ru
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Открыть в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Больше
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://t.me/EplusMediaTz

Tiffa dangote kweli miaka inaenda kasi
Tiffa dangote kweli miaka inaenda kasi

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

photo content

photo content

Kumbukumbu (2018) ‘Nakumbuka mwaka 2009, Berry Black alikuja Tripple A (Arusha) kwenye show akauliza mtoto anayeweza kuimba w
Kumbukumbu (2018) ‘Nakumbuka mwaka 2009, Berry Black alikuja Tripple A (Arusha) kwenye show akauliza mtoto anayeweza kuimba wimbo wake ajitokeze, nikajitokeza, nikaimba wimbo wake wa Mi Nataka Kuwa na Wee, nikaimba vizuri akanipa Shilingi Elfu 20, nikatoka na mtiti wa watu wengi hii barabara mpaka Ngarenaro’. ‘Wakaniuliza unataka nini, nikawaambia mi nataka simu, wakaniambia kwanini unataka simu ya dukani? Lete hiyo hela tukakuibie simu tukuletee, huwezi amini simu yangu ya kwanza ilikuwa ya wizi, Mungu anisamehe’ - Dogo Janja, Msanii wa muziki Tanzania. Toa maoni yako

Chumvi Maulid Kitenge amezua Gumzo Mitandaoni Baada ya Kuonekana akiwa amevaa Kanzu na Kapelo Katika IFTAR Iliyoandaliwa jion
Chumvi Maulid Kitenge amezua Gumzo Mitandaoni Baada ya Kuonekana akiwa amevaa Kanzu na Kapelo Katika IFTAR Iliyoandaliwa jioni na Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Je Mtazamo wako ni upi je ni sahihi Kuvalia Kanzu pamoja na Kapelo ya GUCCI?

Je ni kweli Nchi nyingi zinazo Ongozwa Katika Mfumo wa Kifalme Zimepiga Hatua Kubwa Kimaendeleo Kuliko Nchi zenye mfumo wa De
Je ni kweli Nchi nyingi zinazo Ongozwa Katika Mfumo wa Kifalme Zimepiga Hatua Kubwa Kimaendeleo Kuliko Nchi zenye mfumo wa Democracy?

Peter Msechu Akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Watoto wake
Peter Msechu Akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Watoto wake

Mwanamuziki @harmonize_tz amemtambia bondia @hassanmwakinyojr kuwa ni heri apigwe na mpenzi wake ila sio yeye, Katika charts
Mwanamuziki @harmonize_tz amemtambia bondia @hassanmwakinyojr kuwa ni heri apigwe na mpenzi wake ila sio yeye, Katika charts zao za instagram alimjibu bondia huyo kuwa "Bora nipigwe na mchumba angu sio wewe Hassani” - Harmonize Hii imekuja baada ya Harmonize kusema kuwa yupo tayari kupambana na bondia yeyoye Professional kwa Tsh Milioni 255 na bondia Hassan Mwakinyo amesema yupo tayari kumvaa Harmonize ulingoni. Je, Nani unadhani atampiga mwenzake?😂

WASIFU WA LENGAI OLE SABAYA Lengai Ole Sabaya amezaliwa Tarehe 26/12/1986 mkoani Arusha. Amesoma Shahada ya Sayansi katika El
WASIFU WA LENGAI OLE SABAYA Lengai Ole Sabaya amezaliwa Tarehe 26/12/1986 mkoani Arusha. Amesoma Shahada ya Sayansi katika Elimu Chuo Kikuu cha Mtakatifu John Dodoma (St. John University). Ole Sabaya aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Mkoa wa Arusha na pia aliwahi kushika wadhifa wa Udiwani katika kata ya Sambasha Wilaya ya Arumeru mwaka 2015. Ole Sabaya aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro tarehe 28 Julai 2018 ya aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli. Sabaya alitenguliwa nafasi hiyo ya ukuu wa Wilaya ya Hai tarehe 13 Mei 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan ili kupisha uchunguzi wa makosa yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha na Baadae aliachiwa huru Baada ya kukutwa Hana Hatia. Za Chini Chini Anarejea Soon kwenye Nafasi Kubwa 🔜 #ChumaKinarejea

WAKRISTO WALAANI NA KUMKATAA DIAMOND PLATNUMZ KUSHIRIKI MTOKO WA PASAKA. "Ni makosa makubwa kumualika Diamond kwenye Tamasha
WAKRISTO WALAANI NA KUMKATAA DIAMOND PLATNUMZ KUSHIRIKI MTOKO WA PASAKA. "Ni makosa makubwa kumualika Diamond kwenye Tamasha la pasaka, mnamualika kama nani? na hela zake mnakula za nani? eti mtoko wa pasaka wanamsaidia Diamond kusoma mstari wa biblia, kama nani?. Nalikataa hilo tamasha halina Mungu, halitakuwa na Mungu na halitakuja kuwa na Mungu na nyote mliokuwa pale mkatubu, wahuni watupuuu!"- amesema Bushop Kakiziba Mtoko wa PASAKA ni Tamasha kubwa la kiinjili ambalo lina misimu miwili tu tangu kuanzishwa kwake, Tamasha hilo hulenga kusherehekea kufufuka kwa Yesu Kristo na linaandaliwa na Christina Shusho pamoja na Diamond Platnumz na kupewa udhamini na Wasafi Media.

#TBT: Baba yake Manara katika picha ya pamoja na mwali wake Rushaynah. Vp kimaadili ni sahihi mkwe kukaa karibu na mwali wake
#TBT: Baba yake Manara katika picha ya pamoja na mwali wake Rushaynah. Vp kimaadili ni sahihi mkwe kukaa karibu na mwali wake Hivi? Tupeane elimu tupe maoni yako

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

WATU MNA SIRI KUMBE NI NDUGU NA HAMSEMI.. KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bo
WATU MNA SIRI KUMBE NI NDUGU NA HAMSEMI.. KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK