fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
#HABARIKUTOKAMANYARA: DESEMBA 04, 2023 | WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, Wazi
#HABARIKUTOKAMANYARA: DESEMBA 04, 2023 | WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, pamoja na Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama, wametembelea na kukagua eneo la makazi ya watu lililoathiriwa na mvua zilizonyesha tarehe 2 Desemba 2023 katika Kijiji Cha Gendabi wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Waziri huyo akiwa katika eneo hilo ametoa maelekezo yatakayosaidia kurahisisha zoezi la uokoaji linaloendelea kwa vikosi vya uokoaji vya zimamoto, Red Cross na Jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ). Hata hivyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwasili katika mji wa Kateshi wilayani Hanang kutembelea eneo lililoathiriwa na kuongoza mamia ya watanzania kuaga miili iliyopeza maisha katika mafuriko hayo. #uhuruonline #UhuruUpdates #ukwelidaima #KAZIIENDELEE

Ninaungana na Watanzania wote katika kuomboleza Msiba huu mkubwa kutokana na jana la mafuriko na maporomoko ya mlima huko Hanang. Natoa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mh @samia_suluhu_hassan kww msiba huu mzito kwa taifa. Ndugu zetu wamepoteza maisha, janga hili ni seriously issue, kama hujaona video toka maeneo ya tukio unaweza kuchukulia poa tu, lakini inaumiza sana. Ndugu zetu wamesombwa na tope hivi huku unawaona. Napongeza juhudi za uokoaji na mahitaji muhimu kwa manusura zinazofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini, Nashauri juhudi ziongezwe, na ikiwa kuna ugumu basi tuombe msaada wa kimataifa. Matishio ya mafuriko yalitolewa tahadhari mapema na mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA, Lakini maandalizi ya kukabili majanga hayakufanyika ipasavyo. Tunahitaji helkopta nyingi za uokoaji katika taifa. Tunahitaji boti nyingi za uokoaji. Lakini wataaluma wetu wa miamba (jiolojia) walipaswa kuwa na tahadhari ya milima yote nchini baada tu ya tangazo la TMA kuhusu uwepo wa Mvua za elnino. Fikiria hiyo ni Wilaya moja tu, Vipi janga hili likitokea Dar au litokee kwa pamoja Dar, Arusha, Mbeya na Mwanza? Jana nimeangalia taarifa ya habari kwenye tv (ITV) kwaweli tunatakiwa kila mtu kwa imani yake aliombee taifa, 80% ya taarifa ilikuwa ni majanga, ajali za vyombo vya barabarani nyingi sana, mara ajali za moto nk. Mwisho wa mwaka ni wa urejesho, ni hatari sana kwakweli. Natoa pole sana kwa ndugu na jamaa zote walifikwa na janga hili. Na Yericko Nyerere

photo content
+3

Kampuni ya simu za Mkononi Airtel imeoneshwa kuguswa na tukio la waathirika wa mafuriko wilaya ya Hanang mkoani Manyara na ku
Kampuni ya simu za Mkononi Airtel imeoneshwa kuguswa na tukio la waathirika wa mafuriko wilaya ya Hanang mkoani Manyara na kuungana na watanzania wote kuwapa mkono wa pole waathirika. Mkurugenzi wa Dinesh Balsinghn amewaambia waliokumbwa na majanga hayo kuwa ‘Airtel tuko pamoja nanyi wakati huu mgumu ambapo Wilaya ya Hanang imekumbwa na maafaa. Tunatambua changamoto hii na tunatoa pole zetu za dhati’ Mkurugenzi wa Airtel ametangaza Airtel kutoa dakika 100 za kupiga simu mitandao yote na GB 2 kuwasiliana na ndugu na rafiki kila siku kwa siku 3. Hii ni kwa lengo la kuendelea kurahisisha mawasilano kwa wateja wote wa Airtel waliopo eneo la tukio. Mkuu huyo wa Airtel amebainisha kuwa Airtel itahakikisha kwa muda wote mawasiliano yanakuwa bora ili huduma za kijamii ziweze kuwa rahisi.

WAZIRI MAJALIWA AKITOA HESHIMA YA MWISHO KWA WALIOFARIKI KATIKA MAFURIKO HANANG. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan
+1
WAZIRI MAJALIWA AKITOA HESHIMA YA MWISHO KWA WALIOFARIKI KATIKA MAFURIKO HANANG. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa heshima za mwisho kwa miili ya watu zaidi ya 50 waliofariki dunia kutokana na mafuriko katika eneo la Katesh Mkoani Manyara. Waziri Majaliwa ametoa heshima hizo za mwisho leo Disemba 04, 2023 baada ya kuwasili Mkoani humo na kutembelea maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na mafuriko.

Muonekano wa soko kuu Katesh baada ya kukumbwa na Mafuriko yaliyotokana na maporomoko ya maji Kutoka Mlima Hanang'.
+1
Muonekano wa soko kuu Katesh baada ya kukumbwa na Mafuriko yaliyotokana na maporomoko ya maji Kutoka Mlima Hanang'.

