ru
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Открыть в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Больше
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://t.me/EplusMediaTz

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

Christina Shusho awajibu kimafumbo watu waliomkalia kooni kumsema vibaya kuhusu kuipa kisogo ndoa yake ili atimize ndoto yake ya kuwa na kanisa, Christina alisema angeendelea kubaki alipokuwa na mumewe angeendelea kudidimia badala ya kukua. Ameandika.... "1.Usilo lijua ni kama Usiku wa Kiza, 2.Sio Kila kitu ni cha Kujibu, 3.Siku ikifika ya Kuongea nitaongea.Agano na Nakupenda sasa zinapatikana YouTube. #Hatua" Baada ya watu kuendelea kumsema vibaya katika comments na kwingineko kuwa sio sahihi kuipuuza ndoa yake, Christina ameibuka kumpost Osinachi Nwachukwu aliyekuwa mwimbaji maarufu wa injili kutoka Nigeria kisha kuandika yafuatayo "Miaka Miwili iliyopita mwezi kama huu wa Nne tulimpoteza Jemedari wa Mziki wa Injili Nigeria Osinachi Nwachukwu. Leo nimemkumbuka sana na yaliyotokea mpaka mauti yalipo mkuta. Kwa Mtini Jifunzeni. #Hararatvideo na Hatua Nyingine Double release leo." - ameandika Christina Shusho ambaye inaelezwa ndoa yake ilikuwa na muda mrefu na kujaaliwa watoto Osinachi Nwachukwu aliyetamba na wimbo wa Ekwueme, alifariki dunia miaka miwili iliyopita ikielezwa kwa muda mrefu alikuwa anapitia na kuvumilia ndoa iliyojaa ukatili, Osinachi alidaiwa kufariki kwa kupigwa na mume wake mara kwa mara. watoto wake walikaririwa wakisema kuwa baba yao alikuwa mkatili kwa mama yao Mume wa Osinachi alielezwa alikuwa anamdhibiti mke wake kwenye mambo mengi hata pesa ya kazi zake za injili alikuwa anapokea yeye na kuna wakati mke wake akawa hajui kuwa kalipwa, magari ya mkewe alidaiwa kuyatumia yeye na kuna wakati alitajwa kumnyima nafasi mkewe kupanda kwenye gari lake. Mume ndie alijipa nafasi ya meneja wa kazi za mkewe ila bado Osinachi alidaiwa kuvumilia ndoa yake isivunjike. Ndugu, wazazi na pacha wa Osinachi walikiri hawakuwa na mahusiano mazuri na mume wa Osinachi. Mumewe bado kuhukumiwa rasmi ingawa yupo gerezani akisubiri kesi yake. Osinachi ilielezwa ndie alikuwa mhudumiaji mkuu wa familia kwa muda mrefu mumewe alikuwa yupo yupo tu hana kazi ya kueleweka. Mengi kuhusu ndoa ya Osinachi na mumewe yalijulikana baada ya kifo chake kwasababu Osinachi hakuwahi kuongea hadharani ingawa waliomjua walisema walikuwa wanaona kuna wakati anafukuzwa na mume (Swahili Toa maoni yako

photo content

"Nimeona malalamiko yenu kwamba hamnitaki kwenye Juakali, nimewasikia lakini niwaambie tu huu ni mwaka wa kufosi mtake msitak
"Nimeona malalamiko yenu kwamba hamnitaki kwenye Juakali, nimewasikia lakini niwaambie tu huu ni mwaka wa kufosi mtake msitake mtaniita Maria na mtanizoea, alafu nipeni muda jamani ni mapema sana kunipambanisha na Maria wa mwanzo"- Elizabeth Michael "Lulu", Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

"Hakuna haja ya kuwa na stress kwasababu ya madeni, kwasababu haukuiba uliazima mlipeana vizuri tu ila biashara zimegoma sasa
"Hakuna haja ya kuwa na stress kwasababu ya madeni, kwasababu haukuiba uliazima mlipeana vizuri tu ila biashara zimegoma sasa kosa lako liko wapi?. Mambo yakienda hovyo alafu uliyemkopa anakudai mwambie mambo yameenda hovyo hata mimi nashangaaa kwahiyo tusaidiane kushangaaa maana hamna namna nyingine ya kukulipa😭"- Mch. Daniel Mgogo, Mchungaji. Toa maoni

Orodha ya Miji kumi (10) yenye utajiri mkubwa zaidi Duniani. 1. New York City (Marekani) 2. London (England, Uingereza) 3. Pa
Orodha ya Miji kumi (10) yenye utajiri mkubwa zaidi Duniani. 1. New York City (Marekani) 2. London (England, Uingereza) 3. Paris (Ufaransa) 4. Tokyo (Japan) 5. Beijing (China) 6. Brussels (Ubelgiji) 7. Singapore City (Singapore) 8. Los Angeles (Marekani) 9. Melbourne (Australia) 10. Hong Kong (Hong Kong, China) (Via Global Cities Index) Toa maoni yako

