E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
Anandika Baba Askofu Rev.Der.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___
Jumapili 10 Desemba 2023, Advent ya 2, KKKT Dayosisi ya Karagwe tulitabaruku (Kuweka wakfu) Kanisa Kuu (Cathedral) - Lukajange.
Tulibariki wachungaji watano. Hawa ni wasiofaa, waliotoka katika kundi la wasiofaa, wanatumwa kuwahudumia wasiofaa, lakini anayewatuma ni afaaye, naye ni Yesu Kristo, Mchungaji Mwema.
Makuhani walikuwepo, Manabii walikuwepo, Wafalme/Kaisari nao walikuwepo. Tuliteta, tukaonyana, tukatiana moyo, tukashauriana, tukapeana zawadi, tukapongezana, tukala "mchele" na kuagana.
Tujikumbushe Matatu katika mengi tuliyoongea;
1. Kanisa lilisema na kushauri juu Maridhiano. Yasiachwe. Hasara za kuyaacha ni kubwa kuliko hasara za kuyaendeleza. Ni mzigo kutawala taifa linalonung'unika. Manung'uniko yalimkosesha Musa kuingia Kanaani.
2. Katika taifa lenye matabaka ya watawala na watawaliwa; Kanisa lapaswa liwasemee watawaliwa na liwaseme watawala. Mnyonge akiingia mgogoro na mwenye nguvu, lililo haki ni kumsemea mnyonge na kumsema mwenye nguvu.
3. Elimu yetu inaandaa vijana kuajiriwa si kujiajiri. Walipokua wanasoma ndoto zao na matarajio yao ni kuajiriwa. Tusiwabeze wanaposhindwa kufanya ambacho hawakusomea. Serikali ikae na Sekta binafsi kuandaa sera rafiki ya kuwaajiri vijana bila kuwaumiza waajiri (Employers).
Wapo waliosema haya niliyoongea yana uhusiano gani na kutabaruku Kanisa? Hivi sijachanganya dini na Siasa kweli? Ulitaka nichanganye na nini? Amani ya Kristo iwe nawe usichanganywe na ujumbe huu.!
1 307
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya llemela imesema imeona taarifa ya picha ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha kuwa katika Kituo cha Afya cha Buzuruga akina Mama wamekuwa wakipeana zamu kuzalia sakafuni ambapo taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikifafanua kuwa picha iliyotumika katika tarifa hiyo ni ya September 2022.
“Awali katika Kituo hiki cha Afya cha Buzuruga kulikuwa na vitanda vitatu kwa ajili ya kujifungulia,
Baada ya kuona kumekuwa na ongezeko la akina Mama wanaojifungua Serikali iliongeza idadi ya vitanda vya kujifungulia kutoka vitanda vitatu hadi vitanda sita”
“Sambamba na hilo Serikali imejenga jengo la Mama na Mtoto lenye uwezo wa kulaza akina Mama 42,
jengo hilo liligharimu kiasi cha Tsh. milioni 200 fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri, lengo ikiwa ni kuondoa adha ya akina Mama kulala zaidi ya mmoja katika kitanda kimoja na jengo hilo lilizinduliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 ambalo kwa sasa linatumika”
“Hivyo kwa maelezo hayo, Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela inapenda kuuhakikishia umma kuwa katika Kitup cha Afya cha Buzuruga, hakuna akina Mama wanaojifungulia chini kama taarifa ya mitandaoni inavyoonesha”
1 307
Sio kila young ni killer, uwezo utajieleza na so kila sharobalo imeandikwa itafia muheza, vaa pendeza, nenda disco cheza la mwisho utambue mkufu hausimami at ulishwe pweza,, nipe kipaza msodoki kama unaitaka shughuri,,,,,.........
MWAMBA HUYU NDIYO really G.O.A.T
.mean Greatest Of All Time
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
Mchezaji Roberto Nditi amejumuishwa kwenye kikosi cha awali cha Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿 (Taifa Stars) kitakachoiwakisha Tanzania kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwezi Januari (Mwakani).
Ifahamike kwamba Roberto Nditi ni Ndugu (Mdogo) wa Adam Nditi ambaye ni Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea. Pia kuna uwezekano Ndugu yao mwingne aitwaye Zion Nditi akaitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania.
Toa maoni yako
https://instagram.com/sportslitetv?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA==
1 307
BADO SIJATUMIKA SANA; EBITOKE
"Mimi bado sijatumika sana ndio maana mwili wangu unavutia na kupendeza, watu waliotumika wanajulikana hawawezi kuwa na umwororo kama wa kwangu"- amejinadi Ebitoke
1 307
Mtoko wa Irene Paul kwenye usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania zilizofanyika 16, Disemba.
1 307
⚠️😳 Bibi harusi huyo kwa jina la Safiya aibua minong'ono baada ya kuolewa sasa na mwanaume huyo aliyewahi kumuoa rafiki yake wa karibu kwa jina la Kauthar kisha Safiya kwenda kujikommetisha kwenye picha zao za harusi kuwaombea ndoa njema yenye furaha na amani tele
Ndoa ya rafiki yake na mumewe huyo ilikuwa 2020 lakini baada ya ndoa kuvunjika , hata miezi sita haijapita ndio Safiya ameolewa yeye na huyo mwanaume hali ambayo imeacha watu midomo wazi kila mtu anasema lake ikifikiriwa marafiki hao wa miaka mingi walikuwa watu wa kuandikiana comments zilizojaa [upendo] wa urafiki wa kushibana
Baada ya kuona picha za harusi ya Safiya, wanaowajua wameibukia kuwatungua Safiya na huyo mumewe na kuwaambia wachomfanyia Kauthar sio poa
1 307
***THE DEFENDER / THE BODYGUARD FROM BEIJING (1994).***
***Moja ya Movies ambayo Jet Lee anatembeza Mkono kisawasawa* Huyu ni binadamu mwenye kasi sana katika sanaa ya mapigano***