Mwamuzi wa mpira wa miguu Nchini Ghana, Kenney Padi amesema tangu alipoipatia Penati klabu ya Heart Of Oak katika mchezo wa L
Mwamuzi wa mpira wa miguu Nchini Ghana, Kenney Padi amesema tangu alipoipatia Penati klabu ya Heart Of Oak katika mchezo wa Ligi Kuu Nchini humo dhidi ya klabu ya Asante Kotoko sehemu zake za siri hazifanyi kazi. Mchezo huo ulichezwa April 10, 2022 ambapo klabu ya Heart Of Oak walishinda bao (1-0) lililofungwa kwa mkwaju wa Penati na Frank Mbella Etouga. "Sehemu zangu za siri hazifanyi kazi tangu niipatie mkwaju wa Penalty Heart of Oak". "Muda mwingine napata ndoto za kutisha siwezi kulala" amesema Mwamuzi huyo. Toa maoni yako #MvanoSports #MvanoMtangaii #M32

⚠️😳 Jane Fonda(85) mwigizaji maarufu Marekani ambaye yupo singo, katika mahojiano mapya alipoulizwa kuhusu kuwa katika mahus
⚠️😳 Jane Fonda(85) mwigizaji maarufu Marekani ambaye yupo singo, katika mahojiano mapya alipoulizwa kuhusu kuwa katika mahusiano katika umri alionao sasa Amejibu kwa kusema anajisikia aibu kwa anachoongea ila kama ni lazima awe katika mahusiano katika umri alionao, atachagua mwanaume mwenye miaka 20 ndie awe mpenzi wake , alipoulizwa kwanini mwanaume mwenye miaka 20, amejibu kwasababu hapendi ngozi kongwe zilizozeeka 😳, ambapo aliibua vicheko kwa mtangazaji na producers wa kipindi ingawa Jane yeye alibaki kuwa serious Jane ambaye alishaingia kwenye ndoa tatu na kujaaliwa watoto watatu wenye miaka 55, 54 na 49, hata hivyo kwa muda mrefu ameamua kuwa single akionekana hana nia tena ya kuwa katika mahusiano tofauti na mitazamo ya wengi kuwa uzeeke ukiwa na mwenza

"💔 Enzi za usichana wangu nilifumania meseji ya mpenzi wangu akijitetea kwa mchepuko wake kwamba mimi ni bongo movie kwahiyo
"💔 Enzi za usichana wangu nilifumania meseji ya mpenzi wangu akijitetea kwa mchepuko wake kwamba mimi ni bongo movie kwahiyo tunafanya movie bado haijatoka"- Jacqueline Wolper

"Siku zote mwanaume akiwa hana hela alafu mwanamke wake akazidi kumpenda, ukweli ni kwamba wanaoumia huwa ni marafiki, sijui
"Siku zote mwanaume akiwa hana hela alafu mwanamke wake akazidi kumpenda, ukweli ni kwamba wanaoumia huwa ni marafiki, sijui ni kwanini"- Rammy Galis

Mama wa Rafiki yako nae ni mama yako ❤️ Kiungo wa Bayer Leverkusen Granit Xhaka ndani ya picha moja na mama mzazi wa rafiki y
Mama wa Rafiki yako nae ni mama yako ❤️ Kiungo wa Bayer Leverkusen Granit Xhaka ndani ya picha moja na mama mzazi wa rafiki yake Victor Boniface (22) mara baada ya mechi dhidi ya Dortmund hapo jana. Boniface raia wa Nigeria 🇳🇬 ambaye jana alifunga bao moja dhidi ya Dortmund na kufanya mechi iishe kwa sare ya bao 1-1 amekuwa kipenzi cha mashabiki wa Leverkusen inayonolewa na Xabi Alonso. Takwimu zake msimu huu 🏟 Mechi 1️⃣3️⃣ ⚽ Mabao 8️⃣ 🎯 Assists 5️⃣ Football 😍

Miss Burundi 2022 arushiwa vijembe mitandaoni kutokana na muonekano wake Kwa majina anaitwa Ngaruko Kelly ambaye ndiye Miss B
+3
Miss Burundi 2022 arushiwa vijembe mitandaoni kutokana na muonekano wake Kwa majina anaitwa Ngaruko Kelly ambaye ndiye Miss Burundi aliyechaguliwa mwaka huu wa 2022 katika mashindano yaliyofanyika mwezi huu wa Mei jijini Bujumbura nchini Burundi Licha ya kuchaguliwa kua Miss 2022 , warundi wengi walionekana kutomkubali na kusema kua hafai kua katika nafasi aliyopewa na kutoa maoni tafauti na wengi walizungumzia sana kuhusu muonekano wake na shepu na kusema kua hastahili kua Miss Burundi , wengine walisema alichaguliwa kutokana na jinsi familia yake ni matajiri na elimu yake kwa kua alisomea nchini marekani ndio maana alichaguliwa Ngaruko Kelly ambaye ni miss Burundi 2022 aliwajibu watu wote ambao hawakufurahishwa na ushindi wake kupitia mtandao wake wakijamii haya yafuatayo Asanteni sana kutokunikubali lakini ntawaonyesha utafauti . Amesema hivo Ngaruka Kelly

Wenye kujipa nafasi ya kufikilia ndio wataelewa sababu ya askari kubeba kirungu wakati akiwa katika jukumu la uokoaji. Pitia
Wenye kujipa nafasi ya kufikilia ndio wataelewa sababu ya askari kubeba kirungu wakati akiwa katika jukumu la uokoaji. Pitia Comment uwenda ukaeleweshwa

Mishahara ya Baadhi ya Wachezaji wa Simba Sc Chama Aongoza Million 20 Kwa Mwezi
+3
Mishahara ya Baadhi ya Wachezaji wa Simba Sc Chama Aongoza Million 20 Kwa Mwezi

AMEANDIKA MALISA GJ" Safari yoyote ya Makamu wa Rais nje ya nchi, ambayo ni ya kikazi haipaswi kuwa siri. Unless kama ni safa
AMEANDIKA MALISA GJ" Safari yoyote ya Makamu wa Rais nje ya nchi, ambayo ni ya kikazi haipaswi kuwa siri. Unless kama ni safari binafsi. Lakini kama ni safari ya kikazi inapaswa kuwa wazi. Mnaposema yuko nje ya nchi. Ni nchi gani? Haina jina? Ni kazi gani ameenda kufanya? Mkutano? Warsha? Semina? Ziara? Na hiyo nchi aliyoenda haina vyombo vya habari? Mbona hatujasikia nchi yoyote ikiripoti kwamba Makamu wa Rais wa Tanzania yupo ziarani kwao? Mbona Rais SSH yupo ziarani Dubai na haijawa siri? Kwanini ziara ya Rais iwe wazi lakini ya Makamu wa Rais iwe siri? Acheni unaa.! Halafu kwanini watu wakihoji wanatishwa? Watanzania wana haki ya kujua alipo kiongozi wao yeyote. Kwahiyo badala ya kutisha wanaohoji, viongozi wajibu hoja kwa kueleza Makamu wa Rais alipo. Rais Kikwete aliwahi kusema Hoja haipigwi ngumi, bali hoja hujibiwa kwa hoja. Makamu wa Rais yuko wapi??

Mama Zetu wakiafrica hawapotezi utamaduni ♥️♥️
Mama Zetu wakiafrica hawapotezi utamaduni ♥️♥️

Mama wa Rafiki yako nae ni mama yako ❤️ Kiungo wa Bayer Leverkusen Granit Xhaka ndani ya picha moja na mama mzazi wa rafiki y
Mama wa Rafiki yako nae ni mama yako ❤️ Kiungo wa Bayer Leverkusen Granit Xhaka ndani ya picha moja na mama mzazi wa rafiki yake Victor Boniface (22) mara baada ya mechi dhidi ya Dortmund hapo jana. Boniface raia wa Nigeria 🇳🇬 ambaye jana alifunga bao moja dhidi ya Dortmund na kufanya mechi iishe kwa sare ya bao 1-1 amekuwa kipenzi cha mashabiki wa Leverkusen inayonolewa na Xabi Alonso. Takwimu zake msimu huu 🏟 Mechi 1️⃣3️⃣ ⚽ Mabao 8️⃣ 🎯 Assists 5️⃣ Football 😍 #sokaonlineupdates

Picha mpya kutoka Kwa Christina shusho akiwa Kenya 🔥🙌
Picha mpya kutoka Kwa Christina shusho akiwa Kenya 🔥🙌

#Tanzia: Watu sita wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Kusini mwa Tanzania. Watu
#Tanzia: Watu sita wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Kusini mwa Tanzania. Watu hao walifikwa na mkasa huo wakati wakiwa kwenye sherehe ya kumpongeza kijana wao aliyehitimu elimu ya kidato cha nne mwaka huu. Taarifa zaidi zinaeleza kwamba watu wengine watano wamejeruhiwa. Miili ya marehemu ilifanyiwa uchunguzi katika hospitali ya rufaa ya St. Benedict Ndanda iliyopo eneo jirani na lilipotokea tukio na kisha kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi na majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo

Unapolalamika huna hiki wala kile mtu mwingine mahali fulani anajaribu kushinda vizuizi vyote 🙏😩... MSHUKURU MUNGU KWA KILE
Unapolalamika huna hiki wala kile mtu mwingine mahali fulani anajaribu kushinda vizuizi vyote 🙏😩... MSHUKURU MUNGU KWA KILE ULICHONACHO NAYE ATAKUPATIA KILE AMBACHO HUNA 🙏🙄