fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
⚠️😭 Mume amuua mkewe kisha nae kujiua kisa mgogoro wa ndoa Rashidi Makayala mkazi wa kata ya Mwanga Kusini, Kigoma ameripotiwa kumuua mke wake Bernadetha Cosmas kwa kumnyonga kisha na yeye kujinyonga, Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa familia, akizungumza na Millardayo amesema ndoa ya wawili hao ilifungwa September mwaka 2022, hivyo hadi sasa ina muda wa mwaka mmoja na miezi minne japokuwa uhusiano wao ulianza miaka mingi iliyopita hata kabla ya kufunga ndoa na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye ana zaidi ya miaka saba kwa sasa Kaka wa marehemu Bernadetha ameiambia Ayo TV kwamba dada yake alimpigia simu saa tatu asubuhi na kumuomba amfuate nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa alikokimbilia na kupewa hifadhi toka jana yake baada ya kukimbia kipigo cha Mume wake. “Aliniambia jana Rashidi amenipiga kidogo aniue, alichukua nyaya za cable za TV (av cable) na kwenda kuziuza lakini mimi akaniambia zimeungua, baadae akaanza kunipiga nikamtuma mtoto akimbie kumuita Mwenyekiti ambaye alikuja kunichukua ndio nikalala kwake” Kaka wa marehemu amesema alimchukua Bernadetha na kwenda nae kwa Rashidi kwa nia ya kusuluisha lakini Rashidi alionekana kuwa mkali akihoji mke wake amelala wapi usiku wa jana “Dada yangu alisema anataka talaka lakini mwanaume akasema siwezi kuachana na wewe sababu umeshanipa kovu la maisha, nikamwambia dada yangu oga twende ustawi wa jamii lakini mume wake alitoka na kusimama mlangoni na kuniapia kwa jina la marehemu Mlmama yake kwamba hatompiga tena, dada akabaki akasema anajiandaa kisha anifuate, mimi nikaondoka” "Ilipofika saa 10 nikampigia akapokea nikamwambia mbona hujatokea ? akasema anamalizia kuoga, hiyo simu ndio ikawa ya mwanzo na mwisho, nilipompigia baadae hakupokea nikampigia baba naye akasema simu yake haipokelewi, baadae tulivyokuja nyumbani kwao tukakuta pamefungwa ambapo polisi walituruhusu tuvunje mlango na tulipovunja maiti ya kwanza nimekutana nayo mlangoni ni ya dada yangu, mwanaume naye kajinyonga” Kaka wa Bernadetha Credit: Millardayo

photo content

⚠️🥰 Ni furaha tupu Esma na mume wake baada ya kufunga ndoa
⚠️🥰 Ni furaha tupu Esma na mume wake baada ya kufunga ndoa

SAKATA LA JAGUAR NA HAMISA LAWAKA TENA - Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Starehe na mwanamuziki Jaguar kwa mara nyingine tena amekanusha madai kwamba yeye ndiye baba mzazi wa mwimbaji mwenzake Diamond Platnumz na mtoto wa socialist Hamisa Mobetto, Dylan. Licha ya kuwepo kwa madai haya kwa muda mrefu, Jaguar bado yuko imara katika kudumisha kutokuwa na hatia. Mzozo unaohusu anayedaiwa kuwa baba wa Dylan ulimnasa Jaguar alipofichua miaka michache iliyopita kwamba alikuwa na mtoto nchini Tanzania. Uvumi uliongezeka mnamo Agosti 2020 wakati Jaguar, katika chapisho ambalo sasa limefutwa, alimtakia Dylan siku njema ya kuzaliwa, akimtambulisha Hamisa katika ujumbe huo, na kuzidisha imani katika shutuma kati ya wafuasi wao wa mitandao ya kijamii. Kufikia sasa, Jaguar hajafutiliwa mbali na sakata hiyo na anaendelea kudai kuwa hana hatia. Akizungumzia madai hayo, Jaguar alisema, “Naona watu wakiniweka kwenye picha zake, lakini mtoto wa Hamisa si mtoto wangu. Nadhani Hamisa anajua kabisa baba wa mtoto wake ni nani.” Alifafanua kuwa alikutana na Hamisa mara mbili pekee, na mazungumzo ya maana ya hivi karibuni yalitokea wiki tatu zilizopita alipokuwa nchini kwa ajili ya kusherehekea miaka 29 ya kuzaliwa kwake. Jaguar alisisitiza kwamba kama Dylan angekuwa mtoto wake kweli, hangekuwa baba mzembe, akitaja tabia yake ya upendo na ulinzi kwa watoto wake kutoka kwa mama wawili tofauti. Alihoji mantiki nyuma ya madai hayo, akisema, "Kwa nini ningempuuza Dylan kama angekuwa wangu na kujali wengine? Angekuwa anatembea nao, si unafikiri?” Hamisa amewahi kueleza kutoridhishwa kwake na uzazi wa Diamond Platnumz, akimtuhumu kuwa baba aliyekufa na kueleza madai ya ubaguzi dhidi ya Dylan kwa kulinganisha na ndugu zake kutoka kwa mama tofauti

