uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
Baada ya Karume Boyz Kuchukua Ubingwa wa CECAFA Nimeona Kuna Mijadala ya ajabu imezuka kuhusu Muungano Tuzungumzie Hapa Kwani
Baada ya Karume Boyz Kuchukua Ubingwa wa CECAFA Nimeona Kuna Mijadala ya ajabu imezuka kuhusu Muungano Tuzungumzie Hapa Kwanini Baadhi ya Wazanzibari Wanapokuwa wanafanya Vizuri Katika Maswala ya Kimichezo Mijadala Yao Huwa ni Kuhusu Kupewa Nchi Yenye Mamlaka Kamili na kuuvunja Muungano Kwanini Wanapokuwa wanafanya Vibaya Huwa Hawaongelei kuhusu Muungano ? Kwanini Tusipambanie Wapewe uanachama CAF na FIFA ila mijada ya Kuvunja Muungano isiwepo, Mbona Kuna Nchi kama UK Ina Wakilishwa na Nchi za England,Wales na Scotland huko FIFA Huku kila Nchi ikiwa na uanachama wake kamili? Anauliza Ahmad Mkunda

***Nini kinasababisha Baadhi ya Mabwana Harusi kumwaga machozi harusini?***
***Nini kinasababisha Baadhi ya Mabwana Harusi kumwaga machozi harusini?***

Diamond Alipoulizwa kuwa anajisikiaje akiona Wasanii wanaosainiwa kwenye label yake ya Wasafi kuondoka pale wanapopata mafani
Diamond Alipoulizwa kuwa anajisikiaje akiona Wasanii wanaosainiwa kwenye label yake ya Wasafi kuondoka pale wanapopata mafanikio amesema Mimi ni baba nafurahi kuona wanangu wanafanikiwa Mfano Mwanangu Harmonize juzi juzi katoka kushinda tuzo 3 vile vile Rayvanny na Wasanii wangu wengine amesema Simba la Masimba kwenye Short interview aliyofanya kwenye Usiku wa Kumtambulisha msanii wake mpya JE UNADHANI DIAMOND YUKO SAHIHI?.

Mtangazaji wa kituo cha redio Clouds, Meena Ally amefanikiwa kutunukiwa tuzo ya heshima ya Mfano bora wa kuigwa kwa vijana (B
Mtangazaji wa kituo cha redio Clouds, Meena Ally amefanikiwa kutunukiwa tuzo ya heshima ya Mfano bora wa kuigwa kwa vijana (Best Youth Role Model) kupitia tuzo za @youthawards_tanzania. Katika ukurasa wake @meena_ally ame-share good news kwa mashabiki wake kwa kuandika👇. "Nimepata nafasi ya kutunukiwa tuzo ya heshima katika tuzo za @youthawards_tanzania kama Best Youth Role Model ( Mfano bora wa kuigwa kwa vijana), napenda kutoa shukrani kwako wewe unaeniamini, unaefuata yale mazuri kutoka kwangu, unaefahamu mimi ni mwanadamu na kunivumilia ndani ya makosa yangu, kujifunza katika mema yangu pia." 🙏

Mahakama ya Rufaa imemuachia huru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake wawili Sylvester
Mahakama ya Rufaa imemuachia huru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake wawili Sylvester Nyegu na Daniel Mbura baada ya mahakama hiyo kukubaliana na maamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Rufaa hiyo namba 231 ya mwaka 2022 ilikatwa na mwendesha mashtaka wa serikali (DPP) kupinga uamuzi wa awali wa hukumu ya rufaa namba 129 ya mwaka 2021 iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha mbele ya Jaji Sedekia Kisanya iliyompa ushindi Sabaya na wenzake baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kufuatia kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021 iliyohusisha wizi na makundi ya unyang’ayi wa kutumia silaha.

Mapacha wanaofanana wamesherehekea miaka 100 ya kuzaliwa, huku mmoja akisema haoni tofauti yeyote na alipokuwa na umri wa mia
Mapacha wanaofanana wamesherehekea miaka 100 ya kuzaliwa, huku mmoja akisema haoni tofauti yeyote na alipokuwa na umri wa miaka 50. Anne Brown and Florence Boycott walikuwa wamezungukwa na marafiki na vizazi vitano vya familia yao walipokuwa wakisherehekea hatua yao muhimu katika makazi ya kulea wazee The Firs. Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mapacha hawa.

#HABARI Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 18, amekutwa amefariki eneo la Dampo kata ya Buhongwa Mwanza kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wa wanaeleza kuwa kijana huyo alikuwa anaishi na wenzake wanne kwenye chumba kimoja japo bado hawajafahamu kwa kina hasa kilichomsibu hadi umauti kumkuta. Balozi wa mtaa wa Shibai kata Buhongwa Deo Melikyadi, amesema kijana huyo aliyemtambulisha kwa jina moja la Ally, alikutwa amefariki leo asubuhi majira saa 11 alfajiri ambapo alikuwa amechomwa na kitu kinachosadikika kuwa kisu maeneo ya tumboni na shingoni. "Baada ya kufika kwenye tukio nikamkuta huyu mtu aliyechomwa kisu anaitwa Ally, ndipo ikamtafuta mwenyekiti wa mtaa akaja na wajumbe tukamuangalia tukagundua kweli Ally amechomwa kisu tumboni na shingoni, alikuwa anakaa kwenye chumba cha kupanga na wenzake wanne tumewauliza wanasema hawajui ilikuwaje' amesema mjumbe. Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeuchukua mwili wa kijana huyo kwa ajili ya uchunguzi.

photo content

Pichani ni Mwigizaji Lucy Komba akiwa kwenye picha ya pamoja na Mama yake pamoja na mdogo wake Lilian Komba ambaye ameolewa s
Pichani ni Mwigizaji Lucy Komba akiwa kwenye picha ya pamoja na Mama yake pamoja na mdogo wake Lilian Komba ambaye ameolewa siku za hivi karibuni.