"Kupungua mchawi ni kula. Nimewekewa puto nilikuwa nakunywa Chai vijiko 4 na unashiba na hata supu nakunywa yale majimaji. Ku
"Kupungua mchawi ni kula. Nimewekewa puto nilikuwa nakunywa Chai vijiko 4 na unashiba na hata supu nakunywa yale majimaji. Kuna siku imetengenezwa supu na dada wa kazi ndio anakula nyama mimi ananipa supu napata hasira, watoto wangu wanapita mbele yangu wanakula wali maharage natamani niwapige makofi. Shetani wa kula ni mbaya sana" - Peter Msechu, Msanii wa muziki Tanzania. Toa maoni yako

Pichani baba huyo akilia kwa uchungu wakati alipokuwa akiaga miili ya watoto wake wawili waliofariki siku kadhaa zilizopita b
Pichani baba huyo akilia kwa uchungu wakati alipokuwa akiaga miili ya watoto wake wawili waliofariki siku kadhaa zilizopita baada ya gari waliyokuwa wamepanda wakielekea shuleni kusombwa na maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha.

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa hakuna majeshi yoyote duniani ambayo yanaweza kuizuia Israeli kuvamia m
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa hakuna majeshi yoyote duniani ambayo yanaweza kuizuia Israeli kuvamia mji wa Rafah uliopo Palestina . “Tutaendeleza zoezi la kuiangamiza Hamas, hakuna jeshi lolote duniani la kutuzuia. Majeshi mengi yanajaribu kutuzuia lakini hawatoweza” Kauli hii ya Netanyahu imekuja siku chache baada ya kutangaza kuwa hivi karibuni jeshi la Israeli litavamia Rafah kwaajili ya kuwasaka wapiganaji wa Hamas ambao wanatajwa kukimbilia huko. . Share

Ndo kwanza tupo mwezi wa 4
Ndo kwanza tupo mwezi wa 4

BAHATI MBAYA RUFIJI SIO MISSISSIPPI. Flashback 1993, Marekani. Mwaka 1993, kijana mmoja wa kuitwa James Scott aliharibu kwa m
+2
BAHATI MBAYA RUFIJI SIO MISSISSIPPI. Flashback 1993, Marekani. Mwaka 1993, kijana mmoja wa kuitwa James Scott aliharibu kwa makusudi kingo za mto Mississippi huko Marekani. Lengo lake lilikuwa kusababisha mafuriko makubwa ili mke wake asiweze kurudi nyumbani ambako yeye alipanga kufanya sherehe na marafiki zake. Mafuriko makubwa yalitokea, mkewe hakurudi nyumbani siku hiyo, makazi na miundo mbinu mingine ilisombwa maji, ekari 14,000 za mashamba ziliharibiwa na mafuriko. James Scott alikuwa na mika 24 wakati huo, alishitakiwa kwa kusababisha majanga makubwa kwa makusudi na sasa yupo jela akittumikia adhabu ya kifungo cha maisha. Flashforward 2024, Tanzania. Mafuriko makubwa yametokea Wilayani Rufiji baada ya kufurika kwa mto Rufiji, tukio lilosababishwa na kufunguliwa kwa maji ya Bwawa kubwa la kuzalisja umeme la Nyerere. Safari hii sio James Scott wa Mississippi, ni Mamlaka za Tanzania. Kata 12 kati ya 13 za Wilaya ya Rufiji zipo chini ya maji. Wananchi elfu 83 (83,000) wanahitaji msaada. Makazi, Mashamba, Miundombinu ya barabara, viwanda, ofisi, na mali zingine zimesombwa. Mto Rufiji hauna kingo za kulinda mji wa Rufiji. Hakuna kingo za kuharibu. Je! Wakati wa Upembuzi Yakinifu na Tathmini ya Athari za Mazingira kabla ya kuanza mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere haya majanga hayakuonekana? Au Upembuzi na Tathmini havikufanyika? Au vilifanywa ofisini badala ya kwenda 'field'? Taarifa zinasema maji yanaendelea kujaa Bwawa la Nyerere na lazima yafunguliwe ili Bwawa libaki salama, la Sivyo na lenyewe litazidiwa na kusombwa! Kwahiyo mafuriko yataendelea kuwaadhibu wanaRufiji. Poleni sana wanaRufiji, majanga mengine ni ya kutengenezwa. Leo mtakula wali wa Eid El Fitr huku mnaogelea. Bahati mbaya Mamlaka haiwezi kushitaki Mamlaka. Na Rufiji sio Mississippi. Nawasilisha Credit Dr. Chris Cyrilo.