E-PLUS MEDIA
Открыть в Telegram
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
1 307
"Kuanzia leo mimi sio mwanafamilia wa TBC, nimeacha kazi, asanteni"- Miriam Migomba
1 307
"My Mom now nafurahi kukuona kwenye hali nzuri ya kufurahia matunda yangu ambayo ulikuwa unayapambania kwa kufunga na kusali ili niweze kufanikiwa mtoto wako. Kuna wakati nilikuja kukuona na ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho nikiwa sina kitu na nikasema sitaruhusu tena kuwaona mama yangu na familia yangu mnaishi maisha ya tabu kiasi kile, coz ulikuwa umekonda kupita kiasi mpaka nikahofia pengine unaumwa sana lakini ukaniambia unafunga kila siku kwa ajili yangu"
"Now mafanikio uliyokuwa ukifunga na kuniombea ndio yamesababisha chuki vita za bila sababu kwa baadhi ya watu wangu wa karibu tena bila kukuonea aibu hata wewe ambaye ulikuwa ukitubariki kwa pamoja bila kutubagua. Ila nakuahidi sitoruhusu turudi kule tulipokuwa, kiufupi labda waniue"- Chino
Kwa sasa Marioo na Chino ni Chui na Paka.
1 307
⚠️😳 Amos, mchungaji wa kanisa S.Africa ameibuka kusema asilimia kubwa ya wanaume ndio wanavuruga ndoa na mahusiano
Pia amewabamiza wanaume wanaopata watoto na wanawake kisha kuwatelekeza bila kufunga nao ndoa halafu visingizio vya huyu hafai kuwa mke au yule anafaa kuwa mke
Anasema kama hukuwa na nia nzuri kwa huyo mwanamke tangu mwanzo kwanini uwe mrahisi kulala nae ila likija suala la ndoa unaanza kuleta sababu ambazo mwanzo hukuwa nazo tena unaanza hata kumhusisha Mungu wakati awali ulizini bila kufikiria kuwa ni dhambi mbele za Mungu
Anasema ukionja keki unatakiwa uendelee nayo maisha yako yote
1 307
***Nchi za afrika zenye orodha ya maeneo mengi yenye makazi mengi duni(Slums) ***
1. Kibera, Kenya 🇰🇪: 700,000
2. Mathare, Kenya 🇰🇪: 500,000
3. Ajegunle, Nigeria 🇳🇬: 500,000
4. Shomolu, Nigeria 🇳🇬: 400,000
5. Khayelitsha, South Africa 🇿🇦: 400,000
6. Cazenga, Angola 🇦🇴: 400,000
7. Makoko, Nigeria 🇳🇬: 300,000
8. Alexandra, South Africa 🇿🇦: 200,000
9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya 🇰🇪: 100,000
10. Agbogbloshie, Ghana 🇬🇭: 80,000
📷 Picha: Kibera Slum 🇰🇪
1 307
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake.
Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na mshitakiwa huyo yenye namba za usajiili MC 601 DLB na sasa ni mali ya serikali.
Mwendesha mashitaka wa polisi aliieleza mahakama kwamba Septemba 7 mwaka jana, mshitakiwa huyo alikodiwa na msichana mwenye miaka 24 ampeleke Kijiji cha Kidahwe, baada ya kukosa usafiri katika eneo hilo, na ndipo mwanaume huyo alipotekeleza ukatili huo walipokuwa njiani.
1 307
Luisa Yu, mwanamke menye miaka 79 ameshatembea nchi zote duniani mpaka sasa.
Je wewe umeshatembea nchi ngapi hadi sasa? 🏃♂️➡️
1 307
Huenda tukapata kolabo kati ya Nandy na Msanii wa muziki maarufu na wa muda mrefu kutoka Nchini Marekani 🇺🇸, Usher baada ya Nandy kuvujisha ujumbe (chats) aliokuwa akizungumza (akichati) nae. Aidha mara baada ya Mange Kimambi kuliona hilo, alikuwa na haya ya kuzungumza 👇
"Mdogo wangu jifunze ku move in silence aiseee….. Wabongo unawajua watakuharibia hawa aiseee…. Hii ilibidi utu surprise out of nowhere.
