E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
ANAKIMBIA KUTOKA AFRIKA KUSINI HADI TUNISIA
Russell Cook, raia wa Uingereza amekusanya TZS milioni 616 katika kampeni yake ya kukimbia kutoka Afrika Kusini hadi Tunisia ambapo amefikisha siku ya 310 akikimbia, na sasa yupo nchini Mauritania.
Cook alianza kukimbia Aprili 22 mwaka jana na anatarajiwa kufika Tunisia Aprili 7 mwaka huu, kampeni ambayo inalenga kukusanya fedha kwa ajili ya The Running Charity.
1 307
AMEANDIKA MPENZI WA SHILOLE
_
Me: mama wananiita kibenten Mama
Mama: usijali mwanangu wengi wanaokuita hivyo hawakujui vizuri Sisi tunaokujua ni mashuhuda wa upambanaji wako keep Pushing son!! .
Me : thanks Mom🙏🏽❤️
1 307
PATRICK NA JENNIFER KANUMBA
_
Hawa Ni Moja ya wasanii wawili ambao ni Tunda la kazi za mkono wa Marehemu Kanumba kaacha alama kubwa sana.
Pichani wakiwa kwenye kaburi la Marehemu Steven Charles Kanumba.
1 307
MAJINA YA KIUME YALIVYO GEUKA YA KIKE
_
Haya ni majina ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na mtazamo na sasa yanaonekana kama majina ya kike, hii inatokana na wanawake maarufu kuyatumia majina hayo kama majina yao ya kazi.
1. Uwoya: Chanzo Irene Uwoya..
2. Sepetu : Chanzo Wema Sepetu
3. Mobetto : Chanzo Hamissa Mobetto.
Imagine mwanaume uitwe Paul Mobetto, yani haliendi kabisa, Jackson Uwoya, Peter Mobetto, John Sepetu😂😂😂😂😂😂.
1 307
H Baba anasema mtoto wake huyo wa kike anafanana sana na Krish wa Irene Uwoya na anaamini huenda kuna namna Krish ni mtoto wake Irene aliamua kumdhurumu.
We unaonaje? Ni kweli au anajitafutia matatizo kwa Uwoya?
H baba na Uwoya waliwahi kuwa kwenye mahusiano miaka hiyo ya kuku kapanda baiskeli.
1 307
Mwaka 1991 Pepe Kalle na bendi yake ya Empire Bakuba walikuja Tanzania kutumbuiza mkoani Arusha.
Baada ya kufika Arusha, walikodi teksi iliyokuwa ikiendeshwa na mwanamke aitwaye Hidaya Khamis Massawe. Wakiwa ndani ya teksi walianza kuongea kwa lugha ya Lingala wakimsifu dereva teksi kwa jinsi alivyokuwa mzuri. Hata hivyo, Hidaya (dereva teksi) alikuwa anafahamu lingala kutokana na shughuli zake za kibiashara huko RD Congo.
Pepe Kalle alishtuka sana baada ya kumsikia Hidaya akizungumza kwa lugha ya Lingala. Baada ya kumaliza shoo yao jijini Arusha, Pepe Kalle aliahidi kuwa atarejea Tanzania kwa Hidaya. Mwaka uliofuata wa 1992, Pepe Kalle kweli alirudi Tanzania Arusha na kutunga wimbo wa Hidaya. Mume wa Hidaya Mzee Massawe, baada ya kujua kuwa wimbo wa Hidaya alitungiwa mkewe aliamua kuachana naye na kumuacha siku hiyo hiyo.
Hidaya khamis masawe alifariki mwaka 2021 Arusha mtaa wa Kaloleni.
1 307
"Mimi niliacha kuwa na urafiki na wanawake wenzangu toka nilipogundua wengi wao ni masnichi, hawawezi kuweka vitu rohoni, sina rafiki wa kike na siwezi kuwa na rafiki wa kike mpaka naingia kaburini, rafiki yangu ni pesa tu"- Shilole
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
YULE MJUKUU WA MZEE #MANDELA SIO MTU MZURI MSIMLETE TENA TZ ATAWATOA MACHO MABONDIA WETU 😂
1 307
DIAMOND AIPINGA RIPOTI YA FORBES MIJI YENYE MABILIONEA WENGI/ AITAJA KIGOMA
Baada ya Jarida la Forbe kutaja Orodha ya miji yenye MaBilionea wengi Zaidi Duniani Msanii Diamondplatnumz amesema kuwa Forbes Wamekosea Sana Kutokuitaja Kigoma kwenye List hiyo
Diamondplatnumz Ambae ana Asili ya Mkoa wa Kigoma alichapisha maoni yake Katika Moja ya Posti iliyopostiwa #Manaratv Kisha kuhoji kwanini Forbes hawajauweka Mji wa Kigoma Katika Orodha hiyo?
Hii ndio miji inayoongoza kuwa na mabilionea wengi Zaidi Duniani kama ilivyochapishwa na Jarida la Forbes
🇺🇲 New York: 101
🇭🇰 Hong Kong: 70
🇨🇳 Beijing: 68
🇨🇳 Shanghai: 65
🇬🇧 London: 63
🇷🇺 Moscow: 61
🇮🇳 Mumbai: 56
🇨🇳 Shenzhen: 54
🇸🇬 Singapore: 46
🇮🇳 Delhi: 37
🇺🇸 San Francisco: 37
Source: Forbes, 2023
Toa maoni yako ✍️
1 307
Mwanamke aliolewa kukaa nyumbani kwake akatunza watoto wake na heshima ya mume wake ni bora zaidi kuliko kutoka kwenda kufanya kazi nje ya nyumba yake. Kazi ni wajibu wa mwanaume nasi mwanamke.
Ameandika Abdulrazaki issa ✍️
1 307
Prof. Janabi afumwa akila baga .SIKU WALIZOISHI DUNIANI VIONGOZI HAWA
Alli Hassan Mwinyi siku 35,770
Benjamin Mkapa siku 29,930
Julius Nyerere siku 28,105
Edward Lowassa siku 25,550
John Magufuli siku 22,995
Na wewe chukua siku 365 zidisha kwa miaka yako utajua umeishi siku ngapi mpaka sasa.
1 307
Kwa mujibu wa ushahidi wa kisayansi ni kwamba binadamu wa mwanzo alianzia Barani Afrika africa na kuhamia maeneo mengine duniani..
kwahiyo asili ya kila binadamu ni Afrika
