uk
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
photo content

"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapana! Mwanaume ambaye
"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapana! Mwanaume ambaye yupo tayari kunioa mimi kwanza ajue kabisa kwamba anaoa balozi wa Mungu, asiniwekee mipaka, mimi nahubiri Injili nchi mbalimbali duniani kwahiyo mara nyingi nakuwa sipo nyumbani" "Awe mvumilivu na mstahimilivu, aelewe ameoa mwanamke wa aina gani, tatizo kubwa ni kwamba sio rahisi kumpata mwanaume wa aina hiyo kwa kizazi cha sasa"-Rose Muhando

Kenya kama kenya.. KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_
+5
Kenya kama kenya.. KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+6
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

"Maandamano ya Kenya yametufundisha mengi sana kwasababu nchini kwetu zipo tozo mbalimbali zilipitishwa na hakuna kijana yeyo
"Maandamano ya Kenya yametufundisha mengi sana kwasababu nchini kwetu zipo tozo mbalimbali zilipitishwa na hakuna kijana yeyote aliyefungua mdomo au kuandamana lakini vijana wenzetu Kenya wameonyesha nguvu yao kama vijana hadi kufikia hatua ya kumshawishi rais wao kutoka hadharani na kubadilisha msimamo wake", Twaha Mwaipaya - Katibu mwenezi wa baraza la vijana wa CHADEMA Taifa #SupaBreakfast #EastAfricaRadio #Ngengazasiasa

Wafanyabiashara wa Halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamekubaliana kufungua biashara zao leo juni 27, 2024 kwa sh
Wafanyabiashara wa Halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamekubaliana kufungua biashara zao leo juni 27, 2024 kwa sharti la maafisa TRA kutofika kwenye biashara zao. Akizungumza katika mkutano ambao umefanyika standi ya zamani Makambako, Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara mkoa wa Njombe amewataka wafanyabiashara hao kuendelea na biashara zao huku wakisubiri majibu ya changamoto zao kutoka serikalini kutokana na vikao vinavyoendelea kufanyika jijini Dodoma. Aidha wafanyabiashara hao wamekubali kufungua biashara zao na kueleza kuwa hawahitaji kuona afisa yoyote wa TRA akiwafuata kwenye maduka yao kudai kodi. #IceFmhabari #NisikilizeMimi

Waandamanaji wamechoma moto Ndege ya Uhuru Park.
Waandamanaji wamechoma moto Ndege ya Uhuru Park.

"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nikahangaike nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- Shilole 😆😆

#HABARI Kijana anayefahamika kwa jina la Edger Mwakabela ambaye mtandaoni anatumia jina la Sativa, ambaye hivi karibuni mitan
#HABARI Kijana anayefahamika kwa jina la Edger Mwakabela ambaye mtandaoni anatumia jina la Sativa, ambaye hivi karibuni mitandao mbalimbali ilieleza kuwa alitoweka katika mazingira ya kutatanisha amepatikana akiwa na majeruhi kadhaa Kwa mujibu wa video inayosambaa mitandaoni inaonesha kijana huyo akilalamika kwa maumivu akiwa na jeraha usoni na maeneo mengine huku baadhi ya wasambazaji wa video hiyo wakieleza kuwa kijana huyo amepatikana katika Hifadhi ya Katavi Bado hakuna taarifa rasmi zilizopatikana kutoka kwa mamlaka husika kueleza kisa cha kijana huyo Taarifa za kutoweka kwa kijana huyo zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia Juni 23/2024 huku ikielezwa kuwa mara ya mwisho alikuwa Jijini Dar es salaam Wadau mbalimbali mitandaoni wameanza harakati za kuhamasishana kumtoa eneo alilookotwa na kupekekwa Dar es salaam kwa ajili ya matibabu Jitihada za kulitafuta Jeshi la Polisi kueleza undani wa tukio hilo zinaendelea #EastAfricaRadio

Na mabomu ya machozi mnabusu aki😅
Na mabomu ya machozi mnabusu aki😅

Jamaa bado anatembea na hii kitu mtaani tu
Jamaa bado anatembea na hii kitu mtaani tu

Ila wakenya hadi hii..🤔
Ila wakenya hadi hii..🤔

Unalipi la kumwambia rais wa Kenya william ruto kwa sasa..😅
Unalipi la kumwambia rais wa Kenya william ruto kwa sasa..😅

Vp mtaani kwenu na nyie wamefunga maduka..😅
Vp mtaani kwenu na nyie wamefunga maduka..😅

Na farasi wa polisi.. 😅
Na farasi wa polisi.. 😅

Wakachukua na kiti cha spika..😀😅
Wakachukua na kiti cha spika..😀😅

Pichani masanja mkandamizaji akiwa na familia yake..😀
Pichani masanja mkandamizaji akiwa na familia yake..😀

photo content