photo content

Bajeti ya Muendelezo wa Filamu ya Joker (Joker 2) imefikia Dola milioni (200M) ambazo ni takribani Shilingi Bilioni (510B) za
Bajeti ya Muendelezo wa Filamu ya Joker (Joker 2) imefikia Dola milioni (200M) ambazo ni takribani Shilingi Bilioni (510B) za kitanzania huku Joker ya kwanza Bajeti yake ilikuwa Dola milioni (60M) sawa na Shilingi Bilioni (153B) za Kitanzania. Baadhi ya Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mwigizaji Joaquin Phoenix amelipwa Dola milioni (20M) sawa na Shilingi Bilioni (51B) kucheza uhusika wa jambazi huku Lady Gaga akilipwa Dola milioni (12M) sawa na Shilingi Bilioni (30.6B) za Kitanzania kucheza uhusika wa Harley Quinn. Filamu hii ya "Joker 2" inatarajiwa kuachiwa Oktoba 4, 2024 Nchini Marekani 🇺🇸. Toa maoni

Tajiri Mkubwa dunian anakula wali Maharage wewe pesa kidogo tuu unajikuta wakishua unaanza kula chips kuku😝😝
Tajiri Mkubwa dunian anakula wali Maharage wewe pesa kidogo tuu unajikuta wakishua unaanza kula chips kuku😝😝

Tamthilia hii imewagombanisha wasanii wakubwa Tanzania https://youtu.be/VV6cPpWl9GU?si=jWkLzWwDcqX_yPsE

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+5
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

Anaandika Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe _ Tar 17/2/2024 tumemzika EDWARD Lowasa. Miaka 40 iliyopita tulimzika EDWARD Sokoine eneo hilohilo la Monduli. Tulivyomzika Edward yule ndivyo tulivyomzika Edward huyu. Jina “Edward” lina maana kubwa ktk eneo hilo. Yalikuwa mazishi yenye hadhi. Usingejua kama ni ya Waziri Mkuu Mstaafu. Hata Waziri Mkuu aliye madarakani bado yangemfaa. Hisia za Huzuni, furaha, fahari, aibu na fundisho zilitawala msiba. Niliyotafakari; 1. Aliondoka Monduli akiwa amesimama. Amerudi amelala. Kulala na kusimama vina nguvu na hadhi sawa. Tuwe wanyenyekevu. 2. Ameunganisha taifa japo kwa siku moja. Wote tulikaa kwa adabu na utulivu na kusahau kwa muda tofauti zetu. 3. Mitandao inamsema vizuri na kuwazodoa "wabaya" wake. Fupisheni hukumu zenu. Yawezekana alishawasamehe. 4. Nimeshangaa kutowaona niliodhani wangekuwepo na kuwaona niliodhani wasingekuwepo. Nimeshangaa wandaaji kupopoa historia yake iliyobeba haiba yake ya MAAMUZI MAGUMU. 5. Nilitamani aliyemteua Waziri Mkuu atusalimie. Hakupewa nafasi. Ukisikia msiba, hiyo ndiyo maana yake. Lakini pamoja na yote bado alihudhuria mazishi. Ishara ya uungwana. 6. Nilihesabu mizinga 16, jirani akahesabu 17. Mwingine akasema ilitakiwa 21. Timu ya itifaki ilitoa tahadhari kwa wenye mimba; ikatusahau tusiojua mizinga 16/17 na 21 ina maana gani? Akifa mwingine mtuelimishe. 7. Mbowe “aliiba onyesho” msibani. Alipata fursa kusalimia kama mwanafamilia. Akainadi Chadema. Akaboresha historia ya Edward. Samia akaikamilisha. Siku yenye huzuni ikaisha vizuri. Tukasikia makofi msibani. 8. Tulipomzika Sokoine, tulizika darasa la uongozi. Lowassa, tumezika maabara ya uongozi. Mmoja aliamini ktk ufukara mtakatifu mwingine ktk utajiri-uzalendo. Tusihemke. Tutafakari. 9. Lowasa ameacha msiba mkubwa kuliko msiba wa kifo chake. Kizazi cha viongozi ambao Mungu wao ni tumbo na mbingu yao ni madaraka. 10. Monduli ilikuwa ndogo siku ya mazishi. Waliozoea kula nyama alipokuwa hai, wamekula zaidi alipokufa. Wengine hatukusikia njaa pamoja na kutokula. Kwaresima ya 2024 tutaikumbuka kwa kushinda njaa tukizika. Fredy muenzi babako kwa kuwapa watu nyama walizozizoea alipokuwa hai.!

