uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
"Nina watoto sita ambao nimezaa na wanawake tofauti-tofauti, licha ya wingi wao lakini najitahidi kuwalea, mimi baba yangu al
"Nina watoto sita ambao nimezaa na wanawake tofauti-tofauti, licha ya wingi wao lakini najitahidi kuwalea, mimi baba yangu alinitelekeza nikalelewa na mama yangu lakini bibi yangu ndiye aliyenilea zaidi kwahiyo nayajua maumivu ya kutelekezwa na baba, sitaki hayo yawakute watoto wangu. Na ikitokea nimekwama nawaambia ukweli mama zao kuwa sina wanisaidie na wanafanya hivyo"- Hemedy PHD

"Kwa sasa mimi ndiye mwanaume ninayependwa zaidi na wanawake, wananipenda kwasababu ya Muonekano wangu wa mazoezi na umekaa k
"Kwa sasa mimi ndiye mwanaume ninayependwa zaidi na wanawake, wananipenda kwasababu ya Muonekano wangu wa mazoezi na umekaa kimapenzi zaidi"- Calisah

Ni Birthday ya mama Uwoya
Ni Birthday ya mama Uwoya

"Mume wangu amenizawadia gari aina ya Range kwa ajili ya kuendea sokoni, ni zawadi yangu baada ya kutimiza umri wa miaka 30.
"Mume wangu amenizawadia gari aina ya Range kwa ajili ya kuendea sokoni, ni zawadi yangu baada ya kutimiza umri wa miaka 30. Ananipenda na weusi wangu na nahisi nikijichubua nitaachika"- Joan Gray, Mwanamitindo

RIYAMA ALLY KURUDI KWENYE HUBA? Ni miaka kadhaa imepita tangu Mwigizaji Riyama Ally alipoacha kuonekana kwenye Tamthilia ya H
RIYAMA ALLY KURUDI KWENYE HUBA? Ni miaka kadhaa imepita tangu Mwigizaji Riyama Ally alipoacha kuonekana kwenye Tamthilia ya Huba na sababu hasa za kuondolewa kwake hazikuwekwa wazi ingawa watu wake wa karibu wamewahi kusema baada ya kuondoka aliwablock waigizaji wenzake aliokuwa akiigiza nao kwenye Huba na hata baadhi ya watu wa nyuma ya camera nao walilambwa block. Tangu hapo hatukuwahi kumuona Riyama akiiposti tena Tamthilia hiyo akaendelea na maisha yake mengine. Lakini siku za hivi karibuni Mwigizaji huyo ameonekana akiposti sana vipande alivyowahi kucheza kwenye Huba na kuisifia kuwa hakuna Tamthilia kali kama Huba, lakini pia amekuwa akiwajibu mashabiki zake wanaotaka arudi kwenye Huba kuwa Inshaallah waongeze dua ajereshwe. Hata hivyo haijajulikana kama yeye na uongozi wa Huba wamemaliza tofauti zao au laah! na Huba inaweza kumrejesha kwasababu wakati anaaga hakuuwawa, alifungwa kwenye chupa na Bi Sikitu kwa hivyo ni rahisi kurejea. Wewe ni miongoni mwa wanaotamani Riyama arejee Hubani?

⚠️ Dr.Modest afungukia documentary ya BBC Africa Eye kuhusu TB Joshua anayedaiwa kunyanyasa watu nyuma ya pazia huku wahanga wakitajwa kuwa wafanyakazi wa zamani wa kanisa hilo na wafuasi wake wa karibu toka nchi mbalimbali, huku miujiza ya kuponesha watu kansa, HIV ikidaiwa ni uongo uliosukwa na kulipa watu wafanye maigizo kuaminisha watu Dr.Modest ameandika yafuatayo 👇👇 "Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja, lengo sio hata kumchafua TB JOSHUA, ukweli utabaki pale pale kuwa kweli kuna watu walipata suluhu ya matatizo yao, wengine aliwa support kifedha na kielimu, swąla hapa ni moja tu, huwezi vuna sehemu ambayo hukupanda, kanisa lilikuwa la TB JOSHUA, Biashara Ilikua Ya kwake, alieingia makubaliano na mikataba na wenye dunia yao ni TB JOSHUA, kafanya yake kamaliza, "Sasa mtu au watu baki hawawezi kuendelea kuvuna hela kupitia hilo kanisa kwasababu hawana haki hiyo kutoka kwa wenye dunia yao, kinachofanyika hapa nikulifuta jina la SCOAN kwenye uso wa duniani, yaani SYNAGOGUE Church Of All Nation isi exist tena, ni kama vile leo Mwamposa akifariki ndio basi tena, huko Arusha kuna Geodevi na kanisa lake Ngurumo, naye akifariki na ngurumo ndio Mwisho. Vya Wenye Dunia huwa havirithishwi" - ameandika Dr.Modest Baada ya kifo cha TB Joshua, kanisa la Synagogue Church Of All Nations(SCOAN) kwasasa linaongozwa na mke wake Evelyn Joshua ambaye walipata watoto watatu

