uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

WANAFUNZI 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa leo. - Taarifa iliyotolewa na B
WANAFUNZI 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa leo. - Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), imeeleza kuwa mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 8, 633 sawa na asilimia 1.6 kulinganisha na idadi ya waliofanya mtihani mwaka jana. - Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Said Mohamed ameeleza kuwa kati ya hao watahiniwa 28, 952 ni wa kujitegemea ambao watafanya mtihani kwenye vituo 1,798 vilivyosajiliwa. - Amesema asilimia 46.05 ya watahiniwa wa shule ni wavulana na asilimia 53.95 ni wasichana huku kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea asilimia 40.99 ni wavulana na asilimia 59.01 ni wasichana.

Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Msanii huyo ameshinda tuzo
Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Msanii huyo ameshinda tuzo hizo tatu za (AEUSA) katika vipengele vifuatavyo: - Artist of the Year 2023 - Best Music Video (Single Again) - King of the East and Bongo, Afro Bongo Flavour Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥

NITAKULELEA MTOTO WAKO ULIYEMUACHA, PUMNZIKA SALAMA MWANANGU; CHINO "Daaaah😭😭😭😭😭 ma Nigger siwezi kuongea sana ila naami
NITAKULELEA MTOTO WAKO ULIYEMUACHA, PUMNZIKA SALAMA MWANANGU; CHINO "Daaaah😭😭😭😭😭 ma Nigger siwezi kuongea sana ila naamini mwenyezi Mungu atakuweka sehemu salama na nazidi kukuombea sana mwanangu, na ndoto yako kubwa iliyosababisha mpaka tukapanga mipango mingi ilikuwa ni mtoto wako kipenzi uliyemuacha, nakuahidi hatapata shida kabisa ikiwa bado nipo hai pumnzika salama mwanangu"- ameandika Chino kufuatia kifo cha dereva wake huyo pichani kwa jina la Nabeel ambaye walipata ajali wote lakini dereva wake akafariki.

Hapa ni Mbezi Luis Manispaa ya ubungo, kama unavyoona athari za mvua zinazoendelea kunyesha. Hali ikoje huko uliko?
Hapa ni Mbezi Luis Manispaa ya ubungo, kama unavyoona athari za mvua zinazoendelea kunyesha. Hali ikoje huko uliko?

NABEEL AZIKWA Nabeel ni miongoni mwa vijana kadhaa walioongozana na msanii Chino hapo jana wakitokea Dar es salaam kuelekea M
NABEEL AZIKWA Nabeel ni miongoni mwa vijana kadhaa walioongozana na msanii Chino hapo jana wakitokea Dar es salaam kuelekea Moshi Kilimanjaro kwenye show, ambapo kwenye msafara huo Nabeel ndiye alikuwa dereva lakini isivyo bahati walipata ajali mkoani Tanga na yeye pekee ndiye aliyefariki. Nabeel amefariki alfajiri ya jana na amezikwa mchana wa jana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Sisi sote ni wa Mungu na kwake tutarejea🙏

WATU BADO HAWAAMINI KAMA BILLNAS ANAWEZA KUMHUDUMIA NANDY, BADO WANAAMINI ANALELEWA. Juzi ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nandy ambapo alikuwa anatimiza miaka 31. Nandy na mume wake Billnas waliitumia siku hiyo kula bata katika sehemu ambayo haijafahamika ni wapi lakini walitumia ndege binafsi na huko walikoenda walienda kula bata kwelikweli kutokana na picha/video walizokuwa wanaposti. Kama wanaume wengine wanavyowajibika kwa wake zao, Billnas alionekana kumtunza mke wake Nandy pesa za kutosha zikiwemo Dolla , mikufu, cheni na saa. Kitendo hicho kiliibua maneno kwa mashabiki wao ambao wanadai Billnas hana uwezo wa kumhonga Nandy kiasi kikubwa cha pesa kama kilivyoonekana kwenye video husika, wanasema kilichofanyika ni Nandy alienda kutoa pesa zake bank akampatia Billnas amtunze kisha wakimaliza kujirekodi anachukua pesa zake anazirejesha bank. Mashabiki wanasema hata hiyo gharama ya kupanda ndege binafsi pesa alitoa Nandy kwasababu Billnas hana pesa ya kufanya kufuru isipokuwa pesa ya kula.

photo content

⚠️ Moja ya nyumba za Mh.Freeman Mbowe Mwenyekiti Wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo(CHADEMA),Iliyopo Machame, Moshi, Kilima
⚠️ Moja ya nyumba za Mh.Freeman Mbowe Mwenyekiti Wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo(CHADEMA),Iliyopo Machame, Moshi, Kilimanjaro Picha zaidi share

