fa
Feedback
TechMinded

TechMinded

رفتن به کانال در Telegram

🚩 Channel was restricted by Telegram

نمایش بیشتر
اطلاعاتی وجود ندارد
مشترکین
-824 ساعت
-737 روز
-15730 روز
آرشیو پست ها
⤵️Hii Website Imekusanya Ai Zaidi Ya 1500 Ambayo Unaweza Kutumia Kwa Matumizi Tofauti Ingia Kwenye Hii Website Search Ai Amba
⤵️Hii Website Imekusanya Ai Zaidi Ya 1500 Ambayo Unaweza Kutumia Kwa Matumizi Tofauti Ingia Kwenye Hii Website Search Ai Ambayo Unahitaji Kuitumia Kw Wakati Huo 🔘Website: findmyaitool.com 📱 @Tech_Minded @Anyonymo #Website

Smile 2 2024 Rating ⭐️: 7 / 10 Release Info: 18 / 10 / 2024 (United States) Genre: 🧟 #Horror 👁️‍🗨️ #Mystery #Thriller Stor
Smile 2 2024 Rating ⭐️: 7 / 10 Release Info: 18 / 10 / 2024 (United States) Genre: 🧟 #Horror 👁️‍🗨️ #Mystery #Thriller Story Line: About to embark on a world tour, global pop sensation Skye Riley begins experiencing increasingly terrifying and inexplicable events. Overwhelmed by the escalating horrors and the pressures of fame, Skye is forced to face her past.

⤵️ Ukihitaji kuseach kitu chochote Telegram iwe ni: Movie 🍿 Music 🎶 Course 📑 Ebooks 📚 + Kusearch Bots na telegram channel basi huyu bot atakusaidia kukamilisha hilo. Link: BONYEZA HAPA LINK Huyu ndio Telegram Super Bot 📱@Tech_Minded @Anyonymo

Nilipoanza Online Hustling, Bando lilikuwa shida kwangu ila Nikajaribu kujilipua. Nilikuwa ni mwanafunzi niliemaliza chuo, No connection, No Rich Friend, just mimi, simu na PC yangu. Baada ya kuondoka chuo, nilikaa Home  huku nikijipanga. Wakati huo nilitakiwa kuwa online most of the time kwa sababu ilikuwa ni mazoea yangu. So, niliamua kusajili line za M2M ili Nilipie elfu 50 unlimited mwezi mzima kutoka kwa @SalimNasserBot (Admin Wa TechAnyoHustler ) kwa miezi 3+ na wakati huo nilikuwa natumia kwenye social media + Kucheza PUBG & DLS 😂 na Hustle Ring za kutafuta Vpn Shukrani sana brother " CHRIS PIZZO " na "THOR LEGEND"  + BoyX Baada ya Miezi 8 ya kusambaza CV zangu bila mafanikio, I QUIT na nikaamua kuwa serious online hasa 𝕏(Bado ilikuwa ni Twitter) Sikuwa najua anything to share ukiachana na Website dev, so nilijitahidi kupost content za Web + Michongo ya Kawaida na most of the time nilishinda kwenye post za watu wengine until one day nikapata DM… DM ndio ilikuwa my first connection, na kutokea hapo nilifanikiwa kupata kazi ya web design kwenye Private company(Thanks to that DM) So, nilitakiwa kufanya kazi na kukaa online wakati wote(Hata nilipokuwa home) na hii ilinilazimisha kutafuta namna nyingine ya kupata bundle zuri kwa sababu ilitakiwa niwe online kwenye PC na simu. Na simu nyingi ukizitumia kama hotspot inawahi kuisha charge, hivyo nikaamua kununua Router kutoka Halotel ambayo nililipia 80K . Ukihitaji unaweza mcheki @SalimNasserBot kupitia Telegram Au WhatsApp +255742486916 Hio router ilinisaidia sana, kwa sababu niliweza kuwa online 24/7 na since ilikuwa unlimited.., nilifanya kila kitu bila kuwazia kuishiwa Bundle kuanzia Streaming Musics, Movies na kila kitu kinachonitaji internet 🛜 Kitu nilichojifunza ni kwamba, unatakiwa ku-upgrade vifaa vya kazi kadili unavyozidi kupata pesa. Hio itakusadia kuongeza ufanisi wa kazi na kukupunguzia matatizo madogo madogo.
NB: Ukihitaji bundle zuri kwa ajili yako, Kuanzia CUG, Halotel Corporate And M2M hadi Router { Halotel Min Mifi } basi unaweza kumcheki huyu mtalaamu @SalimNasserBot au WhatsApp +255742486916 . Ukimcheki Mwambie TECHMINDED ndio kakurecommend, utapatiwa huduma ya Kifalme. Ukipata shida yeyote, nitaarifu moja kwa moja DM.

Telegram Sasa imekuwa na shida japo ina mda mrefu: Suluhisho ni kutumia Proxy Sasa proxy huwa zina Expire hivyo Join hapo ili endapo imekufa una badili https://t.me/mtpro_xyz

😂😂Msipande moto ni prank { mchezo } tu hiyo kila atakaegusa hapo itampeleka kwenye telegram setting yake Hakuna aloyereport wala kufanya nini😂😂 Na kila mtu akigusa inampeleka kwenye setting yake tu we hujiulizi kila mtu anasema yeye?😂😂😂

Kuna huyu jamaa hapa ndio nimemjua kama anatoa humu taarifa anasambaza uko fb na magroup mengine ya telegram Na yeye ndio nadhani hata source ya vpn kufungiwa Naomba tumreport telegram ili asiweze kutumia tena Username yake 👉👉 BONYEZA HAPA Tufanye kumreport mara nyingi zaidi

Kama Unapenda Kua Online Muda Wote Kuna Offer Za Line Hizi Za Halotel Usajiri Ni Bure Kabisa Wewe Unachotakiwa Ni Kuweka Tu V
Kama Unapenda Kua Online Muda Wote Kuna Offer Za Line Hizi Za Halotel Usajiri Ni Bure Kabisa Wewe Unachotakiwa Ni Kuweka Tu Vocha Kulingana Na Bei Zilivyohapo Hizi Ni Machine Line Karibuni Sana Ukiwa Ndani Ya Dar Niambie WhatsApp Upo Sehemu Gani Nikuletee Line Yako 50K Ni Unlimited Mwezi Mzima Piga Simu Au Tuma Sms WhatsApp Kwenye Namba +255742486916 Tutakuletea Ulipo Line Yako NOTE: UWEKE TU VOÇHA KUSAJILIWA NI BURE KABISA @SalimNasserBot

Haya Robot 🤖 wetu sasa yuko hewani akiwa na Features mpya! ⎙ Documents Analysis: Sasa bot wetu anaweza jibu swali kupitia do
Haya Robot 🤖 wetu sasa yuko hewani akiwa na Features mpya! ⎙ Documents Analysis: Sasa bot wetu anaweza jibu swali kupitia document kwa kumtumia Tu! 〮 Image Generate: Una haja ya kutumia bing sasa tumekuletea moja kwa moja mfumo wa kutengeneza picha kwa maneno. ⊂-⊃ Bot Link: @AIxchatbot @AIxchatbot @Tech_Minded #Al #Unlimited

‼️Alert: Hey tech minded Members, Najua mnajua tuko admins tofauti tofauti humu ndani lengo ni kusaidia tu!. Ila mie ninavyo elewa privacy ya TM ni kutokuuza chochote ambacho kipo kwenye uwezo wa kutoa free lamda kwa vitu tulivyo gharamikia Tu! Sasa Najua kuna siku admins wenzangu washawai Omba watu wenye uwezo na ujuzi kuusu Technology lengo ni kutoa mafunzi mbalimbali kwenye channel hii ila sijui kama walitokea 😢 Ila sasa now  kwenye group naona watu waki taka funza kitu flani ila darasa ni DM,  Sasa kama  wataka au una ujuzi Flani au somo flani kuanzia week ijayo Nitaunda ROBOT ambayo mtu utaweza weka somo lako utaweza Search somo unalo taka pia utaweza POST somo lako
⚠️ Ili kuepusha utaperi pia promo fake Kwenye group tutaweka limit ya maneno kwenye message unayo tuma ili ukiitaji msaada uta submit kwenye bot na bot ita tuma kwa developers wote na kama yupo anae weza utatumiwa majibu group kazi yake ni ku jadiri sio kupiga PROMO
@Tech_Minded #warn

Ukihitaji Token Andika Token Kwenye Comment Admin Atakufata Inbox Lakini Kumbuka Kwa Sasa Token Sio Bure Kwa Kua Watu Wanagewa Token Za Bure Alafu Wanaweka Picha Za Vikatuni Ili Tu Token Ziende Kwa Hiyo Kuna Gharama Kidogo Ya Token Na Kwa Kua Sisi Atuwezi Kujimudu😄 Token Utalipia Kiduchu Tu 5000 Tzs Utapata Token Mbili GROUP: @NAKALATZAPPCHAT SIMPLE😜😡👍 @NakalaTzApp @Tech_Minded

Repost from TechMinded
Application Ya Kutengeneza NIN Card, NEC Card, Driver Card, TIN Number, Business Licence N.k Taalifa Zote Kuhusu App Ama Msaada Zaidi Utapata Hapa @NakalaTzApp Note: Ukiombwa Token kwenye App andika neno "admin" @Tech_Minded 📡

Nasikia Voda Kuna Muda Flani Watu Wanapiga Bure Kabisa 🤔 Ya Kweli?