photo content

⚠️😳🥰 Sadio Mane(31) afunga ndoa na Aisha Tamba(18) waliyefahamiana miaka miwili iliyopita Wamefunga ndoa ya kiislamu tarehe 7 January hii huko Dakar, Senegal ambapo wanafamilia na marafiki wamehudhuria Baba mzazi wa bibi harusi akiongea amesema, Aisha ana miaka 18 na Sadio miaka 31 ila ameeleza kuwa Sadio alianza kumtupia jicho binti yake huyo zaidi ya miaka miwili iliyopita wakati Aisha na mama yake walipoenda kuitembelea familia ya kina Sadio ila hawakuweza kuwa wapenzi kwa wakati huo kwasababu ya umri mdogo wa Aisha Japo familia zilielezwa kukubaliana aje kumuoa baadaye ila maamuzi ya mwisho ileelezwa aliachiwa Aisha mwenyewe aamue Baada ya kufunga ndoa, siku iliyofuata Aisha amerudi shule kuendelea na masomo yake huku kundi kubwa likionekana kuwashangilia kwa nguvu na kuwaimbia akiwa na mumewe huyo huku wakipunga mkono katika videos zilizosambaa Aisha amemaliza shule ya secondary ila kuna utaratibu mwingine nchini Senegal wa waliomaliza secondary kuchujwa tena kupata vigezo vya kuendelea zaidi na elimu ya juu Japo baba wa Aisha anatajwa kuwa ni msanifu majengo(architect) lakini inadaiwa Sadio Mane ndio alikuwa amewekeza kugharamia elimu ya Aisha miaka ya karibuni Sadio Mane ambaye ni jina kubwa kwenye ulimwengu wa soka hasa Afrika, ameshazichezea klabu za Liverpool, Bayern Munich na sasa anacheza soka Saudi Arabia Sadio anatajwa kuwa na utajiri wa shilingi bilioni 62 ($25 million) ingawa hapendi maisha ya kujionesha Kwenye comments section kuona zaidi wanandoa hao wapya wanaopendana kwa dhati

photo content

⚠️😳 Idris Sultan apiga msamba wa kibabe levo za kina Jet Lee na Van Dame
⚠️😳 Idris Sultan apiga msamba wa kibabe levo za kina Jet Lee na Van Dame

"Shogangu king'ang'a, mama mkwe hakutaki, wenzio kina Zari, Tanasha na wengine hawakutolewa mahari ila mama aliwatambua kama
"Shogangu king'ang'a, mama mkwe hakutaki, wenzio kina Zari, Tanasha na wengine hawakutolewa mahari ila mama aliwatambua kama wakwe zake, tena na kuongozana nao kabisa. Wewe na mizawadi yooote ile unayojipelekeshaga ila bado mama mkwe hakutaki , alafu ukaniambia (unaijua Zanzibar wewe?)" "Sasa mbona hamna kitu huko Zanzibar, mama mkwe tu umeshindwa kumuweka kwenye mstari, endelea kutumika Shogangu sasa hivi unagonga 40 mayai yanakauka hayo"- Mange Kimambi kwa Zuchu baada ya mama Dangote kusema hayatambui mahusiano ya Zuchu na Diamond kwasababu hajatambulishwa kama mkwe.

