الأستاذ الفاضل أبو رحمة عبد الحكيم الكونغوي حفظه الله🇨🇩
Открыть в Telegram
Больше
Страна не указанаКатегория не указана
271
Подписчики
+124 часа
+157 дней
+5130 дней
Архив постов
💥 VIPI ALIKUWA NABII ﷺ NYUMBANI KWAKE.
🎙Shaykh Abuu Rahma A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
Assalaam A'laykum Warahmatullah Wabarakaatuh
naam ya ikhwa rududu katika dini itakuwa kheiri kama tuta fwata mwenendo ya wana chuoni ( manhaj salafi swalih) lakini ikitoka hapo itakua tume toka kwenye kheiri walio kuepo salafi swalih , manhaj salafi inatakiwa busara na katika kila kitu , rududu zetu sio za kielimu ni za kishabiki Allah atuongoze sote kwenye manhaj salafi , ijulikane kwamba kosa ni lazima mtu akosei , wanao dai kwamba unapo koseya ni dalili ya udhaifu katika ilimu iyi sio swahihi na hii ni ushahidi tosha kama hatuja fahamu manhaj hii , kiuhaqiqa tume ivamiya sote wa kubwa kuliko sisi wame koseya makosa makubwa makubwa lakini hakuna hata mwanachuoni moja ame wahi kusema fulani ka koseya hiyo ni dalili ya udhaifu wa kiilimu !!! hizi sio lugha za wana chuoni zidi wanao ikhtilafiana nao , bali kwa khibra nilio nayo finyo sana katika kutauta ilimu najua hizo ni tabiya za wanafunzi wadogo sana wanao anza kusoma dini !!!! wallahi mimi abu rahmat siko maasuum sija salimika na makosa ao kuteleza kwenye ibara lakini haqi lazima tuta iteteya kadiri ya uozo atakao tuwezesha Allah , kikubwa ni kwamba Allah amesha samehe umat huu kwa kosa wanalo fanya bila kusudio , inshaa Allah nakuja kwa mada kamili kuhusu swala hili la mwanachuoni kukoseya jee ni dalili ya udhaifu wake ?
✍️ Abuu Abuu Rahmah A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
🕌•𝐌𝐀𝐑𝐊𝐀𝐙 𝐀𝐋-𝐅𝐔𝐑𝐐𝐀𝐀𝐍𝐔 •🕌
🏛 𝐆𝐎𝐌𝐀, 𝐐: 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐃𝐎 🏛
🇨🇩 𝐃𝐑𝐂𝐎𝐍𝐆𝐎 🇨🇩
🌿#𝐃𝐔𝐑𝐔𝐔𝐒_𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀_𝐇𝐀𝐃𝐈𝐓𝐇🌿
🍃 #𝐑𝐈𝐘𝐀𝐀𝐃𝐇𝐔_𝐒𝐖𝐀𝐀𝐋𝐈𝐇𝐈𝐘𝐍𝐀🍃
✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧
📚 كتاب: رياض الصالحين من كلام سيد المرسلين.
✍ تأليف: الإمام الحافظ الفقيه أبي زكريا، يحيى بن شرف النووي < رحمه الله تعالى رحمة واسعة >
ຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈ
🚪٧١. باب : *التواضع و خفض الجناح للمؤمنين*
🚪*71*.*Mlango unao eleza kunako Unyenyekevu na kujishusha kwa upole mbele ya Waumini.*
✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩
𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐌𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐇𝐔𝐔 🔽🔽🔽
𝐃𝐀𝐑𝐒𝐀 𝐍𝐎. 0⃣2⃣
🕰️𝐌𝐔𝐃𝐀 : 40min:32second
☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞
🎤 𝐌𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐀𝐉𝐈🪑
*SHAYKH WETU MBORA:*
'𝐀𝐁𝐃𝐔𝐋-𝐇𝐀𝐊𝐈𝐈𝐌 𝐀𝐁𝐔̂ 𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀𝐇 𝐀𝐒-𝐒𝐀𝐋𝐀𝐅𝐈𝐘
( حفظه الله ورعاه)
✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍
𝐈𝐌𝐄𝐓𝐀𝐖𝐀𝐍𝐘𝐖𝐀
📆𝐓𝐀𝐑𝐄𝐇𝐄
07.October
𝟐𝟎𝟐6 𝐌
Baada ya swalaah ya Adhuhuri
🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃
𝐉𝐈𝐔𝐍𝐆𝐄 𝐍𝐀𝐒𝐈 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐘𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐍𝐄𝐋 𝐇𝐈𝐙𝐈
📱𝐓𝐄𝐋𝐄𝐆𝐑𝐀𝐌 👇👇👇👇
https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
🪀 𝑾𝑯𝑨𝑻𝑺𝑨𝑷𝑷 👇👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5n1O28aKvNVGHcMq2q
https://whatsapp.com/channel/0029VbBxZkbHAdNVjmX2XI0S
⤵️⤵️⤵️
🕌•𝐌𝐀𝐑𝐊𝐀𝐙 𝐀𝐋-𝐅𝐔𝐑𝐐𝐀𝐀𝐍𝐔 •🕌
🏛 𝐆𝐎𝐌𝐀, 𝐐: 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐃𝐎 🏛
🇨🇩 𝐃𝐑𝐂𝐎𝐍𝐆𝐎 🇨🇩
🌿#𝐃𝐔𝐑𝐔𝐔𝐒_𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀_𝐇𝐀𝐃𝐈𝐓𝐇🌿
🍃 #𝐑𝐈𝐘𝐀𝐀𝐃𝐇𝐔_𝐒𝐖𝐀𝐀𝐋𝐈𝐇𝐈𝐘𝐍𝐀🍃
✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧✧
📚 كتاب: رياض الصالحين من كلام سيد المرسلين.
✍ تأليف: الإمام الحافظ الفقيه أبي زكريا، يحيى بن شرف النووي < رحمه الله تعالى رحمة واسعة >
ຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈຈ
🚪٧١. باب : *التواضع و خفض الجناح للمؤمنين*
🚪*71*.*Mlango unao eleza kunako Unyenyekevu na kujishusha kwa upole mbele ya Waumini.*
✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩✩
𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐌𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐇𝐔𝐔 🔽🔽🔽
𝐃𝐀𝐑𝐒𝐀 𝐍𝐎. 0⃣1⃣
🕰️𝐌𝐔𝐃𝐀 : 38min:50second
☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞☞
🎤 𝐌𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐀𝐉𝐈🪑
*SHAYKH WETU MBORA:*
'𝐀𝐁𝐃𝐔𝐋-𝐇𝐀𝐊𝐈𝐈𝐌 𝐀𝐁𝐔 𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀𝐇 𝐀𝐒-𝐒𝐀𝐋𝐀𝐅𝐈𝐘
( حفظه الله ورعاه)
✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍✧◍••◍
𝐈𝐌𝐄𝐓𝐀𝐖𝐀𝐍𝐘𝐖𝐀
📆𝐓𝐀𝐑𝐄𝐇𝐄
06.October
𝟐𝟎𝟐6 𝐌
Baada ya swalaah ya Adhuhuri
🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃🍃
𝐉𝐈𝐔𝐍𝐆𝐄 𝐍𝐀𝐒𝐈 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐘𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐍𝐄𝐋 𝐇𝐈𝐙𝐈
📱𝐓𝐄𝐋𝐄𝐆𝐑𝐀𝐌 👇👇👇👇
https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
🪀 𝑾𝑯𝑨𝑻𝑺𝑨𝑷𝑷 👇👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5n1O28aKvNVGHcMq2q
https://whatsapp.com/channel/0029VbBxZkbHAdNVjmX2XI0S
مركز الفرقان
قال عطاء السليمي رحمه الله:
بلغنا أن الشهوة والهوى
يغلبان العلم والعقل والبيان.
*Tumefikishiwa kuwa tamaa na mapenzi ya nafsi hushinda elimu, akili na bayani*
[حلية الأولياء: ج ٢ / ص ٣٢٣]
[Hilyah al-Awliyaa’, juz. 2, uk. 323]مركز الفرقان
قال عطاء السليمي رحمه الله:
بلغنا أن الشهوة والهوى
يغلبان العلم والعقل والبيان.
*Tumefikishwa kuwa tamaa na mapenzi yanashinda maarifa, akili na hoja*
[حلية الأولياء: ج ٢ / ص ٣٢٣]
[Hilyah al-Awliyaa’, juz. 2, uk. 323]💥 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 𝐙𝐈𝐍𝐀𝐙𝐎𝐏𝐄𝐋𝐄𝐊𝐄𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐆𝐇𝐔𝐋𝐔𝐔.
🎙Shaykh Abuu Rahmah AsSalafiy - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
Repost from N/a
💫 إكرام ضيفنا الفاضل أبي رحمة، عبد الحكيم الكنغوي حفظه الله تعالی ورعاه.
بمذاكرة بعض ما استفدنا منه في زيارته في بلادنا تنزانيا، وفي مسجدنا ومركزنا، مركز الإمام الألباني بدار السلام تنزانيا
⏰ بين المغرب والعشاء
🎤 Tukimkirim Mgeni wetu: Sheih Abuu Rahma, Abdul Hakiim kuotoke Drc Congo. Allah amuhifadhi.
Kwa kukumbushana baadhi ya yale tuliyo yastafidi kwake ktk ziyara yake Tz, ndani ya Daarul hadeeth Masjd Imamu Albaan Dr es laam Tz.
🌏 KWA FAIDA ZAIDI
🟢 WhatsApp Markaz Sheikh Albaany
(واتساب مركز الألباني)
https://chat.whatsapp.com/KUme6eoh9shALc0tmRnglV?mode=wwt
🟢 WhatsApp Sheikh Abuu Rawaaha
(واتساب الشيخ أبي رواحَة)
https://chat.whatsapp.com/EQ7zPpCN7SwC6jsxsgNS1R
🔵 Telegram
Markaz Sheikh Albaany:
(تيليجرام مركز الشيخ الألباني)
https://t.me/darulhadithmarkazAlbani
🔵 Telegram Sheikh Abuu Rawaaha
(تيليجرام الشيخ أبي رواحَة)
https://t.me/aburawaha_alsharihi
💥 UMEITWA 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐑𝐀𝐓𝐄𝐄 HUKUKUBALI, LEO UNAITA NDUGU ZAKO KUWA NI NDUMI.
🎙Shaykh Abuu Rahmah AsSalafiy - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
# *KHUTBA - IJUMA*
🕌 *MARKAZ AL-FURQAANU -GOMA (DRCONGO 🇨🇩)* 🕌
🏝️1448-2026🏝️
📢 *خطبة الجمعة 📢*
*📂 MADA:*
Yaliomo⏬⏬⏬
📜*VIPI TUTAMNUSURU ALLAAH & (DINNI YA UISLAM)*
WAKATI HALI ZETU NI HIZI
🎙️KHATWIIB :
*SHAYKH ABDUL HAKEEM ABUU RAHMAH AS-SALAFIY*
*حفظه الله تعالى ونفع به الإسلام و المسلمين*
_____
imetawanywa:
📆 TAREHE: 28 RABIUL_AKHIIR 𝟏𝟒𝟒8
09 OCTOBER 𝟐𝟎𝟐𝟔
*UNGANA NASI KWA FAIDA ZAIDI:*
📡
https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
🪀https://whatsapp.com/channel/0029Vb5n1O28aKvNVGHcMq2q
•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
نسـأل اللــہ أن ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏ 🤲🏾💥 SOMO FUPI KWA MWENYE KUDAI KUWA ETI SHEKH ABUU RAHMAH حفظه الله AMEDAI I'LMU YA GHAIBU.
🎙Shaykh Abuu Rahmah A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
💥 HIZO NI RADDI ZA SOKONI, RADDI ZA VIJIWENI.
🎙Shaykh Abuu Rahmah A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
💥 USIGHURIKE NA HAYO ULIYOKUWA UNAONGEA HAPO, MCHE ALLAH KATIKA HII DINI.
🎙Shaykh Abuu Rahmah A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
💥 MANENO YAKE NAYO NDANI YAKE AMEDAI I'LMU YA GHAIBU -𝐊𝐀𝐒𝐇𝐀𝐉𝐈𝐂𝐇𝐀𝐍𝐆𝐀𝐍𝐘𝐀-
🎙Shaykh Abuu Rahmah A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
💥 RADDI KWA MWENYE KUDAI KUWA SHEKH ABUU RAHMAH حفظه الله AMEDAI I'LMU YA GHAIBU.
🎙Shaykh Abuu Rahmah A'bdulhakiim - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
*🔨🔨🔨🔨🔥🔥🔥🔥*
🕌 *MARKAZ AL-FURQAANU -GOMA (DRCONGO 🇨🇩)* 🕌
🏝️1448-2027🏝️
📢 *جديد __ مركز الفرقان غوما📢*
*📂 MADA:
*الأدلة الواضحة على سوء فهم نسف الفقيه*
*DALILI ZILIZO WAAZI KWAKU BAINISHIA FAHAMU POTOFU YA NUSU FAQIH*
🎙️Mzungumuzaji :
*SHEIKH /* *'ABDUL HAKIIM* *ABÛ RAHMAH* AS-SALAFIY
*حفظه الله تعالى ورعاه*
📆 TAREHE: 26 Rabiul Aakhar 1448
08 October 𝟐𝟎𝟐𝟔
*UNGANA NASI KWA FAIDA ZAIDI:*
📡
https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim
🪀
*vipeperushi vya masalafi channel 01*
https://whatsapp.com/channel/0029VbBxZkbHAdNVjmX2XI0S
*vipeperushi vya masalafi group 01*
https://chat.whatsapp.com/LYCCOUeT4JoFHDU9KyQC6j
•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
نسـأل اللــہ أن ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏ 🤲🏾
Asalam alaykum wa rahmatullah wa barakatuhu
Naam ya jamaa
Hiyo ndio hali ya ma hazby
Adui wa adui yangu ni rafiki yangu!!
Miaka imepita hawa jamaa walikua hawa wezi kubali hata kusikiliza jamma ambaye walio kuwa na nukuu kwa ku shambuliya abuu rahmat!!
Alikua adui wao mkubwa sana hadi walikua na tahadharisha watu ku msikiliza
Kunacho shangaza leo amekua hojja yao kubwa sana
Kwao ajili ya kushambuliya watu wa markaz Al-furqaanu!!
Kama ni thiqa kwenu ime anza toka lini ?
Amekuwa thiqa toka ashambuliye abuu rahmat kwa dhulma ao toka enzi hizo ana mshambuliya sheikh wenu aki muita maftuun!!
Ma hizbiy asie jua hali zao njo usimama kidete kwa ku wateteya
✍️ Shaykh Abuu Rahmah AsSalafiy - حفظه الله ورعاه.
🌐 https://t.me/UstaadhAbuuRahmaAbdulhakiim