uk
Feedback

Не попадись на ботовода! Telemetrio знаходить і позначає такі канали мітками 👉 Хочеш бачити мітку, оформляй підписку

DANIEL J. MUSOKWA - Teachings

DANIEL J. MUSOKWA - Teachings

Відкрити в Telegram

Welcome to my channel, hapa utayakuta mafundisho yangu. Welcome to my channel, here you will find my teachings!

Показати більше
Країна не вказанаРелігія і духовність176 134
408
Підписники
Немає даних24 години
+17 днів
+930 днів
Архів дописів
“Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu, Umeelewa na njia zangu zote. Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, Bwana. Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako. Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia.”  “Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko. Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari; Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kuume utanishika. Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku; Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.”  “Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana, Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi; Macho yako yaliniona kabla sijakamilika; Chuoni mwako ziliandikwa zote pia, Siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado. Mungu, fikira zako zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake! Kama ningezihesabu ni nyingi kuliko mchanga; Niamkapo nikali pamoja nawe.” - ZAB 139:1-18
14 лют 2024, 01:21

photo content
14 лют 2024, 01:21

photo content
+1
08 лют 2024, 05:45

photo content
07 лют 2024, 04:35

Audio from Daniel J. Musokwa
03 лют 2024, 01:01

photo content
02 лют 2024, 01:19

photo content
01 лют 2024, 01:32

photo content
01 лют 2024, 01:32

photo content
25 січ 2024, 04:25

photo content
24 січ 2024, 05:36

Watu wa Dodoma... nipo kwenu, tuwasiliane
20 січ 2024, 19:01
21 січ 2024, ~23:56

...
20 січ 2024, 19:01
21 січ 2024, ~23:57

photo content
20 січ 2024, 19:00

photo content
+1
19 січ 2024, 14:18

photo content
19 січ 2024, 00:06

photo content
17 січ 2024, 18:48

photo content
17 січ 2024, 01:31

photo content
15 січ 2024, 16:41

photo content
15 січ 2024, 01:39

photo content
14 січ 2024, 07:28