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+6
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

⚠️ Ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa - Padri Kitima Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema matendo ya ukatili dhidi ya wanawake yanapaswa kupigwa vita kwa kuwa hayaonyeshi mfano mzuri kwa jamii. Amesema mke na mume wanapoingia kwenye ndoa wanaunganishwa na upendo, unaopaswa kubaki wakati wote wa maisha yao bila kujali changamoto wanazopitia. “Wanandoa wanapaswa kufanya maamuzi kwa pamoja, na ni muhimu kusikilizana, kinyume cha hapo ni ukiukwaji wa amri ya Mungu juu ya maisha ya pamoja kwa watu hawa. Uvumilivu ni kitu kinapaswa kupewa kipaumbele, siku zote waongozwe na amri za Mungu, mila na desturi na makubaliano yao,” amesema. Padri Kitima amesema, "Kama mmoja amevunja uaminifu awe tayari kukubali kurudi kwenye mstari mwenzake anapoamua kumrudisha, hakuna sababu ya kumdhuru kwa kuwa hata vitabu vya Mungu havituelekezi hivyo kuhusu ndoa. Kuhusu tendo la ndoa, Padri Kitima amesema ndoa ni zaidi ya tendo hilo na kama wanandoa watakuwa wanasikilizana hiyo haiwezi kuwa sababu ya kufanyiana ukatili “Unapoingia kwenye ndoa ina maana uko tayari kuishi maisha ya pamoja, halafu ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa hivyo inapotokea mwenzako amesema hapana ni wazi kuna sababu za msingi, ni vyema zikaheshimiwa kwa sababu kama mnasikilizana na kuelewana suala hilo litakuwa la muda. Tusiishie kuangalia mahitaji ya kimwili tukasahau kuhusu utu na thamani ya binadamu wengine,” amesema. Credit: Mwananchi

photo content

Lugha ya kiswahili inaoongoza kwa kuzungumzwa zaidi barani Afrika ikiwa na Wazungumzaji zaidi ya milioni 200. Toa maoni yako
Lugha ya kiswahili inaoongoza kwa kuzungumzwa zaidi barani Afrika ikiwa na Wazungumzaji zaidi ya milioni 200. Toa maoni yako

photo content

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

SINA NDOA KWASABABU NILICHOKA KUISHI NA MWANAUME MSALITI NA ANAYEZAA NJE KAMA MBUZI; FATMA KARUME "Sina ndoa kwasababu nilich
SINA NDOA KWASABABU NILICHOKA KUISHI NA MWANAUME MSALITI NA ANAYEZAA NJE KAMA MBUZI; FATMA KARUME "Sina ndoa kwasababu nilichoka kuwa na mume anayerudi saa 10 alfajiri na anayezaa nje kama mbuzi. Mwanaume asiyejiheshimu hana maana yeyote mwache arudi kwa mama yake amsaidie kulea watoto wake wa nje ya ndoa mie nilee wangu😂😂😂 Ninaweka public kwa sababu nne 1. Kuna KE wengi wanapitia mambo mengi wasidhani wako pekee yao 2. Kila experience ya mtu ina mafunzo 3. Sina chochote cha kuficha wala cha kuwa na aibu nacho 4. Sijawahi kumsaliti EX wangu, ni yeye ndiye anayo aibu hizo, aishi nalo Neno la mwisho kwa usiku wa leo. Dini zote zinakataa zinaa, ukioa au kuolewa jistiri, wewe mdoa mwenzako na watoto wako, binadamu si mbuzi, kuchepuka si UDUME ni UPUMBAVU na usaliti wa ndoa, mdoa mwenza na watoto wako ukiwa ME na KE"- Mwanaharakati Fatma Karume (Shangazi).

DONDOO ZA AFCON 🤔 Christian Atsu hayupo lakini historia yake inaendelea kuwepo, ni mmoja kati ya wachezaji ambao wamefanya b
DONDOO ZA AFCON 🤔 Christian Atsu hayupo lakini historia yake inaendelea kuwepo, ni mmoja kati ya wachezaji ambao wamefanya balaa katika historia ya michuano AFCON. ✅️ AFCON 2015 ➖ Mchezaji Bora wa Mashindano. ✅️ AFCON 2015 ➖ Goli Bora la Mashindano ✅️ AFCON 2015 ➖ Best XI ✅️ AFCON 2017 ➖ Best XI Historia itakukumbuka 💔 ⚽ #TotalEnergiesAFCON2023

⚠️🥰 Anerlisa asherehekea kutimiza miaka 36 kwa kujinunulia ndinga ya gharama kubwa aina ya Bentley Mrembo wa Kenya ambaye an
⚠️🥰 Anerlisa asherehekea kutimiza miaka 36 kwa kujinunulia ndinga ya gharama kubwa aina ya Bentley Mrembo wa Kenya ambaye ana pesa zisizo za mawazo, aliwahi kufunga ndoa na Benpol wa msanii wa Bongfleva ila haikudumu wakaachana Mwishoni mwa 2022 Anerlisa alisema anapanga kupata mtoto kabla hajafikisha miaka 36 Kwenye comments section picha zaidi