E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
"Tunafatilia Ili tujue Sheria za Dini zinasemaje Ili Tuone kama tunaruhusiwa Kuolewa na Mwanaume mmoja, Ndoto yetu Tunatamani sana Kuolewa na Mwanaume Mmoja hatutaki Kuolewa tofauti" - Chobis Twins (Mapacha).
Toa maoni yako
1 307
"Kimbunga Hidaya niko live"- Hidaya Njaidi (Mama Mzazi wa Patrick Kanumba), Mwigizaji wa filamu Tanzania.
1 307
"Safari yangu ya kumtumikia MUNGU ilianza kama masihara siku chache zijazo ntawaeleza kwa urefu…ila mwaka jana nilipata ujumbe kutoka kwa MUNGU niende Mbeya kuna watoto nikawasaidie …kiukweli sikuelewa niliona labda nachanganyikiwa haikuwa rahisi …nilifika Mbeya na MUNGU alinisaidia nilikutana nao kwa njia ambayo mim mwenyewe sikutegemea…" - Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
Chukua hii.
Mnamo Mei 4, 2021, Dunia ilishuhudia rekodi mpya ikiandikwa Jijini Casablanca Nchini Morocco 🇲🇦 ambapo Mwanamke mmoja aitwaye Halima Cisé alijifungua Watoto Mapacha tisa (9) na habari nzuri ni kwamba Mapacha hao wametimiza miaka mitatu hii leo, Mei 4, 2024
Mwanamama huyo mwenye miaka (29) ambaye ni Raia wa Mali 🇲🇱, aliwazaa : ADAMA, OUMOU, HAWA, KADIDIA, FATOUMA, OUMAR, ELHADJI, BAH na MOHAMMED na kuvunja rekodi ya Dunia iliyokuwa ikishikiliwa na Nadya Suleman ambaye ni Raia wa Marekani 🇺🇸 baada ya kujifungua Watoto nane (8) mwaka 2009.
NB : Familia hii sijui kama ina mpango wa kuongeza Watoto 🤔
Toa maoni yako
1 307
+6
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
+4
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz