fa
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+9
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+9
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Roma ✍️✍️✍️ Sema wabongo noma, mwanetu Mwambino kuna matukio alikuwa akiyafanya raia zilimsagia kunguni zikimsema hana kibund
Roma ✍️✍️✍️ Sema wabongo noma, mwanetu Mwambino kuna matukio alikuwa akiyafanya raia zilimsagia kunguni zikimsema hana kibunda, utasikia kavaa saa feki hana mchele wa kununua OG, mara kanunua pira 2nd hand hana hela. Juzi Breezy kacheza muwa wake raia wanakwambia Chriss hajaucheza kwa kupenda kwake ni Biggie kamlipa hela ndefu😁😁 Heeee Ghafla😁 Yani raia wale wale waliomsema mwanetu hana kibunda leo wamepiga U-turn la Shekilango pale wanakwambia kamlipa Brown😁 Washasahau kama walisema hana mpunga!!😁 Yaani wabongo hamueleweki mnataka nini!! Mwanetu kajipata tusimkunjie Someni Yohana 2:9-11💐

Watu mna siri kumbe kuna watu hawalipi kodi na hamsemi..😀
Watu mna siri kumbe kuna watu hawalipi kodi na hamsemi..😀

😃😃 KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igs
😃😃 KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Pray for kenya..
Pray for kenya..

Kenya.. KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?
Kenya.. KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
+8
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW4
KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Huyu mwingine alisepa na hii kitu ya Bunge KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 http
Huyu mwingine alisepa na hii kitu ya Bunge KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Waandamanaji nchini Kenya walivyoingia Bungeni na kula chakula cha wabunge..😅 KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa
+1
Waandamanaji nchini Kenya walivyoingia Bungeni na kula chakula cha wabunge..😅 KUTOKA MITANDAONI Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Luhaga Mpina ameeleza umma, maamuzi ya mawaziri, Hussein Bashe (Kilimo) na Mwigulu Nchemba (Fedha) yamepoteza mapato ya Serik
Luhaga Mpina ameeleza umma, maamuzi ya mawaziri, Hussein Bashe (Kilimo) na Mwigulu Nchemba (Fedha) yamepoteza mapato ya Serikali zaidi ya Sh580 bilioni. Kwa mantiki ndogo, upotevu wa fedha za Serikali ni zaidi ya ufisadi wa RICHMOND ambao ulimfanya Waziri Mkuu, Edward Lowassa kuwajibika kwa kujiuzulu. Badala ya bunge kuunda kamati teule kuchunguza taarifa kwa kuwa upo ushahidi wa nyaraka, bunge la CCM limemuita Luhaga Mpina kamati ya maadili. Luhaga Mpina amepelekwa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kilichoitwa kuingilia madaraka ya Spika kwa kuwasilisha ushahidi wa tuhuma kwa umma. Bunge la CCM limechoka. Tuhuma hizo zimebebwa na ushahidi. Bunge lilitakiwa kuunda kamati teule ya bunge, siyo kumpeleka kamati ya maadili ya bunge Upotevu wa mapato ya serikali Sh580 bilioni ni zaidi ya ufisadi mkubwa wowote uliowahi kutikisa serikali na bunge ukiondoa upotevu wa TZS trilioni 1 enzi za JPM. Tegeta ESCROW (Sh306bn), EPA (TZS 133bn), Mwananchi Gold (Sh272bn), Meremeta (Sh155bn), Mfuko wa kuwezesha uagizaji - CIS (Sh200 bilioni). Ufisadi wote, mmoja mmoja haujafika katika ufisadi (Sh580bn) ambao unatajwa na Luhaga Mpina kuwa ulisababishwa na Hussein Bashe na Mwigulu Nchemba. Baraza la usalama la Taifa (2014) lilikutana na kupitia taarifa ya uchunguzi PCCB kuhusu ufisadi wa ESCROW (Sh306bn) kwanini ufisadi wa Sh580bn upuuzwe? PCCB walifanya uchunguzi ufisadi wa ESCROW na kukabidhi taarifa kwa Rais Jakaya Kikwete, kwanini uchunguzi wa Sh580 bilioni usifanyike? Analindwa nani? Uchunguzi wa PCCB ulionesha taarifa ya Mkombozi Bank (20/01/14-14/08/14) na malipo kutoka akaunti ya VIP engineering kwenda kwa watu mbalimbali. Tunashangaa, badala ya bunge kuunda kamati teule kuchunguza taarifa na kuujuza umma, bunge limeamua kumtisha Mpina kwa kutoa ushahidi kwa umma. Hizo ni juhudi za kumnyamazisha Luhaga Mpina na kuwatetea watu hao anaowatuhumu kwa ufisadi na upotevu wa fedha za serikali zaidi ya Sh580 bilioni. Martin Maranja Masese, MMM.

