E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
+1
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+1
Hatimaye Binti mwenye gharama kubwa za mahari wa South Sudan 🇸🇸 ameolewa.
Binti Athiak Dau Riak mwenye umri wa miaka 19 amekubali kuolewa na Engineer Chol Marol baada ya kumpiku ndugu Marial Garang Jiel katika ushindani wao wa kumuoa Binti huyo aliyeteka mitandao na media kibao duniani kote.
*Bwana harusi katoa mahari zifuatazo*
Ng'ombe - 130 na kawatoa wote hapohapo ✅️
Ongezeko la ng'ombe 50 nao wamelipwa ✅️
Pesa 120,000,000 SSP na amelipa $9,212.34 (USD) ✅️
1 307
+4
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Kaburi la Absalom Mtoto wa Mfalme Daudi.
Na Christopher Buke.
Kaburi hili lina umri wa taklibani miaka 3000 na lipo katika mlima wa mizeituni Eneo la YAHUshalam ( Yerusalemu), na linezungukwa na makaburi yapatayo 1000.
Kaburi lipo karibu kabisa na ujia unao eleven katika bonde la kidron, au kwa lugha nyingine likifahamika kama kama bonde la Mfalme Yehoshafat.
Sasa hii inamaana gani? Bila shaka ina majibu ya maswali yako wewe unayeambiwa na ukaamini kwamba hiyo Yerusalem ni Eneo la Wapalestina.
1 307
Pichani Ni Tundu Lissu Na Rafiki Zake Enzi Hizo, Je Umebaini Lissu Ni Yupi Kwenye Picha Hii?..
#EnziZile.....
1 307
Mohamed Said Dimwa, amesema Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya NEC - CCM Taifa Zanzibar, wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalum ya NEC kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi kuongoza Nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano wakisema kwa kazi nzuri anayofanya Dkt. Mwinyi itakuwa ni hasara kufanya Uchaguzi mwaka 2025. Dkt. Dimwa amesema hayo wakati akifunga Mkutano wa Baraza Kuu la UVCCM Wilaya Dimami kichama Zanzibar uliofanyika katika Ofisi za Wilaya hiyo Kiembesamaki.
Dkt.Dimwa amesema maamuzi hayo ya kumuongezea muda wa kuongoza Nchi Dk.Mwinyi yanatokana na kuridhishwa na kasi yake ya kiutendaji katika kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kwa zaidi ya asilimia 100 ndani ya kipindi miaka mitatu na miezi kadhaa toka aingie madarakani na kwamba Wazanzibar wanampenda, kumthamini na kuridhishwa na utendaji wa Dk.Mwinyi kwani amekuwa Kiongozi bora katika kutatua kero za Wananchi kupitia uimarisha wa Sekta mbalimbali za umma na binafsi.
Dkt.Dimwa amesema CCM Zanzibar imeona Serikali kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwani wananchi wanahitaji maendeleo endelevu hivyo Rais Dk.Mwinyi anafaa kuongezewa muda ili Zanzibar iwe Nchi ya visiwa iliyoendelea kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
“Wajumbe wa Sektetarieti tumejadili na kutathimini kwa kina juu ya utendaji wa Rais Dk.Mwinyi, tukajiridhisha kuwa hakuna mbadala wake na anastahiki aongoze Nchi kwa kipindi cha miaka saba ili apate muda mzuri wa kufanya Mapinduzi ya kimaendeleo katika nyanja za kiuchumi na kijamii, maamuzi yetu yatafuata taratibu za kikatiba na kikanuni kwa kuyawasilisha katika vikao vya ngazi za juu ili vitoe baraka zake ili hoja hii ikapitishwe katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar ili yaendelee kufanyika mabadiliko ya baadhi ya vipengele vya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kwa lengo kuhakikisha tunafanya Uchaguzi Mkuu wa dola kwa kila baada ya miaka saba”
1 307
Dereva akifanya hivi ana maanisha nini??
Au nipige zangu usingizi tu, nifike salama
1 307
ARUSHA; Usiku wa kuamkia Jana watoto hao pichani (Waliozungushiwa duara) wamefariki dunia pamoja na baba yao (hayupo pichani) walipokuwa wamelala ndani chanzo cha kifo chao kikiwa ni moto.
Inaelezwa ndani walikuwa wamelala watu 11, wakiwa wamelala usiku kuna laptop ambayo walikuwa wameiweka kwenye kiti cha sofa ikipata moto (kuchajiwa) kwa muda mrefu. Kutokana na kukatika umeme mara kwa mara jijini Arusha kulileta hitilafu iliyopelekea laptop kushika moto uliounguza sofa na baadae ukashika kwenye vitu vingine ikiwemo ukuta ambao una asili ya mafuta.
Mashuhuda wanasema familia ilishtuka wakati tayari moto ulikuwa umeshatapakaa huku moshi ukiwa kikwazo kikubwa, baba wa watoto hao alijitahidi kuwaokoa watoto lakini haikuwa rahisi kwasababu moto ulikuwa umeshika zaidi mlangoni na kupelekea ugumu uliosababisha baadhi ya watoto kuzidiwa kwa kukosa pumnzi na kupoteza fahamu hapohapo.
Bodaboda waliokuwa karibu na nyumba hiyo waliposikia kelele na moshi kwenye nyumba hiyo walifika haraka kutoa msaada lakini hata hivyo tayari walikuta baba wa watoto amekwama mlangoni akiwa hoi huku watu wengine wakifanikiwa kutoka na kukimbizwa hosipitalini.
Inaelezwa walianza kufa watoto wawili, akafata wa tatu kisha asubuhi akafuata baba yao ambaye ndiye amepata majeraha zaidi kutokana na juhudi alizokuwa anazifanya ili familia yake itoke Salama.
Wapumnzike kwa amani Amin🙏
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+6
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
