu kwa Mama yake mlezi anayeishi maeneo ya ZOO,Chanika,Dar es saalam kwa kupitia namba ya simu 0659167082 Akimueleza Mama yake kuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Tazara,akaomba Mama yake amsaidie kumpatia namba ya Kaka yake aitwaye SAMIR HUSSEIN MBEZI Pia aliomba Mama yake ampe taarifa rafiki yake aitwaye AMIR KHALID NASIBU (SAM) mwenye namba za simu 0711959432 ambaye amekuwa akishirikiana na familia katika kumfuatilia ADINANI kwa kila hatua. 5.ADINANI alijitahidi sana kufanya mawasiliano na ndugu zake kila kituo alichokuwa anapelekwa Jijini Dar es saalam tangu akamatwe Mwanza. Alipiga simu akiwa Central Police Station,alipiga simu akiwa Kituo cha polisi Stakishari na simu ya mwisho alipiga kwa mke wake ROSEMERRY MASSAWE akiwa Tazara kupitia simu ya Polisi nambari 0659167082 Sasa akimtaarifu mke wake kuwa amepigwa sana,anahali mbaya ambayo mke wake aligundua hali ya mme wake kuwa yupo katika mateso ADINANI aliomba mke wake atume kiasi cha Shillingi laki 5 katika namba 0659167082 ambayo alisema namba ya simu ya Polisi aliyekuwa naye wakati huo,kwa ahadi ya kiasi hicho kingesaidia asiendelee kuteswa zaidi. Mke wake ROSEMERRY MASSAWE alitekeleza ombi la mume wake kwa kutuma laki tano. 6.Ndugu wa ADINANI walifika kituo cha Polisi Tazara,ambapo afande Kaduma mwenye namba 0757078736 alikana kumshikilia ADINANI kituo cha Tazara Mwisho walienda Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo walielekezwa waende Kituo cha polisi kati ofisi ya ZCO kandaa maalum DSM,kumuuliza Afande Mafwele kuhusu ndugu yao kushikiliwa na Polisi ZCO Mafwele alikana kumshikilia ADINANI,aliwatolea orodha ya mahabusu wanaoshikiliwa kituoni pale, Jina la ndugu yao halikuwemo katika orodha ya mahabusu. Pia aliwataarifu kuwa na wao Kanda maalum ya Dar es saalam wanamtafuta ADINANI kama mtuhumiwa,wakimpata wataitaarifu familia yake. 7.Ndugu wa ADINANI katika kumtafuta ndugu yao walifanikiwa kuonana na Kigogo mmoja wa Jeshi la Polisi,ambaye aliwathibitishia kuwa ndugu yao yupo Kituo cha Polisi Tazara,aliomba kiasi cha shillingi million 10 ilikuwasaidia kumaliza sakata la ndugu yao, Ndugu walitoa kiasi cha shillingi million 10 kupitia dereva wake,lakini baada ya kutoa kiasi hicho,Kigogo huyo aligeuka kuwapa jibu kumbe ni majina tu ndiyo yanafanana,lakini ndugu yenu hayupo kituo cha polisi Tazara 8.Baada ya siku kadhaa kupita ndugu wa ADINANI walipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha ni Askari wa Kituo cha polisi Mburahati kupitia namba ya simu 0713440820 Askari huyo aliwaeleza Kuwa ADINANI yupo Kituo cha Polisi Mburahati na hali yake ni mbaya sana. Askari huyo aliomba watumiwe kiasi cha Millioni 2 na laki 5 ili wasiendelee kumuadhibu na kumpa mateso ndugu yao. Ndugu walipotuma shillingi million mbili na laki tano simu hiyo haikuwahi kupatikana tena. 9.ADINANI alikuwa na mpenzi wake mwingine Dodoma,ADINANI alimpigia mpenzi wake huyo kumjulisha kuwa amekamatwa na Polisi na kumtaarifu kuwa kama anamtafuta amtafute kupitia rafiki yake mwenye namba 0742866092 Alipompigia mtu huyo alikata simu ya kawaida akapiga video call na kuwataarifu ADINANI hayupo tena Duniani 10.Gari ya ADINANI yenye usajili T146 DPY imeonekana kituo cha Polisi Selander bridge.

photo content

Tanzania ndio nchi pekee duniani inayochimba madini ya Tanzanite mpaka sasa. Lakini leo ukiingia kwenye mtandao na kujaribu k
Tanzania ndio nchi pekee duniani inayochimba madini ya Tanzanite mpaka sasa. Lakini leo ukiingia kwenye mtandao na kujaribu kusearch nchi zinazoongoza kwa ku-export Tanzanite utakuta namba moja ni India, tena kwa mujibu wa mujibu wa Volza, India wanaexport mzigo mkubwa mara tatu zaidi ya Tanzania. The Citizen waliwahi kureport kuwa biashara ya Tanzanite inaajiri zaidi ya watu million moja India, Tanzania pamoja na kuwa source pekee ya Tanzanite Duniani, value chain ya Tanzanite kuanzia kuichimba mpaka kuiuza haifikishi ajira laki moja. Swali la msingi tunalotakiwa kujiuliza, ni lini rasilimali za Tanzania zitaanza kuwanufausha watanzania ambao wengi mpaka sasa wanateseka kwa kukosa ajira pamoja na ugumu wa maisha?? Je, sera zetu za maendeleo zinampa mtanzania kipaumbele? Zinalenga kunufaisha watanzania walio wengi? Nani alie waloga watanzania

YAMAL KAMBARIKI MESSI 😀 Mounir Nasraoui [ Baba mzazi wa Lamine ] ameteka vichwa vya habari baada ya kusema Messi kumgusa Yam
YAMAL KAMBARIKI MESSI 😀 Mounir Nasraoui [ Baba mzazi wa Lamine ] ameteka vichwa vya habari baada ya kusema Messi kumgusa Yamal utotoni sio kama alimbariki badala yake Messi ndiye aliyepata baraka za Yamal “Messi amembariki Lamine? Labda Messi ndiye aliyebarikiwa baada ya kumgusa Lamine Yamal [akacheka]” “Lamine alikomaa kabla ya wengine, ninawashukuru sana Hispania ,La Masia, marafiki na wengine wote” Inawezekana Baba mzazi wa Lamine akawa na hoja kwa sababu , Messi kabla ya kumgusa Yamal alikuwa na magoli chini ya 30 katika misimu yake mitatu ya kwanza akiwa na Barcelona , baada ya kumgusa Yamal kila mtu anajua mambo makubwa yaliyofanywa na Messi kwenye mpira wa miguu 🤔 UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA  KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk

Unampa marks ngapi mchoraji..😃
Unampa marks ngapi mchoraji..😃

Ati hii ni viazi ni gunia moja kweli? Sidhani hapana Hii sio Viazi Gunia moja jameni Tuambiane tu ukweli
Ati hii ni viazi ni gunia moja kweli? Sidhani hapana Hii sio Viazi Gunia moja jameni Tuambiane tu ukweli

Ushamtambua..😀
Ushamtambua..😀