TUONGEE AFYA YA UZAZI ~WANAUME
Открыть в Telegram
374
Подписчики
Нет данных24 часа
Нет данных7 дней
Нет данных30 дней
Загрузка данных...
Похожие каналы
Нет данных
Возникли проблемы? Пожалуйста, обновите страницу или обратитесь к нашему support-менеджеру .
Облако тегов
Нет данных
Возникли проблемы? Пожалуйста, обновите страницу или обратитесь к нашему support-менеджеру .
Входящие и исходящие упоминания
---
---
---
---
---
---
Привлечение подписчиков
декабрь '24
декабрь '24
+13
в 0 каналах
ноябрь '24
+33
в 0 каналах
Get PRO
октябрь '24
+31
в 0 каналах
Get PRO
сентябрь '24
+210
в 0 каналах
Get PRO
август '240
в 0 каналах
Get PRO
июль '240
в 0 каналах
Get PRO
июнь '240
в 0 каналах
Get PRO
май '240
в 0 каналах
Get PRO
апрель '240
в 0 каналах
Get PRO
март '24
+8
в 0 каналах
Get PRO
февраль '24
+374
в 0 каналах
| Дата | Привлечение подписчиков | Упоминания | Каналы | |
| 09 декабря | 0 | |||
| 08 декабря | 0 | |||
| 07 декабря | +1 | |||
| 06 декабря | +3 | |||
| 05 декабря | +1 | |||
| 04 декабря | +1 | |||
| 03 декабря | +2 | |||
| 02 декабря | +4 | |||
| 01 декабря | +1 |
Посты канала
*MWANAUME RIJALI PACKAGE*
Ni tiba maalumu ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.
*FAIDA ZAKE*
👉🏻 Huongeza Hamu TENDO hata kama ilipo tea kabisa
👉🏻 Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume
👉🏻 Huondoa Tatizo la Maumivu ya Uume Ukiwa Umesimama
👉🏻 Humfanya Mwanaume Akae tendoni Muda Mrefu
👉🏻 Humfanya Mwanaume Arudie Tendo kwa haraka zaidi na Kwenye Ubora wa Hali ya juu
👉🏻 Huufanya Uume usimame kama msumari
👉🏻 Huongeza ukubwa wa uume
👉🏻 Huondoa Tatizo la Upungufu Wa Nguvu za kiume Na UGUMBA
Tiba Hii ni ya asili Haina Madhara yeyote kabisa Na inatibu tatizo mazima na Kuweka Kinga.
Dozi kama ilivyo 270,000 (fixed)
Krbn
Call/WhatsApp +255714986622
| 2 | Usitumie Dawa kwenye kutibu Nguvu za kiume❌ Tumia virutubisho upone moja kwa moja kwa kutumia BEDROOM PACK yenye mchanganyiko wa mbogamboga na matunda mbalimbali.
MWANAUME kama unapitia changamoto zifuatazo wakati wakushiriki tendo na mwenza wako wahi mapema kuzitatua changamoto hizo :-
📌Dhakari (uume) kulegea
📌Dhakari (uume) kusinyaa kama wa mtoto mdogo
📌kutoa kiwango kidogo cha mbegu
📌Kuwa na matatizo ya tezi au dalili zake
📌Kutokwa na mbegu za kiume (Manii/Shahawa) bila kujua
📌KuhusI maumivu makali kwenye korodani wakati unashiriki tendo
📌Mwili kuchoka sana baada ya tendo unaoambatana na usingizi
📌Kuwahi kufika kileleni
📌Kutokuwa na hisia za kimapenzi na mwenza wako.
Hizo ni changamoto chache miongoni mwa changamoto anazokuwanazo mwanaume anapokosa nguvu za kiume. Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na sisi au ushauri zaidi
CALL/WhatsApp
(0714-986622)
Ushauri ni bure huduma masaa 24 karibu | 501 |
| 3 | Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume
Leo napenda tuangalie vyakula ambavyo vinasaidia kuboresha nguvu za kiume na kusaidia kwa kiasi kikubwa kudumisha mapenzi na kulinda mahusiano na ndoa.
1. Blueberry
Blueberry ni matunda yanayosaidia sana kuongeza nguvu za kiume, wengi hupendelea kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi inayoifanya mwilini. Blueberries ina virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini. Damu ndio kila kitu katika nguvu za kiume. Vilevile, blueberries zina nyuzinyuzi (fiber) ambazo husaidia kuondoa kolesteroli (Cholestrol) mwilini kabla hazijanganda kwenye mishipa ya damu. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu husaidia mwanaume aweze kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi.
2. Mtini (Figs)
Mtini (figs) ni matunda yenye kiwango kikubwa cha amino asidi, ambayo ni kiungo kikubwa katika kuzalisha homoni mwilini. Homoni ndio kishawishi cha nguvu za kiume mwilini. Kukosa amino asidi huweza kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au kupungukiwa na nguvu za kiume.
3. Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters)
Chaza wana kiwango kikubwa cha madini ya zinc. Madini za zinc hutumika katika utengenezaji wa homoni ya testosterone, shahawa na mbegu za kiume. Uwingi wa uzalishwaji wa testosterone mwilini huathiri pia hamu ya mapenzi na nguvu za kiume – ikiwa kidogo huondoa hamu, ikiwa nyingi hupelekea hamu na nguvu zaidi.
Kupungukiwa kwa madini ya zinc husababisha kupungua kwa nguvu za kiume, udhaifu (uhanithi), na kushuka kwa kiwango cha uwezo wa kufanya mapenzi.
