uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
''Tatizo la watu wengi ni kushindwa kujipanga ndio maana wanalia januari ngumu lakini kiukweli kabisa waliojipanga hakuna ugu
''Tatizo la watu wengi ni kushindwa kujipanga ndio maana wanalia januari ngumu lakini kiukweli kabisa waliojipanga hakuna ugumu wowote zaidi wanaendelea na manunuzi makubwa na wanakula bata kama siku zote. - Chales Ligonja Mwalimu wa masuala ya fedha

Hii nyumba ya ibada ipo Uyo, Jimbo la Akwa Ibom , Nigeria 🇳🇬. Inaitwa "International Christian Worship Centre"
+2
Hii nyumba ya ibada ipo Uyo, Jimbo la Akwa Ibom , Nigeria 🇳🇬. Inaitwa "International Christian Worship Centre"

Bondia maarufu kutokea Morogoro, TwahaKiduku Amejibu kauli ya Bondia kutokea Tanga, HassanMwakinyo baada ya kumwita kuwa yeye
Bondia maarufu kutokea Morogoro, TwahaKiduku Amejibu kauli ya Bondia kutokea Tanga, HassanMwakinyo baada ya kumwita kuwa yeye ni Dada wa Mororgoro na anapiko kama za marehemu mama yake Bi Fatma Hivyo basi naye Twaha kiduku amemjibu kuwa ✍️"Subira ni rafiki mkubwa wa Hekima" Unakipi cha kumshauri Twaha Kiduku ..?

"Wanaume, kuna wakati jifunze kusema basi Mungu imetosha huyu mwanamke ni rizki ya wababa si wangu, unajua kuna wakati unahan
"Wanaume, kuna wakati jifunze kusema basi Mungu imetosha huyu mwanamke ni rizki ya wababa si wangu, unajua kuna wakati unahangaika kutengeneza maisha ya mwanamke ili umridhishe unampa kila kitu anachotaka unasahau kutengeneza maisha yako. Unahangaika kumnunulia vitu vya thamani wakati uwezo wenyewe huna" "Unakuta uwezo wako wa kupambana na maisha yako ni wa kuunga-unga ila mwanamke uliyenaye muda wote masikio yake yapo juu yanasikia hela kutoka kwako. Achia wababa, wababa wamewekwa spesho kwa ajili ya kuwahudumia wadada, wababa wamezeeka wana pesa zao za pesheni hawana pakuzipeleka wana wanawake zao nao wamezeeka hawawezi kuomba hela" "Muachie mwanamke wako aende akazikwapue zile hela azifaidi, acha wababa wamlee wewe hangaika kupambania kesho yako na kujijenga kwasababu kesho utakapokuwa umeharibikiwa maisha utaimbiwa ile nyimbo ex umechoka mbwa wewe, kesho ukiishiwa pesa, makazi hayupo mwanamke ambaye atasimama na wewe, tafuta pesa na wewe uje kuwa mbaba wa baadae "- Madam Boss

Nimechoka kujifanya najua kila kitu, acha leo niulize. Hii alama ya MWEZI na NYOTA kwenye Bendera za nchi nyingi za KIISLAM H
Nimechoka kujifanya najua kila kitu, acha leo niulize. Hii alama ya MWEZI na NYOTA kwenye Bendera za nchi nyingi za KIISLAM Huwa inamaana gani? Yoyote anaefahamu🤷🏼‍♀️

TAFUTA HELA LAKINI USIACHE KULA VIZURI, MAANA HATA SIKU YA MSIBA WAKO KABLA YA MAAZISHI YAKO RATIBA YA KWANZA NI KULA....YANI
TAFUTA HELA LAKINI USIACHE KULA VIZURI, MAANA HATA SIKU YA MSIBA WAKO KABLA YA MAAZISHI YAKO RATIBA YA KWANZA NI KULA....YANI LAZIMA WATU WALE NDIO WAKAZIKE

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+5
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Tupe bei ya Kilo Moja ya Sukari hapo ulipo.
Tupe bei ya Kilo Moja ya Sukari hapo ulipo.

Washaanza kurudi.
Washaanza kurudi.

