fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Anaitwa Esther George Wassira Mtoto wa kaka wa Mwanasiasa nguli hapa Tanzania. Naye pia amewahi kugusa katika siasa kupitia CHADEMA na pia Mwanasheria kitaaluma. Anapatikana ndani ya Wimbo wa SHEILA akiwa na sauti yake nyororo sana, Yaani kuanzia Beat, Melody mpaka Sauti yenyewe. Mpangilio wa kistaarabu kabisa ambao hauchochi kusikiliza masikioni. SHEILA - Esther Wassira Moja ya nyimbo bora ya muda wote iliyopo katika Library yangu. Nikiwa na Hasira au kuchukizwa na kitu Hii nyimbo ni miongoni mwa dawa ya Hasira zangu😁 Unakipi unakikumbuka Ukiisikia wimbo huu Masikioni Mwako?!

photo content

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+7
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Wachache watamjua huyu..😀
Wachache watamjua huyu..😀

NAOMBA MNICHANGIE PESA YA MAHALI MILIONI 22 PEKE YANGU SIWEZI😭, NISAIDIENI KABLA WENYE UWEZO HAWAJAMKWAPUA; BAKA "Jamani kwanza samahani kwa wale wote ambao nimewakwaza kwa kumuomba msamaha mama watoto wangu, wapo walionipongeza lakini pia wapo walioniona mimi ni chizi/ punguani n.k yote nimeyapokea kikubwa niliyemlenga ujumbe umemfikia na nimefurahi kwa mrejesho wa jibu lake kwangu. Kidogo furaha ya moyo wangu imeanza kurejea asante mama watoto 🙏 lakini bado kuna kikwazo hasa kwa familia yake mahali ambayo wanaitaka kutoka kwangu niwe mkweli siwezi kutoboa 😭😭😭😭 lakini nampenda binti yao sana, naombeni mchango please" "Milioni 22 peke yangu siwezi nisaidie kabla wenye uwezo huo hawajapindua meza alafu nikaishia kula sembe na mkaishia kunisema vibaya zaidi ya mnavyonisema sasa hivi kuwa mimi ni mmoja wa wanaume wajinga😭💔 ila naomba mtambue kitu kimoja kwamba msongo wa mawazo ya kimapenzi ni m'baya kuliko msongo wa kitu chochote hapa duniani"- ameandika Beka kisha kuweka namba yake ya mchango ambayo sisi hatuna kibali cha kuiweka hapa.

photo content

📸 Kikosi cha timu ya Taifa ya Sierra Leone 🇸🇱 kikiendelea na mazoezi kwaajili ya mechi ya Kirafiki dhidi ya Ivory Coast 🇨
+2
📸 Kikosi cha timu ya Taifa ya Sierra Leone 🇸🇱 kikiendelea na mazoezi kwaajili ya mechi ya Kirafiki dhidi ya Ivory Coast 🇨🇮 Jumamosi hii. Ivory Coast watacheza mechi hiyo kama sehemu ya maandalizi ya michuano ya AFCON 2023

⚠️😳 "Mahari sio ishu, kikubwa rudi kwa mzazi mwenzio mkalee mtoto maana tambua mpaka Beka kutaka kurudi kwako sio kwamba kak
⚠️😳 "Mahari sio ishu, kikubwa rudi kwa mzazi mwenzio mkalee mtoto maana tambua mpaka Beka kutaka kurudi kwako sio kwamba kakosa lahasha!....ila kaamua kukupa heshima yako kama.mzazi, tafakali" - ameandika Mrwhite Kenya

⚠️Baraza la Jiji la St Louis Park katika Jimbo la Minnesota nchini Marekani limemuapisha Nadia Mohamed (27), kuwa Meya ikiwa
⚠️Baraza la Jiji la St Louis Park katika Jimbo la Minnesota nchini Marekani limemuapisha Nadia Mohamed (27), kuwa Meya ikiwa ni miezi miwili tangu alipochanguliwa kushika wadhifa huo Ameweka historia ya kuwa meya wa kwanza Marekani mwenye asili ya Somalia.Katika uchaguzi uliofanyika Novemba 7, 2023, Nadia alipata asilimia 58 ya kura na kushinda nafasi hiyo.Pia ndiye meya mdogo zaidi na wa kwanza mweusi kuchaguliwa katika jiji hilo "Sawa, utambulisho wangu ni sehemu ya historia yangu. Ninajivunia kwa kila kitu nilicho nacho, lakini sitaki hiyo iwe hadithi pekee. Sitaki watu waishie hapo katika mazungumzo yao," amesema Nadia kwa mujibu wa BBC wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha Kare cha Minneapolis Ametaja vipaumbele vyake kuwa ni usalama wa umma na nyumba za bei nafuu