photo content

"Simpikii wala kumfulia mwanaume, sio mambo yangu hayo, mimi nataka mwanaume mwenye pesa, mwenye kunidekeza anipeleke nchi za
"Simpikii wala kumfulia mwanaume, sio mambo yangu hayo, mimi nataka mwanaume mwenye pesa, mwenye kunidekeza anipeleke nchi za nje tukaenjoy, mimi napenda maisha mazuri ndio maana nimeolewa na mzungu"- Diva

"Najuta kuandika wimbo wa kumtukana Lowassa, najutia sana kwasababu majuto nayaona kipindi hiki ambacho kila mtu anamsifia na
"Najuta kuandika wimbo wa kumtukana Lowassa, najutia sana kwasababu majuto nayaona kipindi hiki ambacho kila mtu anamsifia na kumlilia alafu nikiangalia mimi nilimtukana na kumkashifu vibaya. Lakini hayakuwa matakwa yangu, ni umasikini ulisababisha hivyo kwasababu kuna watu walikuja wakanipa pesa na maneno ya kuandika" "Naomba watoto wake na Watanzania wanisamehe, na waelewe kwamba ni njaa zangu nilizokuwa nazo kipindi hicho ndizo ziliniingiza kwenye mtego huo ambao majuto yake yananitafuna sasa hivi"- Chidy Benz

Alikiba na majembe yake
Alikiba na majembe yake

"Kuna Mwanaume anaweza akakupenda kwasababu sasa hivi unakubali kukaa kwenye mazingira ya shida, kwasababu unaweza kukaa kwen
"Kuna Mwanaume anaweza akakupenda kwasababu sasa hivi unakubali kukaa kwenye mazingira ya shida, kwasababu unaweza kukaa kwenye bomba la baiskeli, lakini mkinunua gari anaanza kukuona hadhi yako iko chini ukikaa kwenye gari anaona umekaa kwa bahati mbaya. Ametaka kuishi na wewe kwasababu una uwezo wa kuvumilia shida, hana uwezo wa kuwamudu wanawake wazuri wenye mahitaji makubwa ndio maana yuko na wewe kwasababu unaweza kumvumilia" "Kwahiyo unaolewa kwasababu unaweza kukaa kwenye bomba la baiskeli, mkifanikiwa anaanza kuona wewe sio hadhi yake, hufai kuwa na yeye, ukipanda kwenye gari yake anaona kama unachafua gari. Ndio maana ndoa zinakuwaga ngumu"- Bahati Bukuku

