E-PLUS MEDIA
Відкрити в Telegram
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
1 307
"Kwenye hili sakata la Dullah nimejifunza katika maisha wakati tunaoa tuangalie ni mwanamke wa aina gani unaoa, bora uoe mwanamke mfupi ukioa mrefu ni tatizo. Dulla alimuoa Zaiylissa kwasababu alimpenda kutoka moyoni lakini mimi sikujua kumbe wakati wapo kwenye ndoa Zaiylissa alikuwa anamdangia Dulla Makabila, Dulla aliwahi kuniambia kuwa alikuwa hapewi penzi mpaka ampe Zaiylissa hela"
"Alikuwa anameza pituu ili asibebe mimba, Dulla aliniambia alikuwa anampa laki nane lakini laki saba anatumia kununua pitu anabaki na laki moja, ndio maana anakuwa mrefu kwasababu mwanamke anayetumia sana pitu lazima arefuke alafu unakuwa kama haupo sawa. Dulla anasema ndani ya wiki tatu alikuwa anapewa penzi mara mbili maana kila akimwambia wafanye alikuwa anamwambia una laki nane? Kama hauna niache" - amesisitiza Mkaliwenu
"Lakini kingine nilichogundua ni kwamba umasikini unafanya mtu akikupa pesa ndiyo unajua unapendwa, Zaiylissa kwao ni masikini kama sisi tu kwahiyo yeye ndio anataka aiinue familia yao kwa njia anayoijua yeye, na Dulla mpaka kesho anampenda sana Zaiylissa, amejaribu kwenda kwa waganga kuzuia hiyo ndoa usifungwe lakini amekuta Manara ni kisiki, ni mchawi wa kupindukia, akienda kwa waganga hawamuoni Manara kwenye kioo wanaona giza tu"
"Dulla kila akiwaelezea waganga kuhusu Hajji Manara wanasema hawamjui, Manara sio wa Mchezo amesimikwa vitu yupo ngangali, anajiamini kwasababu anajijua, Dulla na uchawi wake wote lakini pale amegonga mwamba" - Mkaliwenu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa
1 307
Hata mimi na utu uzima wangu wote nasikia tu ila sijaona 😂.
NB : Mwenye majibu tafadhali tujibu
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
NJIA YA MAFANIKIO YA KWELI.
Ili kwa pamoja tuweze kuyafikia mafanikio.
1.Epuka kutanguliza tamaa ya mafanikio ya haraka ambayo itakufanya usidumu katika Furaha yenye Aman.
2.Jenga ushirikiano na wenzako kwa kupata mawazo mapya yatakayokujenga katika fikra kujua namna kutatua changamoto zako kwa wepesi zaidi.
3.Nidhamu katika matumizi ya muda.-Usipende kupoteza muda bure bali panga ratiba zako zenye matumizi sahihi ya muda na ufanye tathmini ya kile ulichokifanya kutokana na muda ulioutumia.
4.Usimdharau binadamu mwenzio kwa kujiona wewe ni bora zaidi Bali umheshimu kila mtu kwani binadamu tunaishi kwa kutegemeana.
5.usijifanye mjuaji kwa kila jambo Bali jishushe na wakati mwingine kuwa mjinga ili ujifunze.
6.Kuwa na marafiki sahihi kwako wenye kiu ya mafanikio ambao wanaweza kukushauri na pia kukupa changamoto za kimaisha na namna ya kuzikabili.
7.Kuwa tayari kujitolea pasipo kutanguliza malipo kwani unajenga weredi na kuweka Akiba kubwa baadae itakayokufanya uingie katika mafanikio.
8.Uvumilivu ni kitu muhimu sana,kubali kusemwa,kutukanwa,kukatishwa tamaa,kudhihakiwa ukiweza kuvishinda hivi hakika utafanikiwa.
9.Heshimu busara za wazazi na kuwajali na si kwa Pesa na mali tu bali kujenga mawasiliano mazuri na wazazi,kuwashirikisha pale
unapoona inafaa.
10.Mshirikishe mwenyezi mungu kwa kila jambo kwa kuomba na kusali na kuamini kile unachokifanya.
Yapo mengi zaidi lakini kwa haya machache tunaweza kushea kwa pamoja maana sisi sote sasa ni Familia moja.
