uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Відкрити в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Показати більше
1 307
Підписники
+124 години
-27 днів
-1330 днів
Архів дописів
Nitachoka Kuwafundisha Kila Kitu Sasa 😊
Nitachoka Kuwafundisha Kila Kitu Sasa 😊

"Rais ana nia njema sana na zile 4R zake, nina shida kwa wenzetu walioandamana kwenye eneo la maridhiano na ustahimilivu, kama wewe umeshindwa kuridhiana ndani ya chama chako wale wenzako akina Halima Mdee, akina Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na wengine wote hao jamaa alikuwa anawafukuza walishindwa kuridhiana, ndiyo maana unawaita Ikulu unawapa chai, ruzuku na mikutano wanachomlipa Mhe Rais ni maandamano, hawa wamempata mama wa Taifa mpole wangempata mwingine ingekula kwao," - Mwita Waitara "Unawezaje kwenda kufanya mkutano wa hadhara unamsema mtu ambaye alikuja kukuona ukiwa kitandani, umepewa mkate kwenye sahani ya dhahabu halafu unanitukana lakini Rais amevumilia, Chama cha Mapinduzi ndiyo chama kiongozi na kwa heshima ya Rais @samia_suluhu_hassan kwa kazi nzuri aliyoifanya Watanzania wakiunge mkono chama, hawa wengine watasubiri sana kwa sababu mpango kazi hawana na hawaeleweki, niwashauri wabunge sisi tulio wengi tutapitisha miswada hii kwa nguvu zote iende ikatekelezwe kama kutakuwa na maboresho wakati wa utekelezaji hiyo ni ajenda nyingine," - Mwita Waitara #Bungeni

photo content

"Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo, Mheshimiwa Kikwete, nikimtaka aridhie nijiuzulu, lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu, sio utaratibu. Utaratibu unataka umwambie aliyekuteua, akubali, ndio ukatangaze kujiuzulu. Mheshimiwa Kikwete akasema hii ni ajali, huna sababu ya kujiuzulu, hakuna mtu aliyesikia kama nilitaka kujiuzulu." - Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi

photo content

📌📌 MBOWE ALIPOTOKA MAHABUSI STENDI YA KWANZA ALIFIKIA IKULU, HIYO NI ISHARA TOSHA YA DEMOKRASIA YA MARIDHIANO > _Asema CHADEMA wanataka mawazo yao binafsi kuwa mawazo ya Watanzania_ "Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Dkt. Samia anafanya kazi kwa msaada mkubwa we Mwenyezi Mungu katika kuongoza Taifa hili na ukitaka kujua hilo dalili mojawapo ya mtu anayeaaidia ni Mungu ni kuwa na Upatanishi" "Rais Samia alianza kuwapatanisha Watanzania bila kujali itikadi ya vyama vyao, kabilabwala kipato na kila aliyepeleka malalamiko alimsikiliza na kuchukua hatua" "Mbunge wenu wa zamani hapa Hai hata sura yake imebadilika sababu ndani yake anajua Rais Samia ametumwa na Mungu na nanjua wengine watakebehi na kutoa tafsiri nyingi lakini jiulizeni swali moja...anayepanga ratiba za binadamu ni nani? Maana yake Mungu alishampanga Samia kuwa Rais" "Mbowe katika mahabusu stendi yake ya kwanza kafikia Ikulu na alipotoka alieleza na kukiri kuwa dhamira ya maridhiano Dkt. Samia ni dhamira njema...halafu mtu huyohuyo anakuja tena kusema hakuna maridhiano na bado anapiga simu kwa Rais Samja kuomba michango na anapewa" Ndugu. Paul Makonda Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo. 📍 Hai - Kilimanjaro 🗓️ 23 Januari, 2024 Source Chama Cha Mapinduzi

photo content

Sitawafundisha kila kitu
Sitawafundisha kila kitu

Wachache watajua hili jengo linapatikana waip
Wachache watajua hili jengo linapatikana waip

photo content
+5

photo content
+4

photo content
+6

TAARIFA KWA UMMA Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospital
TAARIFA KWA UMMA Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu. Hivyo Familia inaiomba jamii kumkumbuka kwenye Dua, Sala, na Maombi. Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie shifaa ya haraka Mzee wetu pamoja na wagonjwa wengine wote wanaokabiliwa na maradhi mbali mbali. Abdullah Ali Mwinyi Msemaji wa Familia MWENYEZI MUNGU Amuafu Mzee Wetu In Shaa ALLAH

