ru
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Открыть в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Больше
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+8
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

"Tangu niokoke mwaka 2022 sijawahi kuwa na mwanamke kimahusiano wala kushiriki tendo la ndoa, nasubiri Mke kutoka kwa Bwana"-
"Tangu niokoke mwaka 2022 sijawahi kuwa na mwanamke kimahusiano wala kushiriki tendo la ndoa, nasubiri Mke kutoka kwa Bwana"- Obby Alpha

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

PICHA KUBWA Klabu ya Barcelona ilikuwa na utaratibu wa kupiga picha na watoto kwa ajili ya Calender ya UNICEF (Shirika la Umo
PICHA KUBWA Klabu ya Barcelona ilikuwa na utaratibu wa kupiga picha na watoto kwa ajili ya Calender ya UNICEF (Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto). Mwaka 2007, Lionel Messi akiwa na miaka 20 akapangiwa kupiga picha na mtoto mchanga wa Miezi 4 ambaye ni Lamine Yamal. Wakati huo hakuna alijua kuwa Yamal angekuja kuwa mchezaji hodari namna hii. KUTOKA MITANDAONI Jiunge ukurasa wetu wa Telegram..👇 https://t.me/sportslite

UGANGA SIO DHAMBI, DINI INARUHUSU- SHEIKH KIPOZEO ''Uganga maana yake ni kumtibu mtu, mtu anaumwa ukamtibu akapona; unapata m
UGANGA SIO DHAMBI, DINI INARUHUSU- SHEIKH KIPOZEO ''Uganga maana yake ni kumtibu mtu, mtu anaumwa ukamtibu akapona; unapata malipo kwa mwenyezi Mungu kwa hiyo uganga haujakatazwa katika vitabu vyote vinne (4) vya mwenyezi Mungu; Torati, Zaburi, Injili,Quran. Lakini kilichokatazwa ni ushirikina'' - Sheikh Kipozeo akihojiwa na EATV Sheikh kasema dini hadi Quran inaruhusu kuna anayebisha hili? Tupe maoni yako

Pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bi Jenista Mhagama akiteta jambo na mwananchi Bi Agne
Pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bi Jenista Mhagama akiteta jambo na mwananchi Bi Agness Haule, mkazi wa Liganga huko Songea wakati wa ziara yake katika kijiji hicho.

Rais wa Kenya, William Ruto ameyashutumu mashirika ya kigeni kuwa yanafadhili maandamano yanayomshinikiza ajiuzulu. Amesema K
Rais wa Kenya, William Ruto ameyashutumu mashirika ya kigeni kuwa yanafadhili maandamano yanayomshinikiza ajiuzulu. Amesema Kenya ni taifa la kidemokrasia, hivyo raia wanapaswa kusubiri uchaguzi ujao, mwaka 2027, ili kuchagua viongozi wanaowataka.

“Ni marufuku pikipiki kubeba mkaa, kwa sheria za LATRA zipo sio sheria za Magoti wala za Mkuu wa Wilaya, sasa mimi nipo hapa
“Ni marufuku pikipiki kubeba mkaa, kwa sheria za LATRA zipo sio sheria za Magoti wala za Mkuu wa Wilaya, sasa mimi nipo hapa kwa niaba ya serikali kusimamia sheria. Ni marufuku pikipiki kubeba mkaa katika Wilaya ya Kisarawe [..] Nikikukamata faini ya pikipiki ni milioni moja na kuna muda tukiikamata ile pikipiki usipotoa faini tunataifisha pikipiki” – Petro Magoti, Mkuu wa Wilaya Kisarawe

#Fahamu Kampuni ya Apple wamelazimika kununua camera kwa mpinzani wake SAMSUNG kutokana na Sony ambae amekuwa akiwauzia kwa m
#Fahamu Kampuni ya Apple wamelazimika kununua camera kwa mpinzani wake SAMSUNG kutokana na Sony ambae amekuwa akiwauzia kwa muda mrefu kushindwa kufikisha kwa wakati camera ambayo Apple wanataka itumia kwenye iPhone 16, kitu ambacho kingesogeza mbele siku ya uzinduzi wa simu hio.

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+7
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

UMEGUNDUA NINI HAPA..😀
UMEGUNDUA NINI HAPA..😀

Mwaka 2007, Lionel Messi akiwa mdogo alipiga picha na mtoto kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha Camp Nou huko Barcelona k
+3
Mwaka 2007, Lionel Messi akiwa mdogo alipiga picha na mtoto kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha Camp Nou huko Barcelona kwa picha ya kalenda ya hisani. Messi, ambaye alikuwa na umri wa miaka 20, tayari alikuwa amejitengenezea jina na angeendelea kuwa bora zaidi wa wakati wote. Lakini mpiga picha hakujua kuwa mtoto huyo pia angesababisha mawimbi katika soka la kimataifa chini ya miaka 17 baadaye. Messi alikuwa akimuogesha Lamine Yamal - kijana mwenye umri wa miaka 16 ambaye amewashangaza wengi katika mechi za ubingwa wa Ulaya .Bao lake dhidi ya Ufaransa katika nusu fainali siku ya Jumanne ni moja ambalo litakuwa gumzo kwa miongo kadhaa. Akiwa na miaka 16 na siku 362, shambulizi hilo pia lilimfanya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao katika historia ya mashindano hayo. Picha ya Messi na Yamal iliyosahaulika kwa muda mrefu iliibuka tena baada ya babake Yamal kuiweka kwenye Instagram wiki iliyopita ikiwa na maandishi: “Mwanzo wa hadithi mbili.” Picha hizo zilichukuliwa na Joan Monfort, ambaye anafanya kazi kama mpiga picha wa kujitegemea wa chombo cha habari cha Associated Press. Picha hiyo ilitokea baada ya Unicef ​​kucheza mchezo wa bahati nasibu katika mji wa Mataró ambako familia ya Lamine iliishi, alisema. “Walijiandikisha kwa bahati nasibu ili picha yao ipigwe huko Camp Nou wakiwa na mchezaji wa Barca. Na walishinda bahati nasibu,” Bw Monfort aliambia Associated Press. Picha hiyo haikuwa ya moja kwa moja, mpiga picha alisema.”Messi ni mvulana anayevutia, ana haya,” alisema. “Alikuwa akitoka kwenye chumba cha kubadilishia nguo na ghafla akajikuta kwenye chumba kingine cha kubadilishia nguo akiwa na beseni la plastiki lililojaa maji na mtoto ndani yake. Ilikuwa ngumu. Hakujua hata jinsi ya kumshika mwanzoni Kama Messi, Yamal alienda kuichezea Barcelona, ​​ambapo alikua mwanzilishi na mfungaji mabao mdogo zaidi katika klabu hiyo, na pia mfungaji mdogo zaidi wa mabao katika ligi ya Uhispania. Bw Monfort alisema ni wakati tu picha hiyo ilipoanza.... LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk

Nani mwenye kosa hapa..😀
Nani mwenye kosa hapa..😀

NENo moja kwa eng..😀
NENo moja kwa eng..😀

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya Brazil, Roberto Firmino amegeukia uchungaji akishirikiana na
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya Brazil, Roberto Firmino amegeukia uchungaji akishirikiana na mke wake Larissa Pereira baada ya kufungua kanisa la Kiinjilist huko kwao Brazil.

Mwandishi wa kwanza tajiri Tanzania
Mwandishi wa kwanza tajiri Tanzania

Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua siku ya Jana ameripotiwa akipatia Mhindi wa kuchoma bibi kizee asiye hata na meno moja.
+1
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua siku ya Jana ameripotiwa akipatia Mhindi wa kuchoma bibi kizee asiye hata na meno moja. Watumiaji wa mitandao nchini Kenya wamekosoa hatua hiyo huku wakisema naibu wa Rais Hana utu, huku wengine wakisema alipaswa kumpatia unga ili apike ugali.