E-PLUS MEDIA
Відкрити в Telegram
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
1 307
+2
🚨𝗛𝗔𝗧𝗜𝗠𝗔𝗘 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 🇹🇿 X 🇨🇵
UMEIONA : Video ya nyota wa soka Duniani Paul Pogba akiwa na Diamond Platnumz wakifatilia mechi ya Portugal dhidi ya France EURO 2024 imekuwa maarufu sana Duniani kote,
Kwenye video hiyo pia ilimuonyesha Paul Pogba akicheza nyimbo za DiamondPlatnumz
UNAAMBIWA: paulpogba anazijua nyimbo zote za Diamond, kuziimba hadi kucheza
Muziki wetu unakua sana, Siku hadi siku !!!
1 307
Mfanyabiashara wa Dubai, Sergei Kosenko ambaye anashiriki maisha yake kwenye Instagram kwa jina la Mr Thank you.
Hivi majuzi alishiriki video na mpenzi wake akionekana anashuka kutoka kwenye helikopta nyekundu akipita kwenye vifurushi vya noti badala ya 'Red Carpet'
Credit Aviation Media Tanzania
1 307
Ukiwa Malawi ukiita Ziwa nyasa ni kosa ,na bongo ni marufuku kuita Ziwa Malawi, Tanzania 🇹🇿 na Malawi zimeshawahi kupeleka majeshi mpakani sababu ya mzozo wa Mpaka, Malawi Mara nyingi hudai Ziwa hili lote lipo kwao kitu ambacho si kweli .Wakati wa Mwalimu Nyerere walifanya hivyo tukakaribia kuwanyuka, na alipokuja Raisi mwanamke Anna Banda wakati huo alikua Kikwete pia tulikaribia kuwatandika .. Hii mipaka ya Ukoloni inatugombanisha ndugu
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
The Magufuli Bridge in Tanzania 🇹🇿, the longest in East Africa, is set for completion in December 2024.
At 3.2 km long, it's already 90% complete and making steady progress.
1 307
+2
Pale unapojenga Nyumba yako kwenye mpaka wa kiwanja na Jirani yako akamua kujenga Ukuta.
1 307
“Siwezi kuuza Utu wangu kwa vipande 30 vya fedha au Cheo….Spika Ndugai aliniita akaniambia ndugu yako anataka Uhamie CCM, nikamwambia CCM siendi bora nisiwe Mbunge” Mchungaji Peter Msigwa, Tarehe 30/12/2023.
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
🚨MO DEWJI AMKUMBUKA RAFIKI YAKE WA UTOTONI MANJI,AMLILIA KWA MASIKITIKO MAKUBWA.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa za kufariki kwa Yusuf Manji, rafiki na rika la siku nyingi. Yusufu na mimi tulikutana kwa mara ya kwanza tukiwa na umri wa miaka 12 tu. Kuanzia darasani ambapo tulishiriki masomo mengi na kufanya kazi kwenye miradi pamoja, hadi mijadala yetu ya kusisimua kuhusu soka - kujitolea kwangu kwa Simba na mapenzi yake kwa Yanga - uhusiano wetu ulikuwa imara.
Safari ya Yusuf ilimchukua kutoka New York hadi Atlanta, huku barabara yangu ikielekea D.C. kufuata elimu yangu. Dhamira ya Yusuf kwa Yanga ilikuwa kubwa; hakuwekeza rasilimali zake tu, bali aliimwaga roho yake ndani ya timu hiyo, na kuiletea mafanikio makubwa na kutengeneza historia ambayo Yanga itaikumbuka milele.
Leo, ninaomboleza mtu ambaye alikuwa mshindani mkali, rafiki, na roho ya ukarimu. Yusuf alitumia kwa wingi vitu alivyokuwa akiviamini, na athari yake kwa wale waliokuwa karibu naye ilikuwa kweli isiyopimika. Tunapoomba kwa ajili ya nafsi yake kupata amani ya milele, pia tunatuma rambirambi zetu za kina kwa familia yake—mama yake, dada yake, mke na watoto. Aliwapenda sana, na najua walihisi upendo huo kila siku.
Yusuf, kuondoka kwako kunaacha pengo mioyoni mwetu, lakini tunafarijiwa na kumbukumbu na athari kubwa ulizoziacha. Tunaposema kwa Kiswahili, “Nyinyi, mmetangulia na sisi tupo nyuma yenu”—Umeenda mbele, na sisi tuko nyuma yako.
Pumzika kwa amani rafiki yangu. Utakosa milele lakini hautasahaulika.
- MO DEWJI Via instagram
1 307
Oscar Kipchumba Sudi I bought my first Range Rover at 22 years,20 millions is not alot of money to Me muaje kulalamika eti Sudi anapeana 20 millions kanisani!!!
1 307
+1
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