Rapper Joh Makini baada ya kuachia #Formula aliyomshirikisha Jay Melody anadai kwamba kuna wanamuziki unawashirikisha kwenye wimbo wako lakini mwisho wa siku wimbo ukitoka hawashiriki kwenye Promotion, wanajifanya kwamba mikataba yao ni migumu. Kuna watu wengi wanamuunga mkono Joh Makini wanadai kwamba Jay Melody baada ya Kushirikishwa kwenye #mapoz ya Diamond Platnumz ameota mapembe ndio maana hajaona haja ya ku-promote wimbo alioshirikishwa na Joh Makini. Kitaalamu ipo hivi, #Businesswise sio lazima ku-promote wimbo ulioshirikishwa. Kazi ya Promotion ni ya yule anayemiliki "Master Right ya Wimbo", hapo anaweza kuwa Msanii mwenye wimbo huo au Label yake (Kama yupo kwenye Label). Mfano mzuri angalia hata nyimbo ambazo Diamond Platnumz alishirikisha wanamuziki wa Nje, Mfano Neyo, Rick Ross, Omarion, Je wali-promote ngoma hizo kama Diamond Platnumz alivyokuwa aki-promote? Wengine hawaku-post hata Cover tu. Ifike muda Watanzania tuache kulaumu, tufanye kazi na kufahamu vitu ki-professional sio kimazoea. Ukishirikishwa kwenye wimbo fulani kazi ya Promotion ni ya yule aliyekushirikisha au Label yake kama yupo ndani ya Label, zaidi ya hapo uki-post ni kwa mapenzi yako tu but sio lazima. Je ni Mazingira gani ambayo Wasanii wote mlioshiriki kwenye wimbo fulani mnaweza tumia nguvu sawa ku-promote? Mfano kama Wimbo ni wenu wote, sio kwamba mtu mmoja amemshirikisha mwenzake, hapo jukumu la Promotion litakuwa kwenu wote maana hata mapato mara nyingi kwa nyimbo za namna hiyo huwa yanakuwa sawa kwa wanamuziki walioshiriki. Mazingira Mengine ni pale ambapo umeshirikishwa then bado unaendelea kupata mapato katika wimbo huo kupitia asilimia ulizopewa, sasa kama ulishirikishwa kwenye wimbo ukapewa hela yako yote kwa mkupuo na hukupewa "Rights" za kuendelea kuingiza mapato kupitia wimbo huo basi Promotion kwako Sio lazima, fanya tu labda kwa mapenzi yako, hii inaweza ikakusaidia kwenye Show zako hasa kama ulipewa "Performing Rights" za wimbo huo ulioshirikishwa. Toa maoni yako

photo content

“Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora.Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabis
“Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora.Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabisa. Kuna kuimba na ku-entertain na kwenye muziki lazima ujue kuimba na ku-entertain. A-list ya wasanii wetu wote sijui Diamond, Harmonize, Marioo ni best entertainers lakini sio waimbaji bora. “Tukitaka kwenda International lazima uwe na Identity yako, huwezi kuona Davido, Asake au msanii wa South Africa wanafanya sound ya BongoFleva. Kwa hapa East Africa wasanii wetu(Tanzania) ni bora na wanatengeneza pesa lakini hawatafika soko la kimataifa” “Kitu ninachojivunia ni kwamba waburudishaji bora wa Africa Mashariki wanatoka Tanzania, Wakenya wamebaki na kitu kimoja wanajua Kiingereza na wanatuzidi kuimba kuliko sisi, wana waimbaji bora sana” - Master Jay, Mtayarishaji Mkongwe wa muziki Tanzania na Jaji wa BSS. Toa maoni yako