Unahisi watakua wanacheka nini hawa
Unahisi watakua wanacheka nini hawa

Umewatambua nani na nani
Umewatambua nani na nani

⚠️😭 Pichani Nabeel ameripotiwa kufariki dunia, ni katika tukio la ajali waliyoipata kina Chino Kid wakati wakielekea mkoani
⚠️😭 Pichani Nabeel ameripotiwa kufariki dunia, ni katika tukio la ajali waliyoipata kina Chino Kid wakati wakielekea mkoani Tanga katika show. Gari lao liligongana na lori la mafuta Imeelezwa Nabeel alikuwa dereva pia alikuwa mtu wa karibu wa kina Chino Wengine wameripotiwa kuumia pia sehemu mbalimbali mwilini na kukimbiza hospitalini kwa matibabu

⚠️😳 Justina msanii wa injili nchini Kenya ajitosa hadharani kutafuta mume wa kumuoa. Mume anayemtaka awe bilionea mwenye umr
⚠️😳 Justina msanii wa injili nchini Kenya ajitosa hadharani kutafuta mume wa kumuoa. Mume anayemtaka awe bilionea mwenye umri wa miaka 25

MCHEZAJI WA GHANA ALIYEFARIKI UWANJANI KUMBE ALIONYWA KUCHEZA SOKA Mchezaji wa Ghana, Raphael Dwamena amefariki dunia kwa kua
MCHEZAJI WA GHANA ALIYEFARIKI UWANJANI KUMBE ALIONYWA KUCHEZA SOKA Mchezaji wa Ghana, Raphael Dwamena amefariki dunia kwa kuanguka ghafla uwanjani akiwa anaichezea timu yake ya KF Egnatia ya Albania. Dwamena amefariki uwanjani akiwa na umri wa miaka 28 baada ya kuanguka ghafla dakika ya 24 ya mchezo wa timu yake ya KF Egnatia dhidi ya Partizani ya Ligi Kuu ya Albania ambapo ilikuwa 1-1. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali nchini Ghana vinasema kwamba Dwamena aliwahi kugundulika kuwa na ugonjwa wa moyo na alionywa dhidi ya kuendelea kucheza soka. Mnamo 2019, klabu ya Real Zaragoza ya Hispania ilikatisha kandarasi yake kutokana na matatizo ya kiafya. Alikuwa kwa mkopo kutoka klabu ya Levante. Mnamo 2020, timu ya Denmark ya Vejle Boldklub ilisitisha mkopo wake kutokana na matatizo ya moyo. Mnamo 2021, kandarasi yake ilikatishwa na klabu ya Austria FC Blau Weiss Linz kwa sababu ya matatizo ya moyo. Mnamo 2023, amefariki kwa ugonjwa wa moyo wakati akichezea klabu ya Albania, KF Egnatia.

Staa wa Bongofleva, Lady Jaydee amemletea zawadi ya perfume mtalaka wake, Gardner G Habash ambaye ni Mtangazaji wa Clouds FM.
Staa wa Bongofleva, Lady Jaydee amemletea zawadi ya perfume mtalaka wake, Gardner G Habash ambaye ni Mtangazaji wa Clouds FM. Utakumbuka Lady Jaydee na Gardner walifunga ndoa Mei 2005 na kuachana rasmi kwa talaka Desemba 2016, ikiwa ni miaka 10 ya ndoa. Je, wewe unaweza kumpa zawadi mtalaka au ex wako?.

MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya CCM Taifa, Paul Makonda, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya CCM Taifa, Paul Makonda, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Binuru Shekidele kufungua stendi ya Mwembeyanga ambayo ilifungwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ametoa maagizo hayo wakati anazungumza na wananchi wa Kata ya Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. "Mkurugenzi naomba unisikie, leo naenda Mwanza nitalala pale, kesho saa sita stendi ifunguliwe haraka," amesema Makonda.

Mhm..😷
Mhm..😷

Hawa ndio husema "MO atuachie timu yetu" 😂😂😂😂😂😂😂
Hawa ndio husema "MO atuachie timu yetu" 😂😂😂😂😂😂😂

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mji
+1
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Mhe. Dkt Tulia Ackson, akiwa amepakatwa na Mama yake mzazi Bi. Nkundwe Mbonile akimpongeza kwa ushindi wa Urais wa IPU baada ya kumtembelea nyumbani kwake Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 12 Novemba, 2023.

“Nimekuwa nikimgoogle Mama yangu ili kuweza kujua alikuwa mtu wa namna gani, nimejifunza vingi kuhusu yeye na nikagundua alik
“Nimekuwa nikimgoogle Mama yangu ili kuweza kujua alikuwa mtu wa namna gani, nimejifunza vingi kuhusu yeye na nikagundua alikuwa anapaza sauti kwa ajili ya wengi, mpiganaji na najisikia furaha kuona aliacha alama nchini” Rahmani Chifupa Mtoto Wa Marehemu Amina Chifupa. alipohojiwa Kwenye kipindi cha LeoTena ya Clouds Fm _ SWALI: Je mtoto wako Akiija Kukugoogle Wewe Atapata Taswira Gani Juu Yako? Follow👉 https://instagram.com/e_plus_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg==