ru
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Открыть в Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Больше
1 307
Подписчики
+124 часа
-27 дней
-1330 дней
Архив постов
"Nilikuwa sijui kupika ugali nikaenda Tanga kujifunza jinsi ya kupika ugali na saizi najua kuupika ugali vizuri sana, nimejif
"Nilikuwa sijui kupika ugali nikaenda Tanga kujifunza jinsi ya kupika ugali na saizi najua kuupika ugali vizuri sana, nimejifunza kuwa ugali mlaini unachanganywa na blueband " Mwanamuziki Abigail Chams

"Nilipoteza milioni 100 baada ya biashara yangu ya Bar kufungwa. Niliwekeza pesa nyingi na biashara ilikuwa inakua kwa kasi l
"Nilipoteza milioni 100 baada ya biashara yangu ya Bar kufungwa. Niliwekeza pesa nyingi na biashara ilikuwa inakua kwa kasi lakini kumbe eneo nilipoweka biashara halikuwa sahihi, lilikuwa karibu na makazi ya watu kelele zilipozidi wakanishtakia. Namshukuru Mungu baada ya muda nilipata pesa nyingine ila zile milioni 100 ziliniuma zaidi kwasababu sikuhongwa ilikuwa ni jasho langu"- Aunty Ezekiel, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni

Afisa Mtendaji wa kijiji, Mhasibu wa baraza la Wazee na Mjumbe wa baraza la Wazee wafikishwa mahakama ya Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma ya kuomba rushwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita imewafikisha Mahakamani Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nampalahala, Mhasibu wa baraza la Wazee la kijiji hicho pamoja na Mjumbe wa baraza hilo kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa Washtakiwa hao ambao ni Peter Magadula, Mabula Ngolobani na Ruben Nzalia walifikishwa Mahakama ya Wilaya hiyo machi 13 , 2024 kwa kosa la kuomba rushwa ya kiasi cha Shilingi laki moja na Elfu hamsini (150.000) kutoka kwa Mwananchi wa kijiji hicho Bw.Ally Msuhi ili aendelee kuishi kijijini humo baada ya kukaidi amri ya baraza la kijiji. Washtakiwa hao walituhumiwa kutenda kosa hilo kinyume na kifungu cha 15 (1)(a) na (b) cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa sura ya 329 marejeo ya mwaka 2022 na kufunguliwa kesi ya rushwa namba 6684 ya mwaka 2024 Washtakiwa wamesomewa mashtaka na mwendesha mashtaka wa TAKUKURU Bw. Chali Kadeghe mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe Mhe. Bahati Chitepo. Washtakiwa wamebainika kuchukua kiasi cha Shilingi laki moja mnamo Novemba 2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kati ya Laki moja na Elfu hamsini waliyokuwa wameiomba kutoka kwa Mwananchi Ally Msuhi Baada ya washtakiwa kukana mashtaka na upande wa mashtaka kuieleza Mahakama kuwa uchunguzi umekamilika na kuomba tarehe ya kusomwa hoja za awali, Hakimu alitoa sharti la kila mmoja kuwa na Mdhamini mmoja atakayesaini fungu la dhamana ya Shilingi milioni moja. Washtakiwa wote wametimiza vigezo na kudhaminiwa huku Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Geita Bw. Azza Mtaita akiwataka Viongozi kuwa Wadilifu katika utumishi wao. Na Mwandishi wetu Emmanuel Masunzu kutoka Mkoani Geita. Toa maoni

photo content

"Kuhusu Connection Iliovuja me mwenyewe Sijui nangojea niiyone kwa mange Ili nijue ni Mimi au sio Mimi" - Aslay, Msanii wa mu
"Kuhusu Connection Iliovuja me mwenyewe Sijui nangojea niiyone kwa mange Ili nijue ni Mimi au sio Mimi" - Aslay, Msanii wa muziki Tanzania akijibu kuhusu video ya utupu inayodhaniwa kuwa ni Aslay kuvuja. Toa maoni

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+5
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Hakuna sheria katika nchi hii inayosema mfanyabiashara ndogondogo au machinga haruhusiwi kukaa katikati ya mji. Tukianza kwe
"Hakuna sheria katika nchi hii inayosema mfanyabiashara ndogondogo au machinga haruhusiwi kukaa katikati ya mji. Tukianza kwenda na utaratibu wa namna hiyo maana yake tunatengeneza makundi ya Watanzania. Kwa hiyo wateule wangu lazima muelewe hili,kwa sababu hawa ndio waliniweka madarakani nitatue changamoto zao sio nitengeneze changamoto nyingine. Hata kama mnawahamisha msiwapeleke kwenye maeneo ambayo hayata 'facilitate business zao'(hayawezeshi kufanyika kwa biashara zao), ni lazima mtengeneze utaratibu mzuri, machinga wasijione wanyonge kwenye nchi yao"-#JPM

photo content
+1

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+9
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Chukulia picha unaenda kumchumbia mpenzi wako na hawa ndo ndugu zake utatoboa kweli..😀
Chukulia picha unaenda kumchumbia mpenzi wako na hawa ndo ndugu zake utatoboa kweli..😀

Baada ya kutangaza kuachana na Mumewe Abdul na kusema kuwa atamrudishia kila kitu chake, Diva Thebowse ambaye ni Mtangazaji Wasafi FM, amezungumza hayo baada ya kuona mahojiano aliyoyafanya Abdul. " Nimeona Intervie Ya @sheikh_abdulrazak_salum Rick Media. umesahau nilikuuguza ww na mzazi wako or wazazi wako? umewahi uguza hata ndugu yangu au mzazi wangu? nilikulipia hospital bills wakat ambao watu wakikukimbia , nilihangaika na ww usiku na mchana hospital. unaniita Bibi we ni mtoto ? una 32 years this year buana tumepishana miaka 3 tu .. Nimekuacha Mimi very Peaceful leo hii na asubuh ulisema huwez ishi bila mimi asa matusi saa hii ya nn ?! kuna kipindi ulikuwa huna hata sehemu ya kuishi hukuwa na hela nilibeba majukumu yote kama mtoto wa kike bwana. kuwa na heshima na shukran, I made you ... sikutaka Post hii but naona kama umeumia sana umetukanwa na kudhalilishwa ? abdul ww kuwa responsible na matendo yako tu na tabia zako basi .. sababu umefanya mengi sana sana sana ya ajabu what i did was to clear the air .. jana ulisema mi nilikuwa na kucheat me ? never ever .. sasa leo tu umesema huwez ishi bila mimi huku whatsapp now nimekuwa bibi ulinistiri, huyu bibi alikufanyia Mengi Ya Wema aisee .. sikulala usiku kucha day in day out with my own money ili utibiwe .. aisee nikisema tufate sheria hasa ya ndoa my dear utalia sababu you made this. maneno yote nilisema Public was so real my dear. unachofanya ni unataka niharibia nisiolewe tena .. Mungu ananipenda sana kuna watu wako ready to marry me. nimeishi na ww na familia yako na ndio nilikuwa front sawa kwa heshima Ya Mzee wako futa kauli zako hizo haraka sana maana unanijua vizur tu .. ww hupendeki .. ww umenidhalilisha sana .. nilikuwa nakupenda sana na kukuheshimu mwanzo ila wewe una matatizo usitake jisafisha like that bwana we embu niache niishi maisha yangu. ulinipiga nikatoka Mimba ww .. ulinifanyia vitendo vingi. nilikukumbatia na kukusafisha so many times, you hurt me so bad in 3 years and was so good to you kosa langu kusema sitak? i need Peace au mapovu yote kisa nn .. gentleman wa insta embu kaa kwa kutulia bwana. mimi uumwe mimi nilipe bills mimi mimi nilee watoto wako ndugu zako kwa upendo mimi uyo uyo diva nikuhudumie ukiimwa afu uje unitukane insta mimi uyo uyo ni deal na michepuko yako mimi uyo uyo nibebe maumivu yako ulihisi ningeendelea hivyo mpaka lini?' toa boriti ktk jicho lako kwanza .. " ameandika Diva Thebowse. Toa maoni yako

photo content

CHEMSHA BONGO _ Je Umefanikiwa Kumtambua Huyu Nani Pichani?😎.
CHEMSHA BONGO _ Je Umefanikiwa Kumtambua Huyu Nani Pichani?😎.

WASTARA NA MWANAE _ Wastara na mwanae wa pili wa kiume aliyezaa na Solo Thang mkongwe wa Bongofleva anayeishi Ulaya kwasasa
WASTARA NA MWANAE _ Wastara na mwanae wa pili wa kiume aliyezaa na Solo Thang mkongwe wa Bongofleva anayeishi Ulaya kwasasa

HARMONIZE ATIMIZA MIAKA 30 LEO HII AAHIDI KUACHA KULUMBANA NA WATU Ameandika Msanii Harmonize ✍️ “Turn to 30 years of my life
HARMONIZE ATIMIZA MIAKA 30 LEO HII AAHIDI KUACHA KULUMBANA NA WATU Ameandika Msanii Harmonize ✍️ “Turn to 30 years of my life!! I just wanna thank everyone for supporting my music journey 8 years in the game and still number one, usitegemee kuniona nikifanya the same, nimechagua kuyakataa mabaya na kuyaendeleza mema. Naamini sikuzaliwa kuja kushindana wala kugombana. Mapenzi ya watu wote yamefanya tuwe na Number One Record Label @Kondegang kama Yotube na mitandao mingine yote inavyo onyesha” - Harmonize “Wakati huu moyo wangu umejawa na furaha sana najiona namuona KONDE BOY MPYA mwenye miaka (30) hagombani, hana kinyongo na yeyote, anayemtanguliza MUNGU.Nnimeona baadhi ya watu wakisema amani itapunguza utamu wa game. Mawazo yangu yanapingana na hilo maaana chuki zimekaa miaka kibao na hatujafikia kufanya makubwa wanayo fanya wenzetu Nigeria & South African, ifike mahala tuujaribishe upendo tuone nguvu yake”-

SHULE 10 GHALI ZAIDI TANZANIA Hizi Hapa ndio Shule Zinazotoza Ada Kubwa zaidi Nchini Tanzania 🇹🇿 10. Morogoro International School (MIS) Ipo Morogoro na hufuata mtaala wa Cambridge. Ada ni kuanzia Tsh milioni 6.4 kwa chekechea hadi Tsh milioni 18 kwa sekondari. Hii ni ada peke yake, mbali na fedha ya usajili na boarding kwa wale wanaolala shuleni. 9. Internation School Moshi (ISM)/ UWC East Africa Hii ndio shule ghali zaidi katika mkoa wa Kilimanjaro. Ada kuanzia Tsh milioni 16 kwa chekechea hadi Tsh milioni 41 kwa wale wa kidato cha tano na sita. Shule hii hufuata Mtaala wa International Baccalaureate (IB). 8. Aga Khan Primary & Secondary School Shule hii ipo Dar Es Salaam, na hufuata Mtaala wa IB kama ilivyo ISM. Hutoza ada kuanzia Tsh milioni 7 hadi milioni 20. 7. Haven of Peace Academy (HOPAC) HOPAC ipo Dar Es Salaam. Hufuata Mtaala wa Cambridge na hutoza ada kati ya Tsh milioni 16 hadi 22 kwa mwaka. 6. Kennedys House Schools Shule za Kennedys ziko maeneo mengi duniani. Tanzania iko Arusha wakiendesha Chekechea na Shule ya Msingi. Ada zao huanzia Tsh milioni milioni 8 kwa Chekechea hadi milioni 22 kwa Shule ya Msingi. Shule hii hufuata Mtaala wa Cambridge. 5. Saint Constantine International School Nayo iko Arusha na hufuata Mtaala wa Cambridge. Ada yake ni kati ya Tsh milioni 8 kwa Chekechea hadi Tsh milioni 23 kwa sekondari. 4. Iringa International School (ISS) Iko Iringa na hufuata mitaala miwili ya IB na ule wa Cambridge. Hutoza ada kati ya Tsh milioni 17 kwa Chekechea hadi milioni 27 kwa sekondari. 3. Dar Es Salaam International Academy (DIA) Ni shule ya tatu kwa kuwa na ada ghali zaidi nchini. Iko Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. Ada yake kwa mwaka ni kuanzia Tsh milioni 23 kwa shule ya msingi hadi Tsh milioni 40 kwa sekondari. 2. Braeburn International School Hii iko Dar Es Salaam na Arusha. Hufuata mfumo wa IB na ada yake kwa mwaka ni kuanzia Tsh milioni 20 kwa shule ya msingi hadi Tsh milioni 43 kwa sekondari. 1. International School of Tanganyika (IST) Hii ndio shule ghali zaidi nchini. Iko jijini Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. IST hutoza ada kuanzia Tsh milioni 34 kwa chekechea hadi shilingi milioni 71 kwa sekondari, kwa mwaka.

photo content

POMBE NA WANAWAKE VIMENIPOTEZA "ASLAY" Msanii Aslay anasema kutokana na kuanza muziki akiwa na umri mdogo, alipata mafanikio
POMBE NA WANAWAKE VIMENIPOTEZA "ASLAY" Msanii Aslay anasema kutokana na kuanza muziki akiwa na umri mdogo, alipata mafanikio akiwa na umri mdogo pia, akiwa na miaka 20 tayari alijua milioni 1 hadi 3 ipoje, na hata alipoanza kufanya muziki kama solo fedha alipata nyingi ndipo mambo yakamzidia!. "Starehe zilikuwa ni nyingi kwa sababu nilikuwa naweza kufanya kitu chochote kwa sababu fedha nilikuwa nazo, kwa hiyo kujiamulia kufanya kitu nilikuwa na uwezo huo. Baadaye nikaingia kwenye pombe, wanawake hadi sasa nikawa nasahau kilichonifanya hadi vitu vyote vikanifuata" anasema Aslay. Follow Ukurasa Wetu wa https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

AJIFANYA MWANAUME ILI APATE NAFASI YA KUCHIMBA TANZANITE. Anaitwa Pili Hussein, baada ya kuolewa hakufurahia ndoa yake kwani mume wake alikuwa mkorofi sana. Pili alipofikisha umri wa miaka 31 aliachana na mume wake akaamua kwenda Mererani kutafuta maisha, alipofika Mgodini alianza upelelezi wa chini chini akaambiwa kwamba wanawake hawaruhusiwi kuchimba madini na hata wanaolazimisha kuchimba wanaonewa sana. Ndipo Pili Hussein akapata wazo la kujifanya Mwanaume, akaanza kuvaa kama Wanaume, akabadiri jina akawa anajiita 'Uncle Hussein'. Tangu mwaka 1987 mpaka 2015 alifanya kazi na Wanaume lakini hawakuwahi kumshtukia kwamba ni Mwanamke, kuna muda ilimbidi aanze kunywa pombe za kiume ilimradi tu aendane na Wanaume, ingawa anasema alikuwa hamezi pombe alikuwa anatema lakini wenzake walijua ni mlevi mwenzao. Miaka ya 1990 alifanikiwa kupata Vito viwili vya Tanzanite, kimoja Gram 1000, kingine Gram 800, hapo maisha yake yalianza kubadilika maana alinunua vifaa bora zaidi vya Uchimbaji. Mpaka sasa ni Bosi na ana Kampuni ya Uchimbaji Madini, ameajiri zaidi ya watu 70, anamiliki ardhi ekari 150, Mifugo na kadhalika. Ndoto kubwa ya Pili Hussein ni kufundisha mabinti Uchimbaji na biashara ya Madini, pia anatamani kuona jamii ikibadilika na kuchukulia kawaida Wanawake wanaochimba Madini. N.B; Pili aligundulika ni Mwanamke mara baada ya kutokea tukio la Ubakaji na yeye akituhumiwa kufanya ubakaji huo. Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2