4. Karanga
Karanga ni chanzo kikubwa cha kujenga protini mwilini. Karanga huwa na kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia kuweka vizuri mfumo wa damu, hivyo kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ufanyaji mapenzi.
5. Vitunguu saumu
Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.
6. Ndizi
Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha vitamin B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa wakati wa kufanya kazi nzito. Ndizi ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho huongeza nguvu za kiume, ashki ya mapenzi (libido).
Vyakula ni bora kuliko madawa makali
Mie binafsi nashauri kutumia njia asilia katika kutatua matatizo yako yote ya kiafya. Mwili una njia zake za kurekebisha kila kitu. Ukiona kuna tatizo inaashiria kuna upungufu ambao unatakiwa kurekebishwa. Kutumia madawa makali hudhoofisha mwili na hivyo kuupunguzia uwezo wa kufanya kazi kama inavyotakiwa. Ni vizuri kama utamuona daktari kama ukiona hakuna kinachowezekana kabla hujaanza kutumia madawa.
Mara nyingi njia asilia hutumia muda mrefu sana kuleta mabadiliko, lakini matokeo yake hudumu zaidi kuliko kutumia madawa makali ambayo hutibua mfumo wa kawaida wa ufanyaji kazi wa mwili wako. Mie nashauri uangalie jinsi unavyokula, nenda kapime vizuri. Kama jogoo ameshindwa kupanda mtungi, ruksa kuangalia njia mbadala, zipo tiba lishe maalum zisizokuwa na madhara kabisa Tuwasiliane 0714986622 | 424 |
| 4 | Sex therapist wanathibitisha kwamba tendo la ndoa linalodumu kwa muda wa dakika 7-13 ni safi kabisa na pande zote mbili zitakidhi mahitaji yao
.
.
Lakini pia Tendo la ndoa ni zaidi pia Muda , tunawaza sana muda bila kufikiria kwamba Tendo la ndoa ni swala la mindset pia ( Unaelewa nini kuhusu tendo la ndoa ? ) , shida ni kwamba jamii imeshatulisha sumu sana (Uongo mwingi na imani zisizo na msingi ) , watu wapo kimashindano zaidi na kusikiliza maneno , kutumia madawa n.k
Nadhani maandalizi na utayari wa wote wawili ndio jambo la msingi , mawasiliano kati yenu pia ni jambo lingine.
SAWA , WEWE ENDELEA KUSHINDANA , TUNAKUTAKIA MASHINDANO MEMA 😁
0714986622 | 326 |
| 5 | Нет текста... | 313 |
| 6 | SARATANI YA TEZI DUME(Mwanaume)♂️✊
Tezi dume ni nini?
Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi
Saratani ya tezi dume ni nini?
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini
VISABABISHSI HATARISHI KWA SARATANI YA TEZI DUME
⚠️Umri Mkubwa kuanzia miaka 50
⚠️Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii
⚠️Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu
⚠️Unene uliokithiri
⚠️Ukosefu wa mazoezi
⚠️Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.
⚠️Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume
DALILI ZA TEZI DUME ♂️
♂️Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
♂️Kwenda kukojoa mara kwa mara
♂️ upungufu wa nguvu za kiume | 325 |
| 7 | Нет текста... | 296 |
| 8 | Nimepotea kwa muda humu now nimerudi kwa changamoto zote za uzazi kwa mwanaume call me or WhatsApp no +255714986622 | 645 |
| 9 | https://youtu.be/qM_QSG8YARI?si=rCB0sJTb7pG2P4jm | 635 |
| 10 | UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME(impotence)
👉Ni kushindwa kwa uume kusimama kisawasawa kupelekea kutoweza kuhimili tendo la ndoa au (kisimama legelege )
tafiti zinaonesha kwamba TATIZO linaongezeka kutokana na umri hivyo kwa wazee huonekana zaid
Je,kwanini Leo *vijana*
piah tunatatizo la nguvu za kiume
mfumo wa fahamu( nerves) ,misuli( muscle), hormone na ( mishipa ya damu)
kwa pamoja vinasaidia mwanaume awe sawa kabisa .
🤒SABABU KWA VIJANA
1.hitilafu katika chochote katika vitu apo juu👆i.e nerves
2.saikologia ya mtu sababu km # msongo wa mawazo# wasiwasi# papara.
3.matumizi ya vilevi km pombe n.k
4.kujichua au punyeto
NB .tafit zinasem kwamba sababu ya *saikolojia* ndio kubwa zaid (More than 80%)
SABABU ZA KAWAIDA ( WATU WAZIMA ) MIAKA 45 NA ZAID ...
1.kisukari ( diabetes mellitus)
2.shinikizo la damu ( hypertension)
3.magonjwa ya moyo( heart disease).
4.kufanya kazi ngumu au mazoezi kupita kias.
5.magonjwa ya ini na Figo.
6.Tezi dume
MILO INAYOWEZA KUSAIDIA KUPANDISHA NGUVU ZA KIUME.
1.kalanga
2.asali
3.mchuzi wa pweza
4.mihogo mibichi kwa kutafuna
N.k
NB.mchanganyiko wa karanga ,maziwa na asali inasemakan inaweza ikiwa tiba kwa mtu mwenyew TATIZO la kawaida akitumia mda mrefu
*Dawa za kurekebisha zipo*
+255714986622 | 1 935 |
| 11 | Нет текста... | 1 522 |
| 12 | TUONGEE AFYA YA UZAZI ~WANAUME
Elimu & Ushauri Afya Call: +255714986622
https://t.me/tuongee_uzazi
Share na rafiki ajifunze zaidi kuhusu afya | 2 111 |