Katika pitapita nimepata ufafanuzi huu UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI Na Mansour Jumanne (Senior Journalist ) Kumekuwa na upotoshaji mkubwa saana ,ambao umenukuliwa na Vyombo vingi vya habari vya ndani na nje kuhusu Kauli aliyoitoa Papa kiufupi jambo hili limepotoshwa na Vyombo vingi vya ndani na nje ya Tanzania kwa ufupi Papa aliulizwa swali na waandishi kuhusu watu wanaojihusisha na ndoa za jinsia moja kwa maana ya ushoga na usagaji. Swali hilo aliulizwa alipokuwa na mkutano na vijana ambao umekuwa ni utaratibu wake. Aliulizwa yapo Mataifa yamepitisha sheria ya kuwauwa watu wanaojihusisha na ushoga na usagaji na pia yapo makanisa na jamii zimewatenga na hawaruhusiwi hata kusogelea Kanisa. Papa akajibu,Hatutakiwi kuwauwa wala kuwatenga na akasema,inapotokea watu wanaojihusisha na usagaji,ushoga na usenge wameenda Kanisani wasifukuzwe wala kuadhibiwa kwa kuuliwa bali ni kazi ya Kanisa kuwapokea na kuwaombea ili wabadilike na kumrejea mwenyezi Mungu. Papa alisema hayo kutokana na baadhi ya mataifa kuchukua uamuzi wa kuwauwa na kuwatenga. Akasema kazi ya Kanisa siyo kuwauwa na Kuwatenga bali kuwapokea na kuwaombea. Hili suala sielewi linaleta mkanganyiko wapi? 1.Je ni kosa kuwaombea mashoga na wasagaji ili waongoke? 2.Watenda dhambi adhabu yao ni kuwauwa ama kuwasaidia watoke dhambini? Kanisa Katoliki katika moja ya Dogma zake ni kutokubaliana na adhabu ya Kifo. Pamoja na Mataifa mengi kupitisha adhabu ya kifo msimamo wa Kanisa Katoliki haujawahi kuunga mkono adhabu ya kifo,siyo kwa mashoga na wasagaji tu bali hata kwa watenda dhambi wengine wanaoadhibiwa kifo. Kiufuli Taarifa hiyo haina effects yeyote. Halafu “Vatican policy ndo nini? The Roman Catholic Church haiongonzwi na policy. Vatican as a state kama Tanzania has its policy. We don’t have policies in Religious matters. Pope anapotoa anapoongea issue nzito ambayo huleta mabadiliko ya kiulimwengu kwanza lazima asome kilichoandikwa, pili lazima akae kwenye kiti maalum au tunaita “ex cathedra” Mengine kwenye mahojiano mbalimbali is just an opinion Still a Pope is like any other bishops. We call him “ First among the equal” Pope alone hawezi fanya mabadiliko pale anapojisikia na kama akijaribu basi “Curia” itafanyakazi yake. When I have time I will write about…”killing in God’s name. Changamoto ambazo zinausumbua ulimwengu wa habari kwa sasa ni pamoja na... Misinformation,Disinformation,Propaganda,Black Propaganda,White Propaganda,Grey Propaganda,Fake news,Wrong sources,Hate Speeches,Single source,Defamation,Sedition. Ukisoma Waraka uliotoka Jumatatu hii ya tarehe 18.12.2023. Umesisitiza,msimamo wa Kanisa Katoliki unabaki kuwa ndoa ni Kati ya mwanaume na mwanamke na hautabadilika. Ila watu hawa walioanguka dhambini kwa kujihusisha na ndoa za jinsia moja wasiuliwe wala kufukuzwa wanapokwenda Kanisani. Waraka unesisitiza makasisi kuwapa huduma watu hawa kwa kuwaombea waongoke. Kanisa limeelekeza kutowatenga bali kuwapa huduma za kiroho kama wadhambi wengine na ikibidi waungame na kuacha dhambi ya ushoga na usagaji. Nadhani mkanganyiko ni msimamo wa Kanisa wa.. 1.Kutowauwa C&P

photo content

"Navaa cheni ya milioni 10, naendesha Range, navaa nguo ya milioni 20, mimi ni tajiri "- Chenjeu
"Navaa cheni ya milioni 10, naendesha Range, navaa nguo ya milioni 20, mimi ni tajiri "- Chenjeu