"Wanangu kama tumekubaliana kulea watoto ama mtoto na mama mtoto basi tunapotuma pesa ya matunzo tumzingatie na mama yake mto
"Wanangu kama tumekubaliana kulea watoto ama mtoto na mama mtoto basi tunapotuma pesa ya matunzo tumzingatie na mama yake mtoto, tujibane kwenye 50,000/= tutume hata 100,000/= tuzidishe mara mbili kwa kuheshimu jitihada za mama yake" "Binti wa watu kuna muda ananuka mikojo ya mwanao, binti wa watu kuna muda anashindwa kwenda kutafuta mkate ili amhudumie mwanao. Matunzo wanangu!!! matunzo yasiishie kwa mtoto wako tu, pesa yako ni ndogo sana dhidi ya jitihada zake kwa mwanao, USIMSAHAU"-Farhan

⚠️ Happie ajibu wanaomtaka arudi kwa Beka Flavour anayewewesekea penzi lake
⚠️ Happie ajibu wanaomtaka arudi kwa Beka Flavour anayewewesekea penzi lake

Madebe Lidai Kaoa Mke wa wapili
Madebe Lidai Kaoa Mke wa wapili

Kampuni ya magari ya umeme ya China imetengeneza betri ambayo inawezesha gari kutembea zaidi ya Kilomita 1,000 bila kuhitaji chaji. Umbali huu ni sawa na kutoka Dar mpaka Shinyanga bila kuchaji gari. Au ni sawa na kusafiri Dar mpaka Arusha; au kutoka Dar na kwenda Dodoma, na kurudi tena Dar bila kuchaji gari. Kampuni ya Neo, ni kampuni ya China ambayo inashindana na Tesla, wiki hii CEO wake ambaye pia ndio muanzilishi wa kampuni hiyo Ameifanyia majaribio kwa kuendesha gari ya Neo ET7 kwa masaa 14 na kutembea Kilomita 1,044 kutoka Mji mmoja wa China kwenda katika mji mwingine bila kuichaji na ikabaki 3% ya charge akiwa amefika katika mji mwingine. Neo pia ni kampuni ambayo inatumia betri ambazo unaweza kuitoa na kuweka battery nyingine, swapp betri iliyochajiwa, zinabadilishika bure; na inaruhusu mtu binafsi kununua aina mbalimbali za betri ambazo zina aina mbalimbali za uwezo. Tofauti na Tesla ambayo hauwezi kubadilisha betri yake. Pia ina gari ya umeme inayoongoza kwa speed. China inaongoza katika teknolojia za betri za magari ya umeme na Neo imekuwa ni mfano mkubwa wa maendeleo yake. Neo itaanza uzalishaji wa betri hiyo ya 150kWh kuanzia April 2024. Gharama ya betri hiyo ni dola 42,100$ ambayo ni sawa na gharama ya Tesla Model-Y nchini China. ______ #Teknolojia #neon ...

photo content

photo content

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi umeonesha mamba huyo aliwindwa kitalu cha Lake Rukwa GR kwa kibali halali, ada na tozo zote za uwindaji zililipwa na hakuna utaratibu uliokiukwa. Taarifa iliyotolewa leo January 02,2024 na TAWA imesema “Kwa mujibu wa taratibu za mkataba wa kimataifa wa CITES, Tanzania imeruhusiwa kuwinda mamba wasiozidi 1,600 kwa mwaka, mpaka sasa mamba 39 tu kati ya 1,600 wamewindwa kutoka kwenye mgawo (quota) wa Taifa wa mwaka 2023, mamba anayeonekana kwenye picha jongefu (video clip) iliyosambaa aliwindwa katika kitalu cha Lake Rukwa GR kwa kibali halali namba MP-0001792 kilichoanza tarehe 12/08/2023 hadi 09/09/2023” “Mamba huyo alikuwa na urefu wa futi 16.2 sawa na sentimita 493.8 ikiwa ni juu ya kiwango cha chini cha urefu wa sentimita 300 unaohitajika kwa mujibu wa sheria, aidha kwa mujibu wa takwimu za taasisi ya Marekani (Safari Club International- SCI), mamba mrefu zaidi duniani aliwindwa chini Ethiopia mwaka 2005 (futi 18.7 sawa na sentimita 561)” “Vilevile, kumbukumbu zinaonesha, uwindaji huu ulisimamiwa na Askari kutoka TAWA na Mwindaji bingwa kutoka kwenye kampuni iliyopewa kibali kwa mujibu wa sheria, ada na tozo zote zinazohusiana na uwindaji wa mamba zililipwa kwa kuzingatia sheria na kanuni zinazosimamia uwindaji hapa nchini, hivyo taratibu zote hizi za kisheria zilizingatiwa na hakuna utaratibu uliokiukwa. “TAWA inawahakikishia Wananchi kuwa uwindaji wa wanyamapori nchini unazingatia Sheria na taratibu za ndani ya Nchi na zile za kimataifa na Mamlaka inawatoa hofu kuwa taratibu hizi zinasimamiwa ipasavyo na pale panapotokea ukiukwaii hatua stahiki huchukuliwa kwa mujibu wa sheria” ——— ameeleza Afisa Habari wa TAWA Beatus Maganja. #MillardAyoUPDATES