Mwanariadha wa Kenya, Eliud Kipchoge anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Humane Lette
Mwanariadha wa Kenya, Eliud Kipchoge anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Humane Letters (Honoris Causa)) kutokana na mchango wake wa kuisaidia jamii. Heshima hiyo itatolewa na Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT) Desemba 1 mwaka huu.

Nani alitisha hapa
Nani alitisha hapa

UMETAMBULISHWA KWA PESA NYINGI UKIWA HAUNA KITU, UNAENDA KUWA TAJIRI LAKINI DIAMOND AKIANZA KURUDISHA PESA ZAKE USIJE NA HOJA
UMETAMBULISHWA KWA PESA NYINGI UKIWA HAUNA KITU, UNAENDA KUWA TAJIRI LAKINI DIAMOND AKIANZA KURUDISHA PESA ZAKE USIJE NA HOJA YA KUPUNJWA; BABA LEVO "Mimi nimwambie tu D Voice kwamba nadhani ameona gharama kubwa iliyotumika kumtambulisha, miezi michache anaenda kuwa tajiri na kushika pesa nyingi, sasa watu wakianza kuchukua sehemu ya malipo anayoingiza asilete habari za kuonewa, mara kupunjwa. Akumbuke kabisa amekuja akiwa na laki mbili na sabini mfukoni kila kitu amekikuta hapa" "Atambue kwamba hii ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa, kwahiyo watu wakianza kuchukua pesa zao atulie, aiepuke tamaa ajue kabisa hii ni biashara kubwa ndiyo maana hata ndugu zake wameshindwa kumsaidia"- Baba Levo

HIKI NDICHO KILICHOMFANYA DIAMOND AMUAMINI NA KUMSAINI D VOICE WASAFI. "Kwanza ana kipaji, anaweza kubadilika-badilika, anawe
HIKI NDICHO KILICHOMFANYA DIAMOND AMUAMINI NA KUMSAINI D VOICE WASAFI. "Kwanza ana kipaji, anaweza kubadilika-badilika, anaweza kuandika kwasababu wasafi hatutaki msanii wa kuandikiwa, kila msanii wa Wasafi lazima ajue kujiandikia nyimbo mwenyewe asitegemee sijui Zuchu, Mbosso atamuandikia. Sisi kama ndugu zake tukiona amekwama sehemu anahitaji msaada tutamchangia lakini jukumu la kuandika ni la kwake mwenyewe" "Yeye ana uwezo huo wa kuandika nyimbo mwenyewe, ana heshima, japokuwa kwa sasa ni ngumu kusema moja kwa moja kwamba ana heshima mpaka atakapoanza kushika hela"- Diamond Platnumz

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

"Kuhusu mabango tumeyaona na tuna kitengo cha sheria, wanaangalia kuona kama inafaa kuchukua hatua au kuacha, lakini hili tum
"Kuhusu mabango tumeyaona na tuna kitengo cha sheria, wanaangalia kuona kama inafaa kuchukua hatua au kuacha, lakini hili tumesababisha sisi. Wakati ujao wachezaji wafanye kila linalowezekana hiyo kadhia isitokee tena. Mwiba unatokea ulipoingilia." - Ahmed Ally, Afisa Habari Simba

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally amesema Klabu ya Simba imeyaona mabango yanayoonesha matokeo
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally amesema Klabu ya Simba imeyaona mabango yanayoonesha matokeo ya Kariakoo Derby ambapo amesema kitengo cha sheria cha Simba SC kinaangalia kuona kama inafaa kuchukua hatua au kuacha huku akikiri kuwa kadhia hiyo imesababishwa na wao kwa Wachezaji kuruhusu kufungwa bao tano. Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam leo, Ahmed amesema “Kuhusu mabango tumeyaona na tuna kitengo cha sheria, wanaangalia kuona kama inafaa kuchukua hatua au kuacha lakini hili tumesababisha sisi, wakati ujao Wachezaji wafanye kila linalowezekana hiyo kadhia isitokee tena, mwiba unatokea ulipoingilia” #MillardAyoSPORTS

Neymar na msalaba wake..😃
Neymar na msalaba wake..😃

Idadi ya watu wa familia ya Lazaro Sanabanka mkazi wa kijiji cha Nyakanazi waliofariki dunia baada ya kula chakula kinachodha
Idadi ya watu wa familia ya Lazaro Sanabanka mkazi wa kijiji cha Nyakanazi waliofariki dunia baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu jioni ya November 13 mwaka huu imeongezeka kutoka watu 5 na kufika 6. Aliyefariki dunia hii leo ni mtoto mdogo ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospital Teule ya Biharamulo

Lejendari wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani Snoop Dogg, ametangaza kuachana na matumizi ya uvutaji wa bangi. Kupitia ukura
Lejendari wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani Snoop Dogg, ametangaza kuachana na matumizi ya uvutaji wa bangi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Anko Snoop ameandika👇. "Baada ya mazungumzo ya kina na familia yangu, nimeamua kuacha kuvuta. Tafadhali naomba muheshimu usiri wangu katika kipindi hiki" Snoop Dogg kwa miaka mingi amekuwa akisifika kama miongoni mwa wasanii wenye uvutaji mkubwa wa kilevi hicho. Ikumbukwe majuma m¡kadhaa yaliyopita Snoop Dogg alikiri kuwafahamu Wauzaji wakubwa wa bangi (Weed dealers) waliopo kote Duniani, kasoro taifa la Korea Kasikazini pekee.