E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
Bernard Arnault, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kimataifa ya LVMH, inayosimamia chapa za Louis Vuitton na Sephora, amempita Elon Musk na kuwa tajiri namba moja duniani.
Kulingana na Forbes, thamani ya Arnault na familia yake imeongezeka hadi dola bilioni 207.8 [TZS trilioni 530.9] baada ya ongezeko la dola bilioni 23.6 [TZS trilioni 60.3] siku ya Ijumaa, na kupita dola bilioni 204.5 [TZS trilioni 522.4] za Musk.
1 307
Ni kwann nyumba nyingi huishia hapa?
Yan mtu anaanza kujenga ila ikifika hii stage hawezi tena kuendelea anakosa pesa kabisa
1 307
BINADAMU WA KWANZA APANDIKIZWA ‘CHIP’ KWENYE UBONGO
Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha eletroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya.
Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo vyote kudhibiti vifaa kwa kutumia mawazo yao pekee.
Akiandika kwenye mtandao wake wa X, Musk alisema matokeo ya awali yamegundua kuimarika kwa mishipa ya neva na kwamba mgonjwa aliyefanyikwa upasuaji huo aliripotiwa kupona vizuri kutokana na operesheni ya Jumapili.
Lengo la kifaa hicho ni kutenda kama kiunganishi na ubongo kwa kusaidia kukabiliana na hali matatizo ya neva, kama vile kuruhusu watu waliopooza kudhibiti vifaa kama simu na kompyuta wakitumia fikra zao.
(VIA BBC Swahili)
Endelea ku share
1 307
"Mwanaume anatakiwa ampende Mwanamke kuliko Mwanamke anavyompenda yeye na Mwanamke anapaswa amheshimu Mwanaume wake kuliko Mwanaume anavyomheshimu yeye"- Farhan
1 307
***Chumba cha kulala cha Hotel kilichopo chini ndani ya maji baharini huko Maldives 🐠💙***
1 307
*** Pete zilizotolewa kwenye miili ya wafungwa wa kiyahudi waliokuwa wanashikiliwa na kuuwawa na majeshi ya Adolf Hitler barani ulaya hasa labourcamp Buchenwald wakati wa vita ya pili ya dunia au ya makabaila ya dunia iliyoisha mwaka 1945***
#EnziZile...
1 307
HIVII WAKUU MBONA KAMA NAONA FIGISU ZA WAZI HAPA
Ameandika Sanitizer TZ ✍️
.
Wakuu inakuwaje Single day tunakuwa na Same Content tena dhidi ya Bondia Bora na tegemezi kwa taifa letu ?
Yaani inakuwaje Zanzibar kunakuwa na Pambano la mwakinyo ambalo alilitangaza Mapema kabisa litakuwa tarehe 27 dhidi ya ELVIS AHORGAH (GHANA) halafu tena Tanga nako kunakuwa na Pambano la Boxing
Halafu pambano la Mwakinyo Azam Tv wasioneshe then wakaoneshe pambano la Tanga 🤔 , Siwapangii majukumu yenu na Content zenu lakini Pambano La mwakinyo lilistahili kuwa na heshima yake
Tukubali tukatae tunamkosea sana heshima Mwakinyo , Tunamkosea vibaya mno , Kama hamtaki kuonesha pambano lake ? Baaasi muheshimuni pambano lake lipite ndiyo na nyiee mtangaze pambano lenu
1 307
NILITAKA KUTUMA SALAMU MOROGORO KWAMBA SIOGOPI ZILE PIKO KAMA BIHARUSI WA ZANZIBAR "MWAKINYO"
Hassan Mwakinyo 🗣️
"Elvis sio bondia rahisi na kuthibitisha hilo hajawahi kupoteza pambano kwa KO, hii ndiyo mara yake ya kwanza na ni bondia ambaye anacheza kwa kilo (78kg).
Mimi nimempandia uzito, lengo nilikuwa nahitaji hili TAJI ni kiu yangu ya muda mrefu, lakini pia kuwa-prove WBO kuwa mwili wangu na uwezo wangu ni vitu viwili tofauti.
Lakini pia nilitaka kutuma salamu Morogoro kwawatu ambao walikuwa wanaamini labda mimi naogopa zile PIKO kama mabibi harusi wa huku (Zanzibar), nilitaka kutumia hii fursa kuonyesha kama mfano ili pambano likipigwa hata la kirafiki tuonyeshane nani ni nani" Hassan mwakinyo baada ya kumchapa Mghana KO round ya 7 😂
1 307
"Tangu nitoke kwa Madebe nimeanza kung'aa, sura inaonyesha nuru nanenepeana na hii inaonyesha kwamba nilipokuwa hapakuwa sehemu sahihi kwangu. Wanaume wameanza kunisumbua kwasababu mimi ni Mwanamke lazima nisumbuliwe lakini mimi mwenyewe najua nilipotoka lazima niwe na msimamo"
"Nasikia kuna watu huko wanasema mimi ndio mwenye matatizo, mimi simkatazi mtu kuongea anachojisikia ila mimi ndio namjua Madebe, mimi ndio nimelala nae kitanda kimoja najua magumu niliyoyapata"- Chanuo, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