photo content

"Sijawahi kuwa kwenye mahusiano na Diamond Platnumz wala haiwezi kuja kutokea, acha watu waseme kitu wanachojisikia kwasababu mimi Mungu amenijali kiurembo kidogo basi wanaona kila mwanaume anayekuwa karibu yangu ni mpenzi wangu. Kwangu mimi Diamond Platnumz ndiye amefanya kipaji changu kifike hapa kilipofika, alikuwa mtu wa kwanza kuniamini na kunipa nafasi wasafi kabla ya mtu yoyote" "Diamond Platnumz ndiye ameniaminisha kwa Watanzania na nje ya nchi, sijui mnanielewa? sasa mnaweza mkaona ni heshima kiasi gani niliyonayo kwake na thamani ambayo niko nayo kwake ambayo siwezi kuilipa kwa kiasi chochote kile kikalipa msaada wake kwenye maisha yangu. Naelewa juhudi zangu, kipaji changu na heshima yangu ndivyo vimechangia mimi kuwa hapa lakini pia isingekuwa yeye kuniona na kunishika mkono nisingekuwa hapa" "Kwahiyo namheshimu sana kama Boss, kaka lakini pia kama rafiki, na ni mtu mzuri, kwahiyo nikionaga watu wananihusisha kwenye mahusiano nae huwa sipendi kwasababu vinanishushia heshima lakini pia haijawahi kutokea hata uthibitisho wowote hata wa picha kwamba tuko kwenye mahusiano au tuliwahi kuwa, nachukizwa sana na tetesi za aina hii lakini kuna wakati naelewa umaarufu ni mzigo, kuna watu wanafanya hivi ili wapate kula"- amesema Aaliya Mtangazaji wa Wasafi fm na Wasafi TV Kuhusu madai kwamba yeye na Zuchu ni Chui na Paka Aaliya amesema 'Mimi na Zuchu kamwe hatujawahi kuwa maadui, hajawahi kuwa adui yangu wala hawezi kuwa adui yangu. Kuhusu kwamba kwanini hatuko karibu kama zamani mimi nadhani ni maisha yamebadilika, zamani tulikuwa watoto yeye alikuwa bado hajatambulishwa hata Wasafi lakini pia baada ya kutambulishwa hakuwa na kazi nyingi wala hakuwa maarufu sana, sasa hivi ni mtu mkubwa majukumu yameongezeka anakuwa bize hata mimi nimekua, majukumu pia yameongezeka kwahiyo inakuwa ngumu kuwa marafiki wa kuongozana huku na kule kama zamani"- Ameongeza Aaliya Hata hivyo licha ya kukanusha madai hayo kwa ujasiri, Zuchu na Aaliya hawana urafiki hata wa Instagram, kila mtu hajamfolo mwenzake huku chanzo kikubwa kikiwa ni Zuchu kumkwapua Diamond ambaye kwa wakati huo alikuwa in love na Aaliya.

HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes ZETU za CHIMBUKO la mababu ZETU zote zinaruhusu viumbe (samaki) kama Victoria, Tanganyika na Nyasa. Katika aina za watu duniani Kuna aina kuu TATU 1. AFRICAOIDS (negroids) AMBAO ni sisi tuna WEUSI na brown, Yani tupo aina MBILI, lakini kufanana kwetu kupo KWENYE DNA, tuna 100% ya DNA ya homosapiens(MWANADAMU kamili). Lakini pia ni FULL MELANATED (tuna UTAJIRI wa melanin). Tuna maarifa, ndiomana ukiangalia Babu ZETU waliweza kujichonga na kujichora tupate picha zao ila wao hawakuweza. Pia mapango yetu Yana michoro yakwao hayana michoro. Sisi ni watu wa kwanza kuwepo Duniani. Tuliishi miaka ZAIDI ya milioni ndipo races nyingine zikatokea. 2. MONGOLOIDS, hii ni aina ya watu wa Brown (India, china na wengine wa east Asia)). Hawa ni nusu, half melanated ndiomana Wana kautamaduni KIDOGO kakueleweka. Hawa asili Yao ni Mongolia na milika ya Himalaya. Ndiomana wanaitwa mongoloids, wana melanini KIASI. ila sio full melanated kama muafrika. 3. CAUCASOIDS (Caucasians). Ndio hao wanaotokea hapo. Mfano wazungu Wana melanin kiduchu ndiomana jua huweza kuwapa kansa. Lakini pia EURASIANS (Yani wa ulaya na Asia) hawana DNA ya homosapiens Kwa 100%. Wao DNA Yao ni ya NEANDARTHALS. tafuta neandarthals utaona kama mtu kama mnyama. Yani sio full MWANADAMU. KUMBUKA tangu mwanzo WA Dunia waafrika tulitawala Dunia KUPITIA kush, Kisha tukaangushwa na WAGIRIKI miaka ya 320 BCE. lakini pia Watu weusi walitawanyika maeneo mbali mbali kama Australia, america, ulaya, Asia nk kustaaraabisha wengine. MFANO MOORS walikua ni weusi waliostaarabisha ulaya , Ambao nao pia waliangushwa Huko ulaya miaka ya 1400. Ndomana wazungu wanatucontrol tusijue historia ya kuanzia miaka ya 1400 kurudi nyuma😂 C&P