ILI NIMUOE ANATAKA NIPELEKE MAHALI MILIONI 22, SINA HUO UWEZO KWA SASA ANIHURUMIE TUJICHANGE; BEKA Baadae ya kuteka vyombo vy
ILI NIMUOE ANATAKA NIPELEKE MAHALI MILIONI 22, SINA HUO UWEZO KWA SASA ANIHURUMIE TUJICHANGE; BEKA Baadae ya kuteka vyombo vya habari kwa muda wa siku mbili, habari kubwa ikiwa ni msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Beka Flavour kutiririka na ujumbe kwamba mwaka 2023 ulikuwa mbaya kwake kwasababu mama watoto wake na mpenzi wake wa muda mrefu Happie Reuter amemuacha na hataki kuendelea kuwa nae, kwa masikitiko Beka alisisitiza kuwa anawaomba mashabiki zake wamsaidie kumuombea msamaha kwa mwanamke wake ili arudi walee mtoto pamoja. Baadae Happie apoulizwa na mashabiki zake kwanini hataki kurudi kwa Beka, alijibu kwamba atoe mahali kwanza wafunge ndoa ndipo maisha mengine yaendelee. Sasa leo kupitia Clouds fm, Beka alipoulizwa ni kiasi gani cha pesa ya mahali mwanamke huyo anataka, Beka amejibu kwamba ni milioni 22. Amesema kwa sasa hana hizo milioni 22 za mahali ila anamuomba angalau ampe muda ili pesa hizo ziweze kupatikana lakini huku wakiwa wanaishi wote, aendelee kumpa nguvu wakati anajichanga-changa.

✍️ idrissultan 😁 Kati ya hayo 7 umewahi kutumia lipi zaidi?
✍️ idrissultan 😁 Kati ya hayo 7 umewahi kutumia lipi zaidi?

Anaitwa Babacar Niase ni goalkeeper wa timu ya Taifa ya Mauritania. Kwenye kikosi chote yeye ndio mfupi kuliko wote😂🙌
Anaitwa Babacar Niase ni goalkeeper wa timu ya Taifa ya Mauritania. Kwenye kikosi chote yeye ndio mfupi kuliko wote😂🙌

NILIOA MLOKOLE AKANIBADILIKIA "Nilioa mwanamke mfanyakazi wa kanisani nikidhani kila kitu kitakuwa sawa nyumbani,Aliacha kuhu
NILIOA MLOKOLE AKANIBADILIKIA "Nilioa mwanamke mfanyakazi wa kanisani nikidhani kila kitu kitakuwa sawa nyumbani,Aliacha kuhubiri na kubadilisha jina Lake, Aliweza kuamka kila Asubuhi na kuanza kunitukana matusi, Ingekuaje ningekuwa Napiga wanawake"-ameandika Israel DMW meneja wa msanii maarufu nchini Nigeria Davido baada ya ndoa yake kuvunjika hata hivyo mke wake amepuuza maneno hayo na kusema jamaa ni mwanaume wa dakika 2 tu kitandani 😁

Nyota wa timu ya Taifa ya Algeria 🇩🇿 Yousef Atal atalazimika kwenda Lupango miezi Nane huko Ufaransa baada ya kuposti katik
Nyota wa timu ya Taifa ya Algeria 🇩🇿 Yousef Atal atalazimika kwenda Lupango miezi Nane huko Ufaransa baada ya kuposti katika mtandao wake wa kijamii aki isapoti Palestine. Nyota huyu alilazimika kufuta post yake baada ya watu wengi kupokea vibaya maoni yake ...Chama Cha Soka Ufaransa kikamfungia kucheza mechi za Ligi Saba . Lakini mahakama ya Jinai pale Ufaransa imemkuta na hatia hivyo atatakiwa kwenda Lupango miezi Nane kutumikia adhabu ya kosa alilotenda ...pia nyota huyu atatakiwa kulipa faini milion 123 . Atal ana siku Kumi za kukata rufaa ya kupinga hukumu hiii pale Ufaransa. 😭 Palestine wamemponza huko nyota huyu anayeichezea Og Nice huwenda tusimwone AFCON 2023 . #algeria #AFCON #mpekeo_mtandala

Mambo Mengi Mda Mchache Pash Queen Alishare Vi,clip kwenye account yake Ambazo Moja Wapo Inasikika Sauti Ya Mwanaume Wadau Wa
Mambo Mengi Mda Mchache Pash Queen Alishare Vi,clip kwenye account yake Ambazo Moja Wapo Inasikika Sauti Ya Mwanaume Wadau Wanadai Ni sauti ya Harmonize, ikumbuke Dj Seven Hayuko Sawa Na Harmo Kwa Madai Yakuibiwa Mwanamke Wake Na Harmonize Alikua Anampenda Sana Posh Queen!! 😂😂😂 👇 Pia dj seven Kam,unfollow kabisa harmonize na kuandika baadhi ya jumbe kwenye instastory yake kama 👇 Marafiki wanafiki ushauri mwingi kumbe anamtaka Demu wako 👇 Tunaumizwa na watu tunaowaamini tunaowaona ni marafiki zetu Wa kalibu watu fake.