By Madebe Lidai
Toa maoni
1 307
"Nimemuomba msamaha mke wangu mama Rubby, ni kweli nilikosea na nimelitambua kosa langu nimeenda kumuomba msamaha na amenisamehe nimerudi nyumbani tunaishi pamoja. Zilikuwa ni hasira tu lakini nilikuwa nimelewa, kwa akili ya kawaida mwanaume huwezi kuongea maneno kama yale kwa mke wako ambaye amekuzalia watoto na mnaishi pamoja" - Baba Levo, Msanii wa muziki Tanzania na Mtangazaji.
Toa maoni y
1 307
"Ushauri wangu mnapokuwa kwenye mahusiano ya raha acheni kujirekodi utupu na kutumiana, pia hata video call za utupu maana kuna kugombana😩, nawaheshimu wanawake wote"- Stan Bakora ambaye ni rafiki kindaki-ndaki wa Dulla Makabila, ushauri huo umekuja baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba tayari nyeti za wawili hao zimeanza kusambazwa kwa baadhi ya Wasanii maarufu ila wanaogopa kuziachia kuepuka lawama.
Toa maoni
1 307
"Kuna watu wanashangaza sana, utasikia ooh waimbaji wa nyimbo za Injili wamepotea wanavaa nguo za kubana wakati zamani walikuwa wanavaa nguo ndefu za heshima, au ooh waimbaji wanajipodoa kwasababu zamani walikuwa weusi sasa hivi wamekuwa weupe. Jamani hivi hamjui kama maisha yanabadilika? Wengine yale manguo tuliyokuwa tunavaa zamani sio kwamba tulikuwa tunapenda, zile nguo nyingine tulikuwa tunapewa tulikosa hata pesa ya kwenda kuzipunguza ili ziendane na miili yetu ndio maana tulikuwa tunavaa hivyohivyo"
"Kwahiyo sio kwamba tulipenda kuvaa vile ni ugumu wa maisha, sasa hivi Yesu ametubariki tunavaa nguo tunazozitaka, tunaishi kwenye ndoto zetu, na wala zamani hatukuwa weusi, ni ugumu wa maisha ulitufanya tuonekane vile na camera za wakati ule zilikuwa zinamfanya mtu aonekane amechoka, sasa hivi pesa ipo angalau tunakula vizuri, hatutembei juani tena tuna magari yetu ndio maana nyuso zetu zimetakata"- Bahati Bukuku, Mwimbaji wa muziki wa injili Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
⚠️ Lucy Komba amepost picha yake hiyo kisha kuandika ujumbe huo na kuwashangaa kinadada wanaoishi kwa kutegemea udangaji
"Wakati ule nafanya kazi Mahakama Kuu, pia wakati uleule niko Kaole Sanaa Group, na pia soon after nilkaamua kujiiendeleza kimasomo nikawa nasomea information technology/ kompyuta, wakati huo huo nikafungua kampuni yangu ya Poyaga, nikaanza kutengeneza filmu zangu mwenyewe
Wakati huo uliofuata nikawa nafanya sarakasi, wakati mfupi baadae nikawa singo mama. I think I was a fighter 😀. sijui wengine mnakwama wapi, mtoto wa kike fight acha kutegemea mabuzi, mabuzi huwa yana nguvu za kukata kamba" - ameandika Lucy
Lucy Komba ambaye alijipatia umaarufu akiwa Kaole na baadaye katika filamu, kwasasa anaishi nchini Denmark alikoolewa na mzungu, ni mama wa watoto wawili lakini pia hata huko Denmark ameamua kujiendeleza kielimu na kusaka fursa nyingine kikazi
1 307
⚠️ Mama Haji Manara akiwa kwenye tukio la mwanae wakati akimvisha pete ya uchumba Zaiylisa
Mama Haji Manara mwishoni mwa 2022 wakati Manara akifunga ndoa ya 5 na Rushayna, alisikika akisema amechoshwa na tabia ya mwanae huyo kuoaoa kila baada ya muda mfupi kwani ndoa ya Manara na Rubina haikuwa hata na muda mrefu akasikia mwanae anaoa mke mwingine
Mama Manara alisema anaamini ndoa na Rushaynah ndio ingekuwa ndoa yake ya mwisho lakini hata hivyo ikawa tofauti Rushayna na Rubina wote wameachana na Manara na sasa anatarajiwa kufunga ndoa ya sita na Zayilisa ambaye wametikisa mitandaoni kwa sherehe yao kubwa
1 307
⚠️🥰 Muonekana wa Mulky a.k.a Femi wa Jua Kali kwenye shughuli ya Manara na Zaiylisa