Ameandika Malisa GJ Hii "saga" ya sukari ina mambo mengi ya kujiuliza kuhusu mijadala ya wanasiasa inayoendelea na lawama wan
Ameandika Malisa GJ Hii "saga" ya sukari ina mambo mengi ya kujiuliza kuhusu mijadala ya wanasiasa inayoendelea na lawama wanazotupiana. Kwa uchache tujiulize yafuatayo; 1. Je sukari ilipanda bei? Jibu ni ndio. Huko Geita walinunua sukari hadi TZS 11,000/=. Hapa Dar baadhi ya maeneo tulinunua hadi TZS 7,000/= kwa kilo. 2. Je nini kilisababisha sukari kupanda? Jibu ni kupungua kwa uzalishaji kwa viwanda vya ndani. Mahitaji ya sukari ni tani 420,000. Viwanda vya ndani vina uwezo wa kuzalisha tani 280,000. Maana yake tuna ombwe la tani 140,000 ambazo tunanunua nje. Lakini mwaka jana ombwe liliongezeka zaidi kwa sababu viwanda vya ndani havikuweza kuzalisha kama ilivyopaswa, kwa sababu mashamba mengi ya miwa yalijaa maji. 3. Je Waziri alichukua hatua gani? Bashe alitoa vibali kwa viwanda vya sukari viagize sukari kutoka nje kufidia ombwe lililojitokeza, ili kumpunguzia makali mwananchi. Wakati huo bei ilikua kati ya TZS 3,500 hadi 4,000/=. 4. Je maelekezo ya Waziri yalifuatwa? Jibu ni hapana. Hakuna kiwanda chochote kilichoagiza sukari. Na sio bahati mbaya. It was conspirancy. Inadaiwa walikula njama kuchelewa kuagiza ili mahitaji yaongezeke na bei izidi kupaa (principle of demand and supply). Matokeo yake sukari ikawa adimu, bei ikapaa hadi TZS 11,000/= kwenye baadhi ya maeneo. 5. Je Waziri angeendelea kubembeleza wenye viwanda huku wananchi wakiteseka? Aliamua kufanya maamuzi magumu kumlinda mwananchi. Alifuta vibali vya kuagiza sukari kwa viwanda na kuwapa wafanyaniashara binafsi. Sukari ikaingizwa na bei ikapungua. Sasa turudi kwenye tuhuma za Mpina kwamba Bashe hakufuata taratibu, matokeo yake hadi kampuni ya simu ilipewa tenda ya kuagiza sukari. Lets assume tuhima hizo ni za kweli. Halafu tujiulize kati ya kufuata utaratibu huku wananchi wakiendelea kuumia, na kukiuka utaratibu ili wananchi wasaidike kipi bora? which is the lesser evil? Ieleweke siungi mkono taratibu kuvunjwa, lakini najaribu kuwaza kati ya kufuata taratibu ambako kungeongeza bei ya sukari maradufu na kukiuka

Hali ilivyo kariakoo...
+3
Hali ilivyo kariakoo...

MGOMO KARIAKOO 1.Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao zaidi ya 10 na mamlaka ya mapato TRA ,hawakupata majibu. 2.kabl
MGOMO KARIAKOO 1.Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao zaidi ya 10 na mamlaka ya mapato TRA ,hawakupata majibu. 2.kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao na serikali kupitia Mkuu wa wilaya ya Ilala wakiomba Waziri wa fedha afike kuwa sikiliza lakini Waziri wa fedha hakuwahi kwenda. 3.Mkuu wa Wilaya ya Ilala amepambana sana kuhakikisha mgomo hautokei (Wafanyabiashara wanampongeza) Mkuu wa wilaya ya ilala akaomba Wafanyabiashara wasubiri mwezi mmoja ,ili awasiliane na Viongozi wake kwanza Mwezi ukaisha Mkuu wa Wilaya akapuuzwa na viongozi wake wa Juu. 4.Mkuu wa Mkoa mara zote hizi hakuwahi kuonekana katika vikao chochote cha Wafanyabiashara, wala hakuwahi kusaidia kupeleka malalamiko ngazi za Juu. Ameonekana Jana tu, ktk Vitisho. 5.Viongozi wa Wafanyabiashara wakaomba waende Dodoma kuonana na Waziri wa fedha ili madai yao yaingizwe katika Bajeti hii na sheria mpya ya fedha- Wakapuuzwa 6.Viongozi wa Wafanyabiashara kupitia kamati yao Maalumu iliyoundwa wakati Waziri Mkuu alipofika Kariakoo iliwajulisha wafanya biashaara wenzao kuwa hoja zao zote 27 zimetupiliwa mbali. 7.Katika hoja zao 27 za awali,Wafanyabiashara wanahoja za haraka 7 zikifamyiwa kazi watafungua Maduka yao wakati watasubiri serikali wafanyie kazi hizo 20. 8.Hoja hizo ni 1,Kupunguza faini ya kuto toa risiti ambayo kwa saasa 15M 2.Kuondoa service levy. 3.Kamtakamata ya TRA mitaani 4.Kunyan'ganywa kwa VAT baadhi ya wafanya biashara 5. VAT kukusanywa bandarini,airport na ktk Mipaka 6.Kuzia wachina na Wageni ktk biashara ndogondogo kariakoo 7. VAT ianze Tsh millioni 500 hadi Tsh billioni 1 ,badala ya sasa ya Tsh million 200 9.Leo saa 7: 00 mchana,Dodoma,Waziri wa fedha na Waziri wa viwanda na biashara watakutana na viongozi wa wafanya biashara Msimamo wa wafanyabishara ni kwamba hawataki kusikia lolote kutoka kwa Mawaziri hao baada ya kuongopewa kwa muda mrefu 10.WANATAKA RAIS AENDE KARIAKOO au KAULI YA RAIS KUHUSU HOJA ZAO

Japan yapiga marufuku watu waliochoma Kinga ya corona wasichangie Damu....
Japan yapiga marufuku watu waliochoma Kinga ya corona wasichangie Damu....