E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
Rais wa shirikisho la soka Cameroon 🇨🇲 (FECAFOOT) Samuel Eto'o akitokwa na machozi ya Furaha baada ya Cameroon kufuzu hatua ya 16 Bora.
Cameroon 🇨🇲walipata ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Gambia na kufikisha point 4 nyuma ya kinara Senegal 🇸🇳
1 307
"Lukamba alikuwa ananiambia (Mbona Aunty Ezekiel anamlea Kusah we unashindwa vipi kunilea? Jikaze ndio maisha), sasa huyo ni mwanaume? na nimwambie tu nataka kila kitu nilichomnunulia siachi kitu hadi Chup* maana sikumkuta na kitu"- Pendeza "Ex" wa Lukamba.
Toa maoni yako
#MvanoUdaku
#MvanoMtangazaji
#M32
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
***Huu mti unaitwa Mfalme wa miti(“King of Trees,”) na upo afrika kusini* Unakadiriwa kuwa na umri wa miaka 2000***
#Nature..
1 307
Raia wa Algeria 🇩🇿, Sofia Benlemmane ambaye ni shabiki wa timu ya Taifa hilo, amefukuzwa Nchini Ivory Coast 🇨🇮 baada ya kunukuliwa akitoa maneno ya kashfa juu ya wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)
Sofia amesema Ivory Coast ni Taifa masikini linaloishi kizamani na kuongeza kuwa, Algeria imeendelea zaidi na haipaswi kuwa Afrika bali iwe sehemu ya Nchi ya Uhispania au Ureno
Mbali na kufukuzwa, pia amepigwa marufu ya kuingia Ivory Coast katika maisha yake yote
1 307
⚠️😳 " Namuomba msamaha Zaiylisa anisamehe kwakuwa mimi nilimlazimisha kumuoa" - Dullah Makabila
1 307
⚠️🥰 "Mungu akikupa neno lake maana yake amekupa UHAKIKA" - amesema Mchungaji Qute Mena baada ya kuweka muonekano wake huo mpya
1 307
"Siku ambayo Hajji Manara alimvisha Pete Zaiylissa nililia sana, nililia kwasababu nimeumia na nimeomboleza kwa siku tatu nimevaa nguo nyeusi, nampenda sana wifi yangu Zaiylissa na hata Dulla anampenda mnoo ni vile tu hawezi kusema mbele za watu ila kusema ukweli ule wa kutoka moyoni Dulla anampenda mnoo Zai"
"Bado hatujakata tamaa tunaimani Zai wetu atarudi, yani tunamsubiri aachike, akiachika tu akapewa talaka tatu sisi tunae juu kwa juu hakuna kumuacha, alikuwa wifi mzuri, hajawahi kuniboa, ni kweli binadamu hatukosi kasoro lakini kasoro za Zaiylissa sikuwahi kuziona, Mungu ataturejeshea Zaiylissa wetu"- Amina Vikoba, Dada wa Dulla Makabila
1 307
"Maisha ni fursa, faidika nayo maisha ni uzuri, basi yapende, maisha ni ndoto, ifikie na ipiganie. Maisha ni changamoto pambana nayo kamwe usikate tamaa"- Jeniffer Kyaka "Odama"
1 307
Kwa mujibu wa watu wao wa karibu inaelezwa kuwa Wema Sepetu na Whozu wamegombana tangu December 25, 2023 na kugombana huko kumemfanya Whozu ahame nyumbani kwa Wema ahamie kwake. Mpaka sasa bado hawajapatana na huenda huo ndio ukawa mwisho wa penzi lao.
Chanzo hasa cha ugomvi wao ni kwamba Whozu alienda kwenye moja ya Media akasema Wema Sepetu anamlazimisha kwenda kutambulishwa ukweni (Anafosi) taarifa hizo zilipomfikia Wema akakasirika akamtaka Whozu akakanushe na aombe msamaha lakini Whozu hakufanya hivyo na huo ndio ukawa mwanzo wa utengano wao.
1 307
Queen Poshy ambaye anadhaniwa kuwa ni Mpenzi mpya wa Harmonize amekanusha kutoka kimapenzi na aliyekuwa DJ wa Harmonize, DJ Seven. Poshy anadai walikuwa Marafiki tu na si vinginevyo.
Ikumbukwe kuwa Mwijaku alisema siku kadhaa zilizopita kuwa aliwauliza wote wote Poshy, Mrembo huyo alimjibu kuwa walikuwa Marafiki tu japokuwa alikuwa akimtongoza ila Poshy alimkataa.
Toa maoni yako
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
"Leo asubuhi wakati naamka nimekuta njiwa dirishani kwangu, naomba niombeeni msamaha kwa mzungu nimekoma mimi😭😭😭"- Dulla Makabila, Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania.
Toa maoni
1 307
"Kuanzia leo meneja wangu ambaye atanisimamia kwenye kazi zangu zote ni mume wangu mtarajiwa Hajji Manara, nimeamua kumchagua yeye kwasababu ana uzoefu kwenye sekta hiyo" - Zaiylissa, Mchumba wa Haji Manara na Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
