fa
Feedback
TechMinded

TechMinded

رفتن به کانال در Telegram

🚩 Channel was restricted by Telegram

نمایش بیشتر
اطلاعاتی وجود ندارد
مشترکین
-824 ساعت
-737 روز
-15730 روز
آرشیو پست ها
Utoto unaweza fanya ukaonekana mjuaji mnoo 😂😂 👇👇👇👇👇 1: Nenda kwenye Google andika 'do a barrel roll' kisha click kwenye 20 times. 2: Nenda kwenye google andika ' Askew ' 3: Nenda google search Thanos Snap au Batman Effect Em tupe mrejesho

Ukihitaji Token Andika Token Kwenye Comment Admin Atakufata Inbox Lakini Kumbuka Kwa Sasa Token Sio Bure Kwa Kua Watu Wanagewa Token Za Bure Alafu Wanaweka Picha Za Vikatuni Ili Tu Token Ziende Kwa Hiyo Kuna Gharama Kidogo Ya Token Na Kwa Kua Sisi Atuwezi Kujimudu😄 Token Utalipia Kiduchu Tu 5000 Tzs Utapata Token Mbili GROUP: @NAKALATZAPPCHAT SIMPLE😜😡👍 @NakalaTzApp @Tech_Minded

Ukihitaji Token Andika Token Kwenye Comment Admin Atakufata Inbox Lakini Kumbuka Kwa Sasa Token Sio Bure Kwa Kua Watu Wanagewa Token Za Bure Alafu Wanaweka Picha Za Vikatuni Ili Tu Token Ziende Kwa Hiyo Kuna Gharama Kidogo Ya Token Na Kwa Kua Sisi Atuwezi Kujimudu😄 Token Utalipia Kiduchu Tu 5000 Tzs Utapata Token Mbili GROUP: @NAKALATZAPPCHAT SIMPLE😜😡👍 @NakalaTzApp @Tech_Minded

Repost from TechMinded
Application Ya Kutengeneza NIN Card, NEC Card, Driver Card, TIN Number, Business Licence N.k Taalifa Zote Kuhusu App Ama Msaada Zaidi Utapata Hapa @NakalaTzApp Note: Ukiombwa Token kwenye App andika neno "admin" @Tech_Minded 📡

Repost from TechMinded
Application Ya Kutengeneza NIN Card, NEC Card, Driver Card, TIN Number, Business Licence N.k Taalifa Zote Kuhusu App Ama Msaada Zaidi Utapata Hapa @NakalaTzApp Note: Ukiombwa Token kwenye App andika neno "admin" @Tech_Minded 📡

Nimeona Wengi Mmetengeneza Ila Bot Zenu Hazina Profile Picture Jinsi Ya Kuweka Profile Picture Kwenye Bot Ulilotengeneza👇👇 Baada Ya Kukamilika Hatua Zote Juu Hapo Rudi Kwenye @Botfather Ingia Kwenye My Bots, Mchague Bot Lako Ingia Sehem Wameandika Edit Bots Utaweza Kuandika, Description, About Na Edit BotPics Na Kadharika @Tech_Minded @Anyonymo #Bots

Done! Congratulations on your new bot. You will find it at t.me/Tamthilia_bot. You can now add a description, about section and profile picture for your bot, see /help for a list of commands. By the way, when you've finished creating your cool bot, ping our Bot Support if you want a better username for it. Just make sure the bot is fully operational before you do this. Use this token to access the HTTP API: 7467890875:AAHtplsL9pTwticjejxIRH7eQMO...... Keep your token secure and store it safely, it can be used by anyone to control your bot. For a description of the Bot API, see this page: https://core.telegram.org/bots/api
COPY Huo ujumbe kapaste kwenye bot unalotaka kule kwenye first step na hapo utakua umemaliza kutengeneza bot lako Kila Mtu Atengeneze Bot Moja Na Alitume Humu Kutusaidia Na Kuonyesha Mmeelewa✅ @Tech_Minded @Anyonymo