Kumbuka kuna kina king’ang’a wanapushiwa na label kubwa na hawajawahi kupata ft kama hizi. Hapo utafanyiwa bonge la zengwe.. Hii nyimbo ikitoka nitaamini kweli sisi wapare ni wakali wa zile kazi 🤣🤣🤣
Mbali na issue ya zengwe kuna issue ya professionalism hapa. Ungetulia tu aiseee…. This is huge for your career sijui why ume risk hivi
Anyways, DAH ni song of the year anaebisha mchawi….
PS: Hiyo namba ya Usher naomba niletee dada yako DM. Sitosema nimeitoa kwako" ameandika Mange Kimambi.
Ikumbukwe kuwa wimbo wa "Dah" ndio wimbo ambao Usher Raymond ametokea kuumpenda na ni wimbo ambao tayari ulikuwa umeshafanyia "remix" na Alikiba baada ya "original" yake ambayo ilikuwa ni maalum kwa ajili ya Haji Manara na Zaiylissa.
Toa maoni yako
1 307
Huenda tukapata kolabo kati ya Nandy na Msanii wa muziki maarufu na wa muda mrefu kutoka Nchini Marekani 🇺🇸, Usher baada ya Nandy kuvujisha ujumbe (chats) aliokuwa akizungumza (akichati) nae. Aidha mara baada ya Mange Kimambi kuliona hilo, alikuwa na haya ya kuzungumza 👇
"Mdogo wangu jifunze ku move in silence aiseee….. Wabongo unawajua watakuharibia hawa aiseee…. Hii ilibidi utu surprise out of nowhere.
Kumbuka kuna kina king’ang’a wanapushiwa na label kubwa na hawajawahi kupata ft kama hizi. Hapo utafanyiwa bonge la zengwe.. Hii nyimbo ikitoka nitaamini kweli sisi wapare ni wakali wa zile kazi 🤣🤣🤣
Mbali na issue ya zengwe kuna issue ya professionalism hapa. Ungetulia tu aiseee…. This is huge for your career sijui why ume risk hivi
Anyways, DAH ni song of the year anaebisha mchawi….
PS: Hiyo namba ya Usher naomba niletee dada yako DM. Sitosema nimeitoa kwako" ameandika Mange Kimambi.
Ikumbukwe kuwa wimbo wa "Dah" ndio wimbo ambao Usher Raymond ametokea kuumpenda na ni wimbo ambao tayari ulikuwa umeshafanyia "remix" na Alikiba baada ya "original" yake ambayo ilikuwa ni maalum kwa ajili ya Haji Manara na
1 307
⚠️😳 "Matukio yalioniumiza mwaka jana ni tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani? Nimepoteza jumla ya trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa, ila maisha hayajawahi kusimama. #Hakuna " - Jidee
1 307
⚠️😳 "Mume wangu ananipenda na dunia ikiundwa upya nitamchagua yeye na nipo tayari hata kufa nae na ikiwezekana tuzikwe pamoja" - Esha Buheti
1 307
Mwamba wa Kazi Beki ya Mpira namba Moja kwa Wachezaji wa Ndani kwa Sasa Hussein Kazi, amejipatia Mke 😜😜
1 307
"Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanua mafuta ya taa kwenye madebe tunapeleka vijijini kwenda kuuza, wale wanapata huduma sisi tunapata kipato, ndio biashara ya kwanza kufanya." - Azim Dewji, Mfanyabiashara Mkubwa akiujulisha umma biashara yake ya kwanza kuanza kufanya iliyopelekea kuwa moja ya matajiri wakubwa Tanzania.
#CloudsTv....
1 307
"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais @samia_suluhu_hassan kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani
#Bungeni
1 307
“Nitoe wito kwa wanahabari, timizeni wajibu wenu kwa kufuata sheria, Serikali haina mpango wa kuingilia uhuru wa wanahabari kutimiza majukumu yao. Kama kuna mahali watu wanaamua kutumia content [maudhui] yoyote wafanye kwa kufuata sheria, lakini hakuna kiongozi yeyote wa serikali ambaye ana mpango wa kuingilia uhuru wa vyombo vyetu vya habari kutimiza majukumu yao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