Msanii wa muda mrefu Tanzania, Q Chief amchana Diamond Platnumz huku akimsifia Alikiba. "Chibu ishi nayo hii .yote mnayonifanyia na tale yule chege kwa lugumi nayajua na nayafahamu nimevulia sn ila compresa imeungua sina budi kukuambia ww ni snitch ulichowahi kumfanyia darasa years ago ndicho unachokifanya kwangu for how long will u and tale do this .kumbuka tangu kwa qs tale unanifitini kwa maneno njia zote zimeshindikana ss mnazama maungoni . mwaka jana nilipokea simu moja ya mzito mmoja ambaye alituchagua wasanii kadhaa ikiwemo tnc nilipoulizwa promo tufanye wp nikachagua wasafi hapo ndipo nilipojichanganya bila kujua namkaribisha shetwain katika biashara kubwa bila hofu ya mungu mondi ukakata jina langu ww na tale na mkasema mambo mengi kwa tajiri najiuliza tu mmefanyq kwa wasanii wangapi ?hii ndio maana ya roho mbaya wanaoogopa kukwambia wanaafaidq na ww mimi sijawahi nq kwa mfumo huo sitarajii vipi kaka au radio inakupa stress .mbnaa sisi tunaishi nazo imekuwaje tena .ungekuwa mtu mwenye nidhamu na hofu unhepokea simu za jo ni zaidi ya miezi 8 au tisa hamko sawa . jiandae ali kiba anakuja na media yake sidhani kama atakuwa na mfumo onevu kama wako .when a man takes too much time to preach ur evel and not good jua kuna vitu vingi moyoni mwake na anavitumia kama kivuli cha kukuharibia mambo yako .mi pia ni binaaadam kama ww na nina hisia unapozigusa bila idhini ya mungu unanikwaza .take this with u today" - Q. Chief. Kabla ya chapisho hilo, alianza na chapisho hili 👇 "Nianze kwa kukupongeza thou si mara ya kwanza licha ya upole na ukimya wako hujawai kiwa snitch hata siku moja .hili nitasimama na kulisemq pppote nimeona nikuambie hapa hapa big up na mungu akusimamie katika kila ulifanyalo .ww ni mshindi wa vita zote na ni fundi wa mziki haswaaaaa" - Q. Chief.

photo content

⚠️😳 Jamaa huyo kwa jina la Alex ameibuka kusema kwamba moja ya kosa kubwa utakalolifanya ni kuwa na urafiki wa karibu na mtu ambaye ametekwa sana na mambo ya kidini bila kuchuja na kupembua mambo. Anasema mtu huyo atakapoambiwa na mchungaji wake kuwa adui yake ni mtu wake wa karibu, hapo wewe ndie utakuwa muhanga Alex anasema utani kidogo tu utakaofanya utatafsiriwa tofauti na rafiki yako na ataanza kuuchukulia serious na kuyapeleka maneno kwa mchungaji wake yaangaliwe Anasema hata hutafahamu kama tayari ushageuka kuwa shetani anayetembea kwa rafiki yako na kila asubuhi akiamka mlengwa wa maombi yake yake mazito utakuwa wewe usije ukamfanyia kitu kibaya Anasisitiza kuwa kugundua kuwa rafiki yako anakuhisi vibaya tofauti na uhalisia ulivyo, utaanza kuona dalili zifuatazo 1. Rafiki yako atakapokuwa anaugua hutafahamu bali utajua kupitia watu wengine kuwa anaumwa 2. Kama rafiki yako anataka kununua gari au kitu chochote kitakachoongeza hadhi yake kiuchumi, hutafahamu mpaka mambo yote ya mauziano yawe yamekamilika 3.Muda wowote akitaka kusafiri hutafahamu, utafahamu akiwa karudi safari au akiwa kafika anakoenda Baada ya hapo akaibuka mmoja wa watu kutoa maoni ya kumuunga mkono Alex na kusema sio marafiki tu bali baadhi ya watu washagombanishwa na wazazi wao na ndugu zao sababu hupenda kusililiza zaidi kila kinachozungumzwa na viongozi wa dini bila kuchuja kuupa nafasi uhalisia

photo content

⚠️ Napenda kula, nitapungua kama kuna ajira - Love Juakali "Siyo kula tu mimi hata kwenye suala la kulala nipo vizuri ndiyo s
⚠️ Napenda kula, nitapungua kama kuna ajira - Love Juakali "Siyo kula tu mimi hata kwenye suala la kulala nipo vizuri ndiyo starehe yangu ya pili, baada ya kula ukitaka kunikwaza nisumbue wakati wa kulala sipendi usumbufu kabisa linapofika suala hilo" - ameliambia Mwananchi

E-PLUS MEDIA - آمار و تحلیل کانال تلگرام @eplusmediatv