Mbona huyu Jamaaa Kafunga kokoto na mchanga 🤣🤣🤣🤣
Mbona huyu Jamaaa Kafunga kokoto na mchanga 🤣🤣🤣🤣

Kama ulikuwa ukitegemea kuna siku utamuona mchekeshaji Shubamiti Og @mr_mwanya ndani ya uhusika wa kike, basi anza kufuta kuhusu hilo swala pole pole kichwani mwako. Kupitia kipindi cha #TheSpark cha Clouds TV, Mr Mwanya akijibu swali la @missloloh_ lililomtaka kufunguka namna anavyowachukulia Wachekeshaji wengine wanaovaa uhusika wa kike katika kazi zao za ucheshi alijibu kwa kusema kuwa kwa upande wake yeye anaiona katika engo tatu ambazo ni: MOJA: Kwa upande wake yeye anaamini kama Story yake kuna sehemu nahitaji uwepo wa mtoto wa kike basi atampa mtoto wa kike ili aweze kuonyesha talanta yake na sio Kila kitu kukifanya yeye mwenyewe. MBILI: Mr Mwanya alieleza kuwa anadhani sababu kuu inayochangia Wachekeshaji wengine kufanya hivyo ni ubinafsi tu. TATU: Mr Mwanya alieleza kuwa Wachekeshaji wengi wanapenda kuangalia Likes na Comments nyingi katika mitandao ya kijamii bila kuangalia kwa kiasi gani kile walichokifanya kinajenga fikra has katika jamii lakini pia hawaangalii future ya historia kwa familia zao katika siku za mbeleni. Kwa upande wako una mtazamo gani kuhusiana na swala hili la Wasanii wa kiume kujivika uhusika wa kike katika shughuli zao za kisanii?, ni poa tu au sio poa? Tuachie maoni Yako kwenye uwanja wa comments.

photo content

INSPEKTA WA POLISI NA REFA Bouchra Karboubi ndiye refa pekee wa kike atakayechezesha mechi za AFCON 2023 Cote d’Ivoire. Mbali
+1
INSPEKTA WA POLISI NA REFA Bouchra Karboubi ndiye refa pekee wa kike atakayechezesha mechi za AFCON 2023 Cote d’Ivoire. Mbali na kuwa Refa wa soka, Bouchra pia ni Inspekta wa polisi katika Makao Makuu ya Polisi ya mjini Meknes nchini Morocco. Bouchra ndiye mwanamke pekee aliyesimamia fainali ya soka ya mechi ya wanaume. Alisimamia mechi ya fainali nchini Morocco mwaka 2022 kati ya AS FAR na Moghreb Atletico de Tetouan. Muamuzi huyo alihudumu kama refa wakati katika mechi za Kombe la Dunia la Wanawake 2023. Aidha, Bouchra alikuwa mmoja wa marefa katika mechi ya fainali ya AFCON, kati ya Senegal na Misri na alishiriki katika fainali hiyo kama muamuzi msaidizi wa video (VAR).