Tweve Tv
Открыть в Telegram
💫Karibu Tujifunze Kwa Pamoja!!✔️•👤 Hapa Tunajifunza Jinsi Ya Kuweza Kupata Free Internet Na Issue Nyingine Nyingi Zinazohusu Technology • 🔐 ✨GROUP t.me/Twevegroup Ukipata Trick Usiwe mchoyo Share Tule Wote, Let's Go Guyz✨ ✅ Welcome to tweve Tv ☑
БольшеСтрана не указанаЗакон и право5 413
1 307
Подписчики
Нет данных24 часа
+57 дней
+1130 день
Загрузка данных...
Похожие каналы
Облако тегов
Нет данных
Возникли проблемы? Пожалуйста, обновите страницу или обратитесь к нашему support-менеджеру .
Входящие и исходящие упоминания
---
---
---
---
---
---
Привлечение подписчиков
декабрь '24
декабрь '24
+9
в 1 каналах
ноябрь '24
+21
в 3 каналах
Get PRO
октябрь '24
+27
в 0 каналах
Get PRO
сентябрь '24
+44
в 0 каналах
Get PRO
август '24
+39
в 0 каналах
Get PRO
июль '24
+77
в 1 каналах
Get PRO
июнь '24
+27
в 0 каналах
Get PRO
май '24
+40
в 0 каналах
Get PRO
апрель '24
+52
в 0 каналах
Get PRO
март '24
+46
в 0 каналах
Get PRO
февраль '24
+51
в 0 каналах
Get PRO
январь '24
+98
в 0 каналах
Get PRO
декабрь '23
+160
в 0 каналах
Get PRO
ноябрь '23
+27
в 0 каналах
Get PRO
октябрь '23
+92
в 0 каналах
Get PRO
сентябрь '23
+123
в 0 каналах
Get PRO
август '23
+1 180
в 0 каналах
| Дата | Привлечение подписчиков | Упоминания | Каналы | |
| 09 декабря | 0 | |||
| 08 декабря | +1 | |||
| 07 декабря | 0 | |||
| 06 декабря | +2 | |||
| 05 декабря | +1 | |||
| 04 декабря | +2 | |||
| 03 декабря | +2 | |||
| 02 декабря | +1 | |||
| 01 декабря | 0 |
Посты канала
| 2 | Nikikupa VPN una kuja kujaribu ku donwload hizo video 👆👆👆👆👆👆 | 544 |
| 3 | Нет текста... | 408 |
| 4 | Нет текста... | 396 |
| 5 | Kumbe kweli hata KAZI Ina weza
Hii Haina kupoaaa
If you need click here 👇👇👇👇👇👇👇 | 389 |
| 6 | Tigo hiyo unlimited
Saizi moto balaaa 🔥🔥🔥🔥
YouTube & TikTok Ina fungua kama ume weka bando
Thank you!!!!!!!! | 364 |
| 7 | Good morning | 1 |
| 8 | Нет текста... | 405 |
| 9 | TCRA vs VPN, IP Address:
Mosi, TCRA haina mamlaka kisheria kumtaka raia kwa LAZIMA atoe "IP Address" yake. Hata KUOMBA raia atoe "IP Address" ni kosa. Hili la VPN nalo linapotoshwa tu. Matumizi ya VPN hayajazuiwa na sheria yoyote ile kama wengi wanavyoaminishwa.
Pili, Kanuni za 2020 zinazotumika KUDHIBITI raia ni BATILI kwa msimamo wa Ibara 64(5) ya Katiba ya nchi kwa sababu Kanuni hizo zinavunja Ibara 16(1) ya Katiba yenyewe, inayotoa HAKI YA FARAGHA ya mawakiliano binafsi. Pia, kanuni hizi za TCRA zinavunja Ibara ya 6(d) & 7(2) za Mkataba wa Afrika Mashariki, ambazo zinataka shughuli za kiraia kuongozwa KIDEMOKRASIA chini ya misingi ya UTAWALA BORA.
Tatu, kwa upande mwingine, Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act, 2015) kifungu cha 31 & 32 vinaeleza UTARATIBU wa askari polisi kupata USHAHIDI ulio ndani ya "computer device" ya mtuhumiwa. Ambapo, mtuhumiwa HALAZIMISHWI kutoa "IP Address" au VPN access kwa askari, na katika hatua hii, raia anaweza kukataa kutoa ushirikiano ili kulinda haki zake. Hapo ndipo askari polisi (mpelelezi) hutakiwa kisheria kuomba KIBALI MAALUM toka kwa mahakama, huku akitoa SABABU YA MSINGI ili apewe access na mtuhumiwa (sio mara zote hupata kibali). Huu ndio utaratibu unaopaswa kutumika kama mtu amevunja sheria za TCRA na sio hiki ambacho TCRA inataka kuaminisha raia kuwa ndio utaratibu!
Nne, TCRA kutumia utaratibu wake binafsi (ambao haupo kisheria) inakuwa ni kuingilia utaratibu ulioko kisheria hapo juu ☝🏽. Nasisitiza, wakati pekee ambapo raia atalazimika kutoa "IP Address" ni kwenye hatua ya UPELELEZI wa kosa la mtuhumiwa (kama anasadikiwa kutenda kosa) na si vinginevyo.
Tano, kama mtu hajatenda kosa lolote, TCRA haitakiwi kisheria hata KUOMBA "IP Address" yako, na hii si kazi ya TCRA bali ni kazi ya polisi mpelelezi wakati wa UPELELEZI tu. Hivyo, TCRA kuhitaji "IP Address" za raia, ni kitendo cha kutaka KUDUKUA mawasiliano ya watu ambapo ni kosa kisheria. TCRA iache KUPOTOSHA sheria & kanuni zinazoipa miongozo kwayo, maana kanuni hazisemi kama ambavyo raia wanaaminishwa.
Sita, narudia tena, kwa msimamo wa sheria ya sasa, mtu anaweza ombwa "IP Address" na ASKARI POLISI tu wakati wa UPELELEZI wa kosa linalosadikiwa kufanyika na si wakati mwingine wowote. TCRA kuomba "IPA" za raia kabla ya KOSA ni kutaka kufanya UDUKUZI, maana TCRA wakiwa na "IP Address" ya mtu, wanaweza kuona kila kitu mtu huyo anachokifanya mtandaoni.
ANGALIZO:
Huu waraka wa TCRA unavunja sheria & kanuni za TCRA lakini pia unaingilia taratibu za sheria nyingine. Lakini pia, kanuni zenyewe zinavunja Katiba ya nchi, hivyo ni BATILI. Hili la VPN pia ni USANII tu na halipo kisheria, bali limebuniwa tu. Sitaki kupoteza muda kulizungumzia.
Mwisho, binafsi, napuuza waraka wa TCRA na nitawakata wakasome sheria & kanuni vizuri kabla ya kuja kwa wananchi. Hiki kinachofanyika ni SIASA.
Naomba kuwasilisha. ⚖ | 387 |
| 10 | UDP unlimited vpn enjoy Play story Gold tunnel PRO vpn 💯💯✅ | 343 |
| 11 | BOX VPN_1.7.apk | 342 |
| 12 | UDP vpn unlimited enjoy https://play.google.com/store/apps/details?id=com.apnashield.pro | 339 |
| 13 | Kama una shida yeyote ile nicheki me now by admin | 340 |
| 14 | Subscribe my dear | 367 |
| 15 | ✋ | 11 |
| 16 | Hei | 1 |
| 17 | Kutengeneza bot ya kupakua video za YouTube inahitaji ujuzi wa programu na lugha ya programu kama vile Python. Hapa kuna hatua kadhaa za kuanza:
1. Sakinisha Python: Anza kwa kusakinisha Python kwenye kompyuta yako. Unaweza kupakua Python kutoka kwenye wavuti rasmi ya Python na ufuate maagizo ya usakinishaji.
2. Sakinisha moduli ya pytube: pytube ni moduli ya Python ambayo inaruhusu kupakua video kutoka YouTube. Sakinisha moduli hii kwa kutumia peremende ya pip kwa kuingiza amri ifuatayo kwenye terminal yako:
pip install pytube
3. Unda faili mpya ya Python: Unda faili mpya ya Python na uifungue kwa kutumia mhariri wa maandishi kama vile Visual Studio Code au Sublime Text.
4. Import moduli: Anza kwa kuagiza moduli ya pytube kwenye faili yako ya Python:
python
from pytube import YouTube
5. Chagua video ya kupakua: Tumia URL ya video ya YouTube unayotaka kupakua na tumia YouTube() kutoka moduli ya pytube ili kuipata:
python
video_url = "https://www.youtube.com/watch?v=VIDEO_ID"
yt = YouTube(video_url)
6. Pata muundo wa video: Unaweza kupata orodha ya muundo wa video zinazopatikana kwa kutumia yt.streams:
python
video_formats = yt.streams.filter(progressive=True).all()
7. Chagua muundo wa video: Chagua muundo wa video unayotaka kupakua kutoka kwenye orodha ya video_formats. Kwa mfano, unaweza kuchagua muundo wa kwanza kwenye orodha:
python
video = video_formats[0]
8. Pakua video: Tumia download() kwenye video iliyochaguliwa ili kupakua video:
python
video.download()
9. Weka jina na mahali pa kupakua: Unaweza kuweka jina na mahali pa kupakua video kwa kutumia download():
python
video.download(filename="jina_la_video", output_path="mahali_pa_kupakua")
10. Kukamilisha: Baada ya kukamilisha hatua zote, unaweza kuendesha script yako ya Python ili kupakua video ya YouTube iliyochaguliwa.
Ni muhimu kukumbuka kuwa matumizi ya bot ya kupakua video za YouTube yanapaswa kufuata sheria na kanuni za YouTube na lazima uheshimu hakimiliki na leseni za yaliyomo. | 128 |
| 18 | Wekeni REACTION kwenye post zangu
☀☀☀☀☀☀☀☀☀☀☀ | 386 |
| 19 | Zetu TV_1.0.1.apk | 372 |
| 20 | StarTimes_mod.apk | 375 |