Hatua Ya Kwanza 1: Ingia Kwenye Hili Bot Kwa Kubonyeza Username Yake 👉 @mbappenho2817BOT Kisha Start, Creat New Bot 2: Bonyeza Sehem Palipoandikwa Show All Bots 3: Chagua Bot Unalotaka Kutengeneza 4: Utaambiwa " Send Your Token Now To Create .... just for you" Achana Napo Ingia Hapa Kwanza @Botfather Bonyeza Start, Create Bot, Jaza Username Utakalohitaji Kuliita Bot Yako Kuna Ujumbe Utakuja Mfano👇👇

Je Wajua Kwamba Unaweza Tengeneza Bot Zifuatazo Mwenyewe Na Zikafanya Kazi Hapa Telegram? 1: Account Management 2: Convert Image To Animation 3: Remove Image Background 4: Voice Message Bot 5: File Format Conversion 6: Button Bot 7: Who Visited My Profile? 8: Whisper Bot 9: FeedBack 10: Member Verofication 11: Create Proffessional 12: Create Logo 13: Transaltor 14: Remove Sound From Song 15: The Magic Crystal Ball 16: Convert Text To Voice 17: Fix Image Quality 18: Tell Me 19: Identify Songs 20: Download Bot 21: Sticker Maker 22: Temporary Email 23: Convert Image To Pdf Fuata Hizi Hatua👇👇👇 @Tech_Minded @Anyonymo

Unatamani tukuletee Bot wa aina gani?

⤵️ Ukihitaji kuseach kitu chochote Telegram iwe ni: Movie 🍿 Music 🎶 Course 📑 Ebooks 📚 + Kusearch Bots na telegram channel basi huyu bot atakusaidia kukamilisha hilo. Link: BONYEZA HAPA LINK Huyu ndio Telegram Super Bot 📱@Tech_Minded @Anyonymo

Tech Minded Na Wajumbe Wote Tunawatakia Furaha Ya Mwaka Mpya 2025 Huu Mwaka Ukawe Wenye Baraka Tele Na Nyingi Sana Kwako Ndugu Yetu Sisi Kama Tech Minded Tumepanga Huu Mwaka Tutawaletea Vitu Vingi Sana Vipya Muhim: MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO Happy New Year Tech Minded🩸

Ukiwa Kama Mdau Wa Tech Minded Unapenda Nini Tukifanyr 2025 Ambacho Kitakua Tofauti Kabisa Na Je Kwa Mwaka 2024 Umeona Madhaifu Gani Kwetu Tunaomba Mawazo Yako Mdau🙏🙏

Tech Minded Wish You All Merry Christmas!🎄✨
🎄✨ Wishing everyone a joyful and merry Christmas! Cherish your moments with family and friends, and make them memorable…

😂😂Dah
😂😂Dah

💱 Exchange Habari, najua kuna buyers na sellers humu haya nina $5 hapa nataka TSH chap chap
Rate: $1 = 2500 Tsh offer kabisa
DM: @mrX605Tz

Venom: The Last Dance 2024 Rating ⭐️: 6.1 / 10 Release Info: 25 / 10 / 2024 (United States) Genre: #Action 🌋 #Adventure 🤖 #
Venom: The Last Dance 2024 Rating ⭐️: 6.1 / 10 Release Info: 25 / 10 / 2024 (United States) Genre: #Action 🌋 #Adventure 🤖 #Sci_Fi #Thriller Story Line: Eddie Brock and Venom must make a devastating decision as they're pursued by a mysterious military man and alien monsters from Venom's home world.

Kuna Watu Bado Wanatumia Your Freedom Humu? 📱 @Tech_Minded @Anyonymo

#SupaTech: Hii siyo ngeni kwa wengi, kwani ipo kwenye mtandao wa WhatsApp kwa muda mrefu hivi sasa lakini ni mpya kwa mtandao
#SupaTech: Hii siyo ngeni kwa wengi, kwani ipo kwenye mtandao wa WhatsApp kwa muda mrefu hivi sasa lakini ni mpya kwa mtandao wa Instagram.

#SupaTech: Hii siyo ngeni kwa wengi, kwani ipo kwenye mtandao wa WhatsApp kwa muda mrefu hivi sasa lakini ni mpya kwa mtandao
#SupaTech: Hii siyo ngeni kwa wengi, kwani ipo kwenye mtandao wa WhatsApp kwa muda mrefu hivi sasa lakini ni mpya kwa mtandao wa Instagram.