E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
🚨 Imebainika kuwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria 🇳🇬 Kayode Olarenwaju watoto watatu ambao ilisemekana ni wake yeye na mke wake,kipimo Cha DNA kimethibitisha kuwa sio watoto wake wote hao wala hawaendani kwa damu.
Kwa mujibu wa taarifa za mfanano ni kuwa watoto hao wanaelezwa kuwa wa Pastor mmoja mkubwa nchini Nigeria ambae jina lake hakijawekwa wazi. Olarenwaju alibambikwa watoto hao. 💔✅
FOLLOW US. ClifCliff
1 307
"Nipo single huu mwaka wa 15, Mwanaume ninaemhitaji awe anapumua tu" - Love Juakali, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
Baada ya Mwigizaji wa filamu Nchini Tanzania, Getrude Mwita maarufu "Kibibi wa Huba" kukiri kuwa Mwigizaji Mkongwe Riyama Ally ndiye Mtu aliyemuona na kumuombea nafasi kwenye Tamthilia ya Huba ambapo kwa kipindi hicho Kibibi hakuwa Mwigizaji mkubwa kihivyo lakini Riyama Ally alimpambania kwa kuwashawishi Wawekezaji wa Tamthilia hiyo wampe nafasi kwasababu ana kipaji.
Katika mahojiano yake mbalimbali Kibibi amekuwa akitoa shukrani zake kwa Riyama kuwa hatoacha kumshukuru kwasababu bila yeye asingekuwa hapa alipo leo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Riyama Ally baada ya kuona mahojiano hayo ya Kibibi akimshukuru, amejibu kwa kuandika.
"Ulistahili, wewe ni kipaji kutoka moyoni, Hongera sana Getrude Mwita. Nilitumia nguvu na akili kubwa kupambania baadhi ya wasanii wenzangu ili waweze kupata nafasi wasio na majina na baadhi yao hata vipaji vya kweli hawana ila niliamini watajifunza zaidi na kuwa vizuri siku za usoni kwasababu wote tulijifunza na tunaendelea kujifunza"
"Ila kwa hao wengi wao nimeambulia kejeli na dharau mtandaoni na katika baadhi ya interview, any way, maisha yanaendelea wenzangu tusivunjike moyo tuendelee kushikana mikono kwani bado Tasinia yetu inahitaji ushirikiano wa vitendo na upendo wa kweli. Majungu kuvimbiana havijawahi kutusogeza zaidi ya kuturudisha nyuma, Mwenyezi Mungu azidi kukusogeza Kibibi hongera tena kwa kupambania ndoto zako nakuona mbali sana"- Riyama Ally, Mwigizaji wa filamu Tanzania
NB : Riyama Ally alitamba kwenye filamu ya "Fungu la kukosa" maarufu "Mama Mateso"
Toa maoni yako
1 307
Huyu hapa Mnyakyusa Mama wa Mchekeshaji Eliud Samuel akiwa ameshika Tuzo ya mwanae aliyoshinda hapo jana.
Nguvu ya Mama💪
1 307
AZIZ KI NA HAMISA MOBETTO
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
WACHACHE WATAMJUA HUYU NI NANI..😀
FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+2
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
NINI KIMEMKUTA MZEE WA WHO IS THIS GUY..😀
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+3