Update Your WhatsApp✅

Hii ni kwa wale Movies Seller, napenda kuwatangazia kuwa. Najua wengi hiyo biashara mnaifanya Telegram Na wengi wao Mnaifanya Manually yani mtu hakufate DM 😢 Pia ukiitaji fanya automatic malipo megi sana mpaka kupata ROBOT 🤖 wako na hakaweza fanya automatic kazi yako kuchukua Pesa Ok mimi nimekuja na offer kabisa kama kujitoa sadaka njoo sasa unieleze wataka Robot 🤖 ya namna gani 😁
( @bmsflix_bot (⚠️ Private ), @manuvabot @ntspro_bot )
Hiyo ni mifano tu 😂 ila @bmsflix_bot hilo achana nalo uwezi.
Features: - kwanza nimekuja na offer ya free Host 😳 Ukisha nipa malipo ya ku kutengeneza basi na guarantee ni lifetime - Pili Utachagua wewe kuusu mfumo wa kulipia uwe kama @bmsflix_bot kwa vifurushi au @manuvabot kwa points - Kuusu kupakia movie sasa 😂 hii sio Google Drive yani utapakia utakavyo 😳 - Admin Panel nikutokana na mapendekezo ila utaweza Manage vyote utakavyo na kupata stats - Pia utanambia je! wataka mfumo wa ku search kama @bmsflix_bot au niku download tu! ( bei zina tofauti ana ) Na mengine mengi tu Hata ukitaka tutoe Copy ya bot flani wewe njooo 😂 ⚠️ Kabla Ujakuja Tafadhali angalia jinsi @bmsflix_bot inavyo fanya kazi kisha jipangie bei 😢 @mrX605Tz
@Tech_Minded #offer

WhatsApp Wanajaribu Kummetion Mtu Kwenye Status Kama Vile Instagram Ambapo Atakua Na Uwezo Wa Kurepost Status Yako Utakayowek
+2
WhatsApp Wanajaribu Kummetion Mtu Kwenye Status Kama Vile Instagram Ambapo Atakua Na Uwezo Wa Kurepost Status Yako Utakayoweka Na Hii Ni Bila Ya Watu Wengine Kufaham Kama Umemmetion Mtu Flani Kwenye Status Yako Na Pia Wanajaribu Uwezo Wa Kuweka Nyimbo Unayoipenda WhatsApp Mfano Insta Story Unaweza Ukapost Picha Na Kuchagua Nyimbo Flani Umeonaje Hizi Updates Mbili Mpya Kwenye WhatsApp? #WhatsApp #Status @Tech_Minded @Anyonymo #Tips

Sikia Hii Kali Kutoka Kwa Wakali Wa Kutupia😂 Eti Ma It, Wanaotaka Kujifunza It Na Wasindikizaji Lazima Wapendeze Kwa Kuvaa Viatu Vikali Chini😂 Haya Mje Kwa Group Uku WhatsApp Mje Kuchagua Viatu Vikali Mnoo Kwa Bei Rahisi Kabisa Kupendeza Kunaanzia Kwenye Kiatu Link== https://chat.whatsapp.com/JLWZCJCf0c2GtWA65kt7AZ @Tech_Minded @Anyonymo #TempolaryPost

Leo Wakuu Tupige Story Kidogo Ili Tujifunze😂 Sio Kila Siku Mambo Ya Kuharibu Vitu Emu Leo Tupate Elimu Kuhusu Kutafuta Hela Kidogo Hapa Tunaanza Na Wewe Unayesoma Hii "Tuulizane leo ulifanya kipi cha kwanza ukaamini kwamba online kuna hela?"

Get Unlimited Free Likes - 100% Safe ✅ - No login 💧 - No password 🔐 Yani wewe copy link ya post unayo taka add kisha paste
Get Unlimited Free Likes
- 100% Safe ✅ - No login 💧 - No password 🔐
Yani wewe copy link ya post unayo taka add kisha paste kwenye web hii basi wana ongezeka hapo hapo
https://nakrutka.com/my/freelikes.php?psc=C6ohxq4I8VK&p=
@Tech_Minded #freelikes

Kama unataka ku hack simu ya mtu wako na una uwezo wa kushika simu yake hata dakika 10 kuna hii tools ni kiboko 🟩 Kikubwa tu
+2
Kama unataka ku hack simu ya mtu wako na una uwezo wa kushika simu yake hata dakika 10 kuna hii tools ni kiboko 🟩
Kikubwa tufike 5K then mie taituma na instructions zote "⚠️warning vimbele mbele kwenye comment sitaki "
@Tech